I think huyu Pastor, ni moja kati ya watumishi bora hapa Tanzania. Mungu akubariki sana mtumishi.🙏
@emmanuelmogela58719 ай бұрын
Ila kiongozi ila kwa sisi ambao atujapata neema naaka kalugha tunateseka alafu chakula kitamu kweli weka kabint kakutafsiri utumie kiswahili ndugu, Mungu tusaidie ombi letu lifike
@KELVINKUBINGWA9 ай бұрын
Congratulations kwako mtumishi Umenibadilisha sehem kubwa sana ya maisha yangu
@erickgulayi208910 ай бұрын
Natamani mtumishi ungelikuwa unatumia maneno ya kiingereza kwa nchi zinazo zungumza lugha hiyo, watu tunashindwa kukuelewa mzee. Tafadhali atukupangii lugha ya kutumia ila ni vyema unaongea na watu wa taifa gani. Asante!
@jovenatusstephen595810 ай бұрын
Ukiona huelewi Maana yake hakuitwa kwa ajili yako
@jamesmwafongo129510 ай бұрын
Lakin ametoa ushaur mzuri wew umejibu kwa kejeli hekima ni bora sanaaa
@OrbitTumbe10 ай бұрын
Kweli babisa aongee luga ya kwetu
@carolinederi56909 ай бұрын
You mean kue na translator au?
@robertmaximilian32649 ай бұрын
Kweli kaka bora angeweka mkaliman siyo wote wanaomfatilia manajua iyo lugha
@eliasiravuga75399 ай бұрын
A tired mind can't make a good decision,,, 📖💯🇨🇩
@babyjacob312210 ай бұрын
Jamani huyu baba ANAFUNDISHA 🙌🙌Tushindwe tu kubadilika ila PT Baba kwenye mafundisho tu UUNATUFUNDISHA❤❤
@Dominant979 ай бұрын
Exactly
@YusuphLyanga-e8j7 ай бұрын
Someni biblia😂😂😂 nd mtajua ukweli yesu aliotak ufundishwe hawafundishi bali mnapenda life experiences
@otarurosie7 ай бұрын
Sana
@MaboyiSimba9 ай бұрын
Uko sahihi mtumishi kuhusu swala la lugha mbona liko sawa kuchanyanga lugha sio shida !! Mtumishi endelea kutoka madini
@ashercinematic70809 ай бұрын
Masomo yako mazuri sana, na natufundisha mambo ya vizazi kabisa, ila nakuomba utumie kiswahili, tunapata shida maneno mengine kuyaelewa
@mobilebeats308610 ай бұрын
Pastor una watu wengi wanakufuatilia niwa nchi yako pia weka mkalimani unatumia sana lugha ya kingereza na kwa wengine hawaelew japo wengine tunaelewa ila wengine wanatamani kusikia nini unahibiri lakin kwahajili ya lugha ya kingereza wanapata shida
@robertmaximilian32649 ай бұрын
Asante sana umesema nilichotaka kusema 🙏🙏🙏
@lodricklazaro10139 ай бұрын
Kweli kabisa hapo
@vickydan28699 ай бұрын
Naomba uongee kwa sauti😢😢😢😢😢😢 jamani😢😢😢mpaka clipu zake nimekua navuka😢😢😢😢😢😢
@Zuhuranadadoita3 ай бұрын
translate kama huelewi
@MerianaJacob3 ай бұрын
Pastor unanibariki kwel
@AminaSemvua3 ай бұрын
Pastor.i wish pia kungetufundisha na somo la mahusiano ya watu wenye dini tofauti😢
@AshaAmosi6 ай бұрын
Asha amosi mtumishi unafundisha sana rakini punguza kigereza maana watu wengene hawajui kigereza unafundisha vizuri watoto wetu mungu akubariki sana
@evalynependo382410 ай бұрын
Mungu nisaidie kisha unipeleke nguvu za maombi ili nimuombee mwanaume huyu, kama yupo sahihi,kwa jina la yesu ameeeeeeeennnnnn
@ramadhanimtiba83410 ай бұрын
Mambo
@evalynependo382410 ай бұрын
Poa sana vip zaleo @@ramadhanimtiba834
@DignaEliamani9 ай бұрын
Amen
@GladnessSanare8 ай бұрын
Amen mm pia na iwe hivyo kwang🙏
@Zena-eu6tr6 ай бұрын
Pastor,,am grateful at least you made me learn how to forgive,my heart isn't heavy,,
@Mazoezi-x3v9 ай бұрын
Fundishaa kingereza au Kiswahil mtu wa Mungu fanya kama Roho mtakatifu anavyokuongoza na kukutumia Ni hivyo kama kuna mtu hajui lugha anapaswa kujifunza kwa maana huyu mtumishi anaongea kingereza na anatafsiri hapohapo sikiliza kwa utulivu utamwelewa mtumishi wa Mungu... Muache kukosoa watumishi wa Mungu kama unaongea na mtu wa kawaida. Sio sahihi unapaswa kutoa maoni wala sio kama kila mtu atakavyo Ila kwa hekima ya Mungu kama huelewi haya pita hiviiii......
@petermanala61389 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kumbe na wewe umetumia majibu ya hekima😢😢😢😢
@FrankMushi-cs5js9 ай бұрын
Wewe mwenyewe una hekima yeyote mpumbavu tu😂
@GabrielGabriel-o3s9 ай бұрын
Haaaaa pumbavuten daa😂😂@@FrankMushi-cs5js
@JohnMwata-b9o3 ай бұрын
Mtumishi mungu abariki ila Sisi tusio juwa kizungu naomba utufikirie
@BenoîtWasolu9 ай бұрын
My sister was living him lakini kwa ajili ya vingereza mingi anaanzaga vuka publications zake.
@agneselias-po4fq9 ай бұрын
Pastor your the best 💖 🥰 MAFUNDISHO yako yamenibadilisha nimepiga hatua na naendelea kujifunza Please Glory to God who bring you to this world 🌍🙏🙏💯
@joycenanjala226210 ай бұрын
Asante YESU kwa mafindisho kazuri, hakika PT bwana Mungu na akuzidishie Neema pamoja na familia yako
@FaridaMuhamed-is6xg9 ай бұрын
Ama kwa hakika Mimi nimebarikiwa kuwa na PT Kama wewe najiona ni mwenye bahati mnooooo mafundisho yako yananiongoza na kunifanyia nijue ninapo kwenda barikiwa Sana
@hellynabrie528610 ай бұрын
Nikweli kila mtumishi amepewa watu wakuongea nao lkn uyu pastor kingereza kingi Sana watu wanatamn kumskliza lkn daah 😢English tupu
@Rosetemba9710 ай бұрын
Ni kwasababu dunia nzima inamsikiliza ....ndo maana anachanganya kuna watu pia hawajui kiswahili
@lilasuliman55210 ай бұрын
Alafu wanaomsikiliza nahisi wote ni wasomi
@neemaryan99479 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi naomba uweke mkalmani ili Neema hii iwafikie watu wengi zaidi ulimwenguni Ubarikiwe na Bwana
@veronicankhwazi79549 ай бұрын
Yuko kimataifa zaidi sio tu tz
@Mwana-k2gАй бұрын
We Fanya namna ujue English acha kulalamika hicho kingereza anachoongea cha kawaida sana ni wewe tu ndo mkorofi
@jacksonmurithi729813 күн бұрын
Am from kenya 🇰🇪 i really love your preaching....God bless you
@daudlazaro82769 ай бұрын
Yaaani mifano yote ni mm, everything was for me 😮 then I WILL PRAY SIR
@kizitowalukwe15019 ай бұрын
Pastor please am going through a family curse that has ruined my life and am struggling right now pls pray 4me am from Kenya
@dorcasmukami70328 ай бұрын
Pia Niko Kenya...Je unaeza Kua wajua jinsi ya kutumia hizo number zao?
@BenedictMtove9 ай бұрын
Kweli kabisa kingereza kingi basi bola Uwe na mkaliman kama unapenda kuongea lugha ngeni
@haikananyaro28510 ай бұрын
I just can't stop listening to you..... you always walk along my life mystery❤❤❤be blessed for such preaching
@ThomasTemba-u6z9 ай бұрын
Thank you very much Pastor Tony Kapola due to your message to us be blessed pastor Amen.
@EllaHurumaNdamu9 ай бұрын
I will pray for it for my future family my God help me and make fulfill my purpose
@JescahMnanka5 ай бұрын
MUNGU akuweke sana mtumishi wa MUNGU unatutoa gizani mnoo much blessed
@EmmanuelBurton-kt1wk7 ай бұрын
Mafundisho ni mazur sana shida ni lugha jitahidi kutumia Kiswahili na sisi tukuelewe vizur
@theresiaambroce728010 ай бұрын
Hallelujah! Ahsante Mungu kwa kukupa kibali hiki kikubwa namna hiii unasaidia wengi
@GloryPeter-xc4ph10 ай бұрын
Mungu nisaidie kweli kweli nipate ubavu wangu sahihi
@barakaedom382810 ай бұрын
Amen
@paulsylvester787710 ай бұрын
Endelea kusali
@barakafifi160710 ай бұрын
G uko peke yako
@williamreuben48668 ай бұрын
Okey
@hellynabrie528610 ай бұрын
Uyu pastor apelekwe nchi nyingne sasa kingereza tupu jaman
@heavenlight508410 ай бұрын
😂😂😂
@makenakiki94610 ай бұрын
God has increased his audience, pray for him and the message.
@PytchenMbala-yz8qn10 ай бұрын
Baba pastor punguza kingereza sisi wengine hatujasoma,lakin tuna haki ya kupaata mafundisho
@DignaEliamani9 ай бұрын
😂😂😂😂 si babaako alikuwambia nenda shule ukaona madaftari mazitoo? Ukaenda misele yako saii unamlaum tony
@gracemkami13439 ай бұрын
Mungut akubaliki msomi na wanao pia wasome sana ili uje kujua Nini maana ya DUNIA@@DignaEliamani
@happynescostat74209 ай бұрын
Kama tungesoma wote Nani angelima? Vidole avilingani,🎉
@robertmaximilian32649 ай бұрын
Nimeona watu wengi wanabeza watu tunaolalamika kingereza kingi siyo kwamba atujuhi kuongea ila tunaangalia na watu wengne wasiyo ijua iyo lugha basi kama anaoushauli wetu siyo sahihi basi aweke mkaliman ili watu wengne pia wapate neema ya kuskiliza
@petermanala61389 ай бұрын
@@happynescostat7420😂😂😂😂😂Asante Kwa jibu Hilo ukute hata yy haelew lugha
@LindaLinda-r8k2 ай бұрын
Nabarikiwa sana baba🙏🙏🙏Mungu azidi kukupa mafunuo zaidiii kwaajili yetu
@Bushman00010 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki sana Pastor, kwa kuitumia vyema talanta aliyokupaa.
@trickeredbayaza790110 ай бұрын
Announced man of God always listening in from Kenya
@EliaMwambene-t8h10 ай бұрын
Sipendagi sana nikimuona mswahili muda mwingi anatumia kingereza kuliko lugha yake huwa namwona mzugaji tu kama wazugaji wengine 😢
@mushyglory136110 ай бұрын
Poleee usiwe unasikiliza nduguu😊
@nancyg866410 ай бұрын
😂😂endelea kuangalia wazigaji sisi tunasonga
@NoelMwikeve10 ай бұрын
Badili mtazamo ndugu yangu
@NoelMwikeve10 ай бұрын
Badili mtazamo ndugu yangu
@paulajohn790110 ай бұрын
Tuache sisi tunaopenda wazugaji tuna enjoy……
@pacomeHabamungu7 ай бұрын
Sois abondement béni 🙏🏼!
@work24onme10 ай бұрын
Holy Spirit of God Amen 🙏🏼. PT, hata sisi wanawake tuwe makini nani anatuoa. PANDE ZOTE MBILI KUWA MWILI 1 na Vizazi hivi vya Kidigital na sio Analog, Shidaleee , cheche ndani zitaripuwa nyumba, 🤔. Eee Mwenyezi Mungu, Neema yako, Amen 🙏🏼
@williammollel972 ай бұрын
Kahubiri kenya ndio kuna kingereza
@dominicpallangyo26313 ай бұрын
Zungumzaa kiswahili mtumishi ndo wengi
@bonychitanda64108 ай бұрын
Hivi huyu mchungaji wateja wake ni wanajua kingereza sana au.
@meikoking9 ай бұрын
Mungu akuweke sana uendelee kutufundisha hii mambo ❤❤❤❤❤❤ Mtumish wa Bwana Ahsante
@IsayaJohn-u7j2 ай бұрын
Mtumishi wengine kingereza hatuelewi ila napenda kujifunza kupitia kwako
@Magdalena-tz7uk9 ай бұрын
Mungu alibariki sana tumbo ulilotoka
@GoldenJr23302 ай бұрын
Unazingiwa Na kingereza mtumishi
@GoodWoow2 ай бұрын
Pastor mungu azidi kukubariki napenda sana mafundisho yakoʻ
@eliasiravuga753910 ай бұрын
Amen Amen Amen, Ubarikiwe sana Pastor TK,, iyo ni kweli kabisa,, maombi, malombi,,, 📖🕊️❤️
@claudemushaga4 ай бұрын
Amen amen Baba
@luganomwaigomole74419 ай бұрын
TRUTH TO BE TOLD ❤...STRAIGHT FORWARD
@CresenciaMahembega9 ай бұрын
Napenda mahibiri lakini lugha ya kiingereza si ndo mtihani
@yusuphmipawa634010 ай бұрын
Kafundishe wazungu
@OkoaAfrika9 ай бұрын
You have saved one soul today, amen
@rosemarykimario28809 ай бұрын
Ahsante baba Mungu anisaidie nipate mwanaume sahihi kwenye maisha yangu
@thomastomas97308 ай бұрын
amen
@orperbundi87642 ай бұрын
Mungu amenikuta leo namshukuru sana
@rithaferdinand37389 ай бұрын
Kingereza chako kinanifurahishaga sn et every time I see big chest i am vurugward😂😂😂😂na your mind is tawanyward😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah napenda sn kukuckiliza we mchungaji 🙌🙌🙌
@AdrianoTajiMwashambwa2 ай бұрын
Unanyoosha ung'eng'e kaa Real Whiteman
@KadengeKazungu-pf6yi9 ай бұрын
Congratulations Pastor you talk the truth
@BarakaWardah2 ай бұрын
Nakupenda sana pastor from Rwanda
@jamesmwashinga8 ай бұрын
Sifa na utukufu apewe BWANA YESU
@adrianokubila83748 ай бұрын
Mtumishi tumia kiswahili mi kingereza sikijui
@Anagracep9 ай бұрын
Mtumishi bwana akuongezee neema kubwa. Kwa mafundisho yako.
@Anagracep9 ай бұрын
Barikiwa sana
@dorcasmukami70328 ай бұрын
Napenda mafundizo yako ....barikiwa mtumishi wa mungu
@bikoolaizer273710 ай бұрын
Amen amen amen
@jumarajab53169 ай бұрын
hivi hawa inamaaana mambo yao yamenyooka hawanaga changamoto
@getrudaleonard83239 ай бұрын
Kaka kaka kaka naimani ntafika mbali kukufwatilia we unaukweli mkubwa na Akili kubwa unayo,,,Tk
@chimgegeema55338 ай бұрын
Kweli pasta weka na mkalimani natamani kukusikliza sielewi kabisa
@Davidgeorge-xq8me8 ай бұрын
Pastor jamani anafundisha,abarikiwe na MUNGU Halafu wanaodadai anaongea kiingereza sana ni vizuri ili wajifunzie humohumo.
@BabyRiziki-v5q2 ай бұрын
AMEN 🙏
@MahilaLembo2 ай бұрын
MUNGU akulinde pastor
@seraphineally973910 ай бұрын
Mungu nisaidie nipate mume sahihi
@ZOMBIE-bf6yg6 ай бұрын
Ndio mm mungu amenituma kwako😂
@SenteuNaserian7 ай бұрын
Wow Really love your sermon......... Thank you so much Pastor
@daliaangelo32425 ай бұрын
EE MWENYEZI MUNGU NIOKOE
@godfreycosmas6049 ай бұрын
Thank pastor Tony I understand you what am tooking so appreciate you
@EvaJoseph-m1y9 ай бұрын
Naomba upunguze kingereza pls paster
@JosephMalongo-d9j3 ай бұрын
Unaeleweka baba
@EuphemiaAgustin2 ай бұрын
Papaa thank you so much for this too, 🙏🙏🤞
@Selfia-ru4wu8 ай бұрын
Aki pastor please pray for us to get the right partner 🙏
@ernestnoely8489 ай бұрын
Powerfully word
@MagrethErnest-ge2yq9 ай бұрын
Barikiwa sana pastor
@daudiYuta3 ай бұрын
Uko vzr pastor lkn lugha tufundishe Kwa lugha yetu
@sammychansa179710 ай бұрын
Unahubir Kwl kbs ila lugha itakushusha baba
@abelharris61759 ай бұрын
Haitamshusha.
@FrankAron-h9k8 ай бұрын
Yan napenda sana mafundish yako san
@haikaellyngajilo77688 ай бұрын
Alway on my pray ..Mungu akutunze pastor 😇
@inosensiaologa59467 ай бұрын
may God protect you pastor..🙏 for lessons
@evalynependo382410 ай бұрын
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@victoriskiwango67708 ай бұрын
Imeingia hiyoo had kweny Moyo
@ShazymRahim6 ай бұрын
Ubarikiwe baba
@veronicankhwazi79549 ай бұрын
Tunakuelewa vzur sn
@EssauChauya9 ай бұрын
Mchungaji nakuelewa sana mafundisho yako tena napenda mnoo kukufatilia,,,, lakini sasa KINGELEZA KINGI MNOO UNAWEKA ,,, MANENO MENGI YANANIPITA NAKUWA NI MTU WA KUUNGAUNGA MANENO ILI NIPATE SENTESI NA NIIPATIE MAANA.