Tap to unmute

PATANISHO : NIKO NA WAKE WENGI..WEWE NI MGANI?

  Рет қаралды 139,848

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 266
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
Educate your kids so that they don’t become desperate to beg arrogant men
@lydia5558
@lydia5558 Жыл бұрын
Thats y i hustle like a man nijipatie chochote nahitaji in this life coz i will only depend on God
@LynnDarc
@LynnDarc Жыл бұрын
As long as you're breathing there is hope for salvation let's REPENT tomorrow is never promised .
@abigaelnabal6065
@abigaelnabal6065 Жыл бұрын
Correct!!! Well put!! Well placed!!
@onyangomelly5367
@onyangomelly5367 Жыл бұрын
Amen
@paulinekasivi2138
@paulinekasivi2138 Жыл бұрын
Twenty eight years then mtu hakujui na ukona watoto wake ,tuachane na wanaume Wa wenyewe.
@lilian2660
@lilian2660 Жыл бұрын
Don't force love princess wewe ndio utakufa mapema
@margaretwarorua1041
@margaretwarorua1041 Жыл бұрын
At last patanisho on you tube👍👍
@Miss34Achieng
@Miss34Achieng Жыл бұрын
Please ladies, don't beg a man for love. KNOW YOUR WORTH
@danielmutuma718
@danielmutuma718 Жыл бұрын
When a man beg for love it becomes worth lkn mwanamke anaambiwa ajipende.hii ndio Dunia tuko nayo
@francmwoki
@francmwoki Жыл бұрын
Fulfilment of the Bible,you have to beg for love
@menzamenza8554
@menzamenza8554 Жыл бұрын
Ngaii , mungu anipe nguvu , siweziiiiiiiiiiii fanya hii ujinga
@JamilahOmar-cf2ow
@JamilahOmar-cf2ow Жыл бұрын
Waah, eti nko na wake wengi mwanamme kama huyu mm siwezi kukaa na yy
@rodgerssiocha3745
@rodgerssiocha3745 Жыл бұрын
Uko sawa mrembo na umeolewa ww
@JamilahOmar-cf2ow
@JamilahOmar-cf2ow Жыл бұрын
Nko single lady 😂😂😂
@moreh462
@moreh462 Жыл бұрын
Shida iko hapa nje ndo inafanya akue desparate ivo. Watoto nne atapata bwana mwingine wapi surely
@philipmutua6643
@philipmutua6643 Жыл бұрын
​@@JamilahOmar-cf2ow ⚡
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
​@@moreh462 watoto sio shida, huyu ni aweke mafikira ya bwana kado ajukue watoto na amove on alone.
@christineombati7831
@christineombati7831 Жыл бұрын
Surely 🤔🤔🤔🤔🤔 tafadhali tafuta kitu ya kufanya my dear princess please in Jesus name 🙏 he will come through for you achana na huyu ubwa koko
@fauzsky5399
@fauzsky5399 Жыл бұрын
😢😢😢Duh wamama tujipendeni🙄🙄 Please my God protect from this kind of desperation!🤲🏾🙏🏾
@annkiago5331
@annkiago5331 Жыл бұрын
Sikia hii ngamia ya mwanaume...haki mama siujipende hata kidogo aii
@petroshanelsafari6321
@petroshanelsafari6321 Жыл бұрын
Dear God may i never explain my self to human because Lord you are enough for me and my generation
@janenjeruh918
@janenjeruh918 Жыл бұрын
Wueh...ni wapi kumeandikwa moaka uuishi na yeye...move on mamaaa.. stress itakumaliza..jiamini na usonge na maisha . Sioni ndoa hapo..mbele iko sawa..hata kama ni kufua nguo ...fua... jiamini..
@nyarsakwa1492
@nyarsakwa1492 Жыл бұрын
Mummy jipende, huyu mwanaume hana kazi yako
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
I.salute you mzee.
@carolynekanaiza
@carolynekanaiza Жыл бұрын
Na ndio maana naambinga mungu nipe mume wangu TU.
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Omba mungu akuongeze tu maana mambo n magumu
@alicenyambura1130
@alicenyambura1130 Жыл бұрын
Woooiii princess, heri atafute vile ataishi, hapo hakuna mme. very proud and arrogant man..
@Mama_Tasha20
@Mama_Tasha20 Жыл бұрын
Afadhali uolewe na masikini kuliko bwana ya mtu
@masonsanders7689
@masonsanders7689 Жыл бұрын
Akina Sabina Chege na waruguru ndio hao... Malaya
@euniceombogo5712
@euniceombogo5712 Жыл бұрын
@@masonsanders7689 unamanisha nini
@bensonmusioka4185
@bensonmusioka4185 Жыл бұрын
Lkni si pia n bwanako
@janenjeri986
@janenjeri986 Жыл бұрын
Hakuna tofauti anaeza kuwa ni bwana ya mtu na awe maskini 😂
@dominickemonde796
@dominickemonde796 Жыл бұрын
Majority are after money
@violetaura3476
@violetaura3476 Жыл бұрын
Gidi men from Bungoma county am telling u ni vichwa ngumu na wako na ujinga kwa vichwa sio watu wa kupatanishwa
@carendeborah5687
@carendeborah5687 Жыл бұрын
Luhya in the house 😂😂
@blessblessings5062
@blessblessings5062 Жыл бұрын
I guess the lady is the one who is 28 years old not that marriage becoz, if it is the case their children are big to decide for themselves.
@aisha1321
@aisha1321 Жыл бұрын
True
@evawangari2417
@evawangari2417 Жыл бұрын
I thought so marriage of 28years and you have children to steal hao ni wakubwa kuibwa
@delphine-o9d
@delphine-o9d Жыл бұрын
Hi princess fikiria mbali yaani fungua macho nendeni gulf kajitafutie riziki and remember that marriage is not a ticket to heaven so plz don't force issues na baadae atakuja kukutafuta and it will be late for him
@lilianwambui1035
@lilianwambui1035 Жыл бұрын
Mungu wangu
@moregracekenyaofficial7307
@moregracekenyaofficial7307 Жыл бұрын
It's better remain single than getting married to a fool
@miriamchepkurui9257
@miriamchepkurui9257 10 ай бұрын
Kweli
@obedozotv7348
@obedozotv7348 Жыл бұрын
Sasa hapo Giddy mnadanganya huyo mama, eti aende kwa nguvu, pia huyo mzee is very intelligent, your approach to him was rude, ungeongea naye pole pole ungejua chanzo cha huyo bibi kufukuzwa but she sounded like a drama queen.
@kithamalennah7846
@kithamalennah7846 Жыл бұрын
One ,this lady she is young hii ndoa si 28years maaaiiiyuuuh huyu mzae hapana
@Pena-k-x2n
@Pena-k-x2n Жыл бұрын
Huyu mtu ni shenzi sana jinga kabisa
@valentineonyoni9065
@valentineonyoni9065 Жыл бұрын
kama ni mimi naoga nirudi soko alaaa.
@rosenanjala6155
@rosenanjala6155 Жыл бұрын
😮😮Kenya sihami
@monicahnguta135
@monicahnguta135 Жыл бұрын
Kuolewa bibi ya pili ni problem on top of trouble hii equation si rahisi kabisa dadangu nyumba ya watu unaingia alafu unataka wewe ndio useme ulisikia wapi.
@nophoneeva9685
@nophoneeva9685 Жыл бұрын
God can we do more, this is absurd 😪 surreal!
@florahnaitore2671
@florahnaitore2671 Жыл бұрын
The woes of mipango ya kando. Mummy tafuta bwana yako wachana na wa wenye we.
@everlynemulongo7004
@everlynemulongo7004 Жыл бұрын
Ndio maana Saudi imekuja watu twendeni tufanye kazi ukiwa Na chako utaheshimiwa
@felixorangi5075
@felixorangi5075 Жыл бұрын
When you don't care about other peoples feelings, you become a being, you are no longer human. Very sad
@jarkata7465
@jarkata7465 Жыл бұрын
Good man congrats 👏
@phibianwandera4079
@phibianwandera4079 9 ай бұрын
Ndoa yawenye nisum
@hastatz
@hastatz Жыл бұрын
Uko na wake wengi mimi sina hata demu jamani nipe mke mmoja
@joshuaawinyo9112
@joshuaawinyo9112 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@merciewambui2129
@merciewambui2129 5 ай бұрын
@hahahaha
@lynnfleity3903
@lynnfleity3903 8 ай бұрын
Woiiiie😢😢😢😢i see my mum's voice in her😢😢😢
@kimpaul4690
@kimpaul4690 Жыл бұрын
This is very sad 😭
@hellenkarisa639
@hellenkarisa639 Жыл бұрын
Maisha huazha popote mama wacha kujiforce kwa mtu hata amekusahau n anakwambia ako n wengi sasa wewe unaenda kufanya nini😏😏jipendee naniiiiii utajifia bure n matesoo 🤔🤔🤔
@caromate6145
@caromate6145 Жыл бұрын
No no no. niukweli ama,jameni niuchungu haki.r.i.p
@osagyefo4305
@osagyefo4305 Жыл бұрын
28 years in marriage na Mzee anaenda na watoto wote. If they are married for 28 years then the first born and second born should be around 27, 26 or 24. They should be independent already. Si kukaa na Mother kwa rental. Not adding up.
@sreysros5583
@sreysros5583 Жыл бұрын
ATI akuje na kuku..waluhya jameni😂😂
@linetbogonko2868
@linetbogonko2868 Жыл бұрын
Huyo mwanamme ni mjinga.
@mutethyakish
@mutethyakish Жыл бұрын
Wewe ulijiingiza kwa ndoa ya wenyewe kufanya nini we achwa kabisa jipange
@mumblessed001
@mumblessed001 Жыл бұрын
Wewe princess jitume kuja gulf ufanye kazi ulee watoto ache kubeg mwanaume 😢😢
@eunice1611
@eunice1611 Жыл бұрын
Volume kiasi mama
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 Жыл бұрын
Yaani huyu mama 28yrs of marriage bado bwana hakuoni wewe nikama binadamu?😢 😢 Na bado unataka kurudi mummy? Jipe shuguli na unawache kudepend sana nayeye sijui mara ujengewe bla bla, bla.jifunze pia kijisimamia
@isintajonathan195
@isintajonathan195 Жыл бұрын
Ati ngoja aangalie kwa diary 😂😂
@MelanatedQueen254
@MelanatedQueen254 Жыл бұрын
Too much dependence on men who don't even understand their roles as husbands. This is why women empowerment at the grass roots level is paramount. Right now, mtu kama Princess hangekuwa anajiaibisha hivi and acting so desperate! THIS IS SAD!
@kareembashir4064
@kareembashir4064 Жыл бұрын
She's the one who made a mistake by voluntarily choosing to be number 2,btw who lied to women that a Man can leave his first wife?
@catherinemumbua8251
@catherinemumbua8251 Жыл бұрын
Kwani we ni kiwete si ufanye kazi.
@jasa85
@jasa85 Жыл бұрын
As a man I totally agree for women empowerment for this could have been avoided if she was taught self reliance and above all love for self. I don't blame her whatsoever for it takes two to tangle and apparently it ain't happening here. So how can she be faulted for that. I pray for the guy to see that he is not only hurting the wife but also his own kids are suffering.
@jasa85
@jasa85 Жыл бұрын
​@Catherine mumbua Jamani maziwa iliyo mwagika haizoleki. Have some passion if you really came from a mother or is a mother . Other than that We are all entitled to our own opinion. Ubarikiwe.
@Doreen_K
@Doreen_K Жыл бұрын
Wemen before uolewe second wife make sure that man has money,, sio kuenda tu aki😢😢😢
@mwendapoleee
@mwendapoleee Жыл бұрын
Wamama unakaa na libwana la wenyewe kwanza wabukusu sisi tunaushenzi ingine mbovu saana Huyo bibi angezaa mtoto moja na aseme mimi nijegewe boma la si ivyo Niende zangu ata bila kuzaa Sasa umezeeka Hana haja na yy aperekwe kwa chief achukuliwe hatua.Kwanza sisi wabukusu kama hauja peana mahari watoto si wababa ni wa familia ya mama yao bwana mwingine akikuja amuoe huyo bibi anaenda na watoto wake mimi ningejirebesha nipite pite hapo kwasoko nipate mtu wamaana kuliko kulilia mtu.Self 💕
@hedwiglilande8981
@hedwiglilande8981 Жыл бұрын
My point exactly, kwa nini uzalie mtu 4 kids na hauna anything
@hedwiglilande8981
@hedwiglilande8981 Жыл бұрын
She's wasted 28yrs of her life
@phoebeadikinyi3441
@phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын
This is stupidity of high level, mbona wanawake wengine hawajipendi ni wajinga ivo,women love yourselves
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 Жыл бұрын
​@@hedwiglilande8981just imagine 😢 Kwani amerogwa🙆🏽‍♀️ na bado anataka kurudi by force by fire🤦🏽‍♀️😂
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 Жыл бұрын
👏🏾👏🏾 ongeza volume!!
@maryannmwauravlogs9970
@maryannmwauravlogs9970 Жыл бұрын
Weee kama hawa ndio wanaume mm Acha nitulie😢
@edwardkinuthia7302
@edwardkinuthia7302 Жыл бұрын
Mmm?
@phylisemaly8016
@phylisemaly8016 Жыл бұрын
Mrembo heri jipende achana na hili kizee hakina adabu
@papaprezdajofri
@papaprezdajofri Жыл бұрын
Giddy's approach was very wrong, hujui huyo mmama alikosa nn na unataka kulazimisha warudiane
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
wanaume mtihani kwa kweli ivi miaka 28 umeishi na mke halafu unamuwachaaa dah hata huruma ndo mana dini yetu ikasema tuolewe na wanaume wenye dini kama hakupendi hata kutesa kwa kuhofia mungu
@mwazikitoko3937
@mwazikitoko3937 Жыл бұрын
Being desperate is abad Disease, kuliko niwe second wife better stay single
@abrahamlainialex9683
@abrahamlainialex9683 Жыл бұрын
What do you mean......
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
​@@abrahamlainialex9683 better single than hiyo madharau 😂😂
@joseO12326
@joseO12326 Жыл бұрын
Ukishaa kaa single unaboeka unaiba bwana ya wenyewe😂 Unateswa na unaachwa. Mapenzi ni bahati na Mungu tu
@danielmutuma718
@danielmutuma718 Жыл бұрын
Nothing like staying single you just decide to walk with someone's husband..uko single na Bado huwezi maliza two weeks bila sex😭ladies you need to change your mindset
@halimasalim6842
@halimasalim6842 Жыл бұрын
@carolinewangu7123
@carolinewangu7123 Жыл бұрын
Waaah huyu mwanaume noo aki princess this man has no your time
@susanrichard5351
@susanrichard5351 Жыл бұрын
Waaa 20years mtu akujui enda kwahaki ya watoto juu uyu ana time yako
@cliffordotundo530
@cliffordotundo530 Жыл бұрын
Mzee amesema mama aende na kuku sio kwa nguvu kwani, you don't listen properly.
@emilywangui
@emilywangui Жыл бұрын
Surely ladies huwa mnapata nguvu ya kuolewa na wanaume kama hawa ....kwani mjipendi😅😅😅😅huyo mwanaume ni joker
@mwendapoleee
@mwendapoleee Жыл бұрын
Aaaaih Mimi atanaumwa.Ampereke kwa childrens wateva achukuliwe Hauta.eeeish over 20 yrs Bado unateseka na libaba liko na mvii kwa ma****e 😂
@emilywangui
@emilywangui Жыл бұрын
@@mwendapoleee ujinga ya huyo mama ...hata yeye hayuko serious na maisha yake
@phylisemaly8016
@phylisemaly8016 Жыл бұрын
Bwana ya mtu n sumu
@naftalynaff7811
@naftalynaff7811 Жыл бұрын
I blame this woman,,28yrs ???Nooo
@ttss7716
@ttss7716 Жыл бұрын
Huyu msichana ni zuzu akii😢
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Yes 28yrs kwa ndoa she is almost over fifty.
@billymankenya
@billymankenya Жыл бұрын
I understand the husband. With the harsh economy, many men regret having children with second wives.
@edwinochieng9014
@edwinochieng9014 Жыл бұрын
Doesn't justify his actions, though mama pia ako na shida...you can't stay in rentals for 28years...infact first six months is enough akujengee boma..
@piecesofbeautiful4019
@piecesofbeautiful4019 Жыл бұрын
I never sympathize with mistresses, mipango, so called second or third wives. You reap you sow, simple, lakini huyu hata nimemhurumia. Ameonyeshwa madharau pro max. Gidi ameboeka yake yote🤣🤣Ghost leo hata kicheko kimeshindikana
@fredrickonchokanimrods9631
@fredrickonchokanimrods9631 Жыл бұрын
Mama alianza poa Sasa kusema ulete vurugu,,Kwa nani!!!Mzee naye hakuna mtu hapo
@veronkelly6337
@veronkelly6337 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅waah. This is madness,.
@boscokalu685
@boscokalu685 Жыл бұрын
Aaai uyu jamaa bwanaa waaah😢 ati wee ni wa ngapii
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 Жыл бұрын
🔥 🔥
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Huyu ni Bonnie mwingine 😢
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
Huyu ni bwana malaya na huyu mama anajilazimisha kwake nini
@lilian2660
@lilian2660 Жыл бұрын
Aki badi anatongozana na amezeeka
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
@@lilian2660 mwanaume kama huyu inafaa apokonywe nguvu za kiume tu atatulia
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Жыл бұрын
Mimi sipigwiiii! Sina mwili ya kupigwa! As long as Niko na pumzi nitaishi roho juu na siwezi nyenyekea kwa mtu ananidharau as if I am nothing.
@KaranjaPk
@KaranjaPk Жыл бұрын
Wewe ni mkora
@jacintermwikali
@jacintermwikali Жыл бұрын
@@KaranjaPk kama wewe
@mww4491
@mww4491 Жыл бұрын
​@@KaranjaPk She knows nobody can define her... let the man take care of his kids. she can move on!! to avoid continue living with untrained Mongrel -man,, with a teapot brains.
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
Lakini mwanamke anatoa wapi nguvu 😂 wueeeeh bwana ya mtu ni matata wewe wa pili ni kama quencher
@janethmdollo5268
@janethmdollo5268 10 ай бұрын
Gidi kwamba kina Jenny wabaya😂
@susankomu8978
@susankomu8978 Жыл бұрын
Unaweza aje ambia mwanaume ati hupati ata Chakula yako atakuthdarao aki..Lakini all those years mbila kuangalia future aki
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc 5 ай бұрын
Kibwana kina zarauuuu😏😏mpata naskia kichef chef🧐shenzi sana
@veronicahadhiambo7545
@veronicahadhiambo7545 Жыл бұрын
Hata sauti ya mwanamume si Romantic fyuuuuuuu😂😂😂😂😂 aki wanaume,Repent Repent
@mutulehephsiba5961
@mutulehephsiba5961 Жыл бұрын
He is a Luhya😂😂😂😂😂
@dainacharity6782
@dainacharity6782 Жыл бұрын
Nmebaki apo Kwa waende Kwa nguvu
@sylviawangila9438
@sylviawangila9438 Жыл бұрын
I think she is young she can start over gain its never too latr
@kyenallan3823
@kyenallan3823 Жыл бұрын
Start what with 4 kids??hii ni upuzi..her life is wasted
@doreenkhayanga9155
@doreenkhayanga9155 Жыл бұрын
Bunyala,Bukusu,Tachoni ,Kabras and Wanga men never kupanga wanawake kama viazi is there DNA second wife na unazaana watoto wengi can't pity you ashawo kula bidii ya kunyaka bwana ya mwenyewe
@nyawebabu5644
@nyawebabu5644 Жыл бұрын
Jambo redo yetu waluya 😅😅😅😅
@PhylisKoech-he4yb
@PhylisKoech-he4yb 6 ай бұрын
Uyu ako na kiburi weeuuh mbukusu
@janetahmedi9622
@janetahmedi9622 Жыл бұрын
Na hiyo madharau alikufanyia ya kukupiga na kukunyanganya watoto bado unataka kuishi na yy?
@lilianrough6896
@lilianrough6896 Жыл бұрын
Tulisema kama unataka bwana ya mtu make sure hutegemei kwa Kila kitu,,tafute pesa zako pia uwe na stands zake,,, otherwise ni kubaya,,,nipewe bwana ya mtu sasa hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
@poshia2006
@poshia2006 Жыл бұрын
A day will come when ALL women will stand on their own feet. Begging isn't funny nanii
@villageprincessful
@villageprincessful Жыл бұрын
My goodness that man is so arrogant! the lady so desperate to go to the unloving man. What is life? Women come on tujipende.
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth Жыл бұрын
ila wakenya😂
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 Жыл бұрын
Mwanaume wa Mtu ni Sumu😺😺😺😺
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Sure
@digzsolutions
@digzsolutions Жыл бұрын
Ameambiwa aende na hio kuku inawika... ama?
@martinmuzungu862
@martinmuzungu862 Жыл бұрын
24 yrs na bado unfichwa kwa vibanda kama bangi??😡😡 very disappointing
@trackandsoundmaster
@trackandsoundmaster Жыл бұрын
28 years in marriage means last born should be 10years so hiyo sio ukweli
@puritykash8928
@puritykash8928 Жыл бұрын
29 yrs in married that long
@lillianm.munyao7793
@lillianm.munyao7793 Жыл бұрын
Eh!!! 🙄🙄🙄
@merciewambui2129
@merciewambui2129 5 ай бұрын
yani uyu mwanaume akumbuki bb
@jeremycarson2652
@jeremycarson2652 Жыл бұрын
I don't think they have been married for 28 yrs. The lady sounds very young.
@queenlynne4157
@queenlynne4157 Жыл бұрын
Alikuwa mpango
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Жыл бұрын
You are right maybe she is 20 years
@jeremycarson2652
@jeremycarson2652 Жыл бұрын
@@queenlynne4157 mpango for 28 yrs? It's not adding up.
@mwazikitoko3937
@mwazikitoko3937 Жыл бұрын
This is not true the lady sounds young
@barnabasnjuguna4004
@barnabasnjuguna4004 Жыл бұрын
Let's not take lightly what the man is insisting and pushing her to say.....'ni makosa gani alifanya'....I don't think the older woman is involved in this drama,and her asking for forgiveness so fast raises eyebrows.... in my opinion, it's more likely she had been conducting an affair and the 'husband' came to find out and therefore decided to pull out instead of fighting/maiming each other, leaving her to continue 'enjoying'....
@evansonmacharia2640
@evansonmacharia2640 Жыл бұрын
I can only assume that that lady ni mzima kimwili. Why can't she work to maintain herself and provide for herself badala ya kutegemea a man?
@jacksonngulu6653
@jacksonngulu6653 Жыл бұрын
Ghost Yuko wapi acheke
@janemwangi317
@janemwangi317 Жыл бұрын
If kiburi was a person
@KaKa-if5nz
@KaKa-if5nz Жыл бұрын
When you get married, What are you bringing on the table! Matokeo hayo
PATANISHO : MUTHONI - MUGO ACHANA NA BANGI KWANZA
18:56
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 318 М.
PATANISHO : GIDEON - MKE WANGU AKO NA MPANGO WA KANDO
22:29
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 28 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
The best patanisho ever
24:31
Mutwiwa Julius
Рет қаралды 364 М.
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 658
RUTO'S WORST MISTAKE THAT WILL COST KENYANS EXPOSED FEARLESSLY
11:52
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 895 М.
PATANISHO: Marafiki wa mpenzi wangu wananitongoza
20:42
GIDI GIDI
Рет қаралды 24 М.
PATANISHO : NILIKUWA NAMPIGA MKE WANGU NIKIWA MLEVI
22:07
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 19 М.
PATANISHO : JOSEPH - EX WANGU ALIKUWA ANAULIZA BEI YA NDENGU
16:58
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 219 М.