PASCHAL CASSIAN UTAKUFA UNAJIONA VIDEO

  Рет қаралды 469,251

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

5 жыл бұрын

Ndugu Kama huna wakukufikishia Jambo lako kwaviongozi wajuu wawezao kutoa msaada mkubwa lazima UTAKUFA unajiona

Пікірлер: 596
@kevinmwita5676
@kevinmwita5676 2 жыл бұрын
Pascal your songs zinanitia nguvu kweli mungu yupo kama unamkubali gonga like tukisongaa
@hellendaudi7756
@hellendaudi7756 3 жыл бұрын
Huu wimbo ulifanya nikalia sana,lakini njia za mungu sio za mwanadamu..mungu aendelee kukusimamia na nyumba yako...from Kenya much love
@yovithakiyugu787
@yovithakiyugu787 Жыл бұрын
Pascal Cassian kiukweli namkubali sana
@WittnessShoo
@WittnessShoo 3 ай бұрын
Poleee sanaa kaka pascall mungu ni mwema anakusudilake natumaini atakuwanawe leo na ata milele amina
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 жыл бұрын
hautakufa bali utaishi my bro Mungu azidi kukufanyia wepesi
@sharifahamisi9091
@sharifahamisi9091 5 жыл бұрын
Kibonge wa Yesu official ameen
@paschalkiniofficial123
@paschalkiniofficial123 29 күн бұрын
Amen
@jameskapesa9699
@jameskapesa9699 2 жыл бұрын
Utakufa unajiona nashinda naskiliza hii nyimbo kweli mama Mama yangu unakufa nakuona ee mungu nisaidie mponye mama angu
@wollefernando1257
@wollefernando1257 5 ай бұрын
Pole sana, Mungu akupe nguvu
@KingfreedomFreedom
@KingfreedomFreedom Ай бұрын
God bless you any time.... Paschal ni ww ndie uliyetuma mpaka na Mimi kipaji changu chawimbaji kifunguliwe... Mimi ninaitwa kwajina la Philip Cassian ndivyo nitwavyo......❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💓💓💓❤
@ramiaomary4277
@ramiaomary4277 5 жыл бұрын
Asante mungu nyimbo imenifanya niyawaze mengi ya wanadamu kaka Pascal endelea kusimama na mungu wako hakika yeye ndie ajuae nani hatakuwa karibu yako # mungu naomba nisamehe nilikuwa naipita hii nyimbo sikujua kama nilioyapitia ipo cku mtumishi wako atayaimba kupitia kipaji ulichompa endelea kumshika kwa mkono wa kuume wako na kumuweka chini ya mbawa zako
@jeniphermgendi7376
@jeniphermgendi7376 5 жыл бұрын
Dah machoz yamenitoka kwa kweli..eeh Mungu mtazame mtumishi wako umponye maana hakuna Jambo gumu kwako..
@daudcharlesmhoja1614
@daudcharlesmhoja1614 5 жыл бұрын
Dunia hadaa, umenena mazito mtumishi Wa Mungu,haya n ya kwl ukiwa na shda wte wanajtenga na ww ila Siku ya msba wanjifanya kama wanahuzun sana
@furahakamuli2545
@furahakamuli2545 5 жыл бұрын
Jenipher Mgendi daaaaaa inauma sana ila yupo nawe kaka utapona
@hamfreymakundi4075
@hamfreymakundi4075 3 жыл бұрын
Bwana Yesu atukuzwe
@jonahronoh5868
@jonahronoh5868 3 жыл бұрын
Mungu ameskia kilio chako ndugu,,,,,, Tupendane na tuzaidiane tungali hai ,,,,,
@wilkisteregesa9013
@wilkisteregesa9013 5 жыл бұрын
Hutakufa bali utaishi uyasimulie matendo ya mwenyezi mungu zaburoi 118:17
@habibumkomwa9291
@habibumkomwa9291 5 жыл бұрын
Amin
@luganojosia9165
@luganojosia9165 5 жыл бұрын
Fact
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Ameni ashukuriwe mungu a aliye juu mbinguni kwa kumponya Asante mungu kwa wema wako
@yotamuimmanuel1104
@yotamuimmanuel1104 3 жыл бұрын
Ubalikiwe
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 3 жыл бұрын
Amina
@abdukalembo788
@abdukalembo788 5 жыл бұрын
Dah!ujumbe mzito sana wakati nausikiliza huu mwimbo machozi yananitoka ewee mwenzi mungu tusamehe makosa yetu tunayokukosea.
@jessiekerry928
@jessiekerry928 4 жыл бұрын
Nimelia sana.thank you God because you said what is impossible before man is POSSIBLE with God.this man serves you from his heart,heal him totally and protect him from any satanic attacks in Jesus Name.Amen
@happinesskwamboka1540
@happinesskwamboka1540 2 жыл бұрын
Amen in Jesus name 🙏
@barakaboy9554
@barakaboy9554 Жыл бұрын
@@happinesskwamboka1540 vipi
@FransiscaMwanganga
@FransiscaMwanganga 7 ай бұрын
Asantee sana mtumishi wa mungu pole sanaa huuu wimboo umenibariki 🙏🙏🙏sanaa
@phineruge3480
@phineruge3480 5 жыл бұрын
Mnasubiri Msiba wangu Muupambe" Oooooh Mungu wangu wa Mbinguni Munyooshee Mkono wako wa Uponyaji apate kupona na kuendelea kulitangaza Neno lako" Amina.
@rachelkhavere1532
@rachelkhavere1532 5 жыл бұрын
I can't stop crying for you kaka, huwezi kufa ila utaishi kutoa ushuhuda, mungu atakuponya paschal
@sulekhamustapha613
@sulekhamustapha613 5 жыл бұрын
Kaka paschal pole saaaana lakini ,jitie nguvu hakuna jambo gumula kumshinda mungu baba kwakupigwa kwake sisi tumepona mshike yesu hutakufa,maadamu ulisema kweliya waovu ulitumika ameni ng,an,g,ania kwa yesu
@annamwakaleja9871
@annamwakaleja9871 3 жыл бұрын
Mungu yeye anajua kesho yako
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 5 жыл бұрын
Pole sana! Mziki huo una ujumbe mzito sana
@nundabe
@nundabe 5 жыл бұрын
Kaka mtumaine Mungu... Yesu ndiye msada wako tu... plzzz usitegemeye watu... Mimi naamini shetani anataka kukuwuwa kwasababu ulitobawa sili yake... ila hajuwi mpango wa Mungu... Hutakufa bali utaishi.... iyo ni imani tuu unapimwa...
@maprojectalltrends1296
@maprojectalltrends1296 5 жыл бұрын
Sawa ila anachokiomba n msaada wa matibabu ila swala la kupona n mapenz mungu yupo sahihi kufanya hv
@kassebo
@kassebo Ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi🎉
@user-py4zw2gp6j
@user-py4zw2gp6j 8 ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza naomb like 3❤❤ kwa mashabiki
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 жыл бұрын
Nimeshindwa kustahimili huu wimbo natukio halisi lilivyo pole sana mtumishi wamungu Ee mungu ukowpi baba mponye mtumishi wako nasimama kinyume nahila za shetani nakata kufa mtumishi wako kabla yawakati wake nahatakufa bali Ataishi ameeeni
@shakilamwanyemba6606
@shakilamwanyemba6606 5 жыл бұрын
Nimegundua gunawasaport wanaoimba nyimbo za injili lkn wao wanaroho mbaya mara elfu yetu, mungu nisamehe kama nimehukum lkn sijaona sapoti yao hata kwa kuhamasisha tu watu wamchangie mwenzao Daaa mungu tusamehe
@beatricevahaye442
@beatricevahaye442 5 жыл бұрын
Jamani nimeshindwa kuvumilia machozi yangu yanadondoka Kaka Mungu yupo atakusaidia
@carolynekanaiza
@carolynekanaiza 5 жыл бұрын
Oh pole my brother.mungu ndie tabibu wetu.mungu akakuponye in Jesus Christ. Hutakufa ndugu Bali utapona.na huondio ushuhudà kaka.God is there for you.
@revinamathias679
@revinamathias679 5 жыл бұрын
Pole sana Kaka hautakufa bali utaishi uyasimlie matendo makuu ya Mungu
@charsmagoile3988
@charsmagoile3988 2 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa mapito magumu kabla hujafa hujaumbika Daaaah!! Mungu akusimamie
@NyarikiDamah
@NyarikiDamah 5 ай бұрын
Umetoka mbali kweli mtumishi wa Mungu endelea kumuubiria mungu ninapozikiza nyimbo zako machozi yanitoka najipea moyo😢😢🙏🙏🙏
@adelaideatonga5849
@adelaideatonga5849 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu umetoka mbali lkini mungu alikua na sababu l love ur songs
@frankmwashambwa1711
@frankmwashambwa1711 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu kwa haya unayopita hata sasa umeshinda
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 3 жыл бұрын
Pole sana . Mwenyezi Mungu yuko na ww mtumishi wa Mungu
@Pendopasilika
@Pendopasilika 4 ай бұрын
Hii!!! Paschal hivi ukiangalia huu wimbo unajisikiaje dah unaumiza sana
@summeyabae8670
@summeyabae8670 5 жыл бұрын
Pascal God is taking you to another level keep pressing on god want to prove Himself through this situation that he is God he did to job and many many more
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 жыл бұрын
Dah inaumizaaa jaman mtu akifa ndo anathaminiwa mungu akusaidie kwa kwel
@faudhiakyuta1074
@faudhiakyuta1074 5 жыл бұрын
Unauma sana mtu ambae arikuwaakifanya kazi zake mwenyewe leo Ali tete unauma sa
@zbtn517
@zbtn517 5 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu mimi binafsi naahidi kuchanga maadam namba za simu nimezipata
@vailethchamlulu8063
@vailethchamlulu8063 2 жыл бұрын
Aisee Leo nimelia sana nilikuwa bado sijasikiliza ushuhuda wako daa Mungu akutunze
@AlfridahK
@AlfridahK 5 жыл бұрын
Nasikiza nikipanguza machozi,ningekuwa na uwezo ningejitolea kukusaidia hila najua tu maombi yangu inatosha.get well in Jesus name pascal
@julianamganwa3626
@julianamganwa3626 5 жыл бұрын
Eeeee Mungu baba uliyeumba Mbingu na nchi tunakumba umponye Pascal kwa jina la mwanao Yesu Kristo tunaomba tukiamini Amen.
@hurumatabonwa3166
@hurumatabonwa3166 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu kwa majeraha uliyopata , hakika adui shetani anakutafuta kukuuwa , kwa sababu unasema kweli , Mungu wa mbinguni atakuponya kwa jina la Yesu kristo na mapambano yataendelea hadi yesu atakaporudi kutuchukua wateule wake.
@gracembwile5501
@gracembwile5501 5 жыл бұрын
Munguuu yuko pamojaaa nawewee walaa hutakufaa .Maana ugonjwaaa haubebi maishaa yako balii uzimaa uko kwenye Roho yakao by jeco mbwile
@teopaulo5400
@teopaulo5400 2 жыл бұрын
Pole Sana kaka yangu mungu akutangulie
@briannesta2740
@briannesta2740 5 жыл бұрын
Pokea uponyaji kwa jina la Yesu, kila roho ya kujiinua naikemea kwa jina la Yesu mwana wa Mungu aliyehai.
@kitovakihwele6769
@kitovakihwele6769 5 жыл бұрын
Huwezi kufa mtumishi wa mungu mungu bado anakupenda mtegemee sana mungu mateso unayo pata ipo sikuyatakwisha na zuluma za wanadam zitaisha t bali mungu ndoatae kuponya sina chakukusaidia maombi yangu kwa mungu naomba yakutetee ulud ktk hali yako eemungu yaskie maombi yangu na kilio cha paschal
@dominicthomas5726
@dominicthomas5726 4 жыл бұрын
Ndg mtumish wa mungu namin mungu atakuponya pole xn ,
@tediusmwafongo4862
@tediusmwafongo4862 5 жыл бұрын
Pole sana ndugu Kasian Pascal, naamini Mungu mwenye nguvu bado anakutetea mpaka sasa na ndiyo maana upo hai. Mungu azidi kukuongoza katika njia zake mpaka uufikie ukweli wake na uzima wa milele katika Kristo Yesu. Soma zaidi neno lake utapata faraja.
@Neema2004
@Neema2004 5 жыл бұрын
Kaka yangu hautakufa Mungu yuko nawee uyo chetani hakuwezi 🙏🙏🙏
@evodiucmchunguzi7974
@evodiucmchunguzi7974 5 жыл бұрын
ewe mungu weka mkono wako kwake umponye anapitia mateso inauma sana wasanii wenzake mko wap jaman wachungaji mbona mna uwez wa kutoa iyo pesa Boniface mwamposa baba wa upako Anton lusekelo mama lwakatale gwajima na wengine wengi watanzania tumsaidie mwenzetu na mungu ata lipa kwa kila mmoja 😭😭😭
@tedynicas2989
@tedynicas2989 5 жыл бұрын
Oh my God I can't stop crying,, may the almighty God help you
@user-rs6wo5wt3r
@user-rs6wo5wt3r Жыл бұрын
Nakupenda mnooo baba TUTAFIKA TU TUTAFIKA PALE MUNGU ANATAKA TUWE TUSONGE MBELE TU TUTAFIKA💪🤝
@slovemrlavalavaofficialtz7976
@slovemrlavalavaofficialtz7976 5 жыл бұрын
Daah ama kweli hujafa hujaumbika pole saaaaana paskal kassian
@user-mk7wn2oo2s
@user-mk7wn2oo2s Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu milele maana alikuponya kwa uweza wake.
@angelsimon6493
@angelsimon6493 Жыл бұрын
Imenikumbusha mbali hii nyimbo nimejikita nalia sana nikikumbuka bibi angu mzaa mama alienilea tokea mdg alipatwa na shida km hii aliteseka kwa miaka 11 bila kupata majibu na mpk kumpelekea kifo lkn hakuwahi kukata tamaa pamoja na mateso yke yote aliyoptia hakuwah kumkufuru mungu alizifi kulitukuza jina la bwana mungu wake alisimama mpk pumzi yke ya mwisho
@saidajoashi2131
@saidajoashi2131 2 жыл бұрын
Mungu anakusud nawewe,🙏 anatufundisha meng kupiti wewe
@innocentOficially
@innocentOficially 5 жыл бұрын
pole sana ndg pascal hakika mungu atasimama nawe daima Marko 11:25-15 kwa sababu hiyo nawaambia,Yeyote myaombayo mkisali,amini ya kwamba mnayapokea,nayo yatakuwa yenu. Nanyi , kila msimamapo na kusali , sameheni mkiwa na neno juu ya mtu......"(mstl 25) Amini Mungu hawez kukutupa mkono kama ambavyo anasema katika biblia Yoh.6:37 ".........Yeyote ajaye kwangu sitamtupa Nje kwamwe" Mungu hakutupi bali atakuponya katika maradhi yako. amen
@dorcascikuru7140
@dorcascikuru7140 Жыл бұрын
Mes larmes coule 😢😢😢😢.mungu atu saidie Kabisa na ku tu wezecha.
@imanimayanja618
@imanimayanja618 5 жыл бұрын
Hutakufa kaka jipe moyo mungu Yupo pamoja na wew kila hatua
@DavidodhiamboOkoth
@DavidodhiamboOkoth 4 ай бұрын
Unatubariki bro mungu akubariki
@sylvanusinjomango2169
@sylvanusinjomango2169 5 жыл бұрын
Mungu ndio muweza wa yote usikate tamaa nduguyangu utaludi utacheka utafulaia utakaa sawa tu amen
@agnesmkude3039
@agnesmkude3039 5 жыл бұрын
Utakufa mtumishi bari utaishi. Inauma Mungu sikua kilio Cha mtumishi wako. Ili haendelee kufanya kazi yako
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 5 жыл бұрын
Nyimbo inahuzunisha jmn .mungu atakusaidia utapona inshaallh
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 5 жыл бұрын
Pole sana.kaka.najuwa unapata maumivu makali sana pole mungu Atazidi kukusimamia 🙏🙏🤲🤲😭😭
@wasafisongsnow1818
@wasafisongsnow1818 5 жыл бұрын
Mungu hajawahi kishindwa muamin yey naamin kabisa utp0n
@willysiame2117
@willysiame2117 5 жыл бұрын
mwenyezi mungu Mponye cassian
@rebeccagastory7590
@rebeccagastory7590 5 жыл бұрын
Polee sana mtumishi wa Mungu utapona hizo nichangamoto tu, na pia usimpe nafasi shetani hata kidodo muombe sana Mungu atakusaidia kwakila atua unayo pitia
@lightdempoz5150
@lightdempoz5150 5 жыл бұрын
Poleee sana kaka Mungu akutangulie,kuna sehemu ulikosea ndo maana umepata pigo kiasi hicho kumbuka MAGU upikuwa dini gani,na sas uko wap kuwa makini,na usiangamie kwa kukosa maharifa,MUNGU hayoko radhi na wapumbavu,acha upbavu mjue Mungu,na kuwa makini sanaaa
@edwinndomba3946
@edwinndomba3946 5 жыл бұрын
Pole sana, Mungu yu pamoja nawe mtumishi mungu anamakusudi yake.
@neemafungo753
@neemafungo753 5 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu,Mungu akuponye daima
@keziamakasi1323
@keziamakasi1323 5 жыл бұрын
Hautakufa,utapona,Mungu anakuona anakupenda wewe in was thaman sana kwake,ujumbe wako in mzito umenitoa machozi M ungu uko wapi shuka na malaika zako umponye,mtetee mtumishi wako katika JINA LA YESU Ameni
@lovelynnadia7238
@lovelynnadia7238 5 жыл бұрын
OOOh my Godness pole sana kakaaetu. Mungu anamakusudi na wewe wala usijali utapona in jesus name. Amen.
@elibarikijapheth5409
@elibarikijapheth5409 5 жыл бұрын
Jina la bwana libarikiwe sana kwa mungu hakuna lisilowezekana Amani ya bwana iwe nawe mungu akuponye kaka hakika huruma inaniijia sana broo
@barakachalres9316
@barakachalres9316 5 жыл бұрын
Eeeeeeeeeeeeeeee!MUNGU BABA TUNAKUOMBA UMPONYE NDUGU YETU😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 5 жыл бұрын
Pole kaka utapoa MUNGU nimkubwa nahakuna kisichowezaka kwa MUNGU
@veronicamakala2340
@veronicamakala2340 5 жыл бұрын
@@hadijaangura6572 Mungu ni muweza hutakufa kaka bali utaishi
@kingmama9371
@kingmama9371 5 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu utapona kwa jina la Yesu Kristo Mungu akutie nguvu usimtazame mwanadam ww mtazame Mungu
@masekete
@masekete 5 жыл бұрын
Hutakufa baba... You're highly favoured by God..... Listening from 254. I promise to do something. Nitajaribu kukutumia kitu tu. Sujui Kama hio number inafanya pia kwa wakenya?
@enezamafiekanuya509
@enezamafiekanuya509 5 жыл бұрын
Mtumaini Mungu naye atakuponya ,amini kuwa huo ni mtihani tu paschal hakika utashinda kama alivyoshinda mtumishi Ayub u,watanzania tunakuombea sana ,usiache imani bali mtazame Kristo YESU.
@josephinemwambe3385
@josephinemwambe3385 5 жыл бұрын
Kakangu nyimbo zako zinaupako.. Na mungu ana sababu uyapitie haya... Jipe moyo mungu yuko nawe na hautakufa bali utaishi usimulie aliyokutendea Bwana yesu
@leahjohnson5813
@leahjohnson5813 5 жыл бұрын
Mungu aliyempitisha Ayubu na kumshindia atakushindia na wewe, endelea kuweka tumaini lako kwa Mungu.
@cosmacsulley3348
@cosmacsulley3348 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa afya njema mtumishi wa Mungu hayo yameshapita Mungu ni mwema sana japo ilikuwa ngumu kwa akili za kawaida lakini Mungu katenda Ubarikiwe kwa viwango vya juu sana
@chazzkessy2371
@chazzkessy2371 5 жыл бұрын
Utakufa Bali utaishi mchungaji wangu mungu yu pamoja na wewe daah pole sana
@MlongechaBaraka-ow7kw
@MlongechaBaraka-ow7kw Жыл бұрын
Amina ❤❤❤ mtumishi wa Mungu Na Mungu akutie Nguvu Na Mungu akulinde Na Mungu akuongoze katika mambo yote, 1Yoh,5:19-21, Yoh,6:63, 14:27, ahsante sn amen.
@tommykailanga730
@tommykailanga730 5 жыл бұрын
Daaah! ina nipa macho.......thanks Paschal cassian God bless you!.
@agnessmkoma1761
@agnessmkoma1761 5 жыл бұрын
nimeshindwa kutizama, inaumiza, nimetizama hali unayopitia, nimevuta taswira ya mtu wa hali ya chini kwenye matatizo makubwa........nimejiuliza ingekuaje kama ingelikua ni mimi?.....ni maombi yangu kusudi la MUNGU lisimame kwako kaka. UPONE kwa jina la YESU lipitalo majina yote AMEN.
@LawrenceYobuNdosi
@LawrenceYobuNdosi 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema mtumishi, amekutoa mbali kaka, nakumbuka tangu toka hapa Dodoma hospitali.....Hautakufa kwa Jina la Yesu Kristo
@zbtn517
@zbtn517 5 жыл бұрын
Pole sana mtumishi Pascal Cassian ninazikibali sana kazi zako na hakika nimeamini unapoanzisha vita na shetani(freemasons) jua umeingia kwenye bita kubwa sana. Ningekuwa nina uwezo ningetoa hiyo fedha yote ya matibabu yako lakini ndio hivyo tena uwezo wangu ni mdogo. Lakini naahidi kukuchangia mtumishi kama si leo basi siku za hivi katibuni.
@rolandjacob2086
@rolandjacob2086 5 жыл бұрын
Huwezi kufa Pascal Mungu anakusudi kubwa nawe anatakuona imani yako
@paschalmachibula2325
@paschalmachibula2325 3 жыл бұрын
Paschal nakubali kazi zako
@jojinamatiku4108
@jojinamatiku4108 5 жыл бұрын
Mungu akuponye shetani ameshindwa kwajina la yesu
@simonndimbwa840
@simonndimbwa840 5 жыл бұрын
Jipe moyo paschal Mungu anayaona mateso yako inua tumaini lako Kwa Yehova
@raisamomanyi8179
@raisamomanyi8179 5 жыл бұрын
Duh mungu wangu mponye mtumishi wako, Aki nimelia kwa kweli tunazidi kukuombea mtumishi since tulisikia umepata ajali kwa kweli tuko pamoja katika kila Jambo
@elizabethhassan9104
@elizabethhassan9104 5 жыл бұрын
Duh Machozi yamenitoka kwa kweli pole sana kaka Paschal Cassian Mungu yupo na atasikia mahombi yako tu usiwe na hofu Amen.
@stephanogordiank.6138
@stephanogordiank.6138 5 жыл бұрын
Poleeee sana PASCAL, MUNGU atakuponya.
@rotisonmwakasungula696
@rotisonmwakasungula696 5 жыл бұрын
Pole mtumish yote ni maisha amin utapona
@Martha-wg4sg
@Martha-wg4sg 2 ай бұрын
Hii nyimbo naipenda sanaaa
@RechoJacson
@RechoJacson 2 күн бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha nilikua nimeenda kikaz huko alafu nikapta nikaugua Yani hata kusimama siwez kukaa siwez nipo kitandan ndug zangu huko Tanzania hawajui chochote km naumwa mdg wangu ndo alikuja sku Hy akanikuta nimechoka naelekea kukata roho ndipo nilipo pata msaada😭😭😭😭😭mda wote nilikua nasikiliza hii nyimbo nilikua nikijifaliji tu ndan nikiamin ipo sku nitanyejuka tena ndo nilipopata msaada 😭😭😭😭😭 Daah siwez kumalizia ndipo huyu pascal alikuja Kenya maeneo ya mabera nikaenda 😢😢😢😢😢 Daah 😭😭😭😭😭😭😭...................😢😢😢😢😢
@letisiabaritazari7606
@letisiabaritazari7606 25 күн бұрын
Pole kaka mungu akulide
@emmamartin9543
@emmamartin9543 5 жыл бұрын
Pole sana kaka tunaamini ya kwamba hamn linaloshindikana kwa mungu tuzidi kumwomb daima wew nimtumishi wake naanakilasababu yakukuumba katika ulimwengu huu be blessed
@elizabethlulandala5149
@elizabethlulandala5149 5 жыл бұрын
Pole kaka Mungu akutetee.nakuombea Mungu akuvushe kwa hili pito
@elizabethkhayasi8422
@elizabethkhayasi8422 Жыл бұрын
Pastor ulifikiria nini Hadi ukautoa wimbo😥 Mwenyezi Mungu atusaidie.
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
pole sana kaka mungu akuponye kwa Damu yake Yesu kristo ikunenee mema katika mwili wako upone haraka mtumishi wa mungu
@mariamunightiness4776
@mariamunightiness4776 5 жыл бұрын
daah seriously nimelia pole sana kaka mungu hawez kukuacha ufe hakika utaish
@riziakinyika3082
@riziakinyika3082 3 жыл бұрын
Mungu akuteteee hakika mchozi umenitoka Ni mwingi wa rehema atende na kwako
@salomereuben6284
@salomereuben6284 5 жыл бұрын
Paschal Cassian usivunjike moyo kaka. Mshukuru Mungu kwa kila jambo, usijilaumu wala kulaumu wengine utapona tu hiyo ni moja ya changamoto katika maisha 1Wathesalonike 5:18 shukuru kwa kila jambo Mungu bado anakupenda mpka hapo ulipo ni neema tu imekuokoa, kuna watu wana dhiki zaidi lakini hawajakata tamaa
@mrkiatu2755
@mrkiatu2755 5 жыл бұрын
Polr sana ndugu yangu tuna shukulu Mungu katka dunia mungu ali umba watu waaina tofautu tofautu kiongozi wetu mkuu wa mkoa baba kign amesha jibu ombi lako kesho mungu ajalia mabitabu yako yanaaanza na ametoa sana sana lai usilie tena 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@drsakilove9937
@drsakilove9937 5 жыл бұрын
PORESANA NAKUMBUKA NILIKUONA LIVE KGM NIKAKWAMBIA HONGERA
@musachicharito1182
@musachicharito1182 5 жыл бұрын
Mnagombea makanisa na sifa mtauana shauli zenu.
@laziapascal7621
@laziapascal7621 5 жыл бұрын
Kwa mungu hakuna linalo shindikana mwite yeye atakuweka haii na utaishi tena
@kunambidingoka4796
@kunambidingoka4796 5 жыл бұрын
Mungu atakuponya nguvu za shetani zivunjike kwa uwezo wake mungu.
@mtvmusic8507
@mtvmusic8507 5 жыл бұрын
Yesu yesu! Bwana wa wote wewe wajua ,ndiwe uwezaye kuwaokoa watakatifu na majalibu smama mwenyewe Bwana.
@nabilaomary6978
@nabilaomary6978 5 жыл бұрын
Pole kaka kweli imenitowa machozi mungu akupiganie ila nakusihi mwone mtumishi wa mungu mwamposa tumaini lako linarudi haraka sana anauwezo wa kimungu mkubwa mno
@haningtonemfaume2547
@haningtonemfaume2547 5 жыл бұрын
Mungu akuponye ili uendelee kumtumikia vyema amina utapona kwa jina la yesu.
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 5 жыл бұрын
Mungu msaidie pascal nyimbo inaumiza sana kweli ujafa ujaumbika hakuna anaeijua kesho yake
@nuraanyhans
@nuraanyhans Жыл бұрын
Hii nyimbo imenifanya nikumbuke mbali sana Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi wa Mungu barikiwa sana
@deboramoris6482
@deboramoris6482 5 жыл бұрын
Mungu wangu nimeliaaa Pole sana mtumishi Mungu yupo pamoja nawe!!!
@upendomkufya2354
@upendomkufya2354 5 жыл бұрын
Mungu azidi kuonekania ktk wakati huu, najua nikuonavyo wewe nakuona kama Ayubu naamini ipo siku utasimama tena kwa ajili ya utukufu wa Mungu ,hakika hachelewi wala hawahi hata wakati AYUBU alipopitia magumu alisema nailaaniwe siku niliyozaliwa ,nakuombea mtumishi tena nguvu ya Mungu izidi kutenda kazi ndani yako .
@lubenamwalukasa8823
@lubenamwalukasa8823 5 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu msaidie mjawako kwani anateseka sana chochote nitakacho pata nitakutumia inauma sana tena sanaa wenye pesa awajuw shida 😥😥😥😥😥😥
PASCHAL CASSIAN TURUDI VIDEO AFRCAN
5:21
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2 МЛН
MAJARIBU PASCHAL CASSIAN VIDEO OFFICIALY
4:43
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 517 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 36 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Pascal Cassian Chuki Ya Nini Official Video
9:46
Africha Entertainment
Рет қаралды 578 М.
Pascal Cassian - Yatapita (Official Video)
10:00
Africha Entertainment
Рет қаралды 294 М.
54 SONGS NON-STOP-SIFAELI MWABUKA PLAY NOW.SKIZA DIAL *811*29#
4:21:57
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
WAMBIENI WATU' PASCHAL CASSIAN VIDEO. OFFICIAL
7:50
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,1 МЛН
Upendo  Nkone -  NIKAE MIGUUNI PAKO   (Oficial Video)
8:37
UPENDO NKONE
Рет қаралды 611 М.
DUNIA KWA HERI MWINJILIST PASCHAL CASSIAN
13:11
PASCHAL CASSIAN CASSIAN
Рет қаралды 247 М.
TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811
6:25
Neema Cizungu
Рет қаралды 276 М.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,5 МЛН
CASSIAN AMKEMEA MATHA NAKAJALA KUWA KUWA UCHI EV PASCHAL CASSIAN
1:03:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
PASCHAL CASSIAN NIKULIPE NINI OFFICIAL VIDEO (NIKULIPE NINI ALBUM)
4:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,1 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН