PENDO | TRUE STORY | LOVE & LIFE STORY

  Рет қаралды 21,394

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 94
@aminah9557
@aminah9557 8 ай бұрын
Hakika mm hua najifunza vitu vingi sana katika hizi simulizi dhaaa Mungu awabariki sana waandishi pamoja na wasimuliaji wao❤❤❤❤❤❤
@leah5307
@leah5307 8 ай бұрын
Amina
@faithndenge-cz8pe
@faithndenge-cz8pe 8 ай бұрын
Haki najivunia simuliz zinanifunza Mambo mengi sana ❤❤❤❤
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 4 ай бұрын
Pendo ❤❤🔥🔥🔥
@saumunyadzua
@saumunyadzua 8 ай бұрын
Thanks alot lukas ila siku hizi hata hau like hata comment zetu 🎉🎉
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 8 ай бұрын
Nimeanza na ya kwako😊😊😊😊🎉🎉🎉
@saumunyadzua
@saumunyadzua 8 ай бұрын
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI thanks alot mimi nafuatilia simulizi zako hata kama nimeanza ya mtu mwengine nikina notifications ya lukas tu naacha naanza na hio so I'm your big fun broo much love from kenya 🇰🇪
@susansamira8137
@susansamira8137 8 ай бұрын
Ubarikiwe kaka Lucas Lumbasi kwakutujali nakupenda bureeee❤❤❤
@ZainabMosa-n3n
@ZainabMosa-n3n 8 ай бұрын
Habari za kazi pole mungu akubariki sna akupe afy njema
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 8 ай бұрын
Asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akulipe kheri Inshaallah nakupenda sana ❤❤❤❤
@NailatYahayamkova-yu9qu
@NailatYahayamkova-yu9qu 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 kaka wa mboga saba nimekumisss mnooo jomoni ❤❤❤❤
@FloraBoniphace
@FloraBoniphace 2 ай бұрын
❤❤❤ bro
@MarryNdomba
@MarryNdomba 8 ай бұрын
Asante kwa simulizi najifunza vitu vingi sana
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 8 ай бұрын
Thanks a lot nice story be blessed kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤🎉🎉🎉
@asmajuma-kp8jq
@asmajuma-kp8jq 8 ай бұрын
thanks kwa simuliz nzr kla sku 😊😊
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 8 ай бұрын
Huenda ipo sku nitakua wakwanza pendo tusimlie kupitia kinywa cha kakaetu mpendwa, wadau mko poa leo tunalala uno no hy zawad kwa oote🌹🌹🌹🌹🙏
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 8 ай бұрын
Shukran ndugu lukas kwa simulizi ❤❤❤❤
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 8 ай бұрын
Tumeanza na kilio ucku wote huu😢😢😢
@Ivyagua
@Ivyagua 8 ай бұрын
Hi Lucas siku sikuerewi vipi uturetee ndunia nyingine ukibata❤❤❤
@AnethKabogo-so1qw
@AnethKabogo-so1qw 8 ай бұрын
Heee mbn kiliio tena jamani😢😢
@josephinepazmwana
@josephinepazmwana 8 ай бұрын
thanks wa pili leo🎉
@mwanaibrahim3288
@mwanaibrahim3288 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 thanks Kaka Lucas &dada ritha❤❤
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 8 ай бұрын
Mashaal asant sana kwasimurinzi ❤❤❤
@DianaGideon
@DianaGideon 8 ай бұрын
Pendo n mjingaaa😢😢😢😢
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 8 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@omerrashed9080
@omerrashed9080 8 ай бұрын
Lukas lumbasi nice job tùnakupenda sana ❤❤❤
@زينزوادي
@زينزوادي 8 ай бұрын
Jamani yani nimeishiwa
@merry486
@merry486 8 ай бұрын
Mbona imerudiwa
@mariamathman3572
@mariamathman3572 8 ай бұрын
Umeirudia hii story
@NaomyBernard
@NaomyBernard Ай бұрын
Hahah kweli apa ndio nimemuamin past wa TikTok alivy Sema kwenye ndon nikubakan sio ndiz Tena aawee ndoa
@Salma-id4yl
@Salma-id4yl 8 ай бұрын
Woww❤❤
@latifahali8228
@latifahali8228 8 ай бұрын
Jmn pendooo jina limemsibuuu
@Munira1044
@Munira1044 8 ай бұрын
Wow jmniiii
@wertqwe8326
@wertqwe8326 8 ай бұрын
Asante broo ❤❤❤❤
@Linet-gu8jv
@Linet-gu8jv 8 ай бұрын
Mbona hii simulizi kama imerudiwa kaka lucas
@Eshaomar-ge2nf
@Eshaomar-ge2nf 8 ай бұрын
Tumeanza na kilio😢
@AishaRashid-vh3mo
@AishaRashid-vh3mo 8 ай бұрын
Asante kk❤❤❤
@NasraKaneza
@NasraKaneza 8 ай бұрын
Acha nisikilizi kilicho mukuta pendo nazan kitakuw funzo kwang🙍🙍
@ReginaJumanne
@ReginaJumanne 8 ай бұрын
Mamb zen vipenz wa lukacy lumbas mko poah jaman
@Munira1044
@Munira1044 8 ай бұрын
Wow jmniiiii💖💞💗💗💗💗💗
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 8 ай бұрын
Duh huyu pendo bwege snaa😢
@Sabrinadickison-jn7hl
@Sabrinadickison-jn7hl 8 ай бұрын
ukuwe hii Usha wai kisimulia kwa anko jei wakati upo kule nakumbuka uyo.mdogo wake atakufa na ataolewa tena alafu atasalitiwa na mdogo wake wakike na pia anapata maambukizi ya vilusi kisha atafukuzwa mwisho ataolewa na mwana ume kutoka naijelia
@annemwinuka1766
@annemwinuka1766 8 ай бұрын
Huyu pendo ni mjinga kabisa
@YasintaHongela-j4s
@YasintaHongela-j4s 8 ай бұрын
Lucas hauna mbambamba inaonekana ni moto na inauhalisia na imejita katika jamii nyingi zenye mfumo dume
@Kellyperry947
@Kellyperry947 8 ай бұрын
ᴹᵇᵒⁿᵃ ʸᵘʷᵃˡⁱᵃ ᵗᵉⁿᵃ😢😢😢
@saumunyadzua
@saumunyadzua 8 ай бұрын
Amepigwa take
@JanethNathan
@JanethNathan 7 ай бұрын
Nilia tu asi stor inaisha jamn kuna story zinaumiza mno😭😭😭
@LeahMerickioly
@LeahMerickioly 7 ай бұрын
Daahh it's so pain kwel nmejikuta nalia nakuhc kama mie ndo muhusika hadi kichwa kinauma😭😭 kikubwa ni kumtumainia mungu maana yey ndo mtatuz WA magum yote
@fentafesh9790
@fentafesh9790 8 ай бұрын
very nice 🤠
@LucianaChapelo
@LucianaChapelo 8 ай бұрын
🎉🖤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿
@ReginaJumanne
@ReginaJumanne 8 ай бұрын
Kak Lucas uwe unatujib bac tunakusaljmia hat hutujib
@ErizabethToyi-bb8mb
@ErizabethToyi-bb8mb 8 ай бұрын
Waooooo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Mtu unapoteza watoto wako msululu kisa mume,labda ana mtindio wa ubongo Pendo
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 8 ай бұрын
Wajina wangu huyu jamni achanimsikilize meby story yake yalingana na yangu
@Jaane-mc5un
@Jaane-mc5un 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Atolewe kalio au kichwa kabisa,Pendo amenikera kwa kiwango cha lami😩😩
@ZainabMosa-n3n
@ZainabMosa-n3n 8 ай бұрын
Nampa pole sna ndungu mungu atamsaidi ya asikate tamaa mungu Yuko pamoja naye inasikitisha sna
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 8 ай бұрын
Hiii achaniwaachie nyie maana Beatrice mchana alifanya mambo simulizi mix
@nyamvulafatuma5383
@nyamvulafatuma5383 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@UbaNsineno
@UbaNsineno 8 ай бұрын
😂😂😂kunyonyana n ushetani😂😂😂😂😂
@FatmaMndolwa-uz5lt
@FatmaMndolwa-uz5lt 7 ай бұрын
Anko jey nataka unioe jamani
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 8 ай бұрын
Ahahahahahahahahah ila lucasi na simuliz Yako hiii Sina mbavu Mimi, eti ushetani huu, nimecheka jamn heeeeee😂😂😂
@SalmaMohamed-ts9sg
@SalmaMohamed-ts9sg 7 ай бұрын
Wakati mwengine ndoto hata km za mchana inatakiwa tuziamini Joshua alikuambia lkn dada pendo hukutaka kumuamini
@nchidabajuma9401
@nchidabajuma9401 8 ай бұрын
pole pendo wetu ila huyo si mwanaume ddangu limbukeni wa kila kitu mshenzi wa adabu yye
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 8 ай бұрын
Lakini simulizi imerudiwa tusha sikiliza kutoka kwa simulizi Mix
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Mhmm,😂😂😂😂😂,hii ni ngumu leo 🤣🤣🤣🤣 ngoja tuone 😂😂😂😂 wuwiii hata wakuuliza maswali yangu mengi sina jamani ishi uyasikie
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 8 ай бұрын
Mabusu ni ushetani mambo yanaenda kichungaji kweli kua uyaone hii kali eti imegonga jiwe jamaa anatafuta bikra na amenywea supu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EstherMlai
@EstherMlai 8 ай бұрын
Thank you bro hii naona itakua🔥🔥
@habibamura5255
@habibamura5255 8 ай бұрын
Huyu dada ana moyo mungumu
@roothaa3843
@roothaa3843 8 ай бұрын
Mbona unatuletea marudio
@nurafedrick378
@nurafedrick378 8 ай бұрын
Pendo akili kisoda atachagua mime mwisho kakayake atakujia maiti..mana huyu naona hana akili zuri mimba zote nauko hapo mm hata sikuonei huruma Kafie tuuu huko kwajumaa majina kibao yani siwexi vumilia kifo hichoo
@leah5307
@leah5307 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Rehema-co4xi
@Rehema-co4xi 8 ай бұрын
Tupo nikwl lucas hulake comments ztu twakupenda ❤❤❤kaka yt
@mercyamagove8354
@mercyamagove8354 7 ай бұрын
Kuna simulizi natafuta siioni balaa la penzii la mama mukwe something like that
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 8 ай бұрын
Mwanamke Ni kichaaa kabisa Hana namna ya kujiongeza
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 8 ай бұрын
Hee saidi ashakuwa mke majina ya saidi ni shida
@candidekaneza8587
@candidekaneza8587 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@vailethvennance4651
@vailethvennance4651 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 8 ай бұрын
Pendo unakumbuka joswa alivyokwambia
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 8 ай бұрын
Joswa alikwambia?
@ShadiaKarya
@ShadiaKarya 8 ай бұрын
😮😮😮😢
@Mupawarda-gj9qo
@Mupawarda-gj9qo 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PiliZubeir
@PiliZubeir 8 ай бұрын
Hii mbona nimarejeo
@JazilaSaidi-ts7um
@JazilaSaidi-ts7um 8 ай бұрын
Hii simulizi imerudiwa
@NeliaDaniel-h9s
@NeliaDaniel-h9s 8 ай бұрын
Ila Lucas kwahiy si waimbaji huwa tunaimba sana tukiona tuwapendao 😀😀😀😂😂😂😂 ukisikia mtu kati ndiyo hii sasa 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🤝🫶👊
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 8 ай бұрын
❤❤❤❤😢😢😢😢
@SalmaMohamed-ts9sg
@SalmaMohamed-ts9sg 7 ай бұрын
Nimempenda Joshua kwa kuwadunda tausi na mumewe muokozi wake
@NeemaAnselimi
@NeemaAnselimi 8 ай бұрын
Simuliz imerudiwa tulisha iisikiliza
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 8 ай бұрын
Kina saidi ni matapeli wa mapenzi
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Huyo Saidi hafai na atakuwa siyo mwaminifu hata mbele ya safari ya maisha yao ya ndoa,hata inawezekana alikuwa na nia ya kuonja tu na kuendelea na safari
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 8 ай бұрын
Pendo ana haraka za kijinga,mtu afunuliwe juu yako,kwanini na wewe usimshirikishe Mungu?eti handsome,hicho ni kigezo dhaifu kwani uzuri wa kweli umo ndani ya mtu siyo sura
@marthasonia5005
@marthasonia5005 8 ай бұрын
😢😢😢😢🫣
@DamarisAkoth-f3v
@DamarisAkoth-f3v 8 ай бұрын
mm l need shit ❤😂
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
PENDO | PART 2 | MWISHO
2:04:58
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 14 М.
ROY | NIKIPENDA TENA MNIITE MBWA!
1:21:57
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 4,8 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
NEELY | NILIMPENDA MWANAUME ALIEMUUA DADAANGU | SHORT STORY
2:58:05
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 14 М.
SIMULIZI YA SABRINA
5:53:58
D Oen Simulizi Fupi
Рет қаралды 7 М.
simulizi ya wakubwa; UNANITEKENYA
3:06:11
Simulizi Mix Fupi
Рет қаралды 13 М.
CIYONA | SIMULIZI FUPI TAMU | LOVE STORY
2:13:13
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 24 М.
SIMULIZI MPYA - SUCH KIND OF LOVE ( part 01 ) By Ankojay
2:20:43
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 245 М.
FADYA (CHUMVI YA PENZI) SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
2:17:56
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 6 М.
SIWEMA | LOVE STORY
2:22:28
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 26 М.
LATIFA | SIMULIZI FUPI | LOVE STORY
2:21:07
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 26 М.