Yarabi eeeh mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehehu neema ndogo na kubwa naomba utuvushe mwaka salama salmini 🙌🙌🙌
@DiinjiIsmail4 күн бұрын
ameena
@mwanamisikifogo8694 күн бұрын
Amiin amiin 🤲
@ZeituniKuhowa4 күн бұрын
Amina
@MdHossen-q8cКүн бұрын
Aminii
@MohamediSaidi-yw5ppКүн бұрын
Amina
@SadockJoel4 күн бұрын
Kirisimasi njema wapendwa Mungu ni mwaminifu atatuvusha mwaka salama
@Saphiakingo4 күн бұрын
Kaz nzur
@lucytv9493Күн бұрын
Nawe pia
@NaimaAli-h6h4 күн бұрын
From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪hongereni sana Kwa kazi nzur
@MSUKUMA.OG.MWANZA4 күн бұрын
wanao mkubali nairah gonga like🎉🎉
@StephenNchagwa3 күн бұрын
nimeona mtoto akivuruga mpango nan mwingne ameona like tukisonga.😂😂😂
@slokidog4 күн бұрын
wawuuh nimewayi leo wanao mkubali baby Nailla gonga link hapa hâta 3
@Mary-q5d5c4 күн бұрын
Eti link 🤣🤣🤣
@Geha-d3j4 күн бұрын
Atakaye soma comment hii Mungu amuvushe mwaka 2024 salama
@NyagiciroGrace-i6g4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@slokidog4 күн бұрын
amiin
@halimanuriya4 күн бұрын
Ameen
@happyDarmaIgiraneza4 күн бұрын
Asant san Na wewe pia
@TraivuJaphari-b6e4 күн бұрын
Ameen🎉🎉🎉
@mybenzii76084 күн бұрын
Njia y muongo n fup.i kisai alijifuga mwenyewe n ndo hivyo mwanaume wengi wko hivyo. Hongera kisai kwa kuwalimisha mwanaume wengine wa hovyo 20:21 ❤❤❤❤❤❤
@Tikijmlengo3 күн бұрын
Kisai unajua kuvaa uhusika wajambo bigap sana
@moreennafula17655 күн бұрын
From Kenya nawapenda❤❤
@FestusJuvinary4 күн бұрын
Furaha yangu ni kuona kisai anavo hangaika waoooooooo❤❤❤❤❤❤
@FaithKayamba-ji5lx2 күн бұрын
😂😂😂😂
@DelvinChepkorir-t1dКүн бұрын
Bora tu musituulie Nora wetu aki,,,,, nyinyi fanyeni yote lakini mumwache❤née Nora toka kwa uo usingizi sijakusoea ivo🎉❤
Kisai ana majanga makubwa, kwa kuficha mambo yake, angesema ukweli mapema, nipo Burundi
@MahupaMwajuma4 күн бұрын
Huyu mke wa kesai mwenye mtoto ana macho mazur jmn😊
@SalomeMkosamala-m4i4 күн бұрын
Sanaaaaaa🎉🎉🎉
@RamaKd-s8w4 күн бұрын
Hongera mumejua kunifuraisha kwakweli 🎉🎉🎉😅❤
@JaylassMarshico4 күн бұрын
Kisai tamaaztakuua, boratuuondoke kubali yashe we mmbwa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ErickJonhfredy4 күн бұрын
Napenda Sana unavojituma so nitajitaidi kukufatilia mwanzo mwisho nitajifunza kitu kutoka kwako #DON_KISAI
@BabyeSaumu4 күн бұрын
Kisai A.K.A Ramso yani mpka urudi kjijini...hukujua ukweli humuweka mtu huru ,subiri yakukute sasa😂😂😂
@Francine99Francine4 күн бұрын
Nampena sana nailla achukuwe mauwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Amina-d1v5 күн бұрын
Kisai ambia norah ukweli na akijua mwenyewe utajua hujui
@BOBGJUNIOR4 күн бұрын
KP 🔥🔥🔥 Alaf vp kuhusu SheyShey we missed her 😅😅
@LizieTopsha-2544 күн бұрын
Ako yake dakika
@aishaomar22874 күн бұрын
Umbea tuache😂
@MTC-celebusiness4 күн бұрын
C'EST vraiment super. En rai dire j'aime beaucoup cette série❤❤
@TausiMokiwa4 күн бұрын
Kisai nibola ungesema tu ukweli bilaivo humo ndani utaosha hadi vyombo 😂😂
@MwanaishaChileta4 күн бұрын
Team kisai Mashaa Allah tabaraka Allah bless you 🙏 🎉🎉🎉🎉🎉
@kisaitz4 күн бұрын
Ameeen mwanaisha
@ZeituniKuhowa4 күн бұрын
@@kisaitzyaani kisai tunakupenda sana mashabiki zako tutakua nawe mwanzo mwisho
@ConsolataJohn-e5y4 күн бұрын
Kazi nzur ila punguza vinyimbo bila maneno
@SamiraNjira4 күн бұрын
😂
@ZeituniKuhowa4 күн бұрын
😂😂😂😂
@DeborahAyo-u4b3 күн бұрын
😂😂😂huyu mfanyakazi wa ndani anamtishia kisai kuwa atasema kila kitu kama joan anavyomtishia Martha mwaipaja. patamu hapo😅😅😅😅😅😅
@WahbaAzizAbdulla4 күн бұрын
pole kisai endelea kuficha usijepoteza mimali na mkeo lea mwanao kwa siri
@SelePaulo4 күн бұрын
Luhafwe mpanda katav tumeipata🎉🎉🎉🎉
@InezaJamilaКүн бұрын
Daaaaah !! An Kwa mara angu ya kwanza namhurumia kisaitz
@FatumaKishasha-ph6ii3 күн бұрын
Kinayra nimekipenda bure mashaallah ❤
@BinwaTiba4 күн бұрын
Nawapenda sana kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮💚💚💚
@YvetteIrakoze-b2o4 күн бұрын
Keta anajua sn nimempenda❤❤❤
@winniemwaka3202Күн бұрын
Kisai🎉hapo ni ucheze🎉kama mwanaume ujibie pesa hapo ununue mahali kwengine hio itakua siri yako ukija kusema huyo ni mkeo na mtt ni wako uwe unakwakuenda kaka chess kama mwanaume hapo🎉🎉🎉🎉
@Hoel19LulesA4 күн бұрын
Kumbuka mtoto hana siri utaumbuka tu
@SalmaMohd-n7lКүн бұрын
Hakik😂😂
@FuCj-r2eMose4 күн бұрын
Nimewahi from Kenya 🎉🎉
@mwajumalubuva4 күн бұрын
Heheeeee shukrani kwa kz nzuri Sana wapedwa
@ZuwenarashidiLukangaКүн бұрын
Ila nayrah😂😂😂😂😂 mi namkubali sana uyo dogo
@متعةالمشاهدة-خ2ظ4 күн бұрын
Noraah noraah mbona unakua ivo🙄 😢 jaman namtaka noraah wa last card ♦️ huyu simuelew 😂😂😂😂yaan anapgwa matukio na vitendo 😂😂😂😂
@JoslineKavugho4 күн бұрын
Magumu kwa kisai hahaha😂😂ulivicha kumbe unajileteya magumu
@ThomasKibutwa4 күн бұрын
Hatari, alafu ukute sio mwanae.
@ZeituniKuhowa4 күн бұрын
Sio uongo
@ThomasKibutwa4 күн бұрын
Tusubiri tuone, ila ikiwa ni damu yake siombaya sana.
@ZeituniKuhowa3 күн бұрын
@@ThomasKibutwa mbaya baba Norah akijua anatimuriwa ila tuone ndugu yangu
@WistoniSiliveriКүн бұрын
Hahahaha ety kisai muimba kwaya nimecheka sana gonga like kama umecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LovenessJamesi4 күн бұрын
Kisai kama nilivyokwambia ep ilopita tuko na ww mpaka utimuliwe kwaaababu unamficha mkeo😂
@AplA-x9b4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@beatricegwamakombe4 күн бұрын
😂😂😂😂😂 jaman
@AnordAndrea-c3yКүн бұрын
😂😂😂 muulumie kisai dada yangu maana sio kwa comment hii.
@EBENEZER-z3j4 күн бұрын
Don kisai leo umepatkana
@BOBGJUNIOR4 күн бұрын
🎉🎉much 💘💘💘 from Kenya
@MwanalimaMwalimu-c4m4 күн бұрын
Kumbe nawe kisai huwa na stress ,huwa unajifanya katili leo umepatikana 😂😂😂😂ila move ni nzuri,
@sarahnakhanu4 күн бұрын
Kisai angua kicheko sasa tuone😂😂😂😂
@magrethtuma584319 сағат бұрын
Hapa lazima kuna mpango huyo mtot sio wa kisai
@SalomeMkosamala-m4i4 күн бұрын
Hapo sawa,,,maana lile cheko la kisai silipendiiiii❤😂😂😂😂
@Zhekhar-j3wКүн бұрын
Jamani maira naipenda unavyoitamka HAPANA🎉🎉🎉❤❤❤
@Kennedymumo-j4n4 күн бұрын
Kisai good job 🎉
@NancySibiaOnguti-gb9yqКүн бұрын
Hapa kumechemka jamani kisai ooh ramsay 😂😂😂
@MassylneMutsimbi4 күн бұрын
Naipenda Sana, keep it up
@MubayaSelemani2 күн бұрын
Keta pisi kali nampenda sana jamani.
@Jhgghhnvvccvbnnmmmmmnbb3 сағат бұрын
Tupo Pamoja kisai mpaka ugundukiwe😂
@RosemaryWilbardКүн бұрын
Kisai mwambie ukweli norah mapema kabla ajajua mwenyewe 😅😅maan yatakuja kukuta kama farouk bey 😂😂😂
@MavereMohamed4 күн бұрын
Eeeeeeeeh we kisai weeeeh umepatikana
@khadija2113Күн бұрын
😂kisai kazi unayo ila iko pambe tu kazi yenu nawapenda sana ❤❤❤❤
@JeanineNTAKIRUTIMANA4 күн бұрын
Kisai endeleya kukaa kimya bila kumwambia mukewako Siku moja utajuta
@edinashaibumpagama81865 сағат бұрын
Kisai umeyakologa ujue kuyanywa
@MilleureDunia3 сағат бұрын
Kazi nzuri saana kisai
@Shybabe1990-pd5yx4 күн бұрын
Kisai ukweli huweka mtu huru kakangu ona sasa🎉😅😅
@oswardjaphal-cd6np4 күн бұрын
Upendo mukubwa kwa mtoto. Hongela.
@MELVINBBY3 күн бұрын
Huyu NAYLA sasa palipofikia afungwe mdomo 😂😂😂😂😂
@SafiaKezakimana4 күн бұрын
Wallah kisai unamacho makavu jaman kulia kote uko atachoz hamna jamani😂😂😂
@SalumuMtimbinya4 күн бұрын
Kisaiiii mzee wa mituno leo umepatikana
@DianeAhishakiye3 күн бұрын
Kumbe kisai sio muzuli😂😂😂❤
@ImaniSiaberarenady4 күн бұрын
Courage
@WinfridaMasanja-e7m2 күн бұрын
NAYRAH the princess 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JeanjoelNishimwe-rj9kb3 күн бұрын
From Burundi kazi moto ushauli mukubwa
@oswardjaphal-cd6np4 күн бұрын
Funzo. Mambo madogo. Kayakuza. Mwenyewe. Aca. Uvurugwe. Tujifunze kutatuwa. Matatizo kabla hajawa makubwa
@FurahaWarda4 күн бұрын
Kaz nzur saana
@JeanBoscoHavyarimana-y2i2 күн бұрын
Mficha malazi kaumbua bora ungesema ukwel kabx
@monysanga75163 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ Kisai kazi unayo
@HidayaGarus4 күн бұрын
Kisai ukweli humuweka mtu huru
@estaraberd12454 күн бұрын
😂😂😂kisai bhana😂😂😂 kwhy hapo ulikuwa unalia au unajiliza khaa😂😂🙌
@NaomiEdward-ef2cp4 күн бұрын
Mimi nnatamani asiwe mwanae wa damu km uk pa1 na mii ngonga like hapa
@clementsitty23422 сағат бұрын
Nami nahisi ivyo Itakuwa mission hii
@NorbertNdayambaje-d7z3 күн бұрын
Yani nawakubali sana Niko DRC mjini goma
@AnnaWaswa3 күн бұрын
Kisai kime kulamba wewe 😂😂😂😂
@HassanKipyego-cs5ff4 күн бұрын
Sema kimeumana
@AmosPaul-qg9lq3 күн бұрын
21:01Sema kisai umejilipuaa 😂 dadeki.
@JosephineMomanyi-jp8tv4 күн бұрын
Kisai umeyatimba wee dada unasema na bado ujui kisai ana chochote apo kila kitu ni cha nora
@najmaawadh5104 күн бұрын
Kisai anavyoangaika naenjoy kwl
@ZeituniKuhowa4 күн бұрын
Yaani we acha tuu
@DeboraLufingo4 күн бұрын
Kisai uongo upo kwenye damu 😂😂
@SalmaMohd-n7lКүн бұрын
Umelion eeh😅😅
@DonMooFILMES_Express5 күн бұрын
Yaliyopita, kwenye dakika 😂 umewahi kusikia maneno haya wapi?