Рет қаралды 30,365
GET THE AUDIO HERE: edutvmusic.hustlesasa.shop/pr...
Composed & Written by Edu & Cheru
Chief Translator - Debbie Kwamboka.
Folow us on titktok - / officialedutv_ke
LYRICS.
1st Stanza
Hata wamekuwa mwili mmoja si wawili tena agizo la bwana limeshatimia, kima cha mke mwema chapita cha majirani mume mpende mkeo naye akutii, hata jua lipunge na vivuli vikimbie mpendane daima wapendwa pasipate nafasi ya chuki ndani mwenu.
Chorus
Waweza kumshinda aliye pekeyake ila haiwezekani kwa wawili, Mungu yumo humo, amewapa nguvu ya kushinda majaribu yote, maji mengi hayawezi kuuzima moto wa upendo wala mito haiwezizamisha upendo. Pendo Pendo Pendo dumisheni upendo.
2nd Stanza
Ndoa yenu na iwe muungano wa uhasibu na imani Mungu akiwa ni msingi, maombi na maadili yakawe ni nguzo kwenu pasiwepo chochote cha kuwatenganisha, mpango wa mungu kwa ndoa ni kuzirejesha Uzuri, usafi ukamilifu papatikane baraka maishani mwenu.
Reach us through email at edutvke@gmail.com OR through WhatsApp at +254790823114 / +254716183215.