No video

The Applied Faith | Part 2 | Pastor Tony Osborn | 18th April 2024

  Рет қаралды 20,612

Pastor Tony Kapola

Pastor Tony Kapola

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@MartinMnyika
@MartinMnyika 12 сағат бұрын
Sina KAZI ila na mini kazi yangu ipoo kwa jina la Yes 👏👏
@gladnessparadiso2412
@gladnessparadiso2412 4 ай бұрын
Mimi pia ninashuhuda, nilikuwa nina Ex wangu na rafiki yangu mmoja ambao walikuwa wamenishikilia sana yaani kihisia, sasa kipindi cha mfungo wa malimbuko nikafunga na Pastor akasema tufanye signs and tokens ya kuwasha mshumaa na kutaja majina ya adui zako hadi mshumaa uzimike na pia kuandika majina yao kwenye karatasi na kuichoma kwenye huo moto. Nilifanya hivyo and now nimedetach from them Namshukuru Sana Mungu 🙏🏼
@MartinMnyika
@MartinMnyika 14 сағат бұрын
Pastor Tony Ananigusa sana kilaibada na barikiwa mpaka ninakiu na haja ya kuamia dar Anejenga neno ndani yangu
@hafsarobert719
@hafsarobert719 4 ай бұрын
Nmesikiliza hiii asubuhi nikafata ushuhuda wa huyo wa kuweka karatasi kwenye kiatu haki what i prayed for kimetokea leo leoo kuna mtu a stranger akaniambia Mungu unaemsalia endeleaa nae huyo huyoo❤ jmn Thankyou so much pastor Mungu unae muamini ni mkubwa sana❤
@coffeetable5683
@coffeetable5683 4 ай бұрын
Mimi niliweka Vimeo vyangu chini ya kiatu nilitakiwa kufukuzwa kazi imagine here I am hadi sasa nadunda
@sophiarolya4017
@sophiarolya4017 4 ай бұрын
Hakika mungu anaweza nyie acheni mungu aitwe mungu
@annelisiswai439
@annelisiswai439 4 ай бұрын
Watu wanatakiwa kujua kwamba TP congregation ni la wasomi ambao hawajapata mpenyo tayari wana samaki hawajui la kufanya in the spirit world ili kitokee na ni watu hawataki evil spirit wanamwamini Mungu they need to be shown how to get kazi biashara kupata wale wanaoya tarajia.
@bakunduwukizebenithe7888
@bakunduwukizebenithe7888 4 ай бұрын
N mda wakurudia kumskiliza Baba🤲
@fridahissole122
@fridahissole122 4 ай бұрын
Sure
@neypaul9865
@neypaul9865 4 ай бұрын
Nmeckia raha sana ibada ya leo nasubir uwepo wako arusha kw hamu sanaaa
@winneslyaro5369
@winneslyaro5369 4 ай бұрын
Recaping galore 🙌 Asante Baba PT
@Bhoke-di9xs
@Bhoke-di9xs 4 ай бұрын
Mimi bhoke nina kazi ya afisa habari katika wizara ya habari,mawasiliano na teknolojia ya habari ninalipwa milioni 2 kwa jina la YESU
@veronicamalomele7494
@veronicamalomele7494 4 ай бұрын
MUNGU akufanyie na ZAIDI IN JESUS NAME
@janethsoka1209
@janethsoka1209 4 ай бұрын
Ameeen umepata kwa jina la Yesu
@pemaleganya9194
@pemaleganya9194 4 ай бұрын
Amen
@stratega03
@stratega03 4 ай бұрын
Stay in that faith, it shall be
@agneskilemwa8671
@agneskilemwa8671 4 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe, naomba kitabu kipya niko MOROGORO
@modestahango7989
@modestahango7989 4 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe! Nahitaji kitabu nipo Dodoma.
@catherinejustine5302
@catherinejustine5302 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@berthadaniel1208
@berthadaniel1208 4 ай бұрын
Ameen
@user-bh4xt2up7j
@user-bh4xt2up7j 3 ай бұрын
Amen🙏🙏💪👏👏👏 PT
@pemaleganya9194
@pemaleganya9194 4 ай бұрын
Amen
@rosemwalyego3302
@rosemwalyego3302 4 ай бұрын
God is real
@Ms_Kasege
@Ms_Kasege 4 ай бұрын
May God keep you 🙏🏽🙏🏽…
@Imani662
@Imani662 4 ай бұрын
Amina
@NusuraSudi
@NusuraSudi 4 ай бұрын
recap time🎉
@ASIFIWELAMECK
@ASIFIWELAMECK 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@veronicamahenge7256
@veronicamahenge7256 4 ай бұрын
@nicelladauson372
@nicelladauson372 4 ай бұрын
ni muda wa kula chakula Cha kiroho kwa usikivu na utulivu
@ConsolataVincent
@ConsolataVincent 4 ай бұрын
Shaloom naweza tupata kitabu nipo moshi?
@a22z-sov
@a22z-sov 3 ай бұрын
Jamani, where do we get the book ya Signs and Tokens. Namba ya mawasiliano iliowekwa hapo hamna mrejesho. Pastor Tony heelllllp!!!!📍
@user-hu5pk5kq6k
@user-hu5pk5kq6k 4 ай бұрын
Sasa ni muda wa revision
@Imani662
@Imani662 4 ай бұрын
Nipo mwanza nimeona kitabu pia na kitaka nipen namba za watu wa mwanza
@fridandomba434
@fridandomba434 4 ай бұрын
Na mimi nataka niko mwanza
@jacquelinetonny
@jacquelinetonny 4 ай бұрын
Amen
@agneskilemwa8671
@agneskilemwa8671 4 ай бұрын
Amina
The Applied Faith | Part 3 | Pastor Tony Osborn | 21st April 2024
4:24:16
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 18 М.
Mfumo wa Mungu Kuwainua Watu Wake | Pastor Tony Osborn | 14th November 2023.
1:37:23
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 46 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Wabeba riziki wa familia | Pastor Tony Osborn | 17 th February 2024
1:48:56
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 122 М.
The Manifestation of Christ | Day 03| Apostle Tinu George | ATC Oman | 07/08/2024 |🔴Live
3:33:06
Apostolic Tabernacle Church in Oman
Рет қаралды 8 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 20 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 148 М.
Faith Redefined | Online Live Experience | Pastor Tony Kapola | 8th June 2023
2:06:37
VIWANGO SITA VYA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 22-06-2023
2:04:17
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 104 М.
Matters Of The Blood | Part 1 | Pastor Tony Osborn | 24th March 2024
4:08:15
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 40 М.
The Powerful Work Of God | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Osborn
21:48
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 25 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН