SADAKA NA FUNGU LA KUMI

  Рет қаралды 19,545

RGC-TOANGOMA

RGC-TOANGOMA

5 жыл бұрын

By; Askofu Amon Lukama

Пікірлер: 25
@user-kq9je6zf3v
@user-kq9je6zf3v Ай бұрын
Amen and amen 🙏🙏
@grasherchavala2732
@grasherchavala2732 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@grasherchavala2732
@grasherchavala2732 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa neno la mungu juu ya sadaka
@adelaidekisinda2115
@adelaidekisinda2115 5 жыл бұрын
Powerful preaching from a man of God. I'm blessed
@felisternyakina9873
@felisternyakina9873 2 жыл бұрын
Fungua la kumi limenifunza mambo mengi Asante Mungu 🙏🏼 moyo wangu🙏🏼 haukunungunika kwa kutoa fungu lako
@osphatmwahalende6184
@osphatmwahalende6184 3 жыл бұрын
Aminaa Bishop kwa ujumbe mzuri na wenye nguvu,
@friminitv5589
@friminitv5589 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu..
@josephmasonga8714
@josephmasonga8714 5 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Mungu azidi kukutumia
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 2 ай бұрын
Fungu la kumi hutolewa pale Mungu alipokuelekeza
@AmaniPascal-go3ux
@AmaniPascal-go3ux 8 ай бұрын
Hongera mtu wamungu
@evangelistelishamwasile4380
@evangelistelishamwasile4380 2 жыл бұрын
nashukuru kwa ujumbe bishop
@ananialuoga4885
@ananialuoga4885 2 жыл бұрын
Hatuko chini ya sheria tena kama tutatoa fungu la kumi haina maana ya Yesu kufa msalabani ila katika agano jipya Mungu anasema sisi pamoja na tulivyonavyo ni mali ya Mungu hivyo tunatakiwa kutoa zaidi ya fungu la kumi
@rgctoangoma
@rgctoangoma 5 жыл бұрын
Glory to God
@nkurukiyesamuel4043
@nkurukiyesamuel4043 7 ай бұрын
Huu ujumbe una kasoro,kwa sababu mitume,Yesu,hawakutoza au kutoa fungi la kumi.😢 Walipewa walawi sababu hawakua na mashamba au kazi nyingine,Leo wachungaji anamiliki magari,maduka,manyumba,ndege…. 😅 Unaniombea nipate hela wewe unashindwa kujiombea uzipate! Tunaishi nyakati nguma za mwisho mapato na maisha magumu haviwiani, unapewa miezi mitanu bila kulipa loan(deni) kwa sababu ya corona au vita za ukrain utapata fungu la kumi lini? Mungu Alijua hali ambavyo ingekua Leo. Ingekua ni ujumbe unaowahusu hawahawa wachungaji ungesikia hii kutoboka mifuko na kuharibikiwa katika hali halisi ,mara simu :WANGESEMA NI KATIKA HARI YA KIROHO,mbona sabato ipo agano jipya na Yesu aliihudhuria,iko katika amri,lakini wanaipuuza wakazana na 10%? Mchungaji afanye kazi ,makanisa mengine yasiofundisha hivi ,hauwezi kua mchungaji ukiwa mvivu ,usiwe na kazi yako.
@sirnunda3758
@sirnunda3758 Жыл бұрын
Wagalatia 3:13 Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya torati maana yeye alifanyika laana kwa ajili yetu maana imeandikwa amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.Pia kumbuka torati ilkuja kwa mkono wa Musa Neema na kweli ilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.Pia 1Petro inasema tumekombolewa si kwa vitu viharibikavyo si kwa fedha au dhahabu bali ni kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo.Katika agano jipya tunatoa kwa moyo wa shukrani hatutoi kwa kufuata masheria ya torati.Maana wana laana wote waifuatayo torati na masheria yake
@arafaswalehe4660
@arafaswalehe4660 3 жыл бұрын
Hivi sadaka kubwa ni IPI kama sio kujitoa mwenyewe kama yesu alivyojitoa! Nauliza tu wapendwa
@shillahelisha8581
@shillahelisha8581 Жыл бұрын
Mm sijawahi kuona ktk Agano jipya kanisa linahangaika na Fungu la 10. Halafu Kama lilikuwa ni moja ya Shera ya Taifa la Israel, Mbona tumechagua kwenda na sheria hyo tu, Je Mbona tumeacha sheria zingine, Hv ukiacha sheria moja ktk agano si tunakuwa tumekosea ktk yote
@leonardanzurunipombi2499
@leonardanzurunipombi2499 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi ila nina swali ni sahihi kutowa sehemu ya kuhani ambaye kanisani kwake hawali meza ya Bwana?
@ananialuoga4885
@ananialuoga4885 2 жыл бұрын
Wachungaji msifundishe masomo ambayo hayapo ni kwaajili ya matumbo yenu mmekuwa wachungaji wa mishahara siku ya mwisho mtahukumiwa na ukifatilia hizo fedha haziendi kwenye maendeleo ya kanisa utakuta yote yanaenda kwa mchungaji hii ni hatari sana
@samwellaiser8421
@samwellaiser8421 3 жыл бұрын
Samahani mtumishi unawafunndisha wazungu au watanzania usichanganye lugha
@ananialuoga4885
@ananialuoga4885 2 жыл бұрын
Fundisha kwanini agano la kale waliambiwa watoe fungu la kumi? na tumia agano jipya wapi Mungu amesema tutoe fungu la kumi? katika agano jipya hatujalimitiwa kumtolea Mungu usiwafunge watu wa Mungu
@sangameshack8007
@sangameshack8007 3 жыл бұрын
Uwongo umekuwa mwingi kuliko ukweli ktk haya mafundisho
@thomaswegoro4331
@thomaswegoro4331 3 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi. ukiona mchungaji anahubiri habari za sadaka na zaka au fungu la kumi huku akitumia AGANO LA KALE kuliko Agano jipya jua kuna tatizo. Aidha hajui kua kwa mujibu wa yeremia 31:31-34 au wagalatia 3:24-27 agano la kale limeondolewa na sasa dunia nzima itahubiriwa injili(AGANO JIPYA) wachungaji wanatumia ujinga(sio tusi)wa wahumini wao katika maandiko ili kujiimarisha kiuchumi. Wachungaji wanapenda agano hilo katika mambo ya utoaji tuu ila ukiwambia wafate amri sheria na maagizo waliopewa waizrael hawataki.
@sangameshack8007
@sangameshack8007 3 жыл бұрын
Kumb.14 tusomee yote.Usikatekate mchungaji,kuna ukweli uko hapo
@jofreypilla5041
@jofreypilla5041 2 жыл бұрын
Sema tupone
SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
50:40
Reality of Christ Church
Рет қаралды 32 М.
IJUE FAIDA YA KOTOA SADAKA YA FUNGU LA KUMI-Pastor Myamba
21:40
Pastor Myamba
Рет қаралды 8 М.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,9 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
MITIMINGI # 365 SIRI ILIYOMO NDANI YA FUNGU LA KUMI (ZAKA)
15:51
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 44 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Mata Media
Рет қаралды 7 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
NAMNA YA KUFANYIKA WA BARAKA KANISANI
54:39
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 175
Pastor Ngaira: Fungu La Kumi
11:23
Milele Fm
Рет қаралды 9 М.
FUNGULAKUMI LIMEPITWA NA WAKATI ?
40:21
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 31 М.
SADAKA HUTUMIKA KUMKUMBUSHA MUNGU JUU YA AGANO LAKE KWAKO.
6:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 97 М.
Zaka / Fungu La Kumi Na Sadaka - Sehemu 1
12:58
IDHAA YA UKWELI
Рет қаралды 13 М.