PATANISHO : GIDI,UNAWEZA ISHI NA MTU VIPI KAMA HAKUNA MAPENZI

  Рет қаралды 57,439

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@nfldaily4768
@nfldaily4768 Жыл бұрын
Mwanamke Akikuita "wee mwanaume" jua hana heshima kwako na hakupendi
@corolinlin9455
@corolinlin9455 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@lukasobiria7912
@lukasobiria7912 Жыл бұрын
The lady sounds mature. She's focused and loves to see her kids flourish in future.
@vellamonyangi3667
@vellamonyangi3667 Жыл бұрын
Flourish na anaacha watoto Kwa mwanaume
@lizdan4414
@lizdan4414 Жыл бұрын
Very true na pia sii mselfish juu anafikiria mke mwenzake
@DavidAnaswa
@DavidAnaswa Жыл бұрын
There is no maturity in that lady,
@Danjeff22
@Danjeff22 Жыл бұрын
This is a mad woman, she can’t just leave the man with someone’s kids, amerudi kwa baba watoto
@vellamonyangi3667
@vellamonyangi3667 Жыл бұрын
@@Danjeff22 exactly she should have taken the kids to their biological father
@salmamohamed909
@salmamohamed909 Жыл бұрын
Those says ATI the lady is mature noo she is a fool unawachia aje MTU watoto na si wake na jee wakibakwa atalaumu Nani that is foolishness 😢😢😢😢
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
True
@patrickj.136
@patrickj.136 Жыл бұрын
Imagine
@fiddiggokirimi9630
@fiddiggokirimi9630 Жыл бұрын
How now?
@salmamohamed909
@salmamohamed909 Жыл бұрын
@@fiddiggokirimi9630 you can not understand but this things are happening everywhere you can't entrust your babies to a man who is not even their father na unaenda that woman is the worst mother on earth 🌎
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y Жыл бұрын
@@salmamohamed909NEVER
@debie2392
@debie2392 Жыл бұрын
Being with a broke married man is like stealing an empty handbag😂😂
@susana5514
@susana5514 Жыл бұрын
😂😂😂
@corolinlin9455
@corolinlin9455 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@lucynangira4713
@lucynangira4713 3 ай бұрын
😅😅😅
@dinakemunto3243
@dinakemunto3243 20 күн бұрын
Ni hasara kabisaa 😂😂😂
@catherinewairimu-bk9lj
@catherinewairimu-bk9lj 10 ай бұрын
Watu wa boda boda was just chilling 😂😂😂then kuhanya joined
@fausto9135
@fausto9135 Жыл бұрын
Mtu ako na bibi nyumbani halafu anaoa bibi wa pili na hana kazi weeee 😮😮😮😮
@elizabethaoko2109
@elizabethaoko2109 Жыл бұрын
Wanyonyi
@MainChase
@MainChase Жыл бұрын
Huna kazi na unataka bibi wawili, wakule mawe? Wewe huna maana kabisa
@edmondanyonaombaye3340
@edmondanyonaombaye3340 10 ай бұрын
Uyu madam hafanyi kazi halali, chunga buda...
@EdithmumbuaKioko
@EdithmumbuaKioko Жыл бұрын
Huyu mwanaume pia mzuri uachiwe watoi na sío wako .Mary ako na kasoro gani
@clairclair6482
@clairclair6482 Жыл бұрын
Ndoa ya wenyewe staki bibi wa pili staki🏃🏃🏃
@flav_tha_pilgrim5010
@flav_tha_pilgrim5010 Жыл бұрын
uyo mtu anasemanga please enter your password anakuwanga hapo kwa studio?
@shikowarui6390
@shikowarui6390 Жыл бұрын
😂😂😂
@oliviermzaliwa
@oliviermzaliwa Жыл бұрын
Achana Naye Uyo Nikahaba Amemupata Mwengine
@lizpitah3500
@lizpitah3500 Жыл бұрын
Being with a Married man na akuwe broke ni dhambi kubwa sana
@valentinekimani476
@valentinekimani476 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@fayetteville6310
@fayetteville6310 Жыл бұрын
wanawake pia mnapenda chest pains tu,unatoa Wapi nguvu ya kuolewa mke wa pili!!!,uke wenza ni changamoto
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uyu mwanaume ni mpole walai na uyu dada ni mjanja sana ako kwa mwanaume mwingine
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
huyu mwanamke hamtaki huyu bwana ndo mana anakasirika bwana akikaa kwake kwa muda mrefu halafu ni mjanja anamuwekea watoto huyo bwana yeye apate uhuru wa kufanya ya kwake muhuni sana
@fridahomari884
@fridahomari884 Жыл бұрын
Wee giddy where did you get my water bottle? Mine got lost the other day 😂😂
@dicksonkiraithe6369
@dicksonkiraithe6369 Жыл бұрын
Tuma fare ikuliwe😂😂😂
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 Жыл бұрын
Naomba all Second WiFe wakufe mwanaume mjinga sana bb ya kwanza ndio bb Mary run for your life apo akuna Ndoa
@linvi_chemutai
@linvi_chemutai 10 ай бұрын
find Jesus find peace♥
@solomonoduor
@solomonoduor 7 ай бұрын
huwa please enter your password ni assistance producer wa gidi
@Mamawesley
@Mamawesley 8 ай бұрын
😂😂😂Fst wife alifanya Ile kitu
@ManuelMandu-cb6gj
@ManuelMandu-cb6gj 8 ай бұрын
Huyu mwanaume ni mjanja😂😂
@juliawangari7385
@juliawangari7385 Жыл бұрын
Mary chukua watoto wako usiachie mwanaume
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 Жыл бұрын
Mary wazo langu kwako ni chukua watoto utembee nao unaachia mtu watoto wenye sii wake weeee kitakuramba siku moja utashangaa ni heri umpe mamako watoto utembee ukiolewa bure weeeeee
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y Жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾NEVER
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 Жыл бұрын
True✅️ awache upuzi. Who does that😡🙄
@gracewangari8121
@gracewangari8121 Жыл бұрын
Na wakirapeiwa😢😢😢
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Жыл бұрын
​@@gracewangari8121😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@babieakawanga9127
@babieakawanga9127 Жыл бұрын
Kubaf ya mwanaume umeacha watoto wako nyumbani,unashugulikia wa wenyewe
@thogonuii
@thogonuii Жыл бұрын
,😂😂😂😂😂😂 mungu wangu nisaidie nisiwahii Kuwa mjingaa Kama huyu mwanaume 😂😂😂😂
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Жыл бұрын
Wakenya ni watu wa ajabu ..eti nani huyo, kwani ni mipango mingi ya nje??😂
@justuskemboi2322
@justuskemboi2322 Жыл бұрын
Wololo Ii ni gani
@moreh462
@moreh462 Жыл бұрын
The only language women understand is money. Kama huna pesa please my fellow men kaa kando
@westheguitarist8546
@westheguitarist8546 Жыл бұрын
True brother
@catemiss..
@catemiss.. Жыл бұрын
Wehh
@jonellkadimwas
@jonellkadimwas Ай бұрын
𝕌𝕪𝕠 𝕒𝕥𝕒𝕜𝕦𝕝𝕒 𝕗𝕒𝕣𝕖😂😂😂😂
@fjzjc1514
@fjzjc1514 Жыл бұрын
Ww mwenyewe hauna pesa na unaoleka na a married man,bure kabisa tafuta pesa mama
@eva.ruthmaande2753
@eva.ruthmaande2753 10 ай бұрын
Mary take your children for security and forcus on correcting your relationship 🎉😂
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 10 ай бұрын
It's focus not forcus 😊
@msaniikafay
@msaniikafay 10 ай бұрын
Waste of sin having broke married man😂😂😂😂
@mwendapoleee
@mwendapoleee Жыл бұрын
Mimi pia nataka nifikiwe Nani atanipereka patanisho bhanne.
@ALl-py3zp
@ALl-py3zp 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@wakiama9609
@wakiama9609 Жыл бұрын
Mko na miaka ngapi nyinyi
@wakiama9609
@wakiama9609 Жыл бұрын
Mwanaume mjinga huyu
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
Yaaani unaachiwa watoi sio wako na wenye umezaa wako nyumbani
@HarrystoneVehembo
@HarrystoneVehembo Жыл бұрын
Achana na mme wa wenyewe tafuta wako uuuu
@bintuaimee1240
@bintuaimee1240 Жыл бұрын
Baba wa wale watoto wapo wapi?
@solomonoduor
@solomonoduor 7 ай бұрын
😂😂
@lioness8207
@lioness8207 Жыл бұрын
Wtf is wrong with that lady,analazimisha aje mtu asomeshe watoto sio wake, Amepata huyu mwanaume ni dwanzi anamtumia vibaya.mary ako na mtu mwingine
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Waja kushout ukweli
@jacquesekisia5939
@jacquesekisia5939 Жыл бұрын
Sisemi kitu
@nturibiboniface7622
@nturibiboniface7622 Жыл бұрын
Fare itakulwa msee
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Жыл бұрын
Messed up guy...😮... mistake married men do
@reginakaloki6590
@reginakaloki6590 Жыл бұрын
Wakichinjwa atalaumu Nani ama wabakwe
@Danjeff22
@Danjeff22 Жыл бұрын
Mwanake mjinga akuje achukea watoto akwende
@Waziri77
@Waziri77 Жыл бұрын
huyu jamaa amekaliwo, watoto si wa jamaa na anaachiwa, dada huna haya
@laumoshi9419
@laumoshi9419 Жыл бұрын
Sasa wewe mwanamke huna akili ungetoka na watoto na watoto wako sababu si wake je ukikuta wamebakwa utalaumu nani?Acha ujinga kachukue watoto
@marymwikali6235
@marymwikali6235 Жыл бұрын
Mary ni mtu mzima
@snowmanartland8703
@snowmanartland8703 Жыл бұрын
Maria kumbe uko hapa😂😂
@catherinembinya2929
@catherinembinya2929 11 ай бұрын
Some men what's wrong?you want 2 wives yet you cannot sustain 😮
@catemiss..
@catemiss.. Жыл бұрын
Wehh..
@Waziri77
@Waziri77 Жыл бұрын
huyu atakucorn, achana na vinyangaranyinga
@westheguitarist8546
@westheguitarist8546 Жыл бұрын
huyo madam anawaste dhambi. Being with a broke married man ni kazi ya bure
@rahabmwaura1990
@rahabmwaura1990 Жыл бұрын
Mary ako na kiburi sana she just need money from that guy hiyo si poa aki
@felixkirui9796
@felixkirui9796 Жыл бұрын
Good interpretation dear
@eva.ruthmaande2753
@eva.ruthmaande2753 10 ай бұрын
How can you live with a man who has a wife and not supporting to take care of your children
@fiddiggokirimi9630
@fiddiggokirimi9630 Жыл бұрын
How do u dump your own blood kwa mwanaume. Bi mjinga huyu. Hukujua ana familia ingine vyenye u accepted him?
@stephenkatua9395
@stephenkatua9395 Жыл бұрын
Achana na bwana ya mtu. Chukua watoto wako ulee
@eva.ruthmaande2753
@eva.ruthmaande2753 10 ай бұрын
How can you live with a woman and not supporting the education of her children
@sharonwangui7786
@sharonwangui7786 Жыл бұрын
Wenye wanasema huyu mama ni mzima wanajielewa kweli ??? Unaweza aje achia mtu watoto wenye sio wake ,what if he rapes them utasema Nini ,huyo ni mwanamke Bure sana bladifuckini
@ELIJAHATANDI
@ELIJAHATANDI Жыл бұрын
Evil mind
@janestellahauma7204
@janestellahauma7204 Жыл бұрын
Pretender!!!
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 2 ай бұрын
This man is a fool walai
PATANISHO : GIDI, HUYU MWANAUME HE IS TOO DRAMATIC
20:13
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 27 М.
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 19 МЛН
عسير: التاريخ غير المكتوب | بودكاست فنجان
3:43:37
إذاعة ثمانية
Рет қаралды 12 МЛН
PATANISHO : ANANIPENDAJE NA AKONA MKISII - FEDY
26:08
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 66 М.
Heavy Stormy Night to Sleep Instantly | Strong Rainstorm on Tin Roof, Mighty Thunder & Wind Sounds
3:56:45
PATANISHO : LAWRENCE - NILIMPIGA MKE WANGU YVONNE AKIWA MJA MZITO
22:10
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 26 М.
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,5 МЛН