Wimbo huu naupenda sana...keep adding more video tuzitizame
@SalumOthman-w8c3 ай бұрын
Wimbo safi sana huu mzee 🤴
@rquintine Жыл бұрын
Hii nyimbo yanikumbusha mbali sana. Nyumbani ni nyumbani. Za kale haziishi mafunzo na utamu👊🏿
@AllyMbabee2 ай бұрын
Wazee wameisha jamani mungu amlaze pema peponi
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Mungu akupe uponyaji Mzee King kikii.
@AllyMbabee3 ай бұрын
Uko vizuri
@luganomwaisumo19382 ай бұрын
Pumzika kwa amani legend 🙏
@allyabdallah1183 Жыл бұрын
Pole Papa King kiki
@richardgaya39653 жыл бұрын
Instrumental arrangement esp. guitars, sounds similar to the late Franco Lwambo's OK Jazz as well as that in a number by the esterwhile Benga genre outfit, Victoria Kings 'B' Jazz, of the late lead guitarist, Collella Mazee!!
@doreendeusdeus10933 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo jaman
@hajimnubi45812 жыл бұрын
Mzee anajua sana huyu
@zonko04884 жыл бұрын
Wimbo mzuri lakini kwanini uko vipande?!
@FatnaWage2 ай бұрын
Pumzika kwa amani hakika uliutendea haki mziki
@ellymzera2457 Жыл бұрын
✨
@salimsalehsoi65243 жыл бұрын
Hii bendi waitwaje?
@hanifawaliya79763 жыл бұрын
king kikii
@mwinsadiamiri35123 жыл бұрын
Bendi hii initwa la capital,wazee sugu
@hajimnubi45812 жыл бұрын
Zaita musica ya marehemu ndala kasheba aliyeimba mama nipe nauli nikamfuate monica amakimbilia Zambia na treni ya mizigo...lkn huu wimbo kautunga na kuimba king kiki akiwa na zaita ya kasheba
@jumamganga51363 жыл бұрын
Alipokuwa ktk chati,nimesikia amefariki,ni kweli,namkumbuka ktk kitambaacheupe na mtoto Kaanza tambaa,dodoma nk,na wakati akiwa maquiz
@rukiasalum76282 жыл бұрын
Nani kakwambia kafariki yupo hai ila anaumwa
@hajimnubi45812 жыл бұрын
Mgonjwa tu
@jumamganga51362 ай бұрын
Rip kipenzi changu ktk mziki
@marcia-leegray2823 жыл бұрын
Seaml
@JoeJoe-ut2ty4 жыл бұрын
Vipi Cute girl.
@selemanisalumabdu86673 жыл бұрын
Zaita bandi ya mzee kingi kiki hiyo
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Huu wimbo yasemekana ni story ya kweli.
@hajimnubi45812 жыл бұрын
Yes ni kwa wakwe zake huko mbozi ameoa
@felixmagulu61422 жыл бұрын
@@hajimnubi4581Huyu mzee yuko vema sana kwenye utunzi wa nyimbo.