PATANISHO : ALINISHIKA KWA SHINGO STAKI MANENO YAKE ANAEZA NIUA SAA YOYOTE....

  Рет қаралды 40,754

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@godsfavour5665
@godsfavour5665 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂gidi na ghost hamuwezi elewa utamu yenye inakuwanga hapo ukienda kusherekea chrisi kwenu karibu na mamako inakuwanga tu tamu yani ile upendo na bond inakuwanga very strong ❤❤❤❤only ladies can understand this
@ShisShiks
@ShisShiks 11 ай бұрын
Alafu unapewa mushene wa familia, na majirani, wee tiga tu
@godsfavour5665
@godsfavour5665 11 ай бұрын
@@ShisShiks nakwambia Wacha TU😅😅😅😅😅
@genemuthoni6607
@genemuthoni6607 11 ай бұрын
I am a lady and I can't relate nor understand😂😂
@MarionKerubo-v1v
@MarionKerubo-v1v 11 ай бұрын
Hata mimi since my EX husband aambie mum aty when i go buck kwake he will cute me like skuma wiki😢😢 sijai kanyaga huko na life iko sawa,,,,, dear usibahatishe life yako.😢😢
@emilywangui
@emilywangui 11 ай бұрын
Asirudi mwanamke si wa kupigwa ...man up
@shirumuhura561
@shirumuhura561 11 ай бұрын
Mimi ata ngumi moja tunaachana asubuhi me aiwezii tulia rudi home uoge ukae smart 😊
@thogonuii
@thogonuii 11 ай бұрын
That's why mmejazaa ma single mother Kenya
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 11 ай бұрын
Ukiwa na adabu utaishi kwa raha ila ukikosa adabu kwangu utachapwa kweli hadi unyoroke. ukienda kweeeenda zako tena ukaolewe na bwege mwenzio.
@Amira1977-y
@Amira1977-y 11 ай бұрын
NOOOOOOO GIDI!!!!!!! FAMILY NI MBILI!!!!!! CHRISTMAS KWETU!!!! NEW YEAR KWA BWANAAAAA
@bwari01
@bwari01 9 ай бұрын
Patanisho needs to stop helping men and women who are aggressors in domestic violence! They always sorry and they don’t again until the victim is dead! Domestic Violence Kills!
@tumisiokonyo1028
@tumisiokonyo1028 8 ай бұрын
I agree with this. Let's not encourage our girls/boys to go back to violent husbands/wives.
@StanleyChanzu
@StanleyChanzu 10 ай бұрын
Please ladies, no matter what, please find something to do that generates income. Hii maneno ya kutegema mwanaume kwa kila kitu hadi kiberiti is nauseating. It also demeans you and makes you vulnerable to disrespect and embarrassments. Please, it's 2024. If you are physically fit, kindly get something, anything to do that generates income. Itakusaidia pia kujenga familia yako na kuwa mfano mzuri kwa your daughters.
@Jackie-ck3yc
@Jackie-ck3yc 11 ай бұрын
My dear sister, if it's a 'kip' n you come from a different place, murife run for your life kitakuramba kale men are not easy to deal with
@thogonuii
@thogonuii 11 ай бұрын
Nahurumiaa boychild aki. Hii generation ni nomaa 😂. Unaoa mwanamke Alafuu anakufanyaa ati WEWE ndio babake,na bwanake,anataka uchukue majukumu pia ya babake. Ata heri mtu akae pekee yake,na kama ni lazimaa uoe inabidi uoe mtu anajieza kama wewe,usianze kupewa majukumuu hayakuhusuu
@godsfavour5665
@godsfavour5665 11 ай бұрын
Wakale maakasiriko😂 heri mtu aoe kwa mlango yao.mtu akifikia hapo kwa kukushika kwa shingo anaweza kukunyonga hasira yao inakuwanga kwa level ingine🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@Dkmediake
@Dkmediake 11 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea kama mluyha 😂 walai huyu si mkalee
@Lindachukunii
@Lindachukunii 10 ай бұрын
Pia me nilikuwa najiuliza ka ni mkalee kweli
@mwendapoleee
@mwendapoleee 2 ай бұрын
Wakale na waluhya wanamix.
@Amira1977-y
@Amira1977-y 11 ай бұрын
NEVER BACK!!!!!!!
@christinewavinya3978
@christinewavinya3978 11 ай бұрын
Swrthrt ruuuun,never entertain domestic violence
@عايشهمحمد-خ9و
@عايشهمحمد-خ9و 11 ай бұрын
Kip kemboi😂😂😂gidi naijua ivo
@veriverana882
@veriverana882 11 ай бұрын
Angekuwa ni binti wangu siwezi mruhusu arudiane na pumbafu kama wewe. Katili tu😮😮😮
@MarionKerubo-v1v
@MarionKerubo-v1v 11 ай бұрын
Exactly
@alicemonyo5717
@alicemonyo5717 10 ай бұрын
Aki mapenzi weweee😂😂😂Nakupenda kama nyama choma 😅😂ii imeenda😂😂😂
@christineachieng4094
@christineachieng4094 11 ай бұрын
wakelee wanaonanga kupiga bibi ni kitu normal go go go gal
@marrieann5278
@marrieann5278 11 ай бұрын
Wanawake waache kubebesha wanaume mizigo ya kwao na wanaume waruhusu wanawake wafanye kazi,bibi akienda kwao mfanyie tu kashopping apelekee wazawi wafurahie but hii ya mikono tupu hapana
@NgureAmos
@NgureAmos 28 күн бұрын
Wanawake mko na shinda, pesa yangu unataka ishughulikie mpaka kwenu but ukipata yako ni ya kushughulikia kwenu. Si kila mtu ashughulikie kwao basi
@eunicesyombua1533
@eunicesyombua1533 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ukishikwa na hasira piga ngumu ukuta.
@b.3940
@b.3940 9 ай бұрын
Aaai, na nikihisi uchungu?
@sharonlelia1726
@sharonlelia1726 10 ай бұрын
Hiyo kicheko "heeeeeeee😂😂😂"
@jamjam8734
@jamjam8734 11 ай бұрын
Mm n mwanamke lakini unataka vpe mume wako akusaidie familia yko hilo si jukumu lake ,hata sisi wanawake tumezidi sasa
@joshuanyabuti9520
@joshuanyabuti9520 10 ай бұрын
Correct
@METRINEOKELLO
@METRINEOKELLO 4 ай бұрын
Kitu najua mwanaume anafaa kuaidia mwanamke wake kwanza matanga aaaii hiyo apana uwezi nishow mwanamke utajisimamia kwa kila kitu hapo sikubaliani n wew
@ngetichleppitas1034
@ngetichleppitas1034 11 ай бұрын
😢mapenzi uweeh😅
@sylvia3999
@sylvia3999 11 ай бұрын
😂😂 ujui kuna inchi inaitwa Saudi ,tafuta mwingine😂😂
@irineadisa7289
@irineadisa7289 10 ай бұрын
Kemboi wa Saudia ama
@josselaboso4515
@josselaboso4515 10 ай бұрын
🤣🤣
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 10 ай бұрын
Bibi kakenboi nae 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.the only name gulf Lady miss using 😂😂😂😂😂😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 10 ай бұрын
Bibi kakenboi nae 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.the only name gulf Lady miss using 😂😂😂😂😂😂
@mainasteephen9867
@mainasteephen9867 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@b.3940
@b.3940 11 ай бұрын
Kama Kevin hataki bibi afanye kazi kwa hoteli si akubali afanye job kwa Airbnb. Lakini shida ya hapo ni raia wa Nigeria.
@EstherMwale-m8x
@EstherMwale-m8x 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂tulisema hakuna chills
@YoungMinister-n2n
@YoungMinister-n2n Ай бұрын
😂😂😂😂aty uninipenda kaa nini
@EstherMwale-m8x
@EstherMwale-m8x 11 ай бұрын
My grandmother told i should never wait for a second slap
@barygarcia3128
@barygarcia3128 10 ай бұрын
Na hivo ndio ulikuwa brainwashed na utakufa na hio ujinga
@EstherMwale-m8x
@EstherMwale-m8x 10 ай бұрын
@@barygarcia3128 umasikini na ujinga ya kupiga bibi isikulete kwangu nugu
@rashidseif2617
@rashidseif2617 10 ай бұрын
Mandonga huyo
@moreh462
@moreh462 11 ай бұрын
Mwanamke kama huna pesa humuwezi
@wakiama9609
@wakiama9609 11 ай бұрын
Ni kama ni lazima nizaidie mashemeji buana
@selvinabundi370
@selvinabundi370 11 ай бұрын
Mapenzi bila pesa ilo ni kongamano la wanyonge
@godsfavour5665
@godsfavour5665 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kevo 😂😂😂stingy
@METRINEOKELLO
@METRINEOKELLO 4 ай бұрын
Hiyo jina hatari 😂😂😂
@Josephineonyango-cl6ql
@Josephineonyango-cl6ql 11 ай бұрын
Gidi Christmas ni shere mtu ee.Gid kuka na mwanaume mwaka mzima ni kazi lazim ujifanyie sherehe.kwanza mwana wamakelele..na mlevi..na wakupiga mke..Gid ..mimi pia lazma nijipe sherehe
@rebeccanyariki6990
@rebeccanyariki6990 11 ай бұрын
Unanipenda kama nini?😂😂😂😂😂😂
@mariadavid3391
@mariadavid3391 2 ай бұрын
Nashangaa hawa watu wanasema ATI mwanaume hafai kusaidia in-laws wake. Anasaidia Bibi yake . Hakuna mahali ameambiwa alipe fees. If your parents grow old or get sick si huyo Tu Bibi ndo ataenda kuwachunga,so I don't understand how that's normal but kusaidia Bibi na mambo ya kwao unaona ni kama mzigo. Ukimkataza Bibi kufanya kazi then be ready to take all her responsibility juu you are the reason why she is not helping her family. Unatuma Bibi nyumbani mkono tupu na ikifika nikwenda kwenu unajaza shopping,shame on you. Kama mwanamke anatarajiwa ajitegemee kila kitu basi ndoa ni yanini. Si heri ukae single na uhustle
@katejimmy8694
@katejimmy8694 11 ай бұрын
Unachapa mwanamke aje?
@Abc-mi9le
@Abc-mi9le 11 ай бұрын
Akienda naomba wampeleke kwa kona ingine wambembeleze kidogo 😂😂
@mawamuthoni5517
@mawamuthoni5517 11 ай бұрын
Mkuru family pia huku tuko 😅😅
@virginiawangui7372
@virginiawangui7372 11 ай бұрын
Aki usirudi sweetheart..that man doesn't even know your worth..RUNNNN
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 11 ай бұрын
Charity ni fast talker
@YoungMinister-n2n
@YoungMinister-n2n Ай бұрын
Ukipata hasira piga kuta ngumi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 11 ай бұрын
Mbona huyu jama anaongea kaa watu wa pungumaa😂😂
@beatriceomino6266
@beatriceomino6266 11 ай бұрын
Pungumaa watu ......
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 11 ай бұрын
@@beatriceomino6266 🤣🤣watu wa pungoma
@eunidasfrancis312
@eunidasfrancis312 11 ай бұрын
Bungoma
@Waziri77
@Waziri77 8 ай бұрын
Tare 35
@bossb8989
@bossb8989 2 ай бұрын
Unapiga mtoto wa wenyewe aje? Aje sasa? Sitawai elewa milele. Ukitaka kupigana tafuta ndume mwenzako mpigane hadi utosheke au uage. Nkt!
@abrahamanunda226
@abrahamanunda226 26 күн бұрын
The woman is manipulative and mr Gidi hopefully they came back together.
@Portugal309
@Portugal309 11 ай бұрын
Don’t go back once bitten twice shy
@mikamolly5699
@mikamolly5699 9 ай бұрын
Sasa asaidiaje familia yake. Kwani aoe jamii nzima? Kevin amwache bibi afanye kazi
@FaithKayesi
@FaithKayesi 11 ай бұрын
Mume wa kumpiga bibi iyo ni haramu.
@bettysimiyu5514
@bettysimiyu5514 11 ай бұрын
😂😂😂
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 11 ай бұрын
Pole ukirudi kitazidi kukuramba huyu mr stingy wako hawezi ku change
@bikoflavious2903
@bikoflavious2903 10 ай бұрын
As a woman try to have your own money 💰...stop behaving like pests....this is 21st century not 19th century...
PATANISHO: ALINIAMBIA ASHAPATA DEM WA NAIROBI HATAKI DEM WA USHAGO - NANCY
18:13
The best patanisho ever
24:31
Mutwiwa Julius
Рет қаралды 364 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
PATANISHO : BENARD - NILIMSHUKU MKE WANGU IVY AKO NA MPANGO WA KANDO
22:05
PATANISHO : MUME WANGU AMEKATAA KURUDI USHAGO
23:20
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 34 М.
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 662
PATANISHO : SITAKI NDOA TENA NIMETOSHEKA NA YALE NIMEJIONEA KWA HII NDOA
23:15
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41