PATANISHO: ALINIAMBIA ASHAPATA DEM WA NAIROBI HATAKI DEM WA USHAGO - NANCY

  Рет қаралды 33,380

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер
@faithndanu2589
@faithndanu2589 10 ай бұрын
Congratulations to ghost ..he plays his role perfectly...kucheka 😂😂😂😂
@isaackgat1957
@isaackgat1957 10 ай бұрын
this is one of the real patanisho that i feel it's so emotional much is needed,
@VeronicaWambua-dt8go
@VeronicaWambua-dt8go 10 ай бұрын
Ukiachwa achika mungu atakufungulia milango Nancy
@wakiama9609
@wakiama9609 10 ай бұрын
Mwanamke mwenyewe ako na safari ndefu sana
@lindahatieno7010
@lindahatieno7010 10 ай бұрын
Akirusha,narusha....😂😂😂😂hakuna ndoa hapo
@LoniceMbori
@LoniceMbori 10 ай бұрын
Another lesson usiwahi acha kazi ju ya mwanaume 😢😢😂😂😂 atakudissapoint
@domiequrady
@domiequrady 10 ай бұрын
Msichana ako na mdomo ata mimi siwezi ishi na kasuku. Vile tu jamaa amesema apeleke mtoto ama anyamazishe kadomo
@kamwaraeric5743
@kamwaraeric5743 10 ай бұрын
This one is redeemable but if the girl atatulia, awe mnyenyekevu na mdomo mwingi.
@emmaculatekyakashow
@emmaculatekyakashow 10 ай бұрын
God will open the door for lady
@Sirden_i
@Sirden_i 10 ай бұрын
Na hii kiburi yake .... she has a long way to go
@chullakoi8803
@chullakoi8803 10 ай бұрын
Utoto ndio inawasumbua wakikua watajua ni nn wanataka kwa maisha yao
@mallyadativer6393
@mallyadativer6393 10 ай бұрын
Heshima iko chiniioo
@solomonoduor
@solomonoduor 5 ай бұрын
my friend ron ron ooh
@carolinekarimi9722
@carolinekarimi9722 10 ай бұрын
Let's that guy support mtoto hiyo kiburi ni mbaya
@marcelsamora9194
@marcelsamora9194 10 ай бұрын
how are you
@SteveIrunguJermaine
@SteveIrunguJermaine 2 ай бұрын
It is better have a broken relationship than having a broken marriage
@esthergachiri4799
@esthergachiri4799 10 ай бұрын
Jamaa sikiza babako
@goddymtrue
@goddymtrue 10 ай бұрын
Jamaa fanya DNA na kama mtoto ni wako chukua ulee mtoto mwanamke apeleke kiburi kwa ex wake..Shenzi sana!!
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 10 ай бұрын
Wacha kiwarambe kabisa juu wanawake waneamwa wataki kuchoka onasasa huyu
@denifrans2803
@denifrans2803 10 ай бұрын
I hear a cool guy na dame wa kiburi .. stupidity ya wanawake wengine entertaining others guys thinking wako na haja naye kikiumana unachwa mwenyewe...mwone huyu sasa
@emmaculatekyakashow
@emmaculatekyakashow 10 ай бұрын
Pray God
@motheroftwo-rs5nx
@motheroftwo-rs5nx 10 ай бұрын
Nancy fast of all uko na mdomo sana 😂😂second mtoto moja anafanya ulilie mwanaume yani mtoto afanye uishi kwa maisha ya kujipendekeza na ww sio kiwete that's too bad wachia mama mtoto enda kazi ukiwa na pesa zako ata heshi uwepo
@marrieann5278
@marrieann5278 10 ай бұрын
Ukiachwa achika Dan amesema hakutaki na bado unaforce issues,kama alimpigia akamwambia ampee mtoto akichoka hataki maneno yake sasa ni ukweli gani anataka?Nancy heal and move on wewe sio wa kwanza kuachwa
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 10 ай бұрын
Niwanawake weye huwa wataki kujituma wanatenyemea mabwana atianabiwa awache job nayy anawacha
@mwendapoleee
@mwendapoleee 10 ай бұрын
I love Gidis T-Shirts❤🩷💙🩵🤎🤍💚💛🩶🖤
@Lashymreal96
@Lashymreal96 10 ай бұрын
Mambo na kuforce issues issa No kwangu
@NancyKadenge
@NancyKadenge 10 ай бұрын
Nancy mwanaume hapendi mwanamke wa mdomo plz 😅😅
@alicemonyo5717
@alicemonyo5717 10 ай бұрын
Awa Bado ni wana akili za kitoto+uyo dame lazima atakuwa alikuwa na kitu kinaemdelea kati yake na uyo jamaa .,pia When it comes to relationships lazma mmoja akikuwa juu mwengine aweze kujishusha When it comes to tit for tat there is a place where the relationship It will go
@walterogaro8547
@walterogaro8547 10 ай бұрын
Huyo demu anakaa anapenda wanaume hata akirudi she can't change
@Lashymreal96
@Lashymreal96 10 ай бұрын
Alafu she is mouthy
@emilywangui
@emilywangui 10 ай бұрын
😂😂😂😂hii mwaka tulisema ni kuforce issues 2024
@Debbyobabi
@Debbyobabi 10 ай бұрын
Ukiolewa Kuna tabia inafaa kuacha more especially entertaining your former opposite gender colligues anyway this man is a gentleman,run bro ruuun huyu ikiwa anaongea hivi kwa radio na kwa nyumba je
@KIlonzo111
@KIlonzo111 10 ай бұрын
Huyu Mwanake ana ujeurinajabu. Hata kama ni mimi, siwezi ishi na yeye. Ako juu sana. Anaonekana ana mdomo kiasi. You can't keep a man with that attitude
@esthergachiri4799
@esthergachiri4799 10 ай бұрын
Hii si patanisho hii ni kasuku ikae kwao si hao wanaume wamfeed
@Tarkwen
@Tarkwen 7 ай бұрын
Ndoa ina mambo sana jamani
@wakiama9609
@wakiama9609 10 ай бұрын
Which country is this 😮
@josephnjoroge3798
@josephnjoroge3798 10 ай бұрын
Nairobi Kenya
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 10 ай бұрын
😂😂😂usibishane na mwanaume bwana , we aren't and never will a man be equal to a woman ,
@benjaminmwikya6936
@benjaminmwikya6936 10 ай бұрын
Huyo msichana ako na mdomo sana hawezi kuoleka haeshimu mmeo...hana heshima ata! Bure kabisa
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 10 ай бұрын
Kabisaaaa
@felismbithe4761
@felismbithe4761 10 ай бұрын
Naomba No ya huyo Dem
@AmAm-su6ce
@AmAm-su6ce 10 ай бұрын
Hata mm nilipitia shida kama but mungu to anajua to buy hyu demu ako na kiburi
@Big-a-low
@Big-a-low 10 ай бұрын
Mbona dame was entertaining those calls from another guy.I sense those calls were not ordinary calls.
@Sirden_i
@Sirden_i 10 ай бұрын
Absolutely, the calls were adulterous....dem mwenyewe ako na kiburi
@JohnRuigu-t9x
@JohnRuigu-t9x 9 ай бұрын
When this woman was receiving calls from her sideguy, never ask for our advice, neither she didn't wanted to hear from her man, 😅Sasa kimemraba, that's why she wants her man back..... what if mapenzi ya pembeni yangenoga?? Tena matusi na mdomo yake mbaya🤢
@SteveIrunguJermaine
@SteveIrunguJermaine 2 ай бұрын
Marriage is not a rehabilitation centre period
@emmaculatekyakashow
@emmaculatekyakashow 10 ай бұрын
Huyo mad hapana mdomo mingi sana
@maxwellyiema
@maxwellyiema 10 ай бұрын
Of which used wrongly
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 10 ай бұрын
Domo domo. Mwanaume amekasirika unamwambia $tyle Up! Wueh!
@njuhinyararaofficial
@njuhinyararaofficial 10 ай бұрын
Kuna makosa huyo dame alifanya.Akitusiwa anatusiana na kutuma picha ya mwanaume mwingine.Hii kushindana haiwezi jenga,itabomoa zaidi.
@kaystyle614
@kaystyle614 10 ай бұрын
Bro Fanya DNA..Kuna dem flani alikua ananipeleka speed hiyo design naskia huyo anakupeleka only to come and realize mtoi akua wangu..
@tabithakamau2608
@tabithakamau2608 10 ай бұрын
Papapapapaa mdomo mingi sana
@Quilant749
@Quilant749 10 ай бұрын
Nancy nimdomo sana amekuja kugombana sio patanisho
@abdallaamwalimu8705
@abdallaamwalimu8705 10 ай бұрын
We ajana n yeye mama usilie
@godsfavour5665
@godsfavour5665 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂kimemuramba
@hshsdhdgdgdhs9899
@hshsdhdgdgdhs9899 28 күн бұрын
Hiyo,doa,inashima
@AlexMumoMalonza
@AlexMumoMalonza 10 ай бұрын
Dan is right, mwanamke hawezi jishusha Chini hamuwezi tafuta Maisha pamoja! Simu! Simu! Simu ni Sumu!
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 10 ай бұрын
Dada jipende achana na huyu mwanaume hautasaidika kwa marriages saa labda ukomae kiasi tu
@EuniceK-dh3rk
@EuniceK-dh3rk 10 ай бұрын
Gidi mwana Dada ajiamliye chiya ingine adafude Kazi Manisha isonge Mimi Eunice kamonya nkiwa Saudia
@mtoiiwamama
@mtoiiwamama 10 ай бұрын
Nancy my class mate 😅😅
@danielekakoro5265
@danielekakoro5265 10 ай бұрын
Really mwambie namutaka
@danielekakoro5265
@danielekakoro5265 10 ай бұрын
Uko n number yake
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 10 ай бұрын
Hii mambo ya kunyenyekea mwanaume namekwambia ati ako na dem wa Nairobi nabado unangangana kumfata huwa inatoka wapi juu misiwezi hii ujinga nandio huwa nambia wanawake mjitume hamsiki
@agnesmueni655
@agnesmueni655 10 ай бұрын
My sister wachana n mdomo miiingi.. Hta dan mwenyewe ana story miingi... Ni wwe sister mwenzangu style up... N mdomo punguza...
@tumisiokonyo1028
@tumisiokonyo1028 8 ай бұрын
Gidi himiza vijana kuchukuwa majukumu ya ulezi tabia ya kuvalisha alafu ati mama akimkosea wanaacua kulea watoto that's very wrong vijana wengi wana take advantage ya innocent girls then provoke them to mess up alafu they dumb them and move to another victim. Tuambiane ukweli mtoto hajakosa lazima apate usaidizi kwa babake na malezi ya mama Ni muhimu. Wanaume hutupa watoto mama akishalea kwa taabu wanarudi kusumbua, ooh nataka mtoto wangu. Ama kuitisha pesa kwa mtoto akifaulu maisha. Shame on them.
@jerodinendanu5029
@jerodinendanu5029 9 ай бұрын
Wanaume wetu wakamba mnakuanga na kiburi wueh😂😂😂😂
@JacklynMueni-pj3sl
@JacklynMueni-pj3sl 9 ай бұрын
Wakamba
@alfarmurimi9085
@alfarmurimi9085 10 ай бұрын
Wakamba Gidi wachana nao kabisa........Those ladies! Wacha tu
@hanxelmuindi8718
@hanxelmuindi8718 10 ай бұрын
Dem ukona kiherehere sana...hyo mdomo punguza pia mm siwezi kaa na hii kelele
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e 10 ай бұрын
Huyo msichana ako na mdomo sana
@saidimzagula6168
@saidimzagula6168 10 ай бұрын
Huyu dem nae pia hako na utoto mwingi
@BridgitNafula-xq7xe
@BridgitNafula-xq7xe 9 ай бұрын
Huyu dem atafute pesa aache mdomo...mm nalea mtoto wangu hata babake ajei muona nan jirani home sahi mtoi ako 10 years anasoma anavaa...baada ya kuona naendelea anataka turudiane...saudia inachanua single mother chanuka dada mwaume ukimulilia atajua huna pakuenda kubali kuteseka ju ya mtoto wako mpenzi atajileta hata sahi mm naringa kidogo 😂😂
@Waziri77
@Waziri77 10 ай бұрын
huyu si mwanake, ety tunatusiana.
@ericsart8
@ericsart8 10 ай бұрын
These are the types of ladies to run from. Run for your life Kings, hapa stress tupuu
@jmmtm
@jmmtm 10 ай бұрын
Huyu dada akwede kwa huyo alikuwa akimpigia simu amuoe. Ukioleka sahau simu ovyo ovyo
@mercymcgill100
@mercymcgill100 10 ай бұрын
ndio maana munawachiwa watoto wa four days
@emilysawayi5787
@emilysawayi5787 10 ай бұрын
Kuwacha mtoto wa four days ni ujinga ya mama mtoto
@dan-sh8xk
@dan-sh8xk 10 ай бұрын
Lady is desparate liar and player.I doubt kama hata huyo mtoto ni wa huyo dan!.
@neliuswaithera512
@neliuswaithera512 10 ай бұрын
Wawili n watoto
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 10 ай бұрын
Ukweli dada Ako na mingi zaidi
@Melovemacolour
@Melovemacolour 10 ай бұрын
Weh let me tell you I once dated a kao. The mutumia had EGO pro-max. Mi hukaa chini nakumbuka nacheka kama ghost 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@barygarcia3128
@barygarcia3128 10 ай бұрын
Na si aende kwa hizo wanaume
@supu1237
@supu1237 10 ай бұрын
Moja anafaa arudi nyuma ndio waelewane 🤣 tit for tat is not a fare game
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 10 ай бұрын
Mwana dada wanaume hatutaki mikelele , unaongea kama cherehani , rudi uwe mtulivu na usipende kushindana na bwana. ati unanirushia na picha ya mmeo? SIMU ZA USIKU MWANAMKE NI HAPANA . DADA TULIA UOMBE MSAMAHA YAWEZEKANA UKASAMEHEKA.
@jerodinendanu5029
@jerodinendanu5029 9 ай бұрын
Wakamba😂
@josephNdichu879
@josephNdichu879 10 ай бұрын
DNA muhimu.huyo msichana ana kidomo
@carolinekioko7078
@carolinekioko7078 9 ай бұрын
Ni age tu that’s why wanatukanana
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 10 ай бұрын
Huyu Dame kama hii ndio mdomo its afact it cant work
@mwendapoleee
@mwendapoleee 10 ай бұрын
Sikuhizi ubaya ni matusi na kukosa heshima thats the fall ofsociety mtu hawezi sahau matusi.
@FaithWafula-uf8fy
@FaithWafula-uf8fy 10 ай бұрын
Nancy awache kubishana na bwana
@MAKUENICRH
@MAKUENICRH 8 ай бұрын
mwanaume ajenge aache kuacha mabibi kwa nyumba ya wazazi
@emmyshantel2211
@emmyshantel2211 10 ай бұрын
Huyu dem hajuwi venye wanaume wanakwanga na wivu mbaya
@TK-pi1vr
@TK-pi1vr 10 ай бұрын
Wachana na huyu manzi, wacha atafutane na wenye kumpigia simu.
@chelimovashit9091
@chelimovashit9091 10 ай бұрын
If I were the girl ningeachia mtoto mamake and go back to school
@Belindah2018
@Belindah2018 10 ай бұрын
Bana hata mm niliachia mamangu na siwezi fwatana na baby daddy
@254treading
@254treading 6 ай бұрын
Ningekua yye ningewacha mtoi na mum yake akuje Gulf awache kujipendekeza mwanaume akichoka na wwe ata mrudiane hatakurespect,
@zipporahmburu5240
@zipporahmburu5240 10 ай бұрын
Uyu dam bado hajakomaa kidoa aki mdomo
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 10 ай бұрын
Sasa wewe demu km ulim2mia mwanamme picha ya hawara,unamtaka wa nn? Kaka huyo demu hafai kuoa,Hawara akasepa, mwanamke ukiwa kwa ndoa una hawara,hawara anakupenda,ukiachika hawara anakukimbia, ukome na umalaya wako.Danny oa mwanamke mwingine mwenye adabu Mtoto gani wa2 wanaachwa na watoto 7 na wanalea sembuse huyo mmoja? Mchukue huyo mmoja c kakupa xawadi.
@franciskiarie3396
@franciskiarie3396 10 ай бұрын
Mdomo ndio inakosea wasichana
@fidelarthur9656
@fidelarthur9656 10 ай бұрын
This guy is better off without her
@ShisShiks
@ShisShiks 10 ай бұрын
Mimi siwezi tafuta bwana ati namuomba msamaha, na Niko na mikono miwili ya kufanyia kazi weee Wacha ikae
@danielkorir1457
@danielkorir1457 10 ай бұрын
Ego
@malukidavid5265
@malukidavid5265 10 ай бұрын
Kudeal na a mouthy lady si rahisi. Pia jamaa ni immature pia. It is unfortunate there is a kid involved as well.
@bobomambia7062
@bobomambia7062 10 ай бұрын
Well spoken. Very unfortunate.😢
@mwangimuhammad-sx9hb
@mwangimuhammad-sx9hb 10 ай бұрын
Ana mdomo sana huyo dame
@liliannyam7391
@liliannyam7391 10 ай бұрын
Unatuma picha ya mwanaume to your boyfriend 🤔 DNA needed
@annnyokabi4631
@annnyokabi4631 10 ай бұрын
Aki wewe kaschana hunguza mndomo
@mancasterkilungya6980
@mancasterkilungya6980 10 ай бұрын
I can't handle a mouthy woman too. Unaongea mingi
@marcelsamora9194
@marcelsamora9194 10 ай бұрын
mwambia msichana atufute mwngne
@dondonellsimeon9017
@dondonellsimeon9017 10 ай бұрын
These two are still immature
@sabatoager
@sabatoager 10 ай бұрын
tit for tat.😅😅😅
@SteveIrunguJermaine
@SteveIrunguJermaine 2 ай бұрын
That,s high level of stupidity period.
@carenmusyoka6519
@carenmusyoka6519 9 ай бұрын
Madam uko too much hakuna mwanaume anaweza kuishi na mtu kama wewe
@geotechs
@geotechs Ай бұрын
The lady should move on. This tit for tat is a bad game
@edmondanyonaombaye3340
@edmondanyonaombaye3340 10 ай бұрын
A cheater... Running mouth
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:11
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:15
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
PATANISHO : ALIENDA MATANGA NA HAKURUDI NYUMBANI
19:06
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 19 М.
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 685
Mume Wangu Ananifanya Nilale Na Wanaume Wengine
15:44
Radio Maisha
Рет қаралды 24 М.
PATANISHO : NATAMANINGI USIKU NISKIEKO SAUTI YAKE_COLLINS ELKANA
29:50
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 105 М.
RUTO'S WORST MISTAKE THAT WILL COST KENYANS EXPOSED FEARLESSLY
11:52
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН