Yesu twakuita tusikie ponya nchi yetu Tanzania na watu wote wakaao humu usituache usitupungukie turehemu tutatakase tuoshe kwa damu yako yenye nguvu kupitia Jina lako kuu Yesu. Ameeen
@ellaalbin121510 күн бұрын
Eeee Yesu you still Yesu to me 12/2024 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@nancyakinyi42066 ай бұрын
God is a spirit, those who worship him should worship him in truth and in spirit. Am blessed 🙌🙌🙌
@NzaiPeter8 ай бұрын
Wimbo huuu hugusa moyo wangu mbarikiwe zaidi na zaidi
@onikajulius93354 ай бұрын
Wimbo huu nikiusikiliza machozi yananitoka hakika naziona nguvu za Mungu kupitia wimbo Mungu akubariki mtumishi 🙏
@emmypatricia48793 жыл бұрын
Who is with me this Afternoon feel the presence of GOD 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 waabuduo halisi 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Nakupenda YESU KRISTO
@El9a4 жыл бұрын
Wimbo uliofanya ninunue DVD ya Moyo wa ibada 1 Unanibariki wakati wote huu wimbo'... Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana PAUL MWANGOSI na team yako'... Roho Awazidishie mafuta taa zenu za huduma ziwake zaidi...
@Kanyawela Жыл бұрын
Kama saizi niko nafurahi sana Ibada hii ya wimbo huu Mungu awabariki sana
@puskiesebidio16232 жыл бұрын
Just discovered this song. I'm going to play it over night
@twesakilatwike28602 жыл бұрын
Mungu akubarki mtumish nilikuwa nautafuta xana u wimbo jamn ckujua alie imba nan barikiwa baba
@AfroLofiSafariGrooves3 жыл бұрын
YESU YESU.....MWILI HUWA UNASISIMKA NIKISILIZA HII NYIMBO
@christinabernard8603 Жыл бұрын
GLORY GLORY ABBA FATHER
@humphreyndiwa56422 жыл бұрын
Niko na wewe kweli mungu yuko nimeona
@vivianvictor10972 жыл бұрын
Haupo Audiomack jamani 😢
@alicemafuwe82853 жыл бұрын
Wimbo wangu wa kila siku kwenye maombi na nguvu ya Mungu hushuka.More Grace to Mtumishi Mwangosi na waimbaji wote.Mafuta mabichi yazidi kumiminika kwenu
@magrethmkemwa9287 Жыл бұрын
Mungu akubariki saña Kwa kutii. Roho Mtakatifu anakupa hizo si za kuandika
@florenceelikana30402 жыл бұрын
Yesu yesu yesu
@gonsalvalupindu55652 жыл бұрын
Ooh hii nyimbo nina hakika Yesu uko mbinguni anafurahi kuusikia! Imenigusa sanaw
@Harriette-v7t3 жыл бұрын
Glory be to the living God,Yahua I praise you’re name glory glory glory hallelujah!!!
@LeletiWanj95843 жыл бұрын
This song is so powerful. 🔥every time I want to pray I out it as my worship song. Jesus is my everything. I can't even start telling how great of a father He has been to me. My whole life is a testimony of His goodness.
@carolema3569 Жыл бұрын
Ameniii ameniiii aleluyaa
@jovitusregnald13264 жыл бұрын
Amen Amen Amen. Naliitafuta sana video hii, oh! Ubarikiwe
@lulukomanya2 жыл бұрын
Yesuuu
@ElizabethMunis2 жыл бұрын
Yesu😩🥺😭😭😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@elizabethmwaipopo23033 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ck za utumishi wako!!!!!!
@mwittaebenezer82133 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana najikuta naingia rohoni kila nikiusikiliza, Mungu azidi kubariki huduma yako.
@samwelkitikusaid21303 жыл бұрын
God bless you and your family brother Mwangosi, utumishi wako Mungu anautambua.
@clementzachary2422 жыл бұрын
Yeye ni Baba yangu🙏🙏🙏
@dianakatheu67992 жыл бұрын
I need you Jesus without you I'm nothing
@emanuelsiame19294 жыл бұрын
Yesu Yesu wewe ndiwe Bwana
@Harriette-v7t3 жыл бұрын
Natamani sana ku worship huko na wao.... nimebarikiwa sana🙏🏾
@richardumeme98123 жыл бұрын
Hakika yesu wewe ni kila kitukwetu
@elvistefurukwa55844 жыл бұрын
Ubarikiwe saana mtmsh wa Mungu ,Yesu anastahili @paulmwangosi
@martingospoel99923 жыл бұрын
Stronger worship ever , me nawapenda ote hakka mlijitonda an mungu awalinde
@chrissieyambani49242 жыл бұрын
2022 yesu bado wewe ni kila kitu kwangu.🙏🙏
@TheLiftersMusicGroup3 жыл бұрын
Powerful Annointed song. Indeed there's power in the name of Jesus Christ 😁❤❤❤ subscribed
@vichekeshovipya43863 жыл бұрын
Wimbo umebibariki sana mtumishi, naamini tutakuja imba pamoja siku moja.
@victorblessingofficial97394 жыл бұрын
Yesu hakuna kamawewe...💯❤❤❤❤❤❤❤❤
@Goddie4403 жыл бұрын
I use to play this song every night since 2018 I thanks God coz is walks with me to the fullest
@jonathanakilicris94212 жыл бұрын
God bless you sir
@jassonbarthazary79164 жыл бұрын
Ahsant sana baba kwa hii
@rachealmugoh7253 жыл бұрын
Napenda huu wimbo
@revocatusngomele49053 жыл бұрын
Yesu ni siku zote.
@victorkuziganika2913 жыл бұрын
I love this song aiseee it's very powerful
@miriamemmanuel18664 жыл бұрын
Haleluya Haleya🙌🙌🙌
@Jimmy_mwasaru3 жыл бұрын
Powerful song
@mwalimujohnitembe3 жыл бұрын
amen..amen. glory to God
@toniekris69483 жыл бұрын
God bless you
@godwinphilip53553 жыл бұрын
Mighty song ever
@lulukomanya2 жыл бұрын
Yesuuu
@erickmkumbukwa86993 жыл бұрын
So amazing
@alijahconnor58413 жыл бұрын
you prolly dont care but if you guys are stoned like me atm then you can stream all the new movies on Instaflixxer. I've been watching with my brother for the last few months xD
@kendrickelliott13703 жыл бұрын
@Alijah Connor yup, been using Instaflixxer for years myself =)