Tunashukuru sana kwa kutazama na kutoa komenti kwenye kazi yetu hii ya PETE, pia karibu kusubscribe maana kazi nyengine nyingi na nzuri zinakuja kwenu wapenzi wa tamthilia na filamu za Kiswahili kupitia Chanel yetu hii ya FILAMU PICTURES
@filamupictures93492 жыл бұрын
Kama umemaliza kutazama, Asante sana, tunaomba uweke comment yako na maoni yako. Episode ya pili na kuendelea zinauplodiwa soon
@sethsonmrema65222 жыл бұрын
Ikopoa sana
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante sana, kwa kutazama, Karibu usubscribe maana kazi nyengine zaidi zinakuja kupitia Chanel hiihii ya FILAMU pictures
@johnbernad39902 жыл бұрын
Nzuri sana japo kuwa inasikitisha
@puritymwaka5036 Жыл бұрын
Wow🎉from🇰🇪🇰🇪
@BLESSEDHUMBLE-s9t2 жыл бұрын
Ak nataka hiyo song nidownload juu ni Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@filamupictures93492 жыл бұрын
Usihofu, tutaiposti hapa KZbin hivi karibuni
@BLESSEDHUMBLE-s9t2 жыл бұрын
@@filamupictures9349 ,,,,, asante 🙏🙏💯
@fettylove15612 жыл бұрын
Kawimbo pambe🥰🥰🥰🥰🥳
@ahmedshaban91112 жыл бұрын
im from Tanzania i like it Allah bless u all
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante, na karibu kuangalia kazi zetu nyenginezo ambazo tumeziposti kwenye akaunti yetu hii ya youtube
@AishaMwanajuma-r6v Жыл бұрын
Walah hii imeweza pongezi broo
@AishaMwanajuma-r6v Жыл бұрын
❤❤
@filamupictures9349 Жыл бұрын
Tunashukuru sana
@houseboy27542 жыл бұрын
This is firee
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante kwa kutazama na kukomenti kwenye kazi yetu hii ya PETE, tunapenda kukukaribisha usubscribe kwenye Chanel yetu hii maana kazi nyengine nyingi na nzuri tutakuwa tunaendelea kuwaletea kupitia Chaneli yetu hii
@selinamazera76482 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥hako kanyimbo👌👌
@filamupictures93492 жыл бұрын
Unaona ee, Karibu kutazama Episode zote nne, na tunaomba maoni yako ya kazi kiujumla na tunaomba usubscribe, maana mengi mazuri yanakuja
@ZawadiMasha-r9b5 ай бұрын
Amen ❤❤
@menyuutx94932 жыл бұрын
Ipo Bomba 👊
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante, episode ya pili itapostiwa karibuni
@jenifajeni99512 жыл бұрын
Nice inamafunzo mazuli🥰
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante sana, Pia karibu kusubscribe maana kuna kazi nyengine nyingi tutakuwa tunaposti kupitia chaneli yetu hii ya KZbin, 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@chacha98742 жыл бұрын
Pete 💕💕
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante sana kwa kutazama na kukomenti kwenye kazi yetu hii ya PETE karibu kusubscribe maana kazi nyengine nyingi na nzuri zitakuwa zinawajia kupitia Chanel yetu hii hii ya KZbin
@zennamdachi43872 жыл бұрын
Maneno manzuri kama hayo ya mapenzi sasa hivi yamebaki kwa move kama hivi
@filamupictures93492 жыл бұрын
😂😂
@filamupictures93492 жыл бұрын
Yapo bado, ila watu hawajazoeshana, inabidi mmoja aanzishe mwenzake nae ataanza kupita humohumo
@saidisabiniTv2 жыл бұрын
This is how we do business
@kakamama51042 жыл бұрын
Mashaallah
@filamupictures93492 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿 Karibu sana, na kaa tayari kuona kazi nyengine nyingi zaidi kutoka kwetu, hivyo karibu kusubscribe
@josephatkyoma9272 жыл бұрын
Firamupictures
@filamupictures93492 жыл бұрын
Asante kwa kutazama PETE, Nini maoni yako juu ya kazi hii??