PERFECT CARWASH: Mtangazaji Perfect kazungumzia itavyotoa huduma

  Рет қаралды 69,198

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Siku ya May 6,2018 mtangazaji Perfect Crispin kutokea Clouds Media ameamua kujikita katika ujasiriamali na kuamua kufungua car wash yake mwenyewe maeneo ya Sinza Dar Es Salaam.
Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv ameeleza kuhusiana na hilo.

Пікірлер: 109
@amosbinmahona9947
@amosbinmahona9947 5 жыл бұрын
Milardayo nilisoma historia yake .Aisee nilikuwa nishajikatia tamaa lkn baada ya kusoma kiundani zaidi nilipambana usiku na mchana nashukru Mungu na IST zangu mbili daladala tena ziko uber now viwanja kwaajili ya mjengo.Mungu +kutokukata tamaa.Asanteh
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka perfect mi napenda kuona mtu ana fanikiwa
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 жыл бұрын
Hongera sanaa hayo ndio mambo tunayoyataka maendeleo sasa Car wash hadi menu....mwaka wa kupakua tu....
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 жыл бұрын
Millard ayo na perfect nawa aminia vibaya sana napambana na hali yangu ili nifike mlipo mazee
@mwadyprinting7294
@mwadyprinting7294 6 жыл бұрын
Mashaallah hongera ni atuanzuri kwa kijana allah akuongezee maarifa zaidi
@man4mjuni999
@man4mjuni999 6 жыл бұрын
well done Home boy Kaskazini Baba tumetumwa mafweza tu asante san broo MILARD AYO yaani kazi kazi
@eustarmwambanga5131
@eustarmwambanga5131 6 жыл бұрын
You have really inspired me... Love love love all the way from Kenya
@geoffreycalvin6179
@geoffreycalvin6179 6 жыл бұрын
Daah big up urself brooh @millardayo na team nzima ya @ayotv nafrahi sana kua bless mojawapo ya waliotimiza 1M subscribers...KEEP IT UP 100.
@salamia__mwangu599
@salamia__mwangu599 6 жыл бұрын
Hongera xana Millard Ayo kwa kufikisha 1M subs.
@bettyladouce1595
@bettyladouce1595 6 жыл бұрын
love from Rwanda nakupenda sana millardayo
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 6 жыл бұрын
Congratulations millardo kwa kufikisha 1m subscribers
@ubuyutv2577
@ubuyutv2577 6 жыл бұрын
Hongera sana braza kwa kuthubutu
@fatahfatah421
@fatahfatah421 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka napenda sana kazi hiyo
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Mashaallah M.mungu akusimamie kwenye kazi yako
@hamisimwalimu9526
@hamisimwalimu9526 5 жыл бұрын
Asha Ally kwel
@mohamedrajabu524
@mohamedrajabu524 6 жыл бұрын
Kama kijana mwenzangu nakupa hongera sana ulipofikia nipazuri unasitahki kupewasifa nzuri kwasababu umeonyesha ujasiri naumepambana kweli siorahisi ndomana siokilamtuanayo au siyokila kijana anayo hongera sana
@agoogleuser1141
@agoogleuser1141 6 жыл бұрын
Kwa kufturisha. Nakuunga mkono. Hongera kwa biashara halali.
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka
@justineelius4972
@justineelius4972 6 жыл бұрын
ongela sana blo milladiayo wew ni mtu wakuigwa sana kwa sisi vijana
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 4 жыл бұрын
Mnyama mkaliii congrats mazee
@victorcephas3618
@victorcephas3618 6 жыл бұрын
congrats bro, inawezekana tukithubutu
@innocentlomayani857
@innocentlomayani857 5 жыл бұрын
nakubali kaskaziniii hatunagaa umamaa wakimbizen wanaume wa dar
@salumukilangai5189
@salumukilangai5189 6 жыл бұрын
mm nataka kazi
@fadhilimwamlima1543
@fadhilimwamlima1543 6 жыл бұрын
Naipenda Dana hii kazi one day yes mallard
@harmoniky4000
@harmoniky4000 6 жыл бұрын
Kwa video kali za bongoleva. Tap picha hii kushoto kwako.
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 6 жыл бұрын
Kazi nzuriiii
@purryselestine4000
@purryselestine4000 6 жыл бұрын
Vzuri san brooo👏👏👏kwa kaz nzuri
@nyamburaokwiri7709
@nyamburaokwiri7709 4 жыл бұрын
Naomba usaidizi ,nataka kuifungua yangu
@lennymallya
@lennymallya 6 жыл бұрын
God can make it💪🏽🙏🏼
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 6 жыл бұрын
Hongera sanaa
@felichinakihaga509
@felichinakihaga509 2 жыл бұрын
Naipenda saanna hii biashara shida sina mtaji jamani
@mranzuann7950
@mranzuann7950 6 жыл бұрын
Great idea. big up sana bro
@nawihadj6674
@nawihadj6674 6 жыл бұрын
i like it,cz ma future thc
@bainuta3931
@bainuta3931 6 жыл бұрын
Safi sanaa mtu wangu nguvu
@oscarjohn5039
@oscarjohn5039 6 жыл бұрын
pongezi nyingi 👏👏👏👏👏
@husseinjimbika8516
@husseinjimbika8516 6 жыл бұрын
dah ni nouma sanaaa big up perfect
@gedionkalumbu1995
@gedionkalumbu1995 5 жыл бұрын
Thank you
@rashidjumanne6
@rashidjumanne6 6 жыл бұрын
Kazi nzuri bro. 👍👍👍
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 жыл бұрын
hongera sana
@abdallahkitwana8471
@abdallahkitwana8471 6 жыл бұрын
safi Sana Perfect
@Kai_busati
@Kai_busati 6 жыл бұрын
perfectooooooo🔥🔥🔥🔥🔥💪👏👌🤗
@captenndunga6745
@captenndunga6745 5 жыл бұрын
Sasa mbona dudu baya anasema wee ni shoga.
@oscaryoungwhale2548
@oscaryoungwhale2548 6 жыл бұрын
Milard napenda hustle yako mwana ....Mimi n shabiki wako kutoka Kenya...na natumai nami pia nitafikia ulipofika uko ...ila nina tatizo moja tuuh!!
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 жыл бұрын
Hongera mkaka,nawapenda watu kama nyie
@elkanankana7452
@elkanankana7452 6 жыл бұрын
Big move brada!!
@mfaumeakida4389
@mfaumeakida4389 6 жыл бұрын
daah nmeelew San that is gud idea
@maryamsalma3791
@maryamsalma3791 6 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@sakinaomar8047
@sakinaomar8047 6 жыл бұрын
Gingeyrs mpambanaji wangu go go guy
@JayLuda
@JayLuda 6 жыл бұрын
mzee wa 255 lov sanaaaaa
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 6 жыл бұрын
hahahhääaa..kajitahid maana masharobaro kama hawa cyo rahisi..wengi huishia kwenye outfits tu. ila hakutakiwa aoneshe business succes yake maana naskia hapo..anataja bei rahisi, bei rahisi,bei rahisiiiii n.k just say i thank God coz kila kitu anapanga yeye ivoo yani
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 6 жыл бұрын
vijana tunapenda mafanikio ya haraka
@Meeknego
@Meeknego 6 жыл бұрын
Big up Perfect but umeonesha stupid imperfection uliposema WA KASKAZINI MMETUMWA KUFANYA KAZI. Hii ndio inapelekea hata biases kwa clients wa Clouds Media. Huu umkoa mkoa na ukanda ukanda doesn't sound well hasa kwa nchi kama hii
@theonlydayonicedionis3294
@theonlydayonicedionis3294 6 жыл бұрын
Mnapenda kujikweza na kuweka matabaka,evi unafikr vijana wa sehemu zingine hawapambani kama nyie wakaskazini!? Sio poa bhn,mbona watu wanastruggle sana mtaani,,hawajapata fursa tu za kujieleza kama ww! Hongera lkn kwa wazo zurii!
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 жыл бұрын
huyu 4 sana anadhani watu wengine dar wanang'aaza
@theonlydayonicedionis3294
@theonlydayonicedionis3294 6 жыл бұрын
Daniel Agustino Anazinguaa
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 6 жыл бұрын
Safi sana
@georgenagabona203
@georgenagabona203 6 жыл бұрын
God is up
@amani2555
@amani2555 6 жыл бұрын
Nakukubali kaka ✔ ✔
@jeanibho6464
@jeanibho6464 6 жыл бұрын
Congrats brother
@amigoamigoras5659
@amigoamigoras5659 6 жыл бұрын
Good bob
@makalkindy9807
@makalkindy9807 6 жыл бұрын
big up sana
@subirajohn728
@subirajohn728 5 жыл бұрын
Pambana Guy
@NewMan-ei9cf
@NewMan-ei9cf 6 жыл бұрын
Millard unamuuliza perfect maswali ambayo majibu yake hayajawahi kutokea kwenye maisha yake.
@halimamhina7128
@halimamhina7128 6 жыл бұрын
nimewahi kufikiria pia kuhusu kuwa na carwash ya kisasa xanaa hapo baadae nna miaka 18 xaiv yan perfect amenifanya nihisi ka ma nna akili ya kufika mbali ......ila mm nimemiz kdg huduma japo zangu bado n zakufirika tuu
@imranrajabu3294
@imranrajabu3294 6 жыл бұрын
Safi
@majidimsoya4703
@majidimsoya4703 2 жыл бұрын
My idea 🔥🔥 appreciate ❤️
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 6 жыл бұрын
Ayo
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Nice
@jafarissa7662
@jafarissa7662 6 жыл бұрын
GUD GUD
@rashidisaid7011
@rashidisaid7011 6 жыл бұрын
ndomaana nasemaga #clouds hapalipi kwa watangazaji ni wanavumilia tu..
@biusherrajab2055
@biusherrajab2055 6 жыл бұрын
Aeke na garage itakuwa poa na spare
@novanova6703
@novanova6703 6 жыл бұрын
Yb
@georgeshija1276
@georgeshija1276 6 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@lissamsalu8909
@lissamsalu8909 6 жыл бұрын
Congratulate bor kwakuvuka atua
@jeremiahsengasu6595
@jeremiahsengasu6595 6 жыл бұрын
chuganian
@ndakisonjoseph5241
@ndakisonjoseph5241 5 жыл бұрын
Hahahaa hiv kwel shoga
@cleophacedarstan6524
@cleophacedarstan6524 6 жыл бұрын
A y O_
@shabaniasha6363
@shabaniasha6363 6 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@christophernyambega5407
@christophernyambega5407 6 жыл бұрын
Dah kwel magu kakomesha nnchi
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 6 жыл бұрын
Christopher Nyambega akili yako imedumaa to the extent.
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
haikubaliki hata kidogo mkiristo kumfutulisha mwislam hapo une umebugi labda wasioelewa dini
@abdulrazakiissa7682
@abdulrazakiissa7682 6 жыл бұрын
Ni vizuri kuishi na watu kwa misingi ya utu Dini yetu haituambii kuchukia watu bali inatutakaa kuishi na watu wa aina yote kwa heshima na huruma Hakuna kwenye Dini sehemu inayokataza kula chakula cha mkristo maadamu tu kikiwa kimepikwa kwa misingi halali ya upishi
@petromtakati2975
@petromtakati2975 6 жыл бұрын
Abuu Issa ...... Islamic mnapendaga saana ubaguzi achana na hayo mambo kaka yangu mungu tunae muabudi ni mmoja japo dini tofaut
@abdulrazakiissa7682
@abdulrazakiissa7682 6 жыл бұрын
Khalid United baadhi ambao hawana Elimu sahihi ya Dini mtu mjuzi na aliekaa chini na akakubali kusomeshwa hawezi kumbagua mtu kuna utu wa mtu utabaki kuwa utu ata awe anaabudia moto sasa jukumu letu ni kuelekezana na kueleza usahihi wa mitizamo sio kutukanana wala kubagua watu
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
pgm Mtkt pamoja nahayo ila ndoilivyo haikubaliki
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Abuu Issa weuna uhakika gani kama kitakua kimepikwa kwamisingi unayo iamini wewe inaonekana sio muslim nakama wewe musilm bas kunamengi huyajui mimi sijakamilika lakini nimtu wakusikiliza kutba sana narudia tena mkiristo kumfutulisha mwislam hailuhusiwi nihayo nakama unabisha waulize mashekhe utapata jibu sahihi kuliko kufanya ubishi
@abdulkareemmakwai4241
@abdulkareemmakwai4241 6 жыл бұрын
Bonyeza picha usubscibe account yangu
@aisharamadhani8958
@aisharamadhani8958 6 жыл бұрын
naomba kazi jamani mamba yangu0679183038
@jumazakaria8208
@jumazakaria8208 6 жыл бұрын
Aisha Ramadhani PW sana anut
@ombenizonobi2916
@ombenizonobi2916 6 жыл бұрын
Millard napenda sana unavyo jituma hua nafatilia Sana habari zako natamani Sana nije kua km nyinyi napenda hua unatutia moyo Sana hasa vijana tulio kata tamaa ya maisha
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 6 жыл бұрын
Aisha Ramadhani Utawezaa kaz ukipewaa
@aisharamadhani8958
@aisharamadhani8958 6 жыл бұрын
calvin paul naweza kama ipo niambie
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 6 жыл бұрын
Aisha Ramadhani Nipe namba
@semanasitv8303
@semanasitv8303 6 жыл бұрын
watakuja kuosha magari watu wa kaskazini maana watu wa mikoa mingine hawana magari dar wanang'aaza ama vip acha kujikweza na kuweka matabaka👎
@mwadyprinting7294
@mwadyprinting7294 6 жыл бұрын
Mashaallah hongera ni atuanzuri kwa kijana allah akuongezee maarifa zaidi
@manugwainvestments4617
@manugwainvestments4617 6 жыл бұрын
sanaaaah
@fadhilimwamlima1543
@fadhilimwamlima1543 6 жыл бұрын
Naipenda Dana hii kazi one day yes mallard
@shabaniasha6363
@shabaniasha6363 6 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
KIJANA ALIEFELI MASOMO, ANAYO CARWASH INAYOTEMBEA, KAJENGA NYUMBA
17:35
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 838 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
Unazingatia nini ukichagua Car Wash?
5:39
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
Prices of Cars in Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿
8:20
Tideone
Рет қаралды 10 М.
Dirtiest 4x4 L200 EVER! Power of Pressure washing 🤩 Deep Clean #asmr #satisfying
21:32
Yıldız Yıkama Yağlama Servisi
Рет қаралды 2,3 МЛН
How To: 15 Stages To Detailing For Beginners
17:14
The Detail Hunters
Рет қаралды 2,1 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН