Yohana 1:12 “Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake”
@HatFileАй бұрын
AMEN
@Mrtiptop23Ай бұрын
Amen
@MosesRobert-e5xАй бұрын
Amen amen
@HERISEFANIAАй бұрын
Mubarikiwe sana
@HERISEFANIAАй бұрын
Nice one 🔥🔥🔥
@boazdankenАй бұрын
Mimi Bado Ni Mwana wa Mungu alie hai
@Mwana-k2gАй бұрын
Hahaha haya brother boazi mbona uko kimya sana hautupi kitu Christmas hii kaka?❤❤ Haaaa heeeee yesu wastahili heshima na utukufu.....Hii kitu imekuwa baraka kanisan kwetu kila wiki lazima iimbwe hongera sana mtumishi kwa mafunuo haya
@willz1017Ай бұрын
Ameni kaka
@ErickGomel28 күн бұрын
Tu naomba utakatifu tumjue mungu hayo mambo ya kumwallika shetani sijui ni kama ni mema kila mtu anammjua shetani na hila zake why wamtangaze mbele ya madhabahu?? @@willz1017
@kimbaraka881322 күн бұрын
package ya nyimbo zako ni kweli zinanifanya kutafuta kujiunganisha na Mungu pale ninapofungua akili na mawazo yangu kuzisikiliza. Ubarikiwe sana lakini usiache kumwomba Mungu roho ya unyenyekevu ili azidi kukutumia na kiburi cha usanii kisiingie ndani yako. Nachukia usani wa nyimbo za injili*3 i hate it! mtafute roho wa Mungu daima katika uimbaji. Ulianza unaimba huku ukimlilia Mungu ukasababisha Muguso katika roho na maisha yangu.
@FrancenseneleАй бұрын
Jaman me s ndo wakwanza naomben like zenu
@gloryibrahim4372Ай бұрын
😅
@ServantKenedyАй бұрын
Good son of God
@GwakisaMwaisanga-th7uzАй бұрын
Ungeokoka kwanza
@GwakisaMwaisanga-th7uzАй бұрын
Ungeokoka kwanza
@gosbertmuta5421Ай бұрын
He😊
@StanzaMataАй бұрын
Fans wa Joel Lwaga mko wapi??🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥💯🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@SerahNgugi-pu4hb4 күн бұрын
Here I am 🎉🎉🔥🔥
@Ushindi_ni_lazima777Ай бұрын
Namuombea huyo aliyeigiza kama shetani ..akitoka hapo kusiwe na roho yoyote ya kushikilia maisha yake kwa JINA KUU LA YESU KRISTO..damu yako YESU imsafishe na kumlinda daima. Nakuombea pia wewe MWANA wa MUNGU neema ya MUNGU ituvushe mwaka salama kwa USHINDI wa ROHO NA MWILI. #USHINDI NI LAZIMA ✊
@mwanaishakadaika9697Ай бұрын
Amiiiiin
@GwakisaMwaisanga-th7uzАй бұрын
Amen
@eliassoingei2046Ай бұрын
amen
@amanizacharyson507016 сағат бұрын
Nimecomment hapa ili miaka 50 ijayo wanangu na wajukuu waje kuona baba yao nilikiri "Mimi bado mwana!!"🙌🙌🙌
@victorgitonga345Ай бұрын
From Nyeri Kenya ❤
@vanessakagotho7155Ай бұрын
Urathimwo muno
@its_samdrummerАй бұрын
#MWANA💯
@SifaVanoАй бұрын
Mbarikiwe sana na yeyote atakaye soma comment hii Mungu akubariki❤🙏
@EverlynKennethАй бұрын
AMEEEN
@mrdd09Ай бұрын
Amen
@CatherineNzekiАй бұрын
AMINA.MIMI NI MBARIKIWA
@joseajames3607Ай бұрын
Ameen
@nvpmedia6467Ай бұрын
Gonga like kama unamwamini Yesu
@NoahJaphet19Ай бұрын
Nikipita jangwani, Mimi bado mwana Nikitembea jangwani, Mimi bado mwana Nikiwa msalabanii, Mimi bado mwana💪💪💪
@emmanuelanselm2872Ай бұрын
Mimi bado MWANA🔥🔥
@BrinellyKazimotoАй бұрын
Broo nasubiilii to dakika ziishee maana mungu alikuletee ilii uwatie nguv watuu nakupenda saana broo
@dannmburuАй бұрын
Wakenya mapema ndio best,sisi bado wana ,ama namna gani? 🇰🇪
@CatherineNzekiАй бұрын
NDIO.TUMEIPOKEA HII KWA JINA LA YESU
@mrdd09Ай бұрын
UTUKUFU UNA MUNGU JUU MBINGUNI,. #mimibadoMWANA❤
@FarajaSimon-og8vbАй бұрын
Hiii imekuwa baraka sasa oooooh "MIMI BADO MWANA" for his Grace.Be blessed brother
@AUGUSTINESIMIYU-l8bАй бұрын
kubwa sana kutoka kenya tunaisubiria sana
@AUGUSTINESIMIYU-l8bАй бұрын
Hili ni dude
@Shirleys-b4wАй бұрын
You people are full package of blessings to us tunahisi kumkaribia mungu pasipo kulazimishwa
@dianakendi123Ай бұрын
So timely christians are digressing because there is so much pressure on them to show results, your depth in God is measured by success. Hakika mimi bado mwana
@vanessakagotho7155Ай бұрын
Diana well said but we keep clinging to God.
@ProsperMfarijiАй бұрын
Mimi Bado MWANA no matter how
@evakatani636Ай бұрын
Mimi ni mwana wa Mungu 🙏
@WanjuguFaithАй бұрын
Mimi bado mwana nikiwa jangwani❤
@TuntufyeMwaikongeАй бұрын
😭😭😭eeh MUNGU
@nashilusaropa7305Ай бұрын
Mimi bado Mwana wa Mungu I'm secure in his hands
@Omwana-t8mАй бұрын
Mimi bado mwana
@JaydenJames-y5lАй бұрын
Nabarikiwa mtumishi
@BeatriceHozzaАй бұрын
Ata nilale njaa nisisahau mimi bdo mwan😭😭
@KabiraAlexisАй бұрын
Kitaumana watalaam wamekutana
@hellenongayo6883Ай бұрын
Mimi bado mwana 🙌🙌🙌
@DieumercizigabeАй бұрын
vizuri sana anaye amini ataitwa mwana wa Mungu
@NeyTumainielАй бұрын
Sijachelewa na mimi naomba like
@BarnabaMadirishaАй бұрын
Blessed man of God
@Valentineomondi-l3wАй бұрын
More Grace
@HERISEFANIAАй бұрын
💪💯🔥🔥🔥🔥
@balejohntzАй бұрын
Hallelujah! Nimefanyika mwana wa Mungu despite circumstances. MIMI BADO MWANA
@meladluvanda8765Ай бұрын
Mimi ni Mwana Wa Mungu Alie juu🙏🙏
@eliassoingei2046Ай бұрын
Nimeelewa sana hii! hakuna kinachobadilisha Yesu kuwa mwana wa Mungu, Glory Glory to JESUS
@ShedrackEliasiАй бұрын
Always npndh niwaone pamoj nyi waty
@revivaldashud5941Ай бұрын
Watu wa Mungu wanaenda kuacha historia🙏🫡😊
@michaelwalter9533Ай бұрын
Hallelujah Yesu Kristo Ameshinda na Mimi bado Mwana
@festovenas502Ай бұрын
Nakubal namuona brother Calvin jonh 🔥🔥🔥
@JohnNgala-df8ktАй бұрын
Heko watumishi ,Neema zaidi
@TaicyChourUshilombo-df2ywАй бұрын
Nimebariwa
@samwelimkebezi7382Ай бұрын
Nyie wazee mkitoa wimbo mnatishaga balaa
@alexelieza8802Ай бұрын
Combination hizi zikikutana shetani anakipata cha Moto💪Mimi bado mwana
@gracenchimbi7973Ай бұрын
Nani anaamini tupo hai leo ni kwasababu ya Neema ya Mungu anayozidi kutumiminia kila siku....?!!
@lizemwansasu8587Ай бұрын
Mimi bado mwana,nina uhakika nimefanyika
@vanessakagotho7155Ай бұрын
There is a revival happening in East Africa. I have seen ministers from almost all parts of East Africa in this song and the whole Album. God Bless you Minister Paul and all the men and women who are spreading the Gospel of Jesus Christ. This song is so timely. Thank you Father for reminding me that even in the midst of all I am going through with my family,we are still your children. Blessed be the name of the Lord.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tafaemachimbiz6276Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥It's time to get prayerful and excited for what God's about to do in that region of Africa
@vanessakagotho7155Ай бұрын
@tafaemachimbiz6276 Amen
@sylviashiks8342Ай бұрын
Keep going paul very good gospel song glory to God
@deogratiasperfect22Ай бұрын
❤
@lolimojulius2341Ай бұрын
Mimi ni mwana wa Mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Tg.7_7Ай бұрын
Mimi bado Mwana!!🙌🙌🙏
@JonathankagheseАй бұрын
Mungu Awa bariki sana
@esthermwikali7967Ай бұрын
Mimi bado mwana japo nijaribiwe..jiwe lisipokua mkate mimi bado mwana.nina uhakika
@BijouxNahimana4 күн бұрын
Mimi bado mwana Aaaamen 🙌 MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU🙌
@dellaachando1718Ай бұрын
What a powerful revelation. MIMI BADO MWANA
@mr_kova.Ай бұрын
Jeeesus Jeesus Jeesus🙌🏼🙌🏼🔥🔥🔥
@PeterNdunguru-j4bАй бұрын
Glory be to God
@HappynessMgangaАй бұрын
UTUKUFU umrudie MUNGU JUU MBINGUNI. 🙌🙌🙌..Mimi Bado Mwana
@iambelnusАй бұрын
🔥🔥🔥
@Nashoni1996Ай бұрын
Kila siku lazima nijikumbushe kuwa ni mwana wa Mungu
@godfirstkimaro2329Ай бұрын
😂😂😂😂WANAA WAMEKUTANAAA❤❤❤
@felixgeorge7126Ай бұрын
Nina uhakika 💯 mm bado mwana
@BeatriceHozzaАй бұрын
🔥🔥❤
@PaulNkanaАй бұрын
Mungu awakumbuke na aponye kila kitu juu ya wokovu wenu AMEN
@NellyJuma-z2lАй бұрын
Imeandikwa mimi bado mwana.
@WilliminaOjiamboАй бұрын
Glory glory 🎉🎉🎉🎉🎉
@joshuajohn8522Ай бұрын
Mimi Bado ni mwana alie hai🎉
@annahluganoАй бұрын
Jesus 😭😭🙌.. Na ujasiri wangu ni huu,MIMI BADO MWANA🙌🙌🙌.. Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana.. Huu wimbo ni maombi kamili😭😭🙌❤️
@Officialmfalmemwakyeja-z3hАй бұрын
Hamjawahi kufeli bro
@tetemallya9921Ай бұрын
Wow! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. satan hates to hear that we are sons of God and that greater works shall we do!
@AgapeMoses-o4yАй бұрын
I'm proud for Christian Mimi bado mwana❤️❤️
@marionwanjiku4226Ай бұрын
Powerful powerful,asante roho mtakatifu
@TumainiWilsonАй бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@FrancenseneleАй бұрын
Leta vitu leta vitu public
@jamespilimo8986Ай бұрын
Aleluyah aleluyah,Na huu ndo ushindi wetu kwa ibirisi,mbarikiwe sana watumishi
@IssaBass7Ай бұрын
Hii ni zaidi ya nyimboo...Kiko kitu kikubwa sana ndani yake nimefarijika sana
@joshuastarj7356Ай бұрын
Lwaga vs clement ❤🎉
@stellakarambu7210Ай бұрын
Mimi pia nashukuru kwa neema na rehema zake kunikubarisha kuwa mwana
@doriskilele4025Ай бұрын
Thank You LORD, Mimi bado Mwana🙌
@godinkhanАй бұрын
What a spiritual Song 🙌 #MIMIBADOMWANA
@carolynelouis4867Ай бұрын
counting down hrs....ubarikiwe sana Mtumishi Paul tunajua its another prophetic word and confirmation from the Lord.
@ElJoshuadinАй бұрын
Mimi Badoo Mwana🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@chonganicholus5187Ай бұрын
@paul,,,,,,, waiting🔥🔥🔥🔥🔥🤲🤲
@danielhonest4879Ай бұрын
Mimi bado mwana 😭😭😭 haijalishi niliyo yapitia . Nimefanyika 🙌
@nurumsokwaАй бұрын
Mimi bado Mwana...😭😭😭
@SpeciousMasafu-b9mАй бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪 to you the servants of God. Mimi bado mwana🙏
@MichaelJacob6787Ай бұрын
Mim bado Mwana...ni wimbo wa baraka sana.....kama unaamini gonga like hapa...
@mawrynmbugua8763Ай бұрын
Powerful reminder, Mimi bado mwana🔥🔥🔥🔥🔥
@josephmutta6948Ай бұрын
Sana p@ul. Nakupataje naomba namba natamani kuwa kama wewe
@LAULENCENYENYEАй бұрын
Mimi ni MWANAAAAAAAAAAA wa Mungu haijarishi mazingira.
@BeritahWambaniАй бұрын
Mimi. Bado mwana ameen.ameen❤🎉🎉
@PetrombukwaАй бұрын
Powerful Song ever. Mungu awabariki saaanaa
@smarttaredeinne579Ай бұрын
I love the Assurance. I'm still His son. Thank you Jesus
@kingson9085Ай бұрын
Mimi ni Mwana
@r_owinoАй бұрын
The arrangement and the ministration is just superb 🎉top notch Nyimbo zilizotungwa kwa misingi ya Neno, Neno linalodumu milele, asante sana @Paul Clement na @ Joel Lwaga💪🏾 Mimi bado Mwana🙇🏽♂️🙏🏾😭
@getrudalai9732Ай бұрын
This song is very powerful 😮🎉❤🎉 Nimemwamini Yesu
@kennethboma2787Ай бұрын
Mimi bado ni mwana
@barakaemmanuel8247Ай бұрын
Asante Yesu 😢😢🙏🙏 mimi bado mwana wako
@CatherineNzekiАй бұрын
AMINA.KWA KWELI NAJIVUNIA KUA MWANA WA MUNGU
@eliassoingei2046Ай бұрын
Asanteni kwa ujumbe mzuri, kwa damu Ya Yesu nimefanyika kuwa mwana, siyo mtumwa tena
@jaycobjones3874Ай бұрын
Haijadhihiri badoo, Hata katika Halii hii,Mimi badoo mwanaa, Aasher