“Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa” TITO 2:11-12
@jamesngolo35906 ай бұрын
🔥💥💥
@titophilemon45206 ай бұрын
Ujumbe 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@straton376 ай бұрын
Blessed day... Neema ya Mungu
@gloriousnp6 ай бұрын
Amen 🙏🏿
@severinlouis6 ай бұрын
Amen ❤
@edelwachuka84733 сағат бұрын
Hatukulipia neema hii, tumepewa bure neema hii❤❤❤❤🎉🎉 🥳... Its given freely to all of us, not because we are good or have done any good but because of who He is, such a glorious and magnificent God❤❤❤
@marvelynewanyama75012 күн бұрын
Zoravo, Maestro, Dr Ipyana, Joel Lwanga, Johny Kavishe ❤❤❤ Neema hatukulipia.
@lutumbinduta17026 ай бұрын
Wanaorudia mara kwa mara wimbo wa upako huu, like za kutoshaa hapa❤❤. Barikiwa sana ❤❤
@essenceofworshipministries6 ай бұрын
Familia best work,Audio quality is lit
@elishaurio11726 ай бұрын
Fact
@paulclement256 ай бұрын
@@essenceofworshipministries shukran sana
@CatherineNzeki5 ай бұрын
@@paulclement25Mtumishi,NYIMBO ZAKO ZIMEKUA ZA BARAKA HUA NAHISI UNAONGELEA MAISHA YANGU BINAFSI. MUNGU AKUBARIKI NA AKUINUE VIWANGO VYA JUU KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE.Nko KENYA
@diannakweka19224 ай бұрын
Kuna muda tunapitia changamoto ukitizama huoni wa kumkimbilia ila ukikumbuka neema ya Mungu unapata nguvu ya kusimama tena❤❤
LET ME SEE THE LIKES OF EVERYONE WHO HAS BEEN GIVEN FREE GRACE ❤❤❤ Hatukulipia Neema hii, Tumepewa bure Neema hii. ❤❤❤❤❤❤ Glory be to God. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Minister Paul, this song has ministered to me this morning. May God bless you.
@fullgracechurch-athiriver5 ай бұрын
I love the support from Dr Ipyana, zoravo na kavishe.wapi likes zao
@gloriousnp5 ай бұрын
Joel Lwaga too 😊😊
@RusianBlessing12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤kweli atukulipia neema hii tumepewa bule hii nyimbo ukisikiliza kwa makini unaweza kujikuta machozi ya furaha yanatoka hongera kaka nyimbo nzuri sana ubarikiwe sana
@godwinnyambulapi68166 ай бұрын
Natokwa machozi ya furaha, imekuwa ni maombi yangu injili ya kweli kupata mpenyo, sasa tunaona matunda, Mungu akutie nguvu @minister Paul Clement usijaribiwe na uovu.
@josephngaita42435 ай бұрын
Yaan nafuraha sana pia kuona kweli ya neno ikiimbwa kila kona Tumesamehewa bure kwa kazi ya msalaba😊😊
@puritymbithe33865 ай бұрын
Brotherly love endures forever,,,how many of us have seen Zoravo and his hearty laughter 😂,,John Kavishe,Joel Lwaga and Dr himself 🥳🥳🥳🥳..More grace 🙏
@paulmwendia13356 ай бұрын
Warumi 8:1 Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu. Warumi 8:2 Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
@SibongileNgenge-q5j16 күн бұрын
Garama ya Yesu Kristo ni kubwa Bure tumepewa❤😊
@KaguhiKasumbi18 күн бұрын
Mungu akubariki na akuzidishie upako wa kutunga nyimbo ambazo zinatufanya kuwa na amani na ujasiri wa kumtumikia Mungu🎉❤
@DeborahWarioba-k3sАй бұрын
MUNGU akuinuwe zaidi Kwa wimbo mzuri
@ruthmaina89196 ай бұрын
Can't imagine am watching it live...kweli neema ya Mungu ya tosha...8months pregnant and i believe i shall come to testify in Jesus name!!!Amen
@mohamedlegacy2556 ай бұрын
Amen dear! May GOD help you deliver safely🤍
@raylerklein4486 ай бұрын
Cant wait
@sheilak91546 ай бұрын
Amen. God has you in his hands
@Ricky-Kamuren6 ай бұрын
Amen. Full health, bouncing baby🎉🎉
@PellyMwakitalima6 ай бұрын
Ameen, Mungu akukamilishie ushuhuda wako 🙏🙏🙏
@BarakafidelisMartin6 ай бұрын
Wimbo huu utakaa Moyoni mwangu siku zote ili unipe kunyenyekea pindi niwapo duniani nikimgoja Bwana kwa Saburi kwakuwa naelewa na niwazi kwamba Neema yake nimepewa bure🙏
@winniemakungu58534 ай бұрын
Bro ww n mnyenyekevu mno ujaanza Leo nitoka unaanza huduma,,,🎉ww ni mfano Mzur wa kuigwa❤
@lilyg21344 ай бұрын
ikifikisha million views umjue ni zangu...cs i always come back here kujikumbusha agano jipya la Mungu na sisi kupitia Yesu....this song's message is deeper than what people think...especially kama unaijua vizuri biblia na concept ya sadaka kuanzia agano la kale mpaka jipya.....God bless u Paul watanzania tunajivunia nawe
@hellentisi3578Ай бұрын
Nimerudia wimbo huu jameni ❤❤❤❤❤
@ferdinandlazaro156 ай бұрын
Natamani huu wimbo ufikishe view milioni 10 ndani ya mwezi mmoja
@alphadreammedia6 ай бұрын
Sio week?!!
@IloveJesus-nd7sw5 ай бұрын
Amen
@GRACENyanda-cn3pg3 ай бұрын
Amina
@DanielKweka-o1h4 ай бұрын
Kuna majira tunaangalia mapungufu yetu tunahis Mungu katuacha ila ukweli ni kwamba tuna neema ya ajabu Sanah tena bure kabsaaa!!!!
@rizeve19 күн бұрын
Very Powerfull song🙏Ukitafakari mara mbil mhili yu will know🙏🙏🙏
@rulebudodo23016 ай бұрын
Kwenye mkesha wa mwaka mpya wa 2024 pale The Reality of Christ Church, mchungaji kiongozi (Sanibela Kiando) alitangaza kuwa 2024 utakuwa mwaka wa Neema. Kuna vitu watu watabipata si kwa sababu walistahili kuwa navyo. Kuna mahali watu watafika 2024 si kwa sababu ya juhudi zao. It came true kwangu, Mungu amenipa fully funded scholarship kusoma masters UK this year. Nkijiangalia, skustahili kama Mungu angesema atende haki.
@PellyMwakitalima6 ай бұрын
Amen congratulation, ashukuriwe Mungu anaetumia watumishi wako kutuvusha Grace upon Grace 🎉🎉🎉
@lydiajonass41305 ай бұрын
Blessed
@CatherineNzeki5 ай бұрын
AMINA.HAKIKA MUNGU WETU NI WA NEEMA
@StephanoSendeu5 ай бұрын
Amen wingu hili lisinipite lord Jesus 😭
@cynthiambesa43504 ай бұрын
NEEMA❤❤❤🎉🎉🎉
@boazdanken6 ай бұрын
Very Powerful God bless you Paul
@CatherineNzeki5 ай бұрын
AMEN.MTUMISHI NYIMBO ZAKO HUNIBARIKI SANA.MUNGU AZIDI KUWAINUA KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
@lizblessed10263 ай бұрын
Neema 🥹 , jamani Mimi alinichagua, nikafanyika mwana🤲. Huyu Mungu wangu nampenda siku zote
@sarahmagati-p6d2 күн бұрын
Wimbo unanibariki sana nikifika ofcn ndo Wimbo wangu wa kwanza kuusikiliza kabla sijaanza kazi.Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Paul Clement
@moseskiwele10546 ай бұрын
Kuna muda napitia changamoto ila ninapomkumbuka MUNGU huwa najiona mwenye neema sana .hakika mm ni neema tosha😊
@gilgalmissioncenter3 ай бұрын
Kupitia shule ya uanafunzi na maandiko kanisani kwangu Leo,SOMO lilikuwa kuzaliwa kwa Yesu Kristo, dhumuni kubwa la kuzaliwa Yesu ni kuleta ukombozi kwa mwanadamu bure Kabisa Mungu akamtoa Yesu mwanaye kuwa sadaka tukapatikana sisi Leo,na tupo ndani ya Neema hii ya wokovu! Song is really related with our subject of today
@esthersilas65806 ай бұрын
loving the way ladies wamevaa kiheshima😊❤
@gloriousnp6 ай бұрын
Kabisa, Maana sikuhizi shetani ndo kawa fundi nguo yaani ni changamoto kubwa vitu tunavyovaa madhabahuni hasa sisi wana wa kike .🙏🏿🙏🏿
@TasianaCastory4 ай бұрын
I don't know why every time before to sleep I watching this song and to smile😥and morning before to do anything i watch this song again it become like a doze 🥺but i believe through this song something big come to me this year and I will testify 😍🙏
@jacklinekiptanui20 күн бұрын
Thank you man of God for impacting my life with very powerful ministration through music....🔥🔥💯🎵so powerful....with kavishe making it more enjoyable....🇰🇪 Is following, God bless you abundantly
@JoshuaMuuo-wl7hz5 ай бұрын
Zoravo yupo piaa🎉🎉
@KelvinWasilwa6 ай бұрын
2 Corinthians 12:9 But he said to me, “My grace is sufficient for you, for my power is made perfect in weakness.” Therefore I will boast all the more gladly about my weaknesses, so that Christ's power may rest on me. His grace is what has kept us going
@essenceofworshipministries6 ай бұрын
Best work brother
@babaloisethan70106 ай бұрын
True🎉🎉🎉🎉
@rulebudodo23013 ай бұрын
Nyimbo zote zinazohusu Neema ya Mungu ni moto♨♨♨♨♨♨♨♨. Tuzitazame top 10 juu ya neema ya Mungu. 1. Neema ya Mungu by Paul Clement, 2. Matokeo ya Neema by Agape Gospel Band, 3. Neema by Zoravo, 4. Ni kwa neema tu by Christina Shusho, 5. Ni neema by Rejoice Gospel Choir, 6. Ni kwa neema by Edson Mwasabwite, 7. Ni kwa neema by Bony Mwaitege, 8. Neema ya Mungu by Kwaya ya Moyo mtakatifu wa Yesu, Parokia ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, 9. Ni neema by Joel Lwaga and Boaz Danken, 10. Kwa neema by Reuben Kigame and Sifa Voices.
@esthermbitheke6 ай бұрын
I like how Tanzanian gospel ministers support one another, Wangapi wamemuona Dr Ipyana? Nway, NEEMA YA MUNGU BURE TUMEPEWA 🙌🙌🙌
@rulebudodo23016 ай бұрын
Dr Ipyana, Joel Lwaga, Zoravo, na wengine wengi. Hii ndio maana halisia ya upendo
@jamesmuthui30986 ай бұрын
That's true, Tanzanians gospel singers don't have hatred
@joycebm72605 ай бұрын
Zoravo pia
@julietnonny10605 ай бұрын
Angel Magoti pia.
@muleimutunga17395 ай бұрын
Pia Enric Mruma@@rulebudodo2301
@mosesanthony4 ай бұрын
This man of God is very humble, you inspire me alot...neema ya Mungu tumepewa bure amen
@rejoicedaniel6976 ай бұрын
'Hatukulipia neema hii,Tumepewa bure neema hii' What a blessed song jamani ubarikiwe sana minister this song has taken me to next level🙌🙌 wimbo huu ni ibada kamili🔥🔥🔥
@kerubojane7606Ай бұрын
Neema ya mungu 🙏 bure tumepewa🎉🎉 🎉
@sharonkathambi11526 ай бұрын
Have listened to this song countless times 🎉🎉,, Eish for me it's the best gospel song of the year 🎉🎉🎉
@ngwacahnyagwaswa99793 ай бұрын
Wimbo mzuri sana jaman❤❤
@mwachymwachy831422 күн бұрын
Blessing galore my brother! More grace and blessing as you continue serving for the kingdom. Baraka!💫
@michaelkibet70128 күн бұрын
Neema ya Mungu,hatukulipia,bure tumepewa,a blessed song.Amen
@EvasJoram-rq8xp6 ай бұрын
Jaman 🙌🙌🙌🙌🙌huu wimbo unashusha uwepo wa MUNGU hakika kila kitu tumependelewa kwakweli ni neema oooh MUNGU Wangu acha nipungue wewe uongezeke maan hapa tulipo hatupaswi kujivuna maan tunaishi kwa neema yako.oooh BURE tumepewa.kaka Paul MUNGU akuinue saaana. Kuna mtu anapona na kupandishwa viwango Vingne kupitia huu wimbo
@lilianwachira1598Ай бұрын
Ny current daily song...bure tumepewa🙏
@mbassasophy2020Ай бұрын
Huu wimbo venye ulipaform mkesha wa mwaka mpya leaders 🙌🙌🙌
@mohamedlegacy2556 ай бұрын
Somo la leo kanisani lilikuwa ukuu wa neema ya MUNGU.. and just after getting home from church I found this... Indeed GOD's grace is monumental🤍. Thank you Minister Paul Clement for such an amazing uplifting hymn!
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako ubarikiwe sana
@felixobare81355 ай бұрын
Neema bure tumepewa..Asante Yesu.. Torati ilikua na Musa Yesu umetulipia kwa damu yako
@davedukes00012 ай бұрын
First time to see Kepha Mdame🎹 In the Audience in a live concert,,
@bellarinaphil92973 ай бұрын
Haleluya, our God is great and Mighty🎉
@MagdalenaDickson5 ай бұрын
Wangapi wamemuona joel lwaga 🎉😊
@mjmwashighadi2 ай бұрын
Kwa gharama yake tukapata Bure... This GOD 🙏
@Justinamwakajumba3 ай бұрын
Kwakweli Paul unaimba tena unaimba unaimba kwa kuitukuza kazi ya Msalaba aliyo fanya ❤❤❤
@UwezoMuloba5 ай бұрын
Neema ya Mungu bore tumepewa kabisa ❤😢 amen
@jescamungure96105 ай бұрын
Bure tumepewa, ila yeye aliingia gharama😭 Greater Love🙌
@TOWDAHCONCEPT2543 ай бұрын
neema ya mungu bure tume pewa i love it from kenya
@joshuadavid16963 ай бұрын
Hakika Mungu ametupa Neema hii bule,ni upendeleo mkuu sana Ameen.
@iteL2023-ju5hf3 ай бұрын
Unanigusa sana huu wimbo hautoki kichwani mwangu kutwa nauskrza 🙏 Kwa yesu ni rah sana💯
@gracekwadhi69913 ай бұрын
Yaaaaan Aiseeh kwa Yesu Raha sana 💃💃💃
@deborasimon4224 ай бұрын
Neema bure tumepewa nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka Paul zimefanyika faraja sana kwangu! 🎉🎉❤
@alphamsela3 ай бұрын
this is gospel song. Big up bro.❤❤❤💪💪💪
@stellaaugustino61715 ай бұрын
So powerful song ni bure tumepewa Neema Asante Yesu
@prayerwarrior1-x8s6 ай бұрын
leo nimeona waimbaji wainjiri wote ninao wapenda nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
@PendoRogers2 ай бұрын
Kaka angu Mungu akubariki sanaaaa kwa wimbo mzuri .
@kelvinnyamle60314 ай бұрын
Omg😌🙏🙏🙏 this song. Wimbi huu ukawe manukato mbele zako baba
@bujagajeremiah43083 ай бұрын
Paul Clement heshima yako mkuu, Wimbo inabariki sana kwa kweli
@nesterpaul27552 ай бұрын
nimebalikiwa nawimbo mnzuli sana ❤❤
@PamelaMgeta4 ай бұрын
@paulclement25 nikikumbuka, Ile ajali mbaya ya gari na nikatoka mzima, nilikua talk of the town kipindi Sina issue nanuka madeni. Lakini Kwa neema ya mungu amenifchia aibu na kuniondolea fedheha. Jamani mngu ni mzuri
@mosesmhina99802 ай бұрын
Bonge la creativity
@ArafaKalinga3 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙌🙏 ## Neema ya MUNGU tumepewa bure
@MariamLewis-t4x4 ай бұрын
Na ingekuwa ni ya kulipia tusingeweza😭😭😭😭😭😭 Asante Mungu kwa neema ya buree🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@CelisterKahimbiАй бұрын
Ni kweli Neema ya Mungu bure tumepewa ❤❤❤
@simonmjema31226 ай бұрын
In love with the arrangements!🔥🔥🔥✊ GOD BLESS YOU
@TapuwaAlishdamba5 ай бұрын
Wonderful song thank you so much Minister Paul Clement❤ Much love from Zimbabwe❤
@ruthhamisi2902Ай бұрын
Huu wimbo jamani aiii kwa neema ya mungu tunasimama
@mosesmhina99802 ай бұрын
Paul yuko humble saaaana ...Mungu azd kumuinua
@fullgracechurch-athiriver5 ай бұрын
Elisha korg na Joel you guys are a blessing.much love from Kenya ❤❤❤❤
@SporahGolden2 ай бұрын
Woooooooooooow mko vzr jmn mnanibariki sanaaaaa
@beatriceamolo87903 ай бұрын
Neema ya Mungu Bure tumepewa❤
@SongsAbelpatrius5 ай бұрын
Uajibu wangu ku shikiliya hiyo NEEMA na hakuna kitacho ni cha'ganya ili kuipoteza hiyo NEEMA🙏🙏🙏
@Maggieabrams-b1k4 ай бұрын
Glory to God, hakuna astahiliye bali ni neema yake inatutosheleza 🙏🙏
@sarahjuma54086 ай бұрын
😭😭😭😭oooooh Neema ya Mungu ni Bure tumepewa ... hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@njericlaire82293 ай бұрын
I am just hoping one day I'll come here and see it's a million views and more , I' never get enough of it since September Hatukulipia neema hii 🌹✨
@joshua26293 ай бұрын
Kudos 🎉🎉🎉May God keep using you Mightily in uplifting His name through your Spirit filled Music.Blessings as you keep using your voice to serve God 🙏🙏🙏
@GRACENyanda-cn3pg6 ай бұрын
Wimbo mzuri sana..ubarikiwe mtumishi...I think today I'll play it even 25 times 🎉🎉🎉
@sirelvice965 ай бұрын
This is real music, real worship. Big up Minister Paul. Neema ikuzidie. Kenya yakupenda
@gracengina44966 ай бұрын
This song is lit 👌 🔥🔥🔥🔥 Ati hatukulipia Neema hii,Tumepewa bure Neema hii 💃💃💃🕺🕺🥳🙌 Aibooooo 🔥🔥🔥
@paulisaac1086 ай бұрын
Neema ya Mungu yatu Tosha 🙏🙏🙏
@UpendoSelemaniNdemera6 ай бұрын
Nyimbo imenibarikibi mnoo👏👏 ❤ kazi nzurii paul
@Lucymarsh3445 ай бұрын
This song got me smiling 🤍🤍🤍 Bure Tu aki tumepewa🎉🎉🎉 glory glory to Jesus..
@winniemalumbo6150Ай бұрын
Neema ya Mungu bure nimepewa
@nkathapamela57035 ай бұрын
❤❤❤tumepewa bure Neema hii,,,💃💃,, 💪💪 woow
@LovenessAbel2 ай бұрын
Neema ya Mungu bure tumepewa
@Doreen-qs5mx5 ай бұрын
Bure tumepewa 🙏🙏🙏 can't get tired of this masterpiece ❤❤❤
@chemutaijaneth5684 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪
@StephenNguru-p1i4 ай бұрын
In the presence of the Lord, there is fullness of joy 🙏🏽