PATANISHO : YEYE HUAMBIA MKE MWENZA AJE NA GUNIA YA MAHINDI ILI ACHOTE MAHINDI YANGU - ESTHER

  Рет қаралды 25,619

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 10 ай бұрын
Jameni Esther siungemalizia hio pesa unandikishe Shamba kwa jina lako wewe mwanamke mwenye bidii ,uendelee kulima siku hizi shamba ndio best investment
@MagdalineAtieno-x9u
@MagdalineAtieno-x9u 10 ай бұрын
Easther ur voice is waaooo❤, Kevo sasa leta hao wanawake weeeengii wenye ulitaja tuone kama utapata wife material kama Easther, guok😢
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 9 ай бұрын
Mwambie asikie kevo konokono kiwete
@cyrusngure8523
@cyrusngure8523 9 ай бұрын
Sio easther ni Esther 😂😂nkt
@MagdalineAtieno-x9u
@MagdalineAtieno-x9u 9 ай бұрын
@@cyrusngure8523 ooh kuumbeeee ,otherwise thanks for correction 🤣🤣🤣
@namishatom1108
@namishatom1108 9 ай бұрын
🎉This lady she's a blessing, Kevo utalia
@matonge3
@matonge3 9 ай бұрын
That's a good wife and strong woman kevo 0. Esther 10 points keep your head up Esther
@patrickj.136
@patrickj.136 10 ай бұрын
Young beautiful, bright Lady but in the wrong hands, pole sana mwanadada.
@Leeboykenya
@Leeboykenya 10 ай бұрын
In this generation to get a hardworking and loving woman is so hard ukipata mweke kama queen ama utalia kama kevo😂😂😂
@supu1237
@supu1237 10 ай бұрын
Huyu mrembo ajipe shuguli God atampatia hubby mwenye Yuko seriously na wajijenge
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 10 ай бұрын
Gaidi anataka mlezi hataki bibi wa kumtengemea
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 9 ай бұрын
Mrembo akanyage kubwa kubwa,huyu jamaa hayuko serious na ajijenge,mrembo anunue shamba yake mwenyewe, huyu Jamaa ataweka bibi mwingine kwa hiyo shamba wamenunua
@mein5494
@mein5494 9 ай бұрын
Sometimes as men we loose the moon looking for stars...
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 10 ай бұрын
Amen 🙏
@carenmusyoka6519
@carenmusyoka6519 9 ай бұрын
Mature lady
@EuniceGayanzi
@EuniceGayanzi Ай бұрын
Eee kevo ni player dada move on na maisha yako
@cindy8588
@cindy8588 9 ай бұрын
Mature lady there...
@schacha999
@schacha999 9 ай бұрын
Usimsameheee enda kabisaaa kevo will kill you na stress.
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 10 ай бұрын
Pesa ya kulea wanaume mnatoanga wapi chanuka
@mwendapoleee
@mwendapoleee 9 ай бұрын
Aki woooiiiyee kuwa na plan B kulea libaba Lina tembisa makende kila mahali ,naskia kutapika unaletewa uchafu ya wanawake uko ije navile magonjwa yako.aaaaih
@samsonodhiambo2953
@samsonodhiambo2953 10 ай бұрын
Why do those who work hard to make ends meet are being humiliated. ???
@mosics1921
@mosics1921 9 ай бұрын
Kevo ukona ufala ...we are finding these kind of ladies
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 9 ай бұрын
Ghost umesema truth,good wives get bad husbands while good husbands get bad wives ,,nawaoooh😢
@schacha999
@schacha999 9 ай бұрын
Uzuri once a lady amekupea time ya kuchange ,hawezi rudiii by the time unachange atakua amemove on😂.
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 9 ай бұрын
Kevo ako very immature bt the Lady ni mwanamke wa bidii sanaa akii
@FaithOyaro-n3b
@FaithOyaro-n3b 9 ай бұрын
Nipee number ya huyo dem niconnect na bro wangu such a nice gal
@rejoycemmbone5049
@rejoycemmbone5049 8 ай бұрын
Sisi wanawake wabidi Mungu atusaidie tu aky cus czani kama tutawai pata mtu ako serious...like for me nliinua mikono waah😢
@BenardOjunga-er8rl
@BenardOjunga-er8rl 9 ай бұрын
kwani Mimi nyota yakupata watu kma Esther ndyo sikupewa😢
@vivianagolla5124
@vivianagolla5124 9 ай бұрын
Tofauti ya kevo na shetani ni location warudishe hao sasa Esther move on mungu atakusaidia
@jacquelinendambuki3196
@jacquelinendambuki3196 10 ай бұрын
Gunia ya mahidi 😅😅😅😅😅
@isintajonathan195
@isintajonathan195 9 ай бұрын
Avoid those men called kevo they are dangerous 😂😂
@AishaaIvusa
@AishaaIvusa 9 ай бұрын
N mose n victor ogopa
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 10 ай бұрын
Binti huyu hawezi change fanya bidii move on
@tirizabenjamin5349
@tirizabenjamin5349 9 ай бұрын
This Kevin ni aje💔
@marrieann5278
@marrieann5278 9 ай бұрын
Huyu Kevin tawe,Esther kimbia
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 9 ай бұрын
😂😂😂
@godsfavour5665
@godsfavour5665 9 ай бұрын
Kevo ni player 😢walahi sijui inakuwanga aje ukipata dem mzuri mwanaume anakuwa shortwire...na vile huyu dem. Anakaa mtu wa future nzuri wife material but tailor mkorofi
@bab883
@bab883 9 ай бұрын
Esther Ruuuuuuuuuuuuun!
@LuciaMutuku-cc5hc
@LuciaMutuku-cc5hc 9 ай бұрын
Esther run don't go back to this ingrate
@mwendapoleee
@mwendapoleee 9 ай бұрын
Aki mummy ameongea mpaka mimi naskia uchungu.
@Mamawesley
@Mamawesley 8 ай бұрын
😂😂😂😂Niliwai Lea libaba nikanipea mimba nikaniacha siwez rudia tena iyo ujinga
@shamimaoko
@shamimaoko 10 ай бұрын
Useless man madam kanyaga kubwa kubwa he's not serious...
@deeduks15
@deeduks15 9 ай бұрын
Wanawake wacheni kueka wanaume,kwanza hao wakufuga ndio wabaya hawatulii
@LuciaMutuku-cc5hc
@LuciaMutuku-cc5hc 9 ай бұрын
If I was a man I will propose to Esther today today
@mein5494
@mein5494 9 ай бұрын
Kevin that was wrong timing. Ungewacha atulie kwanza ndio umtafute... Sasa umeharibu mapema
@solomonoduor
@solomonoduor 6 ай бұрын
siezi mpa mtoi wangu jina kevo.brayo hizo marina ni liana tupu
@jamesmusyoka1767
@jamesmusyoka1767 9 ай бұрын
Ghost 😂😂😂😂
@moreh462
@moreh462 9 ай бұрын
Avoid kevo and brios
@KenyaHappyCorner
@KenyaHappyCorner 2 ай бұрын
Sasa tumetokea wapi jamani😂😂😂
@Lashymreal96
@Lashymreal96 9 ай бұрын
Kevo ni player,,Brayo ni player ,, Kevo ni myingwa ukiwa karibu na mtu anaitwa Kevo mpige kofi
@Kipsang-u3p
@Kipsang-u3p 9 ай бұрын
Huyu jamaa ni mjinga Gidii mwanamke anakuinua unafanya xako xa ujinga? Wewe mwanamke ngangana na maisha please
@nancyalusah8822
@nancyalusah8822 9 ай бұрын
Kevin! You will never ever meet a woman like Esther….if you will not marry Esther as a wife then consider yourself unworthy/unlucky 😮
@MainChase
@MainChase 10 ай бұрын
Gidi huyu wa leo mchomee kabisa 😂😂😂He deserves it 😂
@milkakamau1478
@milkakamau1478 9 ай бұрын
Kwa nini umuachie plot??? Enda uandikishe jina yako
@JoyceMuigai-y1i
@JoyceMuigai-y1i 9 ай бұрын
Kevo u aee very stupid mungu amekupatia mke and u can't see. Sasa huyu x wako lama shes Hiv utaleta shida nyumbani
PATANISHO :  UNAJUA UKIWA MWANAUME HUFAI KUPIGA NDURU
19:55
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 58 М.
PATANISHO : SITAKI NDOA TENA NIMETOSHEKA NA YALE NIMEJIONEA KWA HII NDOA
23:15
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 1,4 М.
PATANISHO : MILLICENT - HUYU NI MJINGA 2K HAIWEZI LIPA NYUMBA
22:30
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 25 М.
PATANISHO : ESTHER “ALINIPIGA MPAKA NIKAPOTEZA UJA UZITO”
24:20
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 28 М.
ONYO!!! Jichunge na wanawake hawa... | Jalas
8:52
Milele Fm
Рет қаралды 119 М.
PATANISHO : NAKUPENDA MUME WANGU, WACHA WASIWASI
17:34
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 9 М.