Mugulumu wa bukuku na upole wa mwapaja means allots wapi likes zao from Western Kenya please
@labanitobkala620 Жыл бұрын
Bahati bukuku ananguruma kama simba hadi shetani anakwepa watching and listening from Nairobi Kenya...Wapi likes from Kenya jameni!!
@mary-lx3hr Жыл бұрын
Hahahaha Ni neema ya mungu tu pekeee ndio imejaa ndani yake
@annachaula9755 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🖐️ nampenda na sauti yake, afu tumefanana sura watu husema
@jimmymeshack8725 Жыл бұрын
@@annachaula9755ebu tuma picha tuone
@esthermuthuita7924 Жыл бұрын
From Kenya we bring likes and hugs. A great blessing you two have been.
@feithmueni4686 Жыл бұрын
@@annachaula9755 hebu tuma sura yako tukuambie ukweli
@petermwangale-hf4bo11 ай бұрын
Best collabo ever,Bahati is ever green and melodious ,''uuuunatamani nini mungu atendeee kwa ajili yako''
@collinsbaraza6521 Жыл бұрын
nimemdhibitisha yuko na mimi milele na milele hallelujah.kama una amini yuko nawe kama mimi nipe like.ananiketisha pa wakuu namshukuru sana
@NoelBanda-j3f7 ай бұрын
Very heart touching the soul/keep it up
@mwalimumike7579 Жыл бұрын
Wow from kenya getting it loud and clear,,my colleagues from kenya who are watching give me a like
@peterlucheli221 Жыл бұрын
Hallelujah moto wa revival upo Afrika. Neema zaidi wapendwa watumishi. Kenya twawapenda 🙏🇰🇪
@2012SporahVenance Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oIWxaZeBd56Ejpo
@mercylinekerubo9602 Жыл бұрын
My Wonderful and amazing strong women of God I got touched by Bahati's turn 🥺🥺🥺the message and the voice 🙏🙏🙏🙏🙏
@nthenyajonah903 Жыл бұрын
@@mercylinekerubo9602 ..
@vesselbrendah5226 Жыл бұрын
Ni wimbo uliojaa utukufu wa Mungu kweli! 🙏🙏🙏Tunatiwa nguvu Yupo nasi!watu wasiseme ametuondokea Mungu! Nimemdhibitisha yuko nami milele
@appsplay4324 Жыл бұрын
Yuko na mm daima haez niacha mungu mbarikiwe sana wimbo mzuri
@prophetessmagrethisaac Жыл бұрын
Kabisa Mungu yupo
@innomichael8340 Жыл бұрын
Amina kabisa ,Kabisa.Namimi nimemthibisha Mungu yupo namimi milele
@patrickmpemba9150 Жыл бұрын
Ni wimbo mzuri mnoo sauti ya Bahati Bukuku mkongwe wa nyimbo hizi.. Dada yangu Martha mwaipaja mmefanya kolabo nzuri mno.. Bwana asifiweeeee
@fredrickoyugi8540 Жыл бұрын
These two guys are always the best
@MaombiClarisse-iz7mbКүн бұрын
Nawapenda sana mama zangu. Mungu awatiye nguvu na uwezo.
@Graduation2024Live Жыл бұрын
Martha mwaipaja ft bahati bukuku>>>>nimemdhibitisha 🎶 Rose muhando ft christina shusho >>>>>salama 🎶 Bony mwaitege ft sifaeli mwabuka >>>>>>>salama 🎶 What an interesting moment to be alive
@halemevin8247 Жыл бұрын
Nobody is talking about the voice and vocals of Bahati 🌺🌺🌺🌺🥰🥰🥰🥰 it's awesome and total sweetness
@robbertmakau6328 Жыл бұрын
True
@Graduation2024Live Жыл бұрын
Kwanza hapo kwa chorus ...sio bass sio tenor sio alto
@miriamokoyo2588 Жыл бұрын
the way I love Martha I can't tell🥰🥰🥰may God always protect you and bless you Martha
@jeanjoyce707 Жыл бұрын
She has enough bass❤
@micahluka3200 Жыл бұрын
fats 😍😍
@eliassoingei2046 Жыл бұрын
Uamshooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Asante Martha kwa hii Collabo Bahati tulimmiss sanaaaaa👏👏👏👏
@petronilamuthoni1751 Жыл бұрын
Nimeipenda sana💕💕💕❣️
@mercieofficial7675 Жыл бұрын
Jesus of Nazareth ,,,,,,,,the sounds✔✔ Instruments ✔✔ Bahati bukuku The voice is on the next level 👌 Martha Mwaipaja the voice is soo cool and sweet wapi like zao oooooh my 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you Queens 👸 ❤
@VeronicaFaustine-pi2fz Жыл бұрын
God bless Martha and bahati bukuku
@deborahkakond6231 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@bernardmuriithi8468 Жыл бұрын
God ur great I just love this beautiful ladies
@AbbyNakola Жыл бұрын
God bless you vessels of God
@evantuskamasho732 Жыл бұрын
Mpendwa mpende jitani Kama nafsi yako
@vugutzatheblackqueen Жыл бұрын
Napenda jinsi gospel inatia moyo,nguvu,watu wanapona kupitia hizi nyimbo ❤❤🎉...
@Mariammtaki. Жыл бұрын
Ni kweli zinatia moyo sana.
@sp7711 Жыл бұрын
Pure gold! Tanzanian women are in a class of their own musically. Very refreshing
@Fondo0 Жыл бұрын
Halafu Kuna Hawa wetu wakenya, mashaka matupu uku kwetu Kenya Etty size reborn mateke 😂😂😂😂😂
@birgentarus5076 Жыл бұрын
Alafu kuna kina katungwa na kina syokau 😅kenya, sikia Bukuku anavyomngurumia holy spirit inashuka live 😮
@Purpleismyfavoritecolor63 Жыл бұрын
Mwaka huu Mungu atatuhurumia, atatukumbuka na mwisho wa mwaka tutamthibitisha Kwa matendo yake makuu... Amen!
@nasexgaldreg9109 Жыл бұрын
Amen
@neemamueni9885 Жыл бұрын
Amen
@susanindiri-dw4rx Жыл бұрын
Wow wimbo mtamu kweli , neema iwatoshe dada zangu . Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawapenda
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Amina🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰ukweli,kabisa. Ha ha. Waaa🤝💪👏
@nasexgaldreg9109 Жыл бұрын
Aki uu wimbo God bless u both nawapenda sana listening from Kenya
@kakawillisobura7874 Жыл бұрын
My love for Bukuku will never fade. Simba mwanamke. 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾, Endelea na kazi hio nzuri mama
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Kazi nzuri ipi ya kumdhalilisha Yesu Kristo kuwa alimsamehe Kahaba kwa ajili ya urembo wake Kahaba kweli ndio kazi nzuri Luka 7:39-48 soma
@tabbywadas660 Жыл бұрын
When I realized how God work how good he's I just cry for his goodness,dear God just forgive my sins in many ways you have proved how much you love me
@prince001tv526 күн бұрын
The Bukuku spice remains melodious as always Satan can't afford to withstand, Blessings to everyone who is here as 2024 ends
@titusomondi6993 Жыл бұрын
Wow this part,"Unataka nini Mungu atendee kwa ajili yako" . God never disappoints. Acha atende kwako udhibitishe. If you believe God will work for you press the like button👏
@beatricemaugo Жыл бұрын
Baraka iliyoje dadangu Martha.......Nyimbo zako zinanibariki sana..Kenya🇰🇪 tunakupenda sana wapi likes za wakenya.👍
@aledesiomushi875 Жыл бұрын
Nampenda Martha mwaipaja yuko simple natural Hana mambo mengi may God raise u up Bahati bukuku ni 🔥 let's enjoy .
@JoakimuKavusha-bg5xr10 ай бұрын
Nakupenda sana bahati bukuku nyimbo zako huwa zinanifariji sana mungu akupe maisha marefu
@Susanmulwa16 күн бұрын
Pale Bukuku anapoimba verse yake najipata machozi inamwagika nikiomba Mungu tu maanake Ile ni kweli kabisa ..Love from 🇰🇪🇸🇦
@supertallone1902 Жыл бұрын
Nampenda Martha & Bahati Bukuku❤. Mmenibariki kwa kutuletea wimbo uliojaa utukufu kwa Mungu! Mungu azidi kuwaongoza💕 #Gospel#Nimemthibitisha
@victorukerdogu Жыл бұрын
Une très belle chanson et avec une collaboration d'excellence que Dieu vous garde jalousement Je vous aime
@emmanuelchilimo Жыл бұрын
Sauti ya Martha iko very Emotional katk asili yake,na ya Bahati ni Sauti ya mamlaka sana na kukupa ujasiri wakati wote juu ya kumtumainia Mungu. Kama u akubaliana na mm gonga like na kuamini kuwa Mungu huwa tumia watumishi kama chombo
@zophywa9102 Жыл бұрын
Kumbe si mimi pekee huskia sauti ya martha ikiwa emotional
@samwelmushi416 Жыл бұрын
@@zophywa9102 ❤
@DonndedieuElias Жыл бұрын
Vraiment mungu 🙏 awape maisha marefu sana nawapenda sana
@elsahdeviez9953 Жыл бұрын
Amen
@miriamchuma9096 Жыл бұрын
Hakika nimemthibitisha MUNGU yuko pmj nami milele na milele
@mariamndungu2551 Жыл бұрын
Great voices from our legends I love them am a Muslim but I love this two
@happinesskwamboka1540 Жыл бұрын
Continue to be blessed 🙏
@miriamlihinda3326 Жыл бұрын
Bless you sister ❤
@rachelalfred871 Жыл бұрын
Yes, be blessed with God.
@gracemtonga3263 Жыл бұрын
Amen
@emmanuelainy Жыл бұрын
Welcome back to Jesus
@LydiaMuthoki-bz2xg Жыл бұрын
Bahati mungu amekubariki sana jina la yesu lipewe sifa sauti yako naipenda sana nakufuatilia kutoka Kenya
@AmandaSeriani7 ай бұрын
I swear this woman bahati bukuku is anointed hio sauti tu manze wueh 🙌🙌🙌 and this other mwaipaja manze this combination is a banger 🔥 👌 may heavens hear you
@freddyfredricks34355 ай бұрын
Bukukus voice is a real roar of a lioness!! It scares away the devil and his intetions!! ❤❤
@zebedemirambi3067 Жыл бұрын
Bahati Bukuku karibu tena mama mtumishi wa MUNGU, tulikuwa tuna kukumbuka❤️🇨🇩 Martha good work Mungu awabariki🔥🙌 Yuko na mimi milele na milele😭🙌
@winnieweezyk Жыл бұрын
Nimethibitisha yuko na mimi milele na milele🙏🙏🙏 Huko nyuma nilipitia mazito mengi bila mungu yani sijui ningekua wapi.I love this song inaongelelea what wengine wetu tulikua tunapitia.God bless you much servants of God.
@PastorsTz Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/lZ6QnZmsi6-pibc
@mosesatya3386 Жыл бұрын
BAHATI BUKUKU WOOOW WELCOME BACK 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@gladwell6500 Жыл бұрын
This is my testimonial song!❤ He healed me of chronic unknown disease in my 11th year.I survived a critical neck surgery. I survived rejection, humiliation.He gave me my dream job on my 26th birthday. He changed me for who I am today.I testify God exist and He walks with me everyday 💯❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@serfineachieng6921 Жыл бұрын
❤❤❤
@laurakhloe8030 Жыл бұрын
Amen🙏
@dorcusokello3866 Жыл бұрын
Ameeen
@alexmutisya6603 Жыл бұрын
May God be with you. Amen
@evelynewanjiku Жыл бұрын
Glory be to God
@WinnieAdego9 ай бұрын
Long since I listened to bukuku songs the Lionnes herself watching from gulf saudi Arabia really feeling blessed
@joanasadi9984 Жыл бұрын
Happy to see our legend in the ministry Bahati welcome back,umerudi kwa vishindo,thank you Martha,wimbo mtamu🇰🇪🇰🇪 tumewakilisha.
@milkaokwemba6865 Жыл бұрын
Nimebarikiwa zaidi kupitia wimbo huu. Unanitia moyo katika kila hali
@elsiemichael6566 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏 utukufu umrudie bwana wa majeshi,,, mbarikiwe sana kwa wimbo uliojaaa utukufu wa mungu na kutupa matumaini
@gaudenciamaghanga Жыл бұрын
Hii ni collabo ya upako.... Mungu azidi kuwapa Neema zaidi watumishi🇰🇪
@dolphineowiso1749 Жыл бұрын
Mungu wangu,,,,si ata mi ungenipa neema Kama huu,,,,machozi ya furaha unitoka ninapo sikiliza Hawa watumishi wako wakilisifu jina lako,,nawapenda Sana dada zangu waaaaaaaa🙏🙏🙏🙏
@Dorotheengoy2 ай бұрын
Haleluya Mungu ni mwema nataka nikuthibitishe eh!!! Bwana wangu wangu jisibitishe leo kwa nguvu zako kupitia nyimbo iyi nakuomba unionekaniee Yesu christo mashetani hayana uwezo kukushinda wewe naomba nguvu zako Yesu christo zini bebe Bwana
@dj.moneyboy Жыл бұрын
I just had to stop my car to listen to that beautiful part of bahati bukuku.🙏🙏🙏🙏😍💓my sister got involve in a road accident and she is lucky by God's grace . 🙏 Mungu yuko na yeye mile na milele .
@2012SporahVenance Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oIWxaZeBd56Ejpo
@2012SporahVenance Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oIWxaZeBd56Ejpo
@samuelkisienya3686 Жыл бұрын
its really.agood.song8
@samuelkisienya3686 Жыл бұрын
M
@stephenonyiso2124 Жыл бұрын
Nakwambia Mum Martha akishika hio microphone 🎤🎤 Kila mtu anabarikiwa
@puritynzilaniofficial Жыл бұрын
Kwambia
@christineriunga3007 Жыл бұрын
Wow.....love this Tanzanian gospel music 🎶 🙌 ❤ 🙏....had also watched Rose muhando and Christina ,well done ladies💯..... umoja ni nguvu utengano ni udhaifu .kwakweli mumethibitisha kwa Mungu yawezekana🙏
@yvonnemusyoka6904 Жыл бұрын
And their voices,,woow!!
@eunicemutiso5788 Жыл бұрын
something av realized na nyimbo za huyu mwana dada mwaipaja.. she has her unique way of singing and how she presents her songs! baraka
@graceymbithe Жыл бұрын
My song of the year ❤🫶🙌me Naomba Mungu uzidi kuniinua🙏🤲kwa mana nimedhibitisha uko nami milele na milele
@jannyrose5367 Жыл бұрын
Halleluja.. Glory... Kenya tunawapenda Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Keep the fire of gospel burning 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kimmathew6966 Жыл бұрын
Ooh!! Hallelujah.Jamani Mungu Mkuu awabariki sana,Huu wimbo Ni Wangu. Asanteni sana
@LavenderJebet-gq3fh Жыл бұрын
Amen
@martinomwayi6123 Жыл бұрын
Music heals the soul for sure, Martha and Bahati Bukuku perfect combination that just calms disturbs hearts
@lucywanza-or3zr Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana🔥🔥🇰🇪
@Leah-oz8us Жыл бұрын
Sweet melody 🇹🇿⭐💥💥
@nsengiyumvaceleatin8146 Жыл бұрын
Dada zangu minawaunga mkono .Wimbo huu unaeleza upendo kamili,uezo ,ushindi,ulinzi Bora .....endelea kabisa kujenga miyo ya wale wote wanayompenda "Yesu Kristo" msipo katatamaa zawadi zipo Kwa yule muliyetumikia. Tunawapenda
@DorcusKimeu-z1f10 ай бұрын
I'm healed by this song🙏🙏..ugonjwa ule ule uliowaua wengine nimepona 🙏..Neema itoshe
@angelinemusyoka8783 Жыл бұрын
So amazing, great song,I love it, glory to God, from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maggykahindi621 Жыл бұрын
Ameeen mungu azidi kuwapa neema hii ya kuenaza injili ya mungu ni mebarikiwa ni kiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cythiakarungu Жыл бұрын
Amen 🙏 God bless you 🙏
@dorinekwizera1483 Жыл бұрын
Amen🎉nimependa sana kuwaona mko wawili wapendwa wangu, Mungu aendelee kuwatunza kwaajili yetu👏🏻
@dorcasjuma17017 ай бұрын
Yeye anawezaaa duuu ulipo imba bahati nimeparudia mara mia duuu umenishtua sana narudia nakupenda sana bahati bukuku jmn❤❤❤❤❤❤❤❤
@HidayaMchimilah6 ай бұрын
Kwa kwer mnatendea HAKI huu wimbo wapendwa Mungu awatetee kwa kl Jambo lenu , nawapenda mno , HONGERENI Sana jamani.
@FredGDangote Жыл бұрын
Kazi nzuri zaidi.dada zetu .kutoka Kenya 🇰🇪🔥🎉🎉 twawapenda sana.
@tumuhairweboreen6070 Жыл бұрын
😇😍😍😍I'm happy to live in a blessed generation of seeing these two beautiful women of God praise and worhsip and win souls for Christ Jesus...Lots of Love from Uganda😍😍
@franklinesohera3361 Жыл бұрын
Like the song amen
@tumuhairweboreen6070 Жыл бұрын
@@franklinesohera3361 me more...thanks dear
@nasahazamaisha28 Жыл бұрын
These ladies are a blessing to me... Ujumbe mzuri unaopitishwa kwa njia ya taratibu🔥🔥🔥
@ReginaGachara-y1y Жыл бұрын
Neema ya Mungu iwe juu yenu katika jina la Yesu Kristo
@evodiadominicpaul5006 Жыл бұрын
Nawapenda sana bahati na Martha is my Best in my life, Huwa nabarikiwa nafarijika napata kujiamini na ujasiri Kwa nyumbo zenu,, Hakika nimemthibitisha yuko na mimi milele
@ndutak6256 Жыл бұрын
Much love to you both. Mungu awazidishie baraka. Kwa kweli nimethibitisha ❤️🙏🏾🇰🇪🇺🇲
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Ndiyo yupo na mimi milele namilele🙏🙏🙏
@carolinevienda3022 Жыл бұрын
Nimedhibitisha 😭😭😭baba Yuko na mimi milele🙏🙏
@carolinevienda3022 Жыл бұрын
Wimbo unanguvu kwangu
@norahwanjalamwadime4469 Жыл бұрын
God bless you abundantly much love from Kenya.Ninapenda kusikiliza nyimbo zenu huwa zinanitia moyo sana.
@HildaChepkiruiMusic Жыл бұрын
Amen,I have confirmed,God is surely with me...Nimemtibitisha...What a song💕💕💕💕💕
@JenethFrank8 ай бұрын
Bahat bukuku your voice is so marvelous. Unaweza kukemea mapepo yakamtoka the way unayo sauti yenye mamlaka na utukufu wa Mungu. Martha Mungu azidi kukubariki your song is very fantastic. Nyimb zenye uwepo na uwezo wa ajabu. Always when i try to sing your song i fill God precence.
@TrueRayvin Жыл бұрын
Tumsifu munguu milele na watu wasiyo mjua wamjue zaidiiii I love the song so much Bukuku toa wimbo umenyamaza sana
@susanonyando3721 Жыл бұрын
Such a beautiful song with great vocals. Receive my love from Kenya ❣️
@juddexoloro5881 Жыл бұрын
more love from Kenya as team Gulf Strong as mama kanisa there, asanteni madada kwa kazi nzuri guy wimbo unatutia moyo has a wakati wa changamoto kwa huu ramadhan, tumethibitisha yuko na Team strong all the time, God bless you🙏🙏
@anitahbecky9304 Жыл бұрын
Listening to this I cried my lungs out knowing exactly where God has brought me from
@joycepeter6541 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallejah very powerful song huo mji wa bwana unatoka nyimbo za kufarij waliofujika moyo amen amen.
@janeroseodhiambo9878 Жыл бұрын
Naomba nidumu ndani yake hadi nimalize safari...Nje yake hakuna uhai...jinzi samaki apatavyo uhai ndani ya maji, hivyo ndivyo wateule tulivyo ndani ya mungu kupitia yesu aliye njia, ukweli na uzima....Hallelujah....! shouts for these ministers of God... blessings to them.
@marykioko8398 Жыл бұрын
Nice song keep it up 👍🙏🙌❤️ much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏❤️
@speransaashapira4037 Жыл бұрын
Upendo wa MUNGU nimkubwa maishani mwetu hakika nimethibitisha uwepo wa MUNGU 🙏🙏🙏❣️
@samogutu4709 Жыл бұрын
Kazi nzuri watumishi mwenzangu. Keep up the good work my senior sisters in the ministry. God bless
@hellennthambi8379 Жыл бұрын
Martha mwaipaja, twakupenda.from Kenya
@wallacekatini34245 күн бұрын
Ila nyimbo zote za injili kutoka Tanzania zapendwa sana na wakenya kuliko watanzania wenyewe jaman. Kazi nzuli kweli🎉🎉
@zippymuli6008 Жыл бұрын
Wow one of the best gospel collabos..love this 🙌 Bahati Bukuku and Martha Mwaipaja Let God continue using you to minister and bless us through your music am truly blessed the song is powerful 🙏
@KennyPsalmsOfficial Жыл бұрын
I love the Sound 📢 and the Media who make it thru for us thank you #Martha #Bukuku Mungu awabariki saaaana all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abigaelkarenya7153 Жыл бұрын
I love this master piece 🔥🥰😍💖 ........my sister's from Tanzania keep the good work going .wimbo huu unanibariki sana 🙏🙏🙏
@annawawuda9590 Жыл бұрын
Awwwwwwwww ❤️💙 The 2 voices blended together 💪♥️ UTUKUFU WOTE UMURUDIE MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏✅🥳💪🙏
@JacksonMutua-t3i Жыл бұрын
Woow nice song dada Martha amani ya mungu iwe pamja nawe
@witnesswilson8660 Жыл бұрын
Amen mmbarikiwe watumishi wa Mungu kweli tunatakiwa tumthibishe Yesu .
@Josephinevibes123 Жыл бұрын
I'm enjoying this music 🎶 even as I can't understand the language. What a collaboration. As a Nigerian I love Martha. I love that lady bass 🔊 a lot.
@dzrtv1725 Жыл бұрын
It's Swahili, simple if you willing to learn it. Song talks about you confirming that God is with you always. It's a testimonial song.
@Josephinevibes123 Жыл бұрын
@@dzrtv1725 Wow o! Thanks 😊.
@dzrtv1725 Жыл бұрын
You are welcome
@wallesmdoe9164 Жыл бұрын
Huyu mtumishi wa Mungu Bahati bukuku ananibarikia sana naomba like tusepe wote 2023
@violaharry9843 Жыл бұрын
Yaani huyo mama yao wanyakyusa🥰🥰🥰
@BrendaLujesi2 ай бұрын
Mungu yupo tuombeane Kila kukicha na mwenyezi mungu awape mwisho mwema
@voliansifuna50506 ай бұрын
2024 on it again.....Nazidi kumdhibitisha yuko mimi milele na milele❤❤❤
@jacklineoduor9730 Жыл бұрын
Nimethibitisha yuko na Mimi 💕 milele na milele 🙏🙏🇰🇪 hallelujah 🥰👏
@LInda-fs3rx Жыл бұрын
The vocals are just on another level. It makes you want to listen to over and over. Thump up Bikuku and Mwaipaja. Blessings galore.
@rosendinyo2454 Жыл бұрын
Hallelujah Nimethibitisha Yuko Nami milele Soooo powerful message 🙏💗 Great vessel of God Sauti zilizo na upako mguu
@bampendemasengo68558 ай бұрын
Listening from the US. God bless you my sisters
@nguwarenson5367 Жыл бұрын
Ndio yuko nami milele na milele. Mubarikiwe watumishi wa Mungu kwa kuchagua kumtumikia Mungu Baba wa Wote.
@veronicahhopemusic Жыл бұрын
Nimedhibitisha kweli yupo nami milele na milele,wimbo mzuri saana,Mungu awabariki🙏
@zionfahariofficial2057 Жыл бұрын
Wooooowe🔥🔥🔥🔥🔥 Now we see the love in Gospel ,Nimemdhibitisha it's soo inspiring song Martha and Bukuku Keep going 💪💪🔥🔥
@maryanneshitote9138 Жыл бұрын
The combination of our two sisters was so wonderful ,may God bless them
@florenceogutu707910 ай бұрын
Bukuku has a heavy voice🤣,but i love the song🥰,Mungu natamani kuwa na familia tafadhali nithibitishie🙏.
@DamarisMwiathi Жыл бұрын
What a wonderful song is this,I can't get enough of this,Bahati Bukuku I like your voice, Martha Mwaipaja I like yours also!
@glorysarah_Music Жыл бұрын
Huu wimbo ni wa majira yangu,kenya tunawasubiri sana
@jennifersety9093 Жыл бұрын
That voice of Bahati Bukuku is really awsome good as always
@keitakeita6984 Жыл бұрын
If my daughter's will sing just half of this women, I will tell God to crown my parenting and give me a place in his kingdom..... Ooo my goodness... Thanks for this piece that speaks to Christians and Sinners differently.. ❤❤❤❤❤❤❤
@mission94 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KaviraKavughavisi Жыл бұрын
Amen Amen Amen, Mungu awalinde kutoka béni Congo tuko n'a Martha mwaipaja hapo kwetu béni
@KennedyLibamira5 ай бұрын
Sauti YA bukuku inaweka ladha kwelikweli❤more grace to you people love you all Shalom ken from Kenya 😊