mchungaji kwakwel sijutii kuchelewa kuyasikiliza mahubiri yako lakini naamini umekuja wakati muafaka katika maisha yangu na katika kunibariki na kuiponya nafsi yangu. Mungu aendelee kukupa nafasi na uzima uendelee kutupa sega la asali kutoka mbinguni.
@VeronicaKagemulo11 ай бұрын
Ameen🙏🙏
@emidalumwesa57652 жыл бұрын
Sitoacha kukusikiliza kwa kweli...I gain something here
@NsimireMurumbi4 күн бұрын
Punguza kingereza baba, sie wengine ni Faranca baba, Mungu akubariki
@MHAVILELUBIDAАй бұрын
Amina Nuru yangu ya kesho itazimwa na Giza lajana 🙏🙏
@marybaranga72184 жыл бұрын
Amen mchungaji wacheni kushusha watu wacha tutiane moyo wonderful sermon
@silviananjala79412 жыл бұрын
Umenifunza mengi paster Tony mungu amekupa kipawa continue touching peoples heart Amen
@OnesimoJapheti3 ай бұрын
Amin mchungaji naamin Mungu atafungua njia pasipo na njia atanitendea mem cku moja kupitia maish niliyoyapitia kuanzia mwaka Jan mpaka mwaka huo najua history imeandikw md ukifik mungu atatoa majib
@allenstian37194 жыл бұрын
huduma yko haiendi bure,tunapona sana kupitia huduma hii,Mungu anae kutumia azidi kuwekeza ndan yako ,Amina
@EzraLucas-t7rАй бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu.
@sifagubandja15894 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kweli mahubiri yako ndiyo maisha yangu.,na kwa kweli umenipongeza ,kunitiya moyo
@emanuelshine11 ай бұрын
Nimeguswa sana. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi kwa Jina la Yesu. Amen.
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙏NITAOLEWA KWA HESHIMA KWA JINA LA YESU🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪
@horestsawaya8384 Жыл бұрын
Na mume niko hapa karibu
@bonifacemmassy55234 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakula chakula kisicho ghoshiwa na kitamu sana
@ANITHAFELIX-d3t25 күн бұрын
najisamehe mimi mwenyewe in jesus name
@hellenngotto80052 ай бұрын
Nimeelewa sana Mungu akubariki sana
@paulinemuhonja91054 жыл бұрын
AMEN AMEN 👏👏,,,, Mungu atabaki kuwa Mungu 🙏🙏🙏
@MwalimuDanielsangaАй бұрын
Amina baba nimekuelew
@veronicapetro3259 Жыл бұрын
Nafurahi SANA ninapo sikiliza mafundisho yako pasta Huwa najifunza SANA MUNGU AKUBARIKI
@priscardanier82642 жыл бұрын
Amina we mtumishi MUNGU azidi kukulinda nimetoka kwenye nyakati ngumu kwa ajir ya mahubir yako
@OndaraSambicha10 ай бұрын
Ni kweli kabisa katika maisha ya Sasa.Mtumishi barikiwa sana.Tunahitaji mengi.
@rebbecamgana60594 жыл бұрын
Unanitia moyo sana pastor namshukuru Mungunkwa ajili yako.kweli kina vyombo vya Mungu nikishasema hakuna tena mtumishi nitakae mwamini.niliona kama wote ni wabaya na Mungu anisamehe sana kwao kuhukumu anisamehe kabisa niliona kama wote wanafanana.
@twinerjay53234 жыл бұрын
Barikiwa sana MTU wa mungu i am really bless with your teaching from Mombasa kenya
@eveanangisye19994 жыл бұрын
Amen, Mungu mpe zaidi Mtumishi wako mafunuo ili neno lako lizidi kujidhihirisha kwetu.
@ruthryoba36952 жыл бұрын
Mungu akubariki mwanangu kwa neno . Mafuta ya Bwana yazidi kuwa juu yako.
@ellykibale1904 жыл бұрын
Nimebarikiwa mtumishu, ubarikiwe pia kwa neno lakututia moyo.
@RonaldoMgollah3 ай бұрын
Amen! Pastor ubarikiwe sana kwa jina la yesu
@Kajoba11 ай бұрын
Mchungaji kwakweli nimebarikiwa na maubiri Aya and I know that am not late bicoz God's time is the best❤
@rebbecamgana60594 жыл бұрын
Haleluya!! Pastor nampenda Mungu wako kweli nabarikiwa mno na mafundisho yako natamani kufika madhabahuni pako siku moja nitafika tu naamini nfuatilia sana mafundisho yako na nasikia amani mno kina mahali navuka kiroho kabisa Mungu anakutumia kweli.Mungu akubariki ubarikike.
@rahabnkya82764 жыл бұрын
YOU ARE A WONDERFUL MAN OF GOD WHO CAN SHOW THE WAY FOR BROKEN HEARTS. BLESSES!
@pastortonykapola4 жыл бұрын
@@pastortoneykapola2764 you are a scam and we have known you and we are working on you... Watch what we will do.
@christinainnocent32402 жыл бұрын
Amen mtumishi kweli anaekutupa leo kuna Mungu aliekupangia kukutoa jalalani alikotupa yule wa jana na Masaki kukaa na kula kuvaa kuishi na majirani mabalozi mawaziri nk
@arynebeybe201211 ай бұрын
shetan kaa nyuma yangu Asante Mungu wangu
@haluwahavla97402 жыл бұрын
Aky pastor una hubiri vzur mungu akubarki xan, hakika na barikiwa
@jacinta_wangari2 жыл бұрын
Timely message. Kweli Mungu amenena nami leo
@floraritha14544 жыл бұрын
Ameeen! That is true pastor, Yesu nisaidie kutokukumbuka giza la jana.
@pastortonykapola4 жыл бұрын
@@pastortoneykapola2764 you are a thief
@ndenitoriakimaro60904 жыл бұрын
MUNGU akiongezee maono Zaidi pastor. Hakika nabarikiwa Sana nikiwa Oman napenda Sana masomo yako ni kweli na Amen
@happymtundu80234 жыл бұрын
Amina, nasonga mbele ya Jana hayanisumbui tena, asante Yesu
@stellanicho Жыл бұрын
Amen. Makosa yangu ya Jana sikubali yanirudishe nyuma. I focus to the light
@VenansMunish5 ай бұрын
Ameniii mtumishi barikiwa sanaa
@dolphinekhavere25044 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nkiwa kenya
@nasrinasri17824 жыл бұрын
Aminaaaaaa...!aliyoko ndani yangu siyo aliyoko nje yangu asante mtumish wa MUNGU🔥🔥🔥
@happyngulo47224 жыл бұрын
Ameeeeeen 🙏 jamani MUNGU akubaliki mtumishi wa MUMGU moyo wangu ulizimia Ila Sasa umeamka tena
@johngervas-yw1es7 ай бұрын
Ameni 🙏🙏🙏 Mtumishi wa Mungu
@jonasmpita22064 жыл бұрын
Nzuri sana Pastor, hakika somo linabariki sana
@leeleehy3923 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@estherkazungu07985 ай бұрын
Amen, thank you Pastor, may God bless you more🙏
@stellamollen23504 жыл бұрын
Very powerful sermon, just what I needed to hear, God bless you sir 🙏🏾
@rehemajohnson85444 жыл бұрын
W
@ellykibale1904 жыл бұрын
@@rehemajohnson8544 Nahisi aliyekujibu siyo pastor,ukiangalia jina la Kati utakuta ni tofauti, toney Vs Tony.
@deborahpaul3532 жыл бұрын
Nakushukuru sana mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa sana na nitafucus na yaliyo mbele .AMEN
@AgnessAgness-c3j11 ай бұрын
Amenii mungu azidi kukubariki baba
@matldajohn96194 жыл бұрын
Amen somo zuri Mungu akuzidishie ulipotoa
@KisaKamwela Жыл бұрын
Amina mtu wa mungu
@samivanjr48722 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@sarahluvai65804 жыл бұрын
Hallelujah!!asante Yesu mwokozi..ninayo kesho yenye amani
@judynekesa86822 жыл бұрын
Amen mungu akumbe maisha marefu uendelee kuokoa iki kizazi
@deborahrkaguo65403 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor, Mungu azidi kukutumia akupandishe viwango ukahubiri kimataifa na dunia kwa ujumla
@issacklolo42923 жыл бұрын
The way tunavyoishi huku tulipo Mungu asipoingilia Kati maisha yetu hatuna njia ya kutoka nlichokipata kwenye masomo yako ni kwamba hatuhitaji maombi Ila mda tu kidg wa kuyatafakari maish yetu kwa ujumla wake sema neno juu ya maisha ya vijana Kama mm nimesimama hata cna maamuzi Wala cjui pa kuelekea
@sarahisaack9674 Жыл бұрын
Aliyeko ndani Yangu ni Mkuu kuliko wao Ameeen
@AnetPetro7 ай бұрын
Mungu azid kukutumia mtumishi
@louisamazutantamukunzi73634 жыл бұрын
Mungu akbarikisana saaaaana
@IrhynnieSugar-iq8pl7 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@nancykenya40074 жыл бұрын
Amen Sana ninafuraha kila wakati waja mungu akubariki tu sana
@pendezawillson3499 Жыл бұрын
Mungu akubarik uish miak ming...
@adamumbise4584 Жыл бұрын
Ameni mtumishi
@sarahisaack9674 Жыл бұрын
Ameen pastor
@janenyambura73393 жыл бұрын
My dream is to sit at your church and listen to you...God bless you.... your a blessing
@gentrixnafula85822 жыл бұрын
Huu ujumbe imenijia kwa wakati inao FAA,,mungu azidi kukutumia
@byaombembella55853 ай бұрын
Amen mwalimu 🇰🇪🙏🙏
@deborahbarasa95583 жыл бұрын
God bless you man of God
@emmaevarest34674 жыл бұрын
That Preacher and mentor i was looking for all that time
@fellowshipwithkitchenpries3814 Жыл бұрын
We baba we unasema na moyo wangu kila siku😭
@mcpaulmkopa47982 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor ... somo zuri mno
@jaredmuthamamutua4 жыл бұрын
Giza yangu ya Jana sitakumbali izime taa yangu inayo nimulikia Leo na kesho asante Sana mchugaji
@martinaolunga74594 жыл бұрын
Ameen
@tumainisemu94272 жыл бұрын
kabisaaa baba mchungaji umenigusa katika hili
@happyshango87963 жыл бұрын
Mungu hutamka mwisho mwanzon...watu hufika salama kwa kuiangalia nuru nasio giza
@nancymacharia7897 Жыл бұрын
These sermon was meant for me regardless of how late i am to hear it , I've been focusing on my mistakes for years and it has derailed my progress but not anymore. The mistakes i did won't dim my progress today abd days to come . I have forgiven myself 🙏. Amen
@georsurempunga7101 Жыл бұрын
Amine mchungaji munch atusaidiye
@lilianurassa35434 жыл бұрын
Amen, thank you so much pastor. Hii imenisaidia
@winnikwanja94513 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na jumbe zako, Mchungaji Mungu azidi kukuinua tu ni ombi langu,
@rachealmwale38974 жыл бұрын
Amen Amen mtumishi wa mungu. Nazidi kubarikiwa.
@agnesnzali5724 Жыл бұрын
An ay mahubir Leo kesho Bado nayakubali,,,,yamenifungua kifungo flan iv aise achen Mungu aitwe Mungu
@eliyarobatimolleli50834 жыл бұрын
Amina mtumishi
@wemapanga15472 жыл бұрын
Nakuelewa pastor duh
@annastaziamzobora19842 жыл бұрын
True true nakuelewaaaa mnoooo
@nissiteddy48774 жыл бұрын
Watching from Kenya,Turkana county
@joswamjosiabagenda49794 жыл бұрын
Hakika hilo ni fundisho lililojaa mafuta na uhalisia blessed pastor.
@paulbwanana78864 жыл бұрын
Mungu akuzidishe pastor Tony
@juliethmungure27994 жыл бұрын
Amen pastor huwa unanibariki Sana keep it up my Dady.
@williammahigi8892 жыл бұрын
Wanibariki sana katika ujumbe wako
@sabinamakio55204 жыл бұрын
Amen man of God u always blessed me
@Margy5273 жыл бұрын
@@pastortoneykapola2764 fake account only 2 subscribers. Be ware of scammers
@carinej4388 Жыл бұрын
You are always a blessing to me watching you from lebanon
@neemamremi35352 жыл бұрын
Barikiwa hakika tumetoka kwenye giza
@edithdaniel2082 жыл бұрын
Mungu we wajua kesho yangu🙏
@atanasmkondya59524 жыл бұрын
Asante kwa meji
@mirriumkiamba34554 жыл бұрын
So powerful sarmon ,amen.amen🙏
@biblianenolaukweli56164 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@davidekasere2133 Жыл бұрын
Naomba maandiko haya...yapendeza sana na yatia moyo
@ChristinaBajuta-gp5fx Жыл бұрын
God bless you 👏👏👏👏
@pastorelisabethtv91212 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor nakufata san
@AnthonyMutharimi Жыл бұрын
Inamaha tukiwafungua na sisi twafunguliwa
@floraritha14544 жыл бұрын
Kwanzia leo najisamee na naitazama kesho yangu iliyo na nuru.
@tausihasheem5169 Жыл бұрын
Am blessed ❤❤❤❤
@happyshango87963 жыл бұрын
Kila mmoja ananeema ya kuombewa na yesu ..then ukisha kuimarika uimarishe na wengine