PENZI HASARA EP 50 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love

  Рет қаралды 11,879

ISIKE MOVIES

ISIKE MOVIES

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 2 күн бұрын
Ally mpende fetty mimi namkubali sana
@LeilaAbdi-p4i
@LeilaAbdi-p4i 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂seif seif na lina sina mbavu jamani nimeisha ❤❤❤❤❤❤you guys seif nilikwambia mapema ujiongeze ukakataa sasa ona yalo kupata boy child 😂😂😂😂😂😂😂😂
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 2 күн бұрын
Ally kwa ushauri wangu mie kama mtazamaji wa hii movie achana na hao wote ubaki na ffet bas sababu hao wengine hawana mpenzi na wewe haswa zena co mwamke sahihi mwako huyo....
@SereneDonuts-nn6vq
@SereneDonuts-nn6vq Күн бұрын
Movie imeisha ladha jamani😢😢😢muimalizeeeeeeeeee
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 2 күн бұрын
Ila hash wewe huyatki mapenz kweli utki kuutesa moyo wko sio😂😂
@roseshayo3738
@roseshayo3738 2 күн бұрын
Seif na lina 😁😁😁😁😁😁
@NuruJoseph-o5j
@NuruJoseph-o5j 2 күн бұрын
Kaz nzur ❤❤❤
@Egelhartsama267
@Egelhartsama267 2 күн бұрын
❤ nipeni like zangu kazi nzuri
@ShamsahassanHassan-n1o
@ShamsahassanHassan-n1o 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂saif na lina wanachekesha
@NajmaAbdallah-d6r
@NajmaAbdallah-d6r 2 күн бұрын
Mi nachoona ally awe na msimamo kama anawaacha wote abaki na Fetty
@SylvainNgoy-l3c
@SylvainNgoy-l3c 2 күн бұрын
Wakwanja kutoka Congo 🇨🇩
@winniemwaka3202
@winniemwaka3202 2 күн бұрын
Hii move sielewi mm naona maovu tu mm
@fatfat9093
@fatfat9093 2 күн бұрын
Bbke fety hataki mchezo fety umearibu kote kwa Zena alli na zein sasa.Aly utajiteteaje kwa Zena fumanizi y.wazo
@olicej7837
@olicej7837 Күн бұрын
Kwenye hii movie mwanaume ni mmoja tu ambae ni zen
@OmaryMlanzi-f1k
@OmaryMlanzi-f1k 2 күн бұрын
Kweli huyu baba mkwe wake na ally huyu ndiye baba anayetakiwa kwenye jamii kama baba yangu mzazi msimamo kwa maneno makali
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y 2 күн бұрын
Kumekucha Zena kamfumania Ali na fety Wana piga busu, next episode ni moto🎉🎉
@FaizaKabibi-tb2dj
@FaizaKabibi-tb2dj 2 күн бұрын
Msichelewe nawaminia sana
@NeemaMbuji-i7s
@NeemaMbuji-i7s 2 күн бұрын
Mapenz ya usaliti kazi kazi niwatakie Christmas njm
@NosiataDfd-k5g
@NosiataDfd-k5g 2 күн бұрын
Sefu na Lina wanachekesha kweli
@ImaniPitino
@ImaniPitino 2 күн бұрын
Fety hata siyo mzuri Zena yupo cute sanaaaaa
@olicej7837
@olicej7837 Күн бұрын
Mimi nguo zake tu sizielewi kbsaa 😂😂😂😂
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 2 күн бұрын
Fatumaaaaa kimemlamba😂
@ZainabLewa
@ZainabLewa 2 күн бұрын
Yani sefu na Lina Wanafurahisha😂😂😂
@NasmahTomasi
@NasmahTomasi Күн бұрын
😂😂😂Wanafurahisha sn sefu na Lina😂
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂safe na lina 😂😂😂
@husnatsuma755
@husnatsuma755 2 күн бұрын
Hii movie haishii jamani ❤❤😢😢😂😂😂
@HappyDaudi-ub4hw
@HappyDaudi-ub4hw 2 күн бұрын
Hadi inaboa aiseee mana hawana hata msimamo wanaachana huku bado wanatakana tena
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Na mambo yake hayabadilikiii😂😂😂😂😂😂😂 et hii Ndio mv haiishii
@niyigenatarissa4581
@niyigenatarissa4581 10 сағат бұрын
Umeicoka?
@JEANMARIEIBRAHIMu
@JEANMARIEIBRAHIMu 2 күн бұрын
Tunakukubali tukonyumayako
@MaryamIsmaeel-v3i
@MaryamIsmaeel-v3i 2 күн бұрын
Baba feti,anikosha❤❤❤❤❤❤❤❤
@Wamwakera254
@Wamwakera254 Күн бұрын
Mery Christmas 🎄 Zain na feti 🤣🤣🤣🤣 bila kusahau sefu na lina 🎉🎉👋👋❤❤❤❤❤
@UmmyLoyyi
@UmmyLoyyi 2 күн бұрын
Fanyen muimalize sasa movie imepoteza mvuto
@HappyDaudi-ub4hw
@HappyDaudi-ub4hw 2 күн бұрын
Kabisaaa inaboa tu sa hiz
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 күн бұрын
🎉​@@HappyDaudi-ub4hw
@MonalisaNdimbo-f8m
@MonalisaNdimbo-f8m 2 күн бұрын
Bado 🔥 achen mbwembwe bana
@faithmbaizi382
@faithmbaizi382 2 күн бұрын
🎉🎉🎉merry Christmas 🎅
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 күн бұрын
Kazi nzuri mashaulllh
@alish2182
@alish2182 2 күн бұрын
Rina na sefu nawapena sana❤❤😂😂
@NosiataDfd-k5g
@NosiataDfd-k5g 2 күн бұрын
Yaani Ali na fety wanapenda xana aky ila hata siwaelewi
@LilianJuma-q6y
@LilianJuma-q6y 2 күн бұрын
Ali ungekua na msimamo hayo yote yasingekukuta , ila pole sana mungu atakusaidia
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 2 күн бұрын
Jamani namimi leo nimewahi mnipe upendeleo 😂🎉alafu mbona tina❤hatumuoni
@samiasalum9690
@samiasalum9690 2 күн бұрын
Ebu imalizeni bhs mtoe nyingne
@SilvenMilton-f3e
@SilvenMilton-f3e 2 күн бұрын
Hongera sana
@AmineMetin-wy2vh
@AmineMetin-wy2vh 2 күн бұрын
😂😂😂Ali n kama solomon anajukuliwa kama bedele na mademu😅😅
@nancyeliza
@nancyeliza 2 күн бұрын
Hapa naona ata baba feti akimfukuza Ali,,haka kaugonjwa ka Ben kamefanya Hawa watu wote ilee kitu😅😅😅Soo borake waendelee kutupiana mda na feti wake😂😂,maoni tu,ctaki matusi,chrissmass haijafika tumboni🏃🏃
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Күн бұрын
Mi naona mwanaume ni zen peke yke nipeno no yke aniowe tutulie musimpe presha hasband to be jmn 😂😂😂😂
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@Timehamad-o1j
@Timehamad-o1j 2 күн бұрын
😂😂😂😂 seif lina
@roseshayo3738
@roseshayo3738 2 күн бұрын
Sasa boko na linaaaa!! 😕😕😕
@miriamanjema2176
@miriamanjema2176 2 күн бұрын
Linah na sefu mtanimaliza
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Күн бұрын
Kampuni Ina mapenzi kuliko kz
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k Күн бұрын
Yaan uyu ali hajielewi yan yupo yupo tu
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 күн бұрын
Watatu leooooo
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 2 күн бұрын
Hpo hansh umeongea
@LevinaMacha
@LevinaMacha Күн бұрын
Penzi hasara😅😅
@DoriceBabiligi-i8y
@DoriceBabiligi-i8y 2 күн бұрын
Hery ya krismas wapendwa, Mungu awabariki sana
@JabuMohd
@JabuMohd 2 күн бұрын
Wauuuuu
@halifaalhabsi9883
@halifaalhabsi9883 2 күн бұрын
Zena pashuka 😂
@FurahaChristine-g8w
@FurahaChristine-g8w 2 күн бұрын
Asanti hash una ushahuri muzuri
@LucyRafeali
@LucyRafeali 2 күн бұрын
Ashi hiyo tisheti kila siku
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v 2 күн бұрын
❤❤❤❤
@halifaalhabsi9883
@halifaalhabsi9883 2 күн бұрын
Lina leo utakoma
@NoorNoor-y4w3t
@NoorNoor-y4w3t 2 күн бұрын
Sasa kama ally unadeni mbona ulikuwa unaoaoa
@ZanuraMsury
@ZanuraMsury 2 күн бұрын
Ivi kama nikweri awa wanalala Vp ndani 😮
@AUTRISFILMPRODUCTION
@AUTRISFILMPRODUCTION 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JoeriaAbdallah
@JoeriaAbdallah 2 күн бұрын
Manenos next plz
@kwekwetsuma3524
@kwekwetsuma3524 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@DeeOmy-q9c
@DeeOmy-q9c Күн бұрын
😅😅😅
@LevinaMacha-x7g
@LevinaMacha-x7g Күн бұрын
Penzi hasara
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j 2 күн бұрын
Merry Christmas mashabiki w penzi hasara ila fetty bado anampenda Ally n Linah n Sefu mnaniumiza mbavu zangu😂😂😂😂😂
@sarahqueen2494
@sarahqueen2494 2 күн бұрын
Wapili Leo merry Christmas guys mnipe likes jaman😅
@Mkambe-tr3iz
@Mkambe-tr3iz 2 күн бұрын
😂😂
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Күн бұрын
Mi naona mwanaume ni zen peke yke nipeno no yke aniowe tutulie musimpe presha hasband to be jmn 😂😂😂😂
@aishadakio7237
@aishadakio7237 2 күн бұрын
❤❤❤
MY DAUGHTER  I ep 11 I
15:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 23 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MKOBA WA MAMA Episode [ 22 ]  {S2 }  Tradition & Love story
23:12
TANU PLUS+
Рет қаралды 4,3 М.
PENZI LA MATESO ep 4( sad story) #family#entertainment#couple
15:50
BEFORE I MET YOU 💔 { 3 }
22:31
Donta Plus
Рет қаралды 45 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 17 | Love Story
27:25
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 8 М.
REASON OF LOVE《01》
17:18
EBITOKE COMEDY
Рет қаралды 92 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН