Kutoboa ni sehem ndogo sana kama Mwenyeez Mungu amekunyooshea amini kwamba. Kuna watu wanapambana kwa jasho na akili lakini Mungu bado hajatia mkono wake. Kikubwa tusikate tamaa katika mishughuliko yetu na Mwenyeez Mungu atufanyie wepesi wa RIZKI zetu ziwe halali na nyepesi.
@shsjjdjhd96243 жыл бұрын
Amiina yarabbi kwa sote
@40kstore3 жыл бұрын
Nakubali,Ni kuwa na Imani tu na kupambana,Mungu anakusogeza tu.
@neemanyerere51603 жыл бұрын
Amina
@ommarysaid73913 жыл бұрын
Swadacta
@ireneapronary26453 жыл бұрын
Amina kituka tumeelewa
@hatari95913 жыл бұрын
Haingizi milioni kumi na tano kwa sababu hafanyi kazi kwa muujiza isipokuwa anatumia gharama kununua vitu vya kazi hiyo na atawalipa wafanya kazi, kwa maana nyingine haujatuambia mtaji ni kiasi gani. Isipokuwa ninampa congratulations kijana mwenzangu.
@Adeen.13 жыл бұрын
Hongera kwa kupambana ila hiyo fedha si kweli HAIWEZEKANI ALL IN ALL ENDELEA KUPIGANA NAKUBALI
@joseesiara90123 жыл бұрын
Hahahahah dahhh mil. 15/ day?? Anamafanikio lakn sio kwa mil. 15 per day
@neemajoel50813 жыл бұрын
Binafsi nakupongeza sana Mungu aendelee kukusimamia wanaokusema vibaya acha waseme.. Piga kazi bro ukifocus kwenye malengo na ndoto yako!
@atkentravelafrica43613 жыл бұрын
Good interview na hongera sana Mr.Mmbando kwa kazi nzuri.
@donaldshedrak75303 жыл бұрын
hongera godlizen . ila kina mbando ni wajenzi . huo ukoo na ujua. hongera sana
@AwesomePrintingBrand5 ай бұрын
Really inspirational Kwa VIJANa Wengi kazi sio lazima ukae ofisini 🎉🎉
@twalebleboss96873 жыл бұрын
WELL DONE.....Kazi nzuri sana na HONGERA SANA kwa KIPAJI
@benjamininyambaso50413 жыл бұрын
Ilo litangazo la pam village linakeraa😅😅
@joakimukenedy35823 жыл бұрын
😂😂😂😂
@benjamininyambaso50413 жыл бұрын
@@joakimukenedy3582 😅😅😅
@teddylameck213 жыл бұрын
Ilo tangazo ndio linalo kufanya upate taarifa hao ndio wadhamin
@frdchannel61893 жыл бұрын
Linakera hasa kwamimi ambaye sina hela😂😂😂
@khadijahali48373 жыл бұрын
Yan mie nmeshawaambia waweke mwisho
@hashkhantantrasiraji1183 жыл бұрын
Kongole sana Akili nying Mungu akubariki ufikie malengo yako Inshallah 🙏🙏🙏
@saumumunisi80133 жыл бұрын
Hongera sana godlisten wewe umetumwa hela mzee kazi iendelee
@husnatylyale26493 жыл бұрын
Kijana mdg mafanikio mazuri inshallah mungu atakusimamia siku zote
@innocentandrea64823 жыл бұрын
Hongera sana masta,,hayo mengine cc mafundi tunatulia hatuingilii
@mcgabby8 ай бұрын
Mnajua kupamba kichwa Cha habari safiiii decoration Moja inaweza chukua hata siku tatu+ Sasa inakuaje Kila siku iwe 15M anay way ukiwa na kipaji pambania bila kuchokaaa
@hassanmnimbo4573 жыл бұрын
Kwny million 15 kwa siku tumepigwa kitu kizito kichwani 😂😂😂 labda iwe motivation lkn si kwa pesa hiyo
@osumrope20963 жыл бұрын
Mnazingua sana ayo tv,mlichoandika na kilichoelezwa ni tofauti kabisa
@josephhaule91233 жыл бұрын
Hasa hiyo 15m cjasikia mm
@saidigoha2223 жыл бұрын
Mwandishi huna kazi unauliza ujinga milioni 15 mnaichukulia poa
@justinejohn77242 жыл бұрын
Safi sana kijana. Umenifurahisha. Kuna la kujifunza hapa
@AlAl-sd9pl3 жыл бұрын
Una akili nying Sana Kaka njoo unioe unajua kupambanua maisha big up
@elizaboster94792 жыл бұрын
Hahaaa
@shabaniathumani82662 жыл бұрын
Jamaa yangu hongera.....mm shifa yangu Ramani tu ya huo mjengo....
@سينامحمد-ح6ث3 жыл бұрын
Mimi ni mwanamke pia hiyo fani ya rangi naiweza nishafanya sana mashallah nyumba milioni5 inalipa unajua kupatana kiasi uwe na wasaidizi
@rumdeesonsoa18113 жыл бұрын
Mbona ukaiacha?
@charleswaryoba88593 жыл бұрын
Aisee nimekubali sana god bless
@jumamnada44493 жыл бұрын
Dadeki nimesikiliza had mwisho nione milion 15 inapatikana vip Ila sijasikia mwandishi nataka mb zangu.
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Hongera sana 🤦♀️one day Yes na mimi 😢
@dottohamisi98443 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezimungu azidi kukusimamia katika kazi yako
@thebushguy57742 жыл бұрын
Ma motivational speaker😁😂
@salomemuza85093 жыл бұрын
Hongera kaka,Kazi nzuri aisee! Mungu akubariki. Ayo MTU akiitaji anapatikana wapi?
@gidionjaphet27683 жыл бұрын
Kaka mungu azidi kukupandisha ktk viwango vya juu zaid
@njiwapori.oursongsismedium25943 жыл бұрын
Ww acha kuongopa milion kumi na tano kwa cku acha uongo wabongo wanapenda.sifa duuu
@amonathanas30523 жыл бұрын
Safi sana...keep going buddy!!!
@jacksonkatindasa62533 жыл бұрын
Mungu akupiganie brother kwa hatua hiyo uliyofika uweze kuingia katika hatua kubwa zaidi kuliko hiyo nimependa sana sheria zako za kazi ukiwa hivo ndivyo mungu atakuinua zaidi na zaidi
@joetemba63763 жыл бұрын
Tufunguke tuunge mikono juhudi za vijana wenzetu nimependa interview na pia hiyo ml 15 ina mchanganuo wake watu mnaofanya ujenzi mnajua huwezi kuwa na kazi kila sk na pia hapa siku sio nyingi atafungua compuni wachaga oye brain kubwa Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi
@theresiagratta5796 Жыл бұрын
Hongera sana kijana
@leahmagaiwa90993 жыл бұрын
Nimekupenda uko simple. Mungu akusaidie ufike mbali
@matumizbinafsi40942 жыл бұрын
Good jb more blesings
@archtecturaldesigner59163 жыл бұрын
Big up ndugu mtangazaji, good interview
@godfreymalinga14763 жыл бұрын
Hata ww unaweza shida cyo kabila shida njaa na shauku ya mafanikio uto acha pambana
@AwesomePrintingBrand5 ай бұрын
God bless 🎉❤
@bernardkabavako35632 жыл бұрын
vijana kama hawa tunawaitaji sana sana kutupa veba tuzidi kuchukua hatua
@annakadege81603 жыл бұрын
Naomba Kazi boss
@judithmelvinealuchio89683 жыл бұрын
hiyo ndio kenya yetu special Nairobi 😂😂😂 muhimu mungu alikuonekania uko poa 🇰🇪🇪🇺
@suleimanhamadi50993 жыл бұрын
Roho za wakenya, acheni ukabila
@maigajohn58282 жыл бұрын
Mimi kuna mjomba angu anapata tenda Uganda Kenya Tz lakini sio kila siku kuna muda anakaa nyumbani mwezi mzima bila tenda tuweke mambo sawa ukweli ni kitu muhimu katika maisha
@Mnuanofilms2 жыл бұрын
wanadanganya. mzeee hii sura sio ya kuingiza milion 15
@Mnuanofilms2 жыл бұрын
kwa siku ni uongo kuingiza milion 15
@edwinfernandes88813 жыл бұрын
Itabidi aingizwe kwenye listi ya matajiri tz na forbs pia
@tp-kh8hl3 жыл бұрын
Iyo m15 anayopata kwa cku msifikirie ni chap tu maana nyumba moja inaisha atleast wiki mpaka mbili na Kama Ana team tatu inamaana iyo ni ya wiki sio cku!..kabla ajaenda kwenye nyumba zingine tatu kwa wiki kwa maana ya nyumba tatu kwa wiki alafu pia inategemea na ukubwa wa nyumba na Aina ya urembo!...ingawa anapata hela nzuri
@thomassuleiman81913 жыл бұрын
Acha kumuonea mwenzako WIVUUU na wewe PAMBANA..
@tp-kh8hl3 жыл бұрын
@@thomassuleiman8191 wwe tumia akili usihemuke niwewivu unajua Mimi napata Shi ngapi!?....izo kazi zote mikoani na dar ndani ya siku anazifanyaje au anafanyia online!?..ndo nyie mnatapeliwaga na motivation speaker wa kilimo Cha chikichi!..
@jumannemkumba75313 жыл бұрын
Mm fundi pia. Nimewajili watu 40 iyomilion 17 kwasiku anaipataje pataje
@praygodngowi99943 жыл бұрын
Ndugu yangu millard hilo li palm village linakera et😁😁😁😁😁😁
@omanghomangh90983 жыл бұрын
Tena.sana
@valeriachipeta7743 жыл бұрын
Ndio wanao mdhamin asipowatangaza anapata wap pesa za kuendesha vipind vyake
@valeriachipeta7743 жыл бұрын
Mm boyfriend wangu kwa wik anaingiza sio chin ya mil 20 kwa kaz hii ya decoration hyo n faida tu baada ya kuwalipa wafanyakaz na kununua material yote. Anapaka rangi skwea mita na anapata kipato kwa kweli. Hii kaz nzur sana ukiwa mfanyakaz mzur na ukiaminiwa na watu yaan huwez kosa kipato
@neemanyerere51603 жыл бұрын
@@valeriachipeta774 👌👌
@mussajabiry38913 жыл бұрын
Nikajua niko pekeang
@annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын
Safi sana mpiganaji. Ila najiuliza hiyo Kaz ya 5ml anaifanya kwa siku 1?
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Nijifunza kitu ktk kupambana, Shantee bro
@midumbiojijo81263 жыл бұрын
ML 15 kwa siku Kwa mwezi ni 450 ml Kwa mwaka ni bilioni tano na usheh ina maana ndani ya miaka kumi huyu kijana tunamtangaza kua bilionea 😄😁😁 Tz sihami
@dr.mgungo14293 жыл бұрын
Anawadanganya maboya😀😀😀
@Papaa_Hillary_Mrema3 жыл бұрын
Hongera kwake ila inabidi awe na vitendea kazi kama uniform nzuri za kuvaa mafundi, boot za kazi na gloves.
@hidayaabdallah50213 жыл бұрын
Skill Kwanza mengine mbwembwe tu
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Achaa kufndahaaa watuu jinsii ya kuvaaaa
@justinmrema46073 жыл бұрын
Kwa sisi tulio na uzoefu wa ufundi tunakataa Hilo la kumaliza sait kwa siku Moja hasa kwenye rangi maana hiz kaz Zina hatua za kufanya.
@elishakatunzi10423 жыл бұрын
Broo inaisha,kama wamesha skim
@audifashuggo81983 жыл бұрын
@@elishakatunzi1042 inahishaje kaka na inakuwa na finishing kaka . unajua smart kazi na kazi chafu ?
@justinmrema46073 жыл бұрын
@@elishakatunzi1042 Kwan kaz ya kuskim na kupiga msasa ni kaz ya fundi Gani?
@kennedylymo52323 жыл бұрын
Uwezi maliza site kwa cku mm mwenyewe ni fundi nimepiga kazi moja mwezi mzima ndyo imekwisha
@simonkiyeyeu38133 жыл бұрын
Kweli kabisa Kaz za mwisho uwa zinashughuli nying Sana kwa cku moja hapana
@josephkelvin33762 жыл бұрын
Dah tumepigwaa hapaa haiwezekanii nyumba iishe Kwa siku Moja maybe siku 3
@sabunitv21213 жыл бұрын
Ko kila siku anapata kazi, duh Safi greatly
@masalakulwa76013 жыл бұрын
Watanzania kwa kuwa negative hamjambo...yaan ujuaji kibao
@nancyrodgers26773 жыл бұрын
Yaan
@janaakimu61713 жыл бұрын
ALLAH AQBAR hakika MUNGU Ni MKUBWA One Day Yes...
@johnlenard66273 жыл бұрын
Hapana nauzoefu waufundi miaka migi Sana huwezi kuingiza milioni15 kwasiku hata iwe site yaaje neva
@happyfiverickaldo4662 Жыл бұрын
Uongooo kwa siku milioni 15 sura za milioni 15 tunazijua ayoo huu ni uongooo
@franciskao20853 жыл бұрын
Hongera sanaa
@dr.mgungo14293 жыл бұрын
Decoration ya nyumba huiwez kuifanya kwa siku moja. Kwahiyo hiyo mil15 ni ya muda flan yani ni majumuisho ya tenda alizopata akimaliza kazi ndo atakuw ameingiza hiko kiasi.
@joharimanyanda33583 жыл бұрын
Kweli hajafafanua vizuri hiyo kazi huwezi kufanya kazi siku moja kunahatua za kupitia
@barakakwanjula76343 жыл бұрын
Ni kwel kabisa
@christinainnocent36623 жыл бұрын
Wapendwa kasema mil 15 kaw nyumba 3.hiyo mil 15 ni gharama zote zake wafanyakazi nawalipa your usafiri nk sio kwamba mil 15 ndio faida hapana
@nickayo32143 жыл бұрын
Ukielewa kitu bhana ni rahaa sana sio kwamba nina wivu ila fundi nyumb kulipwa hivyo nikitu cha kawaida sana
@reganshao3 жыл бұрын
Yan watu kwa kushtua watu hawajambo ,,, hawa ndo wanawafanya watu waache kazi zao wakimbilie kazi walizosikia zina faida kumbe hawajaelewa mada
@brayanjose40413 жыл бұрын
Muongo wadanganye ambao hawana uziefu na hiyo kazi
@halimajamaniamekuwamndeme96173 жыл бұрын
Duuuuuuiii!!!!! Milioni kumi na tano Kwa siku,!!!!!!!!!!, uongo mtupu, mwandishi mameno ya kuambiwa changanya na ya kwako,
@tazamamaajabuyaulimwengu27863 жыл бұрын
Hizo nizakupatanisha kazi tu hapo kazi hajafanya
@gilliardgodfriend57453 жыл бұрын
15 kwa siku👍🏿🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣
@gastordominic4103 жыл бұрын
Million 15 kwa siku.....
@mpulitv80113 жыл бұрын
Ila title Ni uongo mil. 17 per day Ni pesa nying jaman kazi nzur kijana 👊👊👊
@bobchanda24603 жыл бұрын
Million 15 helaaaa au makaratasi
@Silyvesta3 жыл бұрын
Huyo bwana napataje namba zake nisaidie please?
@taifocuscompany92463 жыл бұрын
TRA wanakusikiliza kwa makini 😁
@jameskabalega60033 жыл бұрын
Hahahaaaaa wapo makini Sana kwa kweli wahuni hao
@patrickbwanafika65743 жыл бұрын
Tupeane na cc uku connection UK
@suleimankhamis82983 жыл бұрын
halafu kama mil.15 kwa siku si angekuwa na angalau vifaa vizuri vya kupandia sio mibao kama daraja la vita
@geofreymsengi99713 жыл бұрын
🤣😂😂🤣
@vaivai45253 жыл бұрын
million 15 so shida shida ipo hapa unamalizaje hizo nyumba kwa siku moja?
@tazamamaajabuyaulimwengu27863 жыл бұрын
Umewaza vzr mno
@cottonpamba67183 жыл бұрын
hongera sana kaka
@vedastoevarist38133 жыл бұрын
Our boy from kilimanjoro
@cathbertkendrick68603 жыл бұрын
Mmmmh nyie milioni 15 mnaichukuliaje tena kwa siku daah🤣mm sikubali
@cvanoedward30933 жыл бұрын
Millard ninaiamini ila hilo tangazo angalieni namna
@onlinemateustv19253 жыл бұрын
Sijamaliza interview yote bado ila 5 millions kila site ni kweli lakini si siku moja inaweza Kuku chukua hadi miez au mwezi mmoja kumaliza site moja Kwahiyo chukua angalau mwezi mmoja ndio anaweza ingiza 5 millions lakini a nawatu anao walipa so hiyo hiyo 5mln si yake peke yake Alafu site si zote 5 mln kuna kushuka bei na kupanda kulingana na site na mazingira Mimi ni fundi rangi najuwa na nimzoefu pia
@joharimanyanda33583 жыл бұрын
Umeona ee hajafafanua
@fikirinitausi7993 жыл бұрын
Amesema ana vijana 17
@peteranthony64832 жыл бұрын
Kazi za ufundi hakuna milioni 5 ukaimaliza kwa siku moja.
@capteinchuimchafu78943 жыл бұрын
Milioni kumi na tano kila siku?!!!!!!!🤔🤔🤔🏃🏃🏃
@trio99113 жыл бұрын
Miladi Nitaacha kuangalia video zako sababu ya ilo tangazo la pamu vileji
@stella.broo.we.noma.sanamu51033 жыл бұрын
MBONA hujaajiri wanawake
@maligeltabatholomeo81283 жыл бұрын
Mbona no yake amjaweka?
@maigajohn58282 жыл бұрын
Hiyo sio kila siku mambo ya ujenzi uwa ni ya muda siku tatu una tenda siku mbili una tuweni wakweli
@wisperfect53203 жыл бұрын
Sawa ila mapato tupo hapa alipe sawa na kipato chake.
@christinainnocent36623 жыл бұрын
Kweli jwa Mchaga nani sishangsi
@daslamonline46653 жыл бұрын
Hiyo pesa mlio andika hapo nisawa ila ni kupata kazi mfururizo ni changamoto
@mawazorwasa63503 жыл бұрын
Sio kweli kabisa mi binafsi nafanya kile anacho fanya yani nifundi hakuna kitu kama hicho mil 15 kwa siku 😆😆 angevaa ovaloli la hivyo anacho fanya jamaa nikujitangazatu
@dicksonwanyama16893 жыл бұрын
Bora nawewe ulivyo mstukia nikajua ni mm peke yangu
@qwqw16653 жыл бұрын
Naomba na mm uniajir i
@adamyasin40893 жыл бұрын
Million 15 sio mchezo jaman afu kila siku it means kila day anapata deals sio mchezo jaman
@godlovekilasi62503 жыл бұрын
Labda mbaka amalize kaz hyo
@mrmbisse20503 жыл бұрын
Hii sio kwel Hili n tangazo mfano wa interview Ili tumtafute 😂😂
@salumahmeid97093 жыл бұрын
Tunaomba namba zake please
@allyally10773 жыл бұрын
Anaingiza 15millioni kwasiku au kwasite
@bakariyusufujuma3 жыл бұрын
Milioni kumi na tano au sijaelewa vizuri kwa siku au mwezi
@Mimy_keys3 жыл бұрын
Nyumba 1 ni 5M so kwa Siku yy anasema anaweza kupata nyumba 3 hivyo ni 15M kwa siku.
@nassorbandidu6433 жыл бұрын
ivyo mnafanya masiala milion 15 kwa siku acheni kutumalizia mb zetu
@dicksonmoses93303 жыл бұрын
Huyu labda aseme anaingiza elfu15 kwa siku lakini sio milioni 15
@ericbajeme3 жыл бұрын
Hapo Kwenye Mil 15 Kwa Siku Ni Uongo
@ellybrown59893 жыл бұрын
Hongera, Kaka.
@onlinemateustv19253 жыл бұрын
Shaban si uje huku Gypsum gang
@saadarashid81743 жыл бұрын
Number ya simu fundi umesahau kutoa kwa ajili ya wateja
@dugaman77643 жыл бұрын
mwenye hela hajitagazi maskinitu anae elekea kufanikiwa ilabado
@ramadhanijuma41303 жыл бұрын
Kwasisi wenye experience na engineering sector tunamshangaa fundi rangi kwa kuwa muongo
@wm96693 жыл бұрын
Sijakuelewa.
@abdibilali41863 жыл бұрын
@@wm9669 yaani kuingiza hio pesa kwa siku hauwezeiani mm ni Technician Nina uelewa want him kazi unaweza kupoke hata kazi ya milioni 30 lakini hutiifanya suku moja sasa Kama akipokea hizo nyumba tano anaweza kuzimaliza zote siku moka
@tawfyqmohamed68773 жыл бұрын
Hata Mimi nimajaribu kuwaza sana lakini sijapata jibu kabisa.
@hurumaesaukihombo2573 жыл бұрын
Kweli hapo kaongopa
@jumabakari14683 жыл бұрын
Jamaa kachapia Sana
@pakogamingz92263 жыл бұрын
Mshara wa siku ananunua crown
@mussakibo24853 жыл бұрын
Hii nchi 😂
@georgeigogo92592 жыл бұрын
huu ni uongo kabisa na hii chanel ya milad kumbukeni ndo tunaiamini sana sasa kuweni makini najambo lakutangaza