Bravo bravo guys🎉🎉🎉🎉🎉🎉at least nmeamini Faith unafanya kazi Imani yako binafsi na upendo bila unafiki Kila kitu n shwari❤❤❤hongera baba Joan ND your team we love you from kenyaa❤❤❤❤
@wamboiwamboh9 ай бұрын
Another Kenyan lady addicted to this movies❤❤bravo guys tunawapendaa all the way from kenya🎉🎉🎉
@collinsbukachi-i3l5 ай бұрын
Nakuitaji aki uko mrembo sana
@wamboiwamboh5 ай бұрын
@@collinsbukachi-i3l chung usimpende jini mkuu😂😂
@PatriceAmma-b9v2 ай бұрын
Sasa inaumiza😢😢😢
@sharonnyarimbasia2 ай бұрын
Ndo mimi apa so addicted since enzi za Steven kanumba
@BIGIRIMANAReverien-g4hАй бұрын
hongel Sana. baba Joan unapend familia yak kwl. ongel kwl. Ila namama Joan napup hongel kwl. yuk ft. nae anapenda mumew
@sarikokiagape76853 ай бұрын
ulimwengu wa majini😂😂😂 Big up baba joan mm nimefika huku kutoka mwanafunzi wa ajabu, mwalimu mgeni, baba yangu kipofu n.k..mna ubunifu mzuri..❤❤❤
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Kwenye matatizo mungu ana sahaulika kweli aisee ila wanganga hawa ila pia na sisi na tamaa zetu ndo zinatuponza pesa hizi aisee hongera kazi nzur ni funzo tosha
@fredietush1489 ай бұрын
Wa kwanza leo,nipewe likes
@GideonKibet-q8b5 ай бұрын
Napenda Sana. Hizi movies yako baba Joan inafundisha vizuri
@NzuvaKyalo5 ай бұрын
❤
@Kipngetich-KE5 ай бұрын
kongoi
@SalomeJustine9 ай бұрын
Jaman baba Joan napenda sana unavyoigiza good pia nataman nijue mnapopatikana
@Jaymedia16Tz6 ай бұрын
Waooooo na mm naomba nijue unapatikana wap
@HaronKiprotich-f6e5 ай бұрын
🎉🎉❤
@jeremiahmaragia-k3hАй бұрын
They have fun
@VictoriaLavier3 ай бұрын
Parabéns pra vocês amo muito vosso trabalho babá karobo 😅😅😅
@PatriciaSidi-c4w2 ай бұрын
❤❤❤❤ukiwa na shinda usiende kw wagaga utamaliza pesa yako, Kibilia kwa Mungu na utafunguliwa shinda zote, Mungu atatuma malaika wake wakuzunguke pande zote na hautathurika hata kidogo, Pastor Mungu akubariki sana kw huduma uliyo ifanya wakarudi kuwa salama, utukufu kwa Mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@StephenMusomba-x3o4 ай бұрын
I love your movies babajohn.well done
@PriscillaSaani6 ай бұрын
zujeat you look good nlikuwa nakuogopa kwa ile movie ya mwanafunzi wa ajabu❤️❤️❤️
@MWANAKOMBONGANGAKARISA6 ай бұрын
Funzo apa kw movie hii jamn tuache kutafuta utajiri wa kimajini jamn 😂😂😂😂😂😂😂maan imekua too much ak badala ya kufurahi ni huzuni tuu ❤❤❤❤❤❤❤good work 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@josephsamuel18859 ай бұрын
Kweri kabisa kazi yenu zuli sana naipenda
@symongene8 ай бұрын
Ata twapenda yenyu
@bitishoriziki55857 ай бұрын
Napenda movie zako KBS 👏👏😊🥰🥰
@rogerdeprezzo86489 күн бұрын
Good sinema nzuri sana
@JacobOgoye6 ай бұрын
Wa baba Joan ako sawa apo kweli msimamo dio iyo kwa doa ill Tamaa ya pesa dio mbaya to
@LenanaKomoiАй бұрын
Mimi nimeipenda sana hiyo movie sana❤❤❤❤
@Abas_Mdungi.9 ай бұрын
Tunatk kaz mpya ya kuzid❤
@PatriceKwizera8 ай бұрын
Napenda move zenu kabisa ,mwalimu mgeni nayipenda sana
@ayubucostantino83084 ай бұрын
Jamanî muvi zenu inafundisha sana nimeipenda
@NtawuzibiramukaJean26 күн бұрын
😅!!? Haya dunia kuna mambo. Ila hongereni sana! John kutoka Rwanda nchi jirani nafuatilia sana akisanteni
@ernestimbwaga5 ай бұрын
Dahh... imenitia utamu mifupani..❤🇰🇪🇰🇪
@NuruHassan-dy3vq4 ай бұрын
🎉❤😮
@NuruHassan-dy3vq4 ай бұрын
🎉❤😮
@HadijaMwaole2 ай бұрын
Nzuli nimeipenda hii muvi
@IsaacWasike-zv2vh7 ай бұрын
Nawapenda sana Baba Joan angerithika na uwezo wake WA kifedha
@shugrihassaan5 ай бұрын
I ❤❤ your moves they are perfect😅😅
@DanielItaji22 күн бұрын
Toka Drc napenda sana iyi movi inafundisho mnoo
@Anitakavutha9 ай бұрын
Kazi njema
@Anitakavutha8 ай бұрын
Mnipee likes jameni ❤️
@EstherEsther-er9sj4 ай бұрын
Sweeet movie napendaa pia mm nimeptaa kitu
@Munaaa2559 ай бұрын
Good jb dad j RAMADHAN KAREEM NYOTE hapo
@dastopadady24029 ай бұрын
Hii nayo noma🎉❤
@NicodemusKithi-xe7mg7 ай бұрын
Big up sana baba joani 🎉🎉
@NkalunjuRumas4 ай бұрын
Ziko vizurii aki zinafunza ❤
@Lesindt17 күн бұрын
Da bongo bwana ,uyu jini tattoo kacholea wapiii hahaha
@MustafaMusa-m2h2 ай бұрын
Hata mimi napendamove zenusana,❤
@Zuhura-t5w6 ай бұрын
Jini anaulika kweli na risasi nmecheka😂😂😂😂😂😂😂
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Ila Majin mazur😂😂 kama huna mke fresh tu😮
@Barakakibomango4 ай бұрын
Asate sana .
@WeldonOnacha4 ай бұрын
I love it akina zuu BB Joan ❤
@NgoluaJunior-f1u4 ай бұрын
I like your movie guys from Kenya
@MariamMoshi-tg5rp6 ай бұрын
Nawapenda sana kwakel
@PaulineWanjala-g6hАй бұрын
Wow that's a nice movie
@PeninaFondo4 ай бұрын
Thanks so much it's very nice
@EstherMaghanga-py5we8 ай бұрын
Mkoa poa sana😊🎉
@SalumuSefu-j1e3 ай бұрын
Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba likes❤ zenu jameni.👍
@SolomonNgala4 ай бұрын
Very nice video
@ReubenBotha-nt8km6 ай бұрын
I like those movies Im a african ladie please translate for me with English
@MuhanedSusu6 ай бұрын
Mohamed
@Gift-kijiti9 ай бұрын
Napenda move zenu ak nilijifudza sana ile ya mwalimu mgeni hongereni jirani zangu from 🇰🇪 sihitaji like 😂zenu naitaji upendo tu ❤
@Kagomatz9 ай бұрын
❤❤❤
@jackajayfenesi1299 ай бұрын
@@Kagomatzamazing
@BrianOkanga8 ай бұрын
Really
@LacoPereira-pz5cn7 ай бұрын
Jan
@preciouskiprop6 ай бұрын
❤❤❤
@ErickInosent6 күн бұрын
Napenda sana muvi zako zinafundisha
@Janetzawadi-h9j3 ай бұрын
Picha zako baba Joan ziko mwaaah
@PatrickChenga5 ай бұрын
Hii noma sana
@EdwinNyongesa-k8u5 ай бұрын
Vipindi zenu Iko na mafundisho mazuri
@ValentinaSuzan6 ай бұрын
Wow......that's so great....where can I get you guys coz I wanna be like you 🎉🎉🎉
@THOMASMATIKAАй бұрын
Kulala Makaabulini sio poa Ira huyu Zujati mmmmm sio poa amejaariwa sana
@PatrickChenga5 ай бұрын
Hii noma sana😂😂😂
@JoyAnneadhiambo4 ай бұрын
This video is interesting
@RidhiwanShammy3 ай бұрын
Baba Joan kula mauwa yako unaweza xan
@samuelshikawa3 ай бұрын
Nice video
@LecomedienGikwasaАй бұрын
Mtaja kwingia namajini eti munacezea kabirini 😅
@LUCASOBALLA6 ай бұрын
Nice one yet
@Charles-d7qАй бұрын
Kali hatari😂
@ThebigmkemiaYohana-vr2jy9 ай бұрын
Naombeni like zenu
@collinsbukachi-i3l5 ай бұрын
Director nataka uyo jini mnene awe mkewangu nipo kenya pliiz
@NeemaJohn-z8v6 ай бұрын
nimwendo waku kumbuka tu🤣🤣🤣
@Nicholas-n3s4 ай бұрын
Dunia imeisha hii,
@MASUNGANJILE-k1i23 күн бұрын
Mkenya hap naomba like zenu jaman
@Joseph-y9p9 күн бұрын
❤❤tuko dani kabisaa
@TitosAlferes-x7f22 күн бұрын
Por favor nos aqui em Moçambique pedimos que traduzir em português eu gosto muito tá tuas estrias mas não intendo suahili
@AnthonyMunywoki-gm5xo7 ай бұрын
Wow beautiful
@PhennyOmondi-zh9wx8 ай бұрын
I love the movie
@EmanuelMundinda7 ай бұрын
Good movie
@EmmanuelPaschal-pj5tl6 ай бұрын
Kaz nzur kaka 6:39 6:42
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Ila wanawake wembamba wana midomo 😂😂😂😂
@SosDotto6 ай бұрын
Nice
@TobiasNyongesa-zt9zk5 ай бұрын
Mungu abatirishetunia
@SibomanaJeandiet5 ай бұрын
I ntare
@SelestinaNgereza13 күн бұрын
Yani camera man kilaakimchukua zuriat lazim amchukue makalio kutuumiza Like zenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@PatrickMuhali21 күн бұрын
😢😢😢 penzi katikati ya soko
@CharlesMs25Daghaly5 ай бұрын
❤❤❤❤
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Hii movie nime ipenda mungu bwana anauwezo wakukupa ulinzi bila kumdhuru adui yako akaendelea kukuina unavyo enjoy movie zingine kwakuwa ni adui unakuta mwisho wa movie ni lazima wamuuwe hapo labda hao nyoka wangeuliwa ila kazi ya mungu hatumii nguvu like zenu na toa salam kwa watu wa tatu badiii
@MohaAli-zl2kr5 ай бұрын
Hotuba Ya undulisu😂
@benedictofwatanyuma29778 ай бұрын
kama ningekuwa karibu na nyie ningewapa madini zaidi
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Ila kutumbuliwa chunusi raha nyie😂😂😂 hii na comment kila nacho kiona
@Sameerahjuma-jn5mu6 ай бұрын
Waliokataa like kisha wakapewa nipeni mmi😢😢😢
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 aisee
@THOMASMATIKAАй бұрын
Ahahaha Huyu mganga kiboko anapiga kingereza sio poa anamwambia jamaa Are you stupid😂😂😂😂😂
@Lukavoic8 ай бұрын
Daaaa
@PRINCEMAMBO-ux2cf7 ай бұрын
Nimependa movie zanyu
@kawasakininjalover8005Ай бұрын
Mapenzi katikati ya soko😂😂😂😂😂😂😂😂
@sammymoyokwo80148 ай бұрын
Nice movie
@chimoyibrian37246 ай бұрын
Mimi nahamia tanzania na mnibariki na ule wa kiuno kikubwa huyo
@benedictofwatanyuma29778 ай бұрын
hongereni lakin mimi binafsi sijaipenda hii series...hii ni idea nyepesi sana haina suspense....niliweza kujua mwisho wa series wakati naanza tu...nnadhani mtalitendea kazi ili kuboresha kazi zeu
@XYZ-oh9fk7 күн бұрын
Hizi jini ni Warembo 😅 na niko Single
@EmmanuelMwasya7 ай бұрын
Hii movie ni ya ukweli ama vpy ju nashagaa mie
@BayisengeReverien8 ай бұрын
Muzitengene vizu ijo zinafunza wengi.
@BLACKANGEL-TV6 ай бұрын
Hawa waganga hawa mmmh
@NdakiKamli4 ай бұрын
Ndaki
@JopuRafaelimunga-hn7qc8 ай бұрын
Thomas niwajina wangu mlindeni
@TitosAlferes-x7f22 күн бұрын
Nós pedimos que tratuzir em Português não entendemos swahili por favor 🙏
@JamesKimani-m4y2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@elvismwenyewe7 ай бұрын
Mnanifunza mengi kupitia hii movie
@RodgersSakwa-qf8bz7 ай бұрын
Vp
@EmanueliManyama-vu2mi4 ай бұрын
Nimependa picha zenu kwa maana zinafuza sana ulimwenguni wa sas!!!