Makosa hufanyika. I love the mzee's humility. I appreciate mum's love for her mzee
@beatricekarisa71455 жыл бұрын
Giddy kama uko na mke,huyo mkeo atulie tu hapo hapo ni wengi tunatafuta mume wakujitambua kama wewe...MashaAllah
@lyndakayeri38982 жыл бұрын
Aaaaish my luhya family we are ever top notch in telling details its the haina macho for me😅😅😅
@jumanashon37742 жыл бұрын
Si Kenya tu, but Kenyan from Burundi..you made me happy
@habibamahamed55875 жыл бұрын
I love that mapenzi ya uzeeni ni matamu sana. Stay blessed guys 😘😘😘
@cynthiaakinyi24232 жыл бұрын
The most matured Patanisho I have listened to 🙌, much respect to the family..The Lord continue blessing them abundantly 💯
@picsandvidstv13484 жыл бұрын
I don’t know why I love luhya’s accent...ati alipata mwito saizi yeye ni evangelist!!!Good story tellers!!😂😂
@mimacloset60244 жыл бұрын
PICSandVIDS TV punte si kitoko 😂😂
@picsandvidstv13484 жыл бұрын
Mima Closet I swear you can listen to them the whole day and not get bored!!!🤣🤣
@robertsure1464 жыл бұрын
Ev wana kua n story teller Sana
@annymoraa54135 жыл бұрын
Hehehe....hakuna kitu tamu kama mapenzi ya uzeeni Leo ni noma sana God bless this family
@mamakebritney9665 жыл бұрын
Wololo 🙌🙆🙌🙌 I give up 😂😂😂😂😂 aki nyie watoto wenu wanawaskiza kweli
@jacksonnduna44194 жыл бұрын
Gid, am sure mbali na imani yako yakidini uliyonayo, hicho kipindi chako chapatanishi kinakupeleka mbinguni moja kwamoja, salute for the best patanisho program
@fridahkimilu76265 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaaa,,,,,wa kwanza kucheka,,,,,wapi likes kwangu.
@sofymoha5 жыл бұрын
Wah! Makuu haya jameni,mengine ya kuhurumia na mengine haifai kutamka kwa redio na umri huu wote wako nao.mwenyezi mungu saidia hii ndoa ipate kudumu
@fatmamacharia35935 жыл бұрын
Mapenzi ni moto moto Leo Mungu waeke pamoja ln Shaa Allah 🙏 🙏 🙏
@dennisnyakundi41042 жыл бұрын
Nmewatch hii patanisho mara kumi but Iko interesting sana
@jacqueMush4 жыл бұрын
I congratulate that woman, problem ni falaghani. God bless ua marriage
@mosemanusu44665 жыл бұрын
Aiseee mko vizuri,kwa hii kipindi cha patanisho nawapata mubashara toka Tanzania
@allanpoza71414 жыл бұрын
My favourite journalism forever,,gidi good job.God bless u
@miwanji54175 жыл бұрын
This is the best, listening from France, before work 🥳🥳🥳 mapenzi ianzee
@marvelyneatieno16904 жыл бұрын
Dear how was the process to france
@gevinkoech4343 жыл бұрын
Mi wanji plz how can i make the process to France dear
@janewangaringoiya57045 жыл бұрын
Radio jambo "mambo yote" mungu awabariki kwa kazi poa.watching from qatar
@irineadisa72892 ай бұрын
Bright Woman,learning alot on this show🎉🎉🎉🎉
@richardnudi84413 жыл бұрын
Oh YES. I luv that.God is great for this family.
@mariagichee3112 жыл бұрын
Oooh Yes 💪💪....utaongezako mama asikie poa
@saisafaith74123 жыл бұрын
Gidi anaweza kuwa marriage counselor mzuri sana
@basimisecadet65693 жыл бұрын
This is my best Patanisho ever
@annasannas62105 жыл бұрын
Listen from Oman,,,hii kweli ilinipita on tym but ilikuwa Kali waaaaaa
@ojuolapetaiwo59735 жыл бұрын
Kenyan wanakam Oman ama
@annasannas62105 жыл бұрын
@@ojuolapetaiwo5973 no walblock 2016
@chainbre2755 жыл бұрын
Leo number two wow like zenu plz coz this ma first tym kuwa number two aki
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
pokea sana like yangu👍👍
@chainbre2755 жыл бұрын
@@sweetmumwake9729 asantiii sna dwe ila hii patanisho mwisho mwisho nitamuuukweli
@tarqouisef73625 жыл бұрын
Metrine Bilunji ukule likes ama. Mnakuwanga mafala Sana
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
@@chainbre275 Wooow l tell u mum ako Sawa najaribu mzee arudi kwake
@chainbre2755 жыл бұрын
@@tarqouisef7362 eti mafala lol anyway thanks wacha niwe mufala kwakinacho nipa tabasamu ya siku
@nsarilema95804 жыл бұрын
Hii kipindi nakipenda sana. Mnafanya kazi nzuri sana.greetings from Daresalaam Tz
@jeremihwasike20784 жыл бұрын
ii ni kalii👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@Sunshine_Amy5 жыл бұрын
37 yrs in marriage.... God bless you mami
@peternjogu62314 жыл бұрын
True
@mchaggamllemirah20444 жыл бұрын
juliet
@peternjogu62314 жыл бұрын
Were are you mum
@alexmakori4 жыл бұрын
NICE one
@brianodiwuor15374 жыл бұрын
Hy mamboz
@hazinahkassim64784 жыл бұрын
Big up mummy huyu mama ako na hekima sana .....mzee aache hizi tabia wakule Matunda ya watoto
@stevekwemoi76703 жыл бұрын
Kwani hii patanisho ni ya waluya tu
@reinhardokinda48875 жыл бұрын
Namba one wapi likes, msikue wachoyo
@21culturekenya824 жыл бұрын
Kuna umri ya kutulia huyo mzee aache haibu kwa watoto.thoooooo!!!
@imanuelbenard36804 жыл бұрын
Wao
@firstmumz74604 жыл бұрын
Punde c kitoko........hiii kitu haina macho...haiwezi ikaona.
wah,,,aki nimecheka yangu yote 😂😂😂😂👈 hapana aki loves begins at 50s eti atakula vizuri following from saudi arabia
@zenahhussein93184 жыл бұрын
Utanipea tena round moja ama utaongezako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nini husumbua wanyore aki😂😂😂😂😂
@amosjuma78344 жыл бұрын
Zenah hussein nitaongezaako 😂 😂 😂
@aggyangie25464 жыл бұрын
Bangi
@saidnoumani72445 ай бұрын
Ni mzee mstaraabu saana!
@nancynyutu40915 жыл бұрын
The funniest patanisho ever, 😂😂😂
@a-oneautosolutions5644 жыл бұрын
Hi
@marcusodhisls4 жыл бұрын
Haina macho saa zingine
@christfamily-kisiik77825 жыл бұрын
Pastor Gidi arudishe sufuria na karai 😍😍😍
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
Mum aki uko na roho Safi mungu akuregeze mzee wako kwa njia zuri inauma kwa sana..
@GladysAtieno-jl8sj Жыл бұрын
Congratulations mummy God bless you l love you mum
@husseinsharriff60414 жыл бұрын
Hii imenivunja mbavu mzee alikua town dry spell manenos😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@official_brianteddy4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@samuelaleper60843 жыл бұрын
Nomah sanah
@voskilltheentertainer256411 ай бұрын
This show is a stress reliever
@chachabosco48903 жыл бұрын
Utanipeako roundi ingine..... that killed the show😂😂
@kageshsantrah95203 жыл бұрын
🤣😂
@metrineokombo50045 жыл бұрын
punde si kitoko,,,,,,aki waluhya jameni
@ruthnyaudo50345 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Waluhya wana nini?
@metrineokombo50045 жыл бұрын
@@ruthnyaudo5034 haha
@annasannas62105 жыл бұрын
@@metrineokombo5004 mmmm n Sisi tu waluya
@gloriahelena36105 жыл бұрын
Ghost 🤣🤣🤣🤣it’s you who make me listen to Jambo your laugh is something else
@wenanyaugustine33114 жыл бұрын
Ghost hucheka sana lakini leo amejaribu 😂😂
@stephenotieno36354 жыл бұрын
Gost ni unganishe na huyu Gloria Helena
@gloriahelena36104 жыл бұрын
@@stephenotieno3635 🤣🤣🤣 Kuja direct yawa
@maureenchiyumba66344 жыл бұрын
😂😂😂
@maureenchiyumba66344 жыл бұрын
Mimi sijacheka shida...nacheka Ghost
@jumasamuel80814 жыл бұрын
Wangapi bado tunawatch ' Mimi sikujua hii kitu haina macho' 2020
@lyndakayeri38982 жыл бұрын
Niko apa bado nacheka😅😅so haionangi ikiingia
@boollyvidi11195 жыл бұрын
Punde si kitoko..😁😁😁😁
@osqqalukunza55144 жыл бұрын
🤣🤣
@Namna0013 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@georginak47953 ай бұрын
Karai na masufuria tena??? Weuweeeee!😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣. Yawaaaaa!
@ritahayuma91404 жыл бұрын
Radio jambo patanisho you are so encouraging each other kwa ndoa thanx
@user-vx1vk8ds7i4 жыл бұрын
My first time kusoma comments zote. 😂 Hii kali. Bring more of this kind
@joelwanyonyi15244 жыл бұрын
Waa
@kageshsantrah95203 жыл бұрын
🤣
@estheralbrechtsen89993 жыл бұрын
Mzee itabidi anunue nyama,na chips then mapenzi itakuwa moto moto aki Kenya hatuhami
@kevinilamoka36434 жыл бұрын
I will always listen to patanisho because it is luring
@neporura86794 жыл бұрын
Nawafuatilia sana toka Sumbawanga Tz
@agnesmunai15764 жыл бұрын
Wao Alaa !that family is so much bouring love is now deluted all the way from france
@nyakober60964 жыл бұрын
It is time Ghost's laughter was available on skiza tunes
@bettimarch62234 жыл бұрын
Wasaaa, niokotwe kwa mchanga chini, the woman is more 🔥. I love that
@MrChairmundu4 жыл бұрын
huyo mama DRY SPELL imegonga kweli kweli mpaka akasononeka kusononeka mpaka ameinua mikono
@ericmayaka70404 жыл бұрын
The best from Goddy... I love it...
@jaredrabuto31383 жыл бұрын
Weeee eti utanipea Tu round moja ama utaongeza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 radio Jambo is the best
@kevohwapipelinetransami43514 жыл бұрын
Ujenzi engineering mzee tulia mkule matunda ya watoto polepole 🕺🕺🕺🤣🤣🤣 na umechukua bibi ya mtu na hujui😂😂😂😂
@serahkibunja62215 жыл бұрын
The best patanisho ever waooooo mwanaume ni kukumbali
@aggycherry94005 жыл бұрын
Ya leo ni noma,ndoa ya vigelegele,masufuria na makarai....eei yawa Gidi mtasikia mambo.But wazee heshimu ndoa zenu na watoto na wakwe wenu
@aggycherry94005 жыл бұрын
@@peaceofmind7036 yes
@mauricesambili48954 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu anaomba ushauri kwa pastor wake ama mungu sio kwa media, hata kama ni mazito aje , sumu kwa mtu mwenye anajua mungu? la .
@palaciokante18363 жыл бұрын
I feel for that mum, she is really in pain. But its not good to give up on ur marriage at that age ati unarudi kwenu. Unafaa kukatalia hapo ata akileta wengine kumi wakupate hapo, sio kuondokea doa ju ya slay queen
@gladysgesare95493 жыл бұрын
Hiyo nayo ni noma wau maajabu
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
Mum tulia uko naguvu zako kwa iyo boma lako uko niwatoto wakubwa.Iyo sikupe stress mum be strong umetoka far mum l love u more
@jambo_safari2 ай бұрын
Jehovah. The madamree is good i tasking. Hata siwezi mfikia hata nikijaribu. Mimi xan make 7 trips masafa marefu na mafupi. But life is funny. Sometimes people should love themselves badala ya usumbufu from grown up mature person. Eish i CANNOT 😅😅
@cathiebrown89325 жыл бұрын
Its so painful, i feel for this woman
@roseauma22703 жыл бұрын
Congratulations mummy God bless your marriage mama
@pascalwafula79103 жыл бұрын
Mamawe
@muthonikaruja84315 жыл бұрын
Aki it's so painful kwa wanandoa tuwaombee wenzetu waishi na amani
@pkk35264 жыл бұрын
Amen
@doreenbae8663 жыл бұрын
Eish I really enjoyed this patanisho 😂😂😂😂🤣
@benrogersmutungamboya5434 жыл бұрын
God bless you mum
@shadrackrono6814 Жыл бұрын
Painful stories
@shadrackrono6814 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@shadrackrono6814 Жыл бұрын
Haina macho ooh
@mohammadomar28724 жыл бұрын
"Utanipea round moja ama utaongeza?" Wah!
@kinsleykinny45814 жыл бұрын
Hii ni kali
@chamazarecrotchety98254 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@mohammadomar28724 жыл бұрын
@@chamazarecrotchety9825 habari ndio hiyo😆
@mercyfaith30214 жыл бұрын
Julius Ototo 🤭😆😆😆😆😆😆😆
@mercyfaith30214 жыл бұрын
I neva knew watu hufanya mapenzi past 50 years😅😅😅😅😅😅😅😅🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭😜😜😜😜
@lydiakomen17194 жыл бұрын
Kwani at 57 bado watu huitisha zaidi ya raundi moja 🙊🙊🙊,wololo yayeeee...mkondo ni mrefu 🙆
@samamussakibwana57035 жыл бұрын
I love this radio jambo.
@bettychepngeno56594 жыл бұрын
You guys make me happy na vile mnacheka hahaha Continue doing a good job Ati hii kitu haina nacho hahaha
@eddahnyongesa98195 жыл бұрын
Mama ,watoto wako wasikia waja ujinga ati raund moja
@KenyanUnicorn10 ай бұрын
This is heartbreaking, i feel the sadness in the woman's voice.
@wambuieunuce5075 жыл бұрын
Happy me sasa nitakua. Namuona gosht live akicheka
@bonfacemoimbo83774 жыл бұрын
hii ilikuwa kali kweli. nani alisema wazee awajui hii maneno
@nabwilelinet70275 жыл бұрын
Aki ya leo n nomaaa😂😉😂😂😂😂😂
@eunicenjeru2154 жыл бұрын
😁😁😁Mary... Mzee wangu hujakula vitu vyako... Aaiiiiii... I love you Mami!
@felixlihutsuanduku41515 жыл бұрын
Hii ni Kali!!!!!
@pastashow0013 жыл бұрын
Haina macho
@emmagesicho30633 жыл бұрын
That mama is so nice woow ., i wanna be her when i grow up.,
@meshacknyongesa86862 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nimuhsteve10793 жыл бұрын
Waaaaaah leo Gidi amecheka ,,,,ati macho wee Acha mchezo
@chrissmutanga89095 жыл бұрын
Huyu mama aki🤣🤣🤣🤣🤣 bt why mbele ya gidi na ghost ....mama pia na umri huo unatafuta nini ushauri kwa redio? Na nani atashauri watoto wako jameni? EWE MUNGU TUSAIDIE
@nancylangat59705 жыл бұрын
Imagine anataka kunywa sumu
@muthonieunice55435 жыл бұрын
Ni ufala
@japhetatisi6185 жыл бұрын
waaat,Na vitu huku Ground ni tofauti sana.
@perpecualngacha44335 жыл бұрын
Sir Gidi is the Man! Soo wise .
@euniceowidi65235 жыл бұрын
Huyo mzee anahitaji viboko
@wambuiwamwangi41285 жыл бұрын
Ndoa ya shangwe na vigelegele..acha nicheke..hio kitu haijuingi haina macho...wololo Siezi hapa hio ya makarai
@noraancellin61385 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Makaraya bana Ribs zangu jameni
@janewangaringoiya57043 жыл бұрын
Waah waah huyu mama aki ,,,,,, nawaombea mazuri.
@edwinnyamweya87685 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤣Ati huyo mama wa 56amesema nini 😅😅😅😅wololo wolo yaye🤣🤣🤣
@mirynjeri58504 жыл бұрын
Jamani gidi siku moja mtakuja kunivunja mbavu,hata mmefanya chai yangu imemwagika jikoni.
@waltereshitera70423 жыл бұрын
The legendary loughter of Ghost is incredible makes my rib cage constrict.
@marynndungu33604 жыл бұрын
Waah sitawai kosha kusikiza hi radio jambo
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
Aki Huyu mama amefuncha mbarika Leo Dorine mahali uko jingonye kwa wivu tukusikie na mimba yako 😅😅😂😅😂..I like this mum wish can meet her
@RoroRoserororo5 жыл бұрын
Yiwe ilikua maneno
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
@@RoroRoserororo Uko aje dear
@RoroRoserororo5 жыл бұрын
@@sweetmumwake9729nko salama sana cjakuona kwa patanisho ya mkiisi
@sweetmumwake97295 жыл бұрын
@@RoroRoserororo Nilikuwa but kwa Acount yangu ingine .Maurine Khasala