Likes can't help us man. This couple needs advice in their marriage.
@chullakoi15083 жыл бұрын
I thnk hii show inafaa iongezwe time Gidi na Ghost haya maswala ya ndoa yanahitaji time mtu ajieleze otherwize all the best Bwana Victr🙏🏽
@suzziesuzzie21723 жыл бұрын
First to Comment wapi likes za radio Jambo please
@mmilly89523 жыл бұрын
👊
@suzziesuzzie21723 жыл бұрын
@Tarkwen 🤪🤪🤪
@silentcry2543 жыл бұрын
Forget about likes, can you please advise and encourage this couple
@marthanjoki91753 жыл бұрын
Firirida Firirida Firirida 🎶Challenge 😅🤣🤣is real
@jacksonkariuki99653 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙆♂️
@clemencianyaboga89463 жыл бұрын
Ww Dada ujui hii Dunia mtu akiona unakaa kwako vizuri wanaakikisha amekwaribia kwako hivo Dada hii Dunia iko na maneno
@mmilly89523 жыл бұрын
Team kujiamini oooiye 🖐️
@mmilly89523 жыл бұрын
@Tarkwen fity 🤝😘
@emilyaholi90093 жыл бұрын
Tupo..kawaida
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Oooyeee
@mmilly89523 жыл бұрын
Hiyo n poa 🤗
@ramycell93813 жыл бұрын
😋😋😋😋tupoooo
@sarahkapumpum63323 жыл бұрын
Woiiiii......this man , I fill this man aki
@maryannmwauravlogs99703 жыл бұрын
Team hamam 🤗
@joelthoya99763 жыл бұрын
😂😂😂 "eti mbona hapo kwa nakupenda unaongea pole pole"😂
@theceefamily77643 жыл бұрын
Huyu dada anacheza sana na hii madharau ndogondogo,aoni huyu bwNa amekasirima na hio maneno.Chunga sana wewe mwanamke uko na bahati lakini hauioni,kwani Ile siku itakuondokea hii bahati ndio utashangaa,so chunga Sana🌞🙏🇰🇪.
@naomiwangare39772 жыл бұрын
Best show ever....
@gracewangari8121 Жыл бұрын
Hakuna venye utawai cheat mwanamke akuforgive for free kwanza jane venye ametulia😂😂😂
@bonareriruth90143 жыл бұрын
Bibi mjinga sana
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Sana
@luckydubebello11313 жыл бұрын
Team qatar 🇶🇦 nipeni likes watu wangu
@esthermugure56763 жыл бұрын
🙋🙋🙋
@luckydubebello11313 жыл бұрын
@@esthermugure5676 yes dear
@maryannethuranira2273 жыл бұрын
Am zooming gidis reaction after kusikia wee haujat....... 😅
@julianamalinda23573 жыл бұрын
No comment Leo , nje kulewa kuchonga nayo
@richardbosire5103 жыл бұрын
I like this guy victor. I respect you.the wife is the problem
@godsfavour56653 жыл бұрын
😂😂😂😂😂karau ni tricky sana joo.ati bibi ana chonga
@princesspriscaofficial48233 жыл бұрын
Number 4 👂👂👂👂
@princesspriscaofficial48233 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 Niko number ngapi
@lucynjoki36943 жыл бұрын
I really sympathize with the guy.
@millicentatienoatieno56305 ай бұрын
Why???? Acha zaki
@marthanjoki91753 жыл бұрын
Story zingine zinaaibu sana eti 🙄hajatairi🙄 for real Ladies aki
@Christine-tq8ny3 жыл бұрын
We call it lack of knowledge dear,tho sijui mbna anaibisha bwanake aki,is not good
@irenemercy80703 жыл бұрын
mbona sijasikia
@conniechrist92603 жыл бұрын
Alikuwa anataka kuuliza hao wanawake walijuaje ati hajatahiri if I am not wrong!
@alisaalis92183 жыл бұрын
Aki aibu ya mwaka,,Waah boy child ataficha wapi uso wake,,yesu wangu shuka usitumane
@catherinenzisa21153 жыл бұрын
Nkt...imagine..hio imeniboo!doshi ni doshi...ikiwa imechongwa wala haijachongwa....job iendelee😋
@sarafinasamson53243 жыл бұрын
Funika mzee wako uchi jamani
@mwanahijahakansson15593 жыл бұрын
👏👏👏
@fabicshofficial3 жыл бұрын
Love this show
@mmilly89523 жыл бұрын
👍
@louesloues15193 жыл бұрын
Tuned in
@tabbywamtz5013 жыл бұрын
Maneno ya watu huvunja ndoa, cz sio kila mtu hupenda maendeleo ya watu, na nikiangalia hapa Jane naomba unisikilize, mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe na mwerevu huijenga. Victor simama kama mwanaume na usikubali kukaliwa na Jane cz mwanamke akiona ako juu kidogo kifedha hua yupo hivyo kama Jane.
@catherinekimweli82253 жыл бұрын
Like za ghost
@dannybandari2103 жыл бұрын
I like the show
@ivonnecseroney52333 жыл бұрын
Victor Run run for your life. Usipoteze kazi au Uende jela bure.
@amoswekesa14763 жыл бұрын
Mi pia mke wangu wa Kwanza alikuwa ivo,nilikuwa napika,navua naoga na kumuosha ye mwenyewe ilibidi nikajiondoaa
@faithmoraa69493 жыл бұрын
Aty kumwosha😂😂😂unless ni Ile ya romance c kama chores
@amoswekesa14763 жыл бұрын
@@faithmoraa6949 Niko criaz
@ashahahahahatwendenikwetut38263 жыл бұрын
😂😂😂 haki wakenya mnaniua mbavu
@AsSa-hn9nf3 жыл бұрын
Lineth Ni poa sana Victor kuongeà ukweli
@irenemauti8833 жыл бұрын
Mzee ni mzuri snaaa
@alisaalis92183 жыл бұрын
Amekaliwa chapati, ,Aki cjui atajiondoa aje kwa huyu mwanamke
@KenworldTv3 жыл бұрын
Siskii kamute
@budeskoeddy36423 жыл бұрын
Huyu ni police wa wapi? 🙄🙄🙄hata pia sisi watu wa gulf ni police and managers 👮♀️🤣🤣🤣
@madamboss3483 жыл бұрын
Police wa gulf 🤣🤣🤣🤣funny
@queenlynne7463 жыл бұрын
Security guard...
@dianakwamboka75553 жыл бұрын
Gidi! You are the best ukiwa na Ghost! Can you give me a job there we work together? Mwanamke (Mimi) pia Anafaa kuwa hapo Kati yenu kwa studio. Pongezi!
@bornmusambi70403 жыл бұрын
Hey Gidi am shailne aburiri from Nairobi kawagware napenda kipindi yenu hua inanfudisha nkunitia moyo
@hamadikassim30913 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Victor hajatahiri.....
@hustlerhustler58893 жыл бұрын
Bibi amechoma😂😂
@mercyamagove12233 жыл бұрын
Uyu Jamaa ni watchman sio asikari
@johnmomanyi43973 жыл бұрын
It doesn't matter.
@denilsonmecha23703 жыл бұрын
Uyo si mke kabisaa brother move on
@salomeomashibo19713 жыл бұрын
Tuko na mama watabia kama hii ana piga chakula siku muzima🤣🤣🤣 Kuna kesi mulikua nayo kama hii muke akisema bwana anamukianga kwa mamake asubuhi jioni anaenda kwamamake saba ndio arudi.gidi alipo mulza akasema mamake utayarisha chakula mapema bibi yake ujifuruta furuta kupiga ndio maana anarnda kwa mamake🤣🤣🤣🤣🤣 Huku Redio Jambo kuzuri kweli kweli💝💘💯
@patriciasaimon363 жыл бұрын
Mmama akisikiza maneno ya wamama ni hatari
@dorcasmumbua28123 жыл бұрын
Ghost Leo naona unaenjoy😂😂😂😂
@syphroseshazala68543 жыл бұрын
Nice work Gidi and Ghost
@shemmosoti28083 жыл бұрын
This man is really suffering
@nancymasaka53073 жыл бұрын
sure
@gracekim1443 жыл бұрын
Na Gidi ulijua anamshuku ju ni mhanyaji😂😂😂😂😂😂.na anajifanya vile ameumizwa.
@ladylovermisspretty10093 жыл бұрын
Mm nikipata mwanaume wa kunipikia naeza furahi kufua nguo, kupika, kuosha vyombo, kubadilisha papers ya mtoto aki naeza furahi 😜😜😜😜😜😜😜waaah my love where a youuuuuuuu came naaaaah
@dominicongaga31143 жыл бұрын
Niko hapa......unless unatoka from Gusii region
@johnorinda2153 жыл бұрын
Am here
@ladylovermisspretty10093 жыл бұрын
@@dominicongaga3114 ndio wapi huko sass
@linetwafula71073 жыл бұрын
Aki pliz nakuomba niko hapa
@milimanitv41243 жыл бұрын
Good work guys
@user-wr9fn4ny4i3 жыл бұрын
I think the guy is good but the lady woo.
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Lady ni mkora
@denilsonmecha23703 жыл бұрын
😂😂😂😂ati nikama ujatairi hii ni gani tena
@lizfranco30893 жыл бұрын
Hapo hakuna ndoa ata kidogo juu huu dame ni don't care na anatoa siri ya mzee inje ya ndoa mbure kabisa
@rosemugure26523 жыл бұрын
First one to comment
@justinlulu2163 жыл бұрын
Whaaat shida ni ujinga
@aliceoside29563 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Wajaka
@AnnahNzoka5 ай бұрын
Uyo anataka athambu kumbwa Sanaa
@agnesladasha56413 жыл бұрын
Nko ndani kama kawaida
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
Dunia ina mambo kweli
@justinlulu2163 жыл бұрын
Wewe unafaa upewe tuzo ya KZbin viewer juu akuna corner unakosekana
@kevohwapipelinetransami43513 жыл бұрын
@@justinlulu216 🤣🤣🤣🤣
@globaltechsolution59453 жыл бұрын
That's why wanapigwa risasi
@dung.w57133 жыл бұрын
Huyu dem ni mjanja kimpango! Analemea huyu jamaa kisaikologia. She easily manipulates the guy!
@patriciasaimon363 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@valerianedithmutio49743 жыл бұрын
Wajaluo wanawake ni vichwa ngumu sana
@jacksonkariuki99653 жыл бұрын
Sana kama baba
@susanmuthoni11673 жыл бұрын
@@jacksonkariuki9965 baba mgani??🤣🤣🤣🤣
@jacksonkariuki99653 жыл бұрын
@@susanmuthoni1167 hehehe wa kisumu
@faithnjoroge46353 жыл бұрын
Huyu Mma amekalia mzae juu y io y kutairi akii,,,"hútía gúige atí wee dúrí wekwatí.x2🎶🎶
@kiiaknia72323 жыл бұрын
Hahaha
@joiceanne81953 жыл бұрын
Haha hutia juge geria kuhora
@jairusomari14593 жыл бұрын
Uyo.mwanamuke.ndiyo..muhanyaji..sana.
@hellenarunga49313 жыл бұрын
Leo ni leo,,,,watu watahiriwe
@mmilly89523 жыл бұрын
Ime enda vizuri.. Ilikua tu misunderstanding kwa nyumba👊
@stephenmuguro95733 жыл бұрын
Show iongezewe time manze
@estherwafula69323 жыл бұрын
👂👂👂👂
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
ongeza sauti😂😂😂😂😂
@rosembithuka91413 жыл бұрын
Hiyo mke wake ni kama bwanangu🤣
@mashaboydesylver82783 жыл бұрын
Eti hajatahiri😂😂😂
@badifamwenyewe83013 жыл бұрын
Wacha tu ni cheke 🤣🤣
@joyjony59113 жыл бұрын
Hapo Kuna sida huyu jamaa ako stressed
@gracenjokinjoroge98713 жыл бұрын
Yani anakunywa mambakisho ya pombe ,na nimuhitaji🤣🤣🤣
@marthanjoki91753 жыл бұрын
Firirida Challenge 😅 wakukunywa wacha akunywe🤣🍷
@rehemaothman22003 жыл бұрын
Ati haujatahiri👀🤐🤔🤭
@jidraphwaitiki17346 ай бұрын
Wewe ndio umeolewa bro.
@joyjony59113 жыл бұрын
Kijana chunga 🤣🤣🤣🤣
@loisegitau48973 жыл бұрын
Victor ni mbaya and I tell you, bibi yako anaeza jilipishia kwa njia mingi. Ongeeni na mrudiane muishi Kwa amani.
@missmuchiri75373 жыл бұрын
Team majuu wapi like
@ramycell93813 жыл бұрын
Mjulusi ni mjulusi tu hata Kama imetairiwa ama haijatairiwa the one who is driving that nini matter bora Utamu 😋😋😋 na hio nugu inipee mtoto
@terryterry27713 жыл бұрын
Woieee this man is depressed.. his wife should treat him like husband 🙄
@graceberg31443 жыл бұрын
I caught our watchman of our estate RED HANDED coming out of my neighbors house girl servant quarters at 4am, I was coming from outing. He was soooooo shocked to see me. He was still wearing his clothes. I think that wife is sensing something is not right.
@Fay6253 жыл бұрын
Excuse me,kwani mwanaume hafai kufanya house chores. 50/50 is fine if both of you are working
@ndutawanjiku93673 жыл бұрын
Niko na Jambo...Wana patanisho ukiomba kupatanishwa na mpenzi wako.Tayarisha maneno matamu tafadhali unajua tu utaambiwa uyaseme...ili ukipigiwa Uwe uko tayari 😁
@joekarlstephan20493 жыл бұрын
Eti akamalizia....
@lyds33663 жыл бұрын
Nimekwana hapo kwa kuonja onja 😀🤣🤣
@madamboss3483 жыл бұрын
Hii single life naona nikama n mzuri cha muhimu nikujiheshimu. Mm cases kila saa siwezi
@godsownpriority52433 жыл бұрын
Hahahaha 🤣😂🤣😂🤣 sisemi kitu.......
@jacksonmutunga48943 жыл бұрын
Huyu jamaa ako sawa. Anaongea ukweli.
@yahabibiyahayatiyahayuni73393 жыл бұрын
Ebu nisikilize hii patanisho ndio ni comment
@naysahope53993 жыл бұрын
Waaaaaah🤔🤔🤔🤔🤔🤔 ndoa zingine sio ndoa maajabu ya Musa jangwani ebu Mungu shuka sasa uingilie kati
@gichore_duncan3 жыл бұрын
To be sincerely honest in my humble opinion without being sentimental and ofcourse, without offending anyone who thinks different from my opinion but rather looking into this critical issue with perspective distinction without condemning anyone's point of view, I honestly believe and think that i sincerely have nothing to say
@missmuchiri75373 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@azizaskitchen3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣yaani unatuweka tunasoma mpaka mwisho kumbe you have nothing to say🤣🤣🤣🤣
@dianacharlie52832 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kennethisiko882 Жыл бұрын
You said nothing in so many words 😂😂😂
@bettiejoy-mtotowamama2 жыл бұрын
Hawa ni communication tu imekosa kwao.
@agfffdgg32173 жыл бұрын
Bwana ako na evidence yako yakulewa wewe uko na story zawamama wa ploti no wonder 2021 naomba Mungu anibariki na kaploti niishi mbali na umbea🙏
@tynahkariuki62593 жыл бұрын
Amen.
@agfffdgg32173 жыл бұрын
Thanks my dear
@jacintakariuki14123 жыл бұрын
Victor that lady is slipping around, if you hear your partner suspecting that you have mpango, vice versa is true.
@loisegitau48973 жыл бұрын
I think Victor ndio mbaya
@catherinewanjiru71363 жыл бұрын
Ghost uamini iyo mjadala😂😂😂😂
@naomygithukia67513 жыл бұрын
Aty nikama hajata 😄😄.....
@melodysamba33303 жыл бұрын
Bro you normal?
@zarabati17503 жыл бұрын
Hahahahahaha crazy
@emilyaholi90093 жыл бұрын
Jaluo ni jinga jeuri..jaama hakuna ndoa hapo Jamaa..jitoe mapema
@miriamenane26873 жыл бұрын
Never allow mwanamke akucontroll,kaa kama mwanaume,mume ndo kichwa cha nyumba
@RoroRoserororo3 жыл бұрын
Gai sasa bibi ukisikisa mambo ya watu utakaa kwa ndoa kweli
@beckykemmy13413 жыл бұрын
Huyu mama ni mujinga aky 😏😏😏😏
@carolynendunge86973 жыл бұрын
Sana
@petersonmokaya62273 жыл бұрын
Sitaki kuegemea upande wowote lakini huyu mwanamke...
@mwendapoleee3 жыл бұрын
Si nyumbani kuna slow cooker una weka mboga yako inachemka pole pole kukaraga tu na kusonga ugali mambo kwisha!