Unatumika kuwaaminisha watu picha sio cc ndio kwetu huko
@alijumes3580 Жыл бұрын
Acha ujinga
@IsmailElmazroui11 ай бұрын
Acha ushamba wako
@salehmbarouk58673 ай бұрын
Sio ulaya kama dubai
@Fauzfakikhamis5281 Жыл бұрын
❤
@EshaHamd-ed9yv Жыл бұрын
Wewe wacha uongo maana kutoka Wete mpaka Mzambarauni wafikiria uko katika mkondo wa Nungwi roho Riziki yako
@abdallahkassim8600 Жыл бұрын
Musitudanganye pemba hawezi kua ulaya pemba itaku pemba na ulaya ni ulaya acha kufafanusha wpemb na ulaya ss
@OmarmohammadKhassan11 ай бұрын
tudanganyen alafu mkae mtulie c uchaguz unakaribia tena
@ommarallyhamad7435 Жыл бұрын
Ama kweli CCM haina Sera yenye kueleweka. Kila awamu mipango tofauti tofauti hufanyika alimradi kiongozi ametamburikiwa Uchumi wa znz haujamnufaisha maskini wa chini kabisa aliyekosa ajira wala hana rasimali endelevu ya kumpatia kipato. Serikali za awamu zote zilizopita zimekuta huyu lakini zimeshidwsutabua , kumthamini a kumwendeleza kiuchumi, anazidi kudidimia kwenye lindi la umaskini Danganya toto tupate kura yake niweze kula na kulaa raha mustarehe na familia yangu Hii ndio Sera ya chama tawala,znz,CCM.
@MamyRahma Жыл бұрын
Ulaya asaa??
@AmranSuleiman-tj5df11 ай бұрын
Ccm tumeichoka miaka kumi barabara ya mkoani chake chake inajengwa kwa mdomotu wanafik2hawa
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Hiyo barabara ilipangwa Kabla ya Mwinyi. Hayo ni makombo tu ya awamu zilizopita.
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Munaumwa huku bara samiya anajenga kilomita 43 kigamboni 4 way kwa mizi 20 pmb km 23 miezi 30 wsy
@AhmedSeif-il1xx Жыл бұрын
CCM wazanzibar kma wanyama tu hawana akili
@HairatAllyАй бұрын
Ww km nan
@mbingwaali7791 Жыл бұрын
Ulaya mbona tunawazid
@khamisali5978 Жыл бұрын
😂😂😂
@FakihJuma-ow3gx Жыл бұрын
Ana fanya lakin Kwa ubaguzi mbona pemba hatengenezi kama ana vyao tengeneza unguja wewe huoni kama huoni ubaguzi
@hajihassan543311 ай бұрын
Wapemba mupo Unguja.
@EshaHamd-ed9yv11 ай бұрын
Muongo Mkubwa wewe ni sawa na kutudanganya kwani Wapemba wenyewe wanajua Kama Wamedharauliwa kutoka Enzi na Enzi Mpemba gani utakae mueleza hata akakukubali Kwa uongo na dharau munayowadharau jipakeni mukijieneza hata bado Kwa ubaguzi Huu naona Pemba mumechelewa sana wao wenyewe Wapemba wanajua kuwa halipo la kuwaeleza Ubaguzi mpaka Kiama hapana wa kuondoka isipokuwa Allah lakini Kwa Watawala Hawa hayupo