Ni mwendelezo wa matukio ya ovyo ya arajiga ajabu et ndo refa Bora Tanzania kwel watanzania tumeligwa mpaka kuona hatuon kabsa ni vpofu
@AkramIbrahim-m6x17 күн бұрын
Anawaza Nisikutane Jiwe Nisikutane Na Kisiki Nisikutane Na Kamba Ikanizinga Miguu HP Nikijikwa Nikianguka Yanga Yule Ananipita Ss Wana Simba Wt Presha Ipo Juu Ndio Maana Wanaongea Sn
@fredrickipembe818817 күн бұрын
Kaka unaanza kupotoka sasa ŕefa kazi yake nini uwanjani? Naona timu yangu yanga ishaanza kuñunua mechi
@AkramIbrahim-m6x17 күн бұрын
Wewe Ni Mnafiq Wewe Una Chuki Na Yanga Mimi Nakijua Wana Simba Wanaumia Kl Sababu Wataisema Yanga Simba Kila Akikimbia Akigeuka Anamkuta Yanga Yupo Nyuma Yk Ss Hajiamini