Jamani huu wimbo unakufanya uwe mzalendo na kuipenda Nchi kama unauelew gonga like twende
@upendowakwelinaamani10603 жыл бұрын
Anayesikiliza hii ngoma baada ya kifo cha mwamba wetu shujaa wa Africa John Joseph Pombe Magufuri tujuane hapa kweli hapa kazi tu tumepoteza kiongozi mchapa kazi mungu mjalie kiumbe wako pepo Amiina.
@fraviansweetberty88192 жыл бұрын
👊👊👊👊👊😭😭😭😭
@jescadeogratias5292 Жыл бұрын
Nakumbuka alipiga kagoma wakati huu wimbo unaimbwa.Kama namuona vile,kila nikiusikia moyo unaliaga tu.😭😭😭😭
@upendowakwelinaamani1060 Жыл бұрын
@@jescadeogratias5292 tutamlilia huyu kiumbe wa mungu hadi basi km alivyo kua anatwambia tunamkumbuka yaan ni zaidi ya kumkumbuka
@felixmoses98635 жыл бұрын
Nakukubar mbay Peter Msechu,sauti inanipa burudani
@kusekwasita15765 жыл бұрын
Huu wimbo mzr jamani hadi raha
@barakabugengo52355 жыл бұрын
Peter msechu hatar
@nyandaserenguji99935 жыл бұрын
Naipenda nchi yangu sana najivunia kuwa mtanzania
@SamsonKazungu-b8dАй бұрын
Saf kabisa
@idrisamwinyi88175 жыл бұрын
Sijawahi kuona au kusikia Peter msechu amekosea kutoa nyimbo big up
@WallesMdoe23 күн бұрын
Namkumbuka magufuriiiiiiiiiiiiiiiiiii he
@VinceChepkwony4 жыл бұрын
Mimi natoka Kenya lakini limbo nimeupenda
@vincentmumomutuni82374 жыл бұрын
I am a Kenyan but I like the song
@joaneruvenge22754 жыл бұрын
Upo Vizuri sana mkuu!.
@georgegichuki22783 жыл бұрын
My heartfelt condolences to our Tanzania brothers for losing your president. 🇰🇪 half-mast.
@fabricekisaho2252 жыл бұрын
I love this song from DR.Congo, Makufuli was a very good president. I missed him
@fraviansweetberty88192 жыл бұрын
Dah!!!!!!!!! Pumzika kwa Amani Jpm
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Pita msechu baba levo hakuwez nimbwembe tu kinacho msaidia ni promo ya WCB hamna kitu
@celinaweber70245 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Msechu, Msechu hoyeeeer
@umukulthumu1419 Жыл бұрын
Alieimba huu wimbo original yake anamaisha magumu kweli hata hawamuangalii ila hii wimbo inatumika kwenye makongano mbalimbali 😭 serikali inapaswa kufanya jambo kwayule mzee 😢
@abbasmohamed50665 жыл бұрын
yani nikisikiliza huu wimbo najickia faraja kweli mana umekamilika kiukwel
@moseschuma5773 жыл бұрын
Hapo msechu nakupa hongera kakaangu Mungu akubariki
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Msechu big up umejitahidi sana.orginal ni Atomik jazz kutoka Tanga ndio walioimba wimbo huu.ila umeimba vizuri sana.umeongeza vionjo.👍
@deograciousmmao49178 ай бұрын
Mungu utujalie Viongozi wenye hekima na busara katika Taifa letu
@kasililamecksatano73023 жыл бұрын
Vizuri sana naipenda TANZANIA
@nelsonzakayo4964 жыл бұрын
Big up msechu
@emmanuelmajabi28215 жыл бұрын
Wimbo mkali sana
@joyceenos43974 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania daa wimbo kweli kweli hadi macho ya furaha
@nelsonzakayo4964 жыл бұрын
Wimbo mzuri hata Kama ameurudia,
@mwirafundi70545 жыл бұрын
Hakika wimbo huu upo vzr!!!
@simonibonifacemwakaniki33573 жыл бұрын
Uzalendo wakwa sio kilasiku mapenzi
@evarugamba37425 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana barikiwa kwa kazi yako
@kishoshamakoye90154 жыл бұрын
Jaman mungu akulinde mwimbaji wetu najisikia raha na mtanzania halisi
@marrysaimon43303 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu wasani wetu kwa nyimbo nzuri, tutakumic sana baba yetu uliye ongoza taifa letu kwa aman na utulivu, pumzika kwa aman
@charlesgidabit7094 жыл бұрын
Wimbo huu sichoki kusikiliza. Umejaa maneno ya kizalendo. Wakati nikisubiri mama aivishe chakula nasikiliza huo Wimbo. Good bless you Peter Msechu
@mariamzirojuma21573 жыл бұрын
Wimbo mtamu
@daviddkam12834 жыл бұрын
Am a kenyan but I even look unpatriotic, I love playing this song as I drive around😁 good one
@japhetdaudmaneno84402 жыл бұрын
Hapo Peter Msechu,ulimtendea haki mwamba JPM mzalendo mwana Africa,unatukumbusha mbali saaana🤔🇹🇿
@jamesmwanilyela40264 жыл бұрын
Very nice and patriotic song. Be blessed Msechu
@magabilomasambu4464 жыл бұрын
Wimbo wa mzee Steven Hiza huo wamtafute mzee wa watu wamsaidie kimaisha
@johnkihenuzi69584 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mkuu. Mh. Rais Magufuli anaupenda na unatumika Sana kwenye hafla mbalimbali za Rais kwa hiyo amkumbuke huyu mzee aliyetunga wimbo mzuri Sana wa kizalendo kwa Nchi yetu.
@georgebongi48442 жыл бұрын
Muimbsji huyu ameuharibu kabisa wimbo huu wa Steven Hiza ma alikuwa na haja yaja ya kueleza aliyoyataka zaidi ya yale yaliyokusudiwa na mtunzi wa awali basi ni vema angetunga wimbo wake wa kueleza maoni na fikra zake.
@mhandejidiku46332 ай бұрын
Tayari kapewa 50M
@kelvinjoseph59436 жыл бұрын
We jamaa Unajua sana kuimba. Bahati mbaya show kubwa nchini zinakutenga
@neemagenda50196 жыл бұрын
we najivua kua mtanzania
@kelvinjoseph59436 жыл бұрын
@@neemagenda5019 hapana usiiache nchi yako
@neemagenda50196 жыл бұрын
umeona eeee
@kelvinjoseph59436 жыл бұрын
Ndio ndio neema
@yonarsalach5842 Жыл бұрын
love from +254, we really love our people from TZ.
@emmanuelgaspa23165 жыл бұрын
God bless tanzania
@michaeleustach97694 жыл бұрын
Daaaaah umetisha Sana Peter msechu
@elpidiuspatrick35935 жыл бұрын
Bigup sana mr p Msechu
@jeanphilippehaba8642 Жыл бұрын
I'm from Guinea Conakry but i really love this music my fellows. John Pombe Magufuli who brought me here. Rest in peace 😢😢😢😢😢😢
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Guinea Conakry was one of the earliest country to have a diplomatic relationship with Tanzania, Ahmed Sekou Toure was very close friend of Nyerere. We have even one of the famous area at the middle of Dar es salaam called Sekoutoure drive, even one of the biggest hospital in the city of Mwanza is called SekouToure.
@jeanphilippehaba8642 Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 thank you so much for giving me this great information about your country for my former Leader. For your information, we also have Julius Nyerere University of kankan which is the second largest university in Guinea, where I got my bachelor degree in economics. Seriously speaking, I wish to visit Tanzania's national parks and Kilimandjaro one day. Many cities like Kigoma, Dodoma, Arusha, Mwanza, Tanger, Dar es salaam and Zanzibar.
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@jeanphilippehaba8642 oooh your so very welcome comrade the day you come dont hesitate to Inform me if you dont mind we can be sharing brotherhood support welcome all the time bro.
@iddysware57626 жыл бұрын
safi sana kaka tuko pamoja,nyimbo nzuri sana
@jacksonmagai84374 жыл бұрын
Sanaa
@ibrahimjoseph26193 жыл бұрын
@@jacksonmagai8437 pl
@ibrahimjoseph26193 жыл бұрын
Love ll
@ibrahimjoseph26193 жыл бұрын
L L L L L L L L Ll L L L
@ibrahimjoseph26193 жыл бұрын
@@jacksonmagai8437 ok
@teklalubuva4384 жыл бұрын
Kiukweli Peter nakupenda indeep toka bongo star search na hivi tena naitwa mama Peter nasikia furaha karibu Dom
@petermsechu4 жыл бұрын
Tekla Lubuva ahsante sana aisee🙏🏿🙏🏿
@hebrewsbaby34102 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 yangu🙏🙏🙏🙏
@safinamethuselapeter22985 жыл бұрын
Nakupenda Tanzania, najivunia kuwa mTanzania
@nelsonzakayo4964 жыл бұрын
Nice mefuatilia comments nimeona aliepinga mmoja tu, kweli kwenye msafara wa kenge na mamba hawakosi, Sasa sijui hako kamoja Ni kamjusi au ka kenge
@jacksonmagai84374 жыл бұрын
Hahahaha
@symomyself6634 жыл бұрын
I love the song it’s very patriotic indeed
@vicentijoel79436 жыл бұрын
safi
@tedymanula25444 жыл бұрын
Amaizing Song,BigUp Kigoma One
@SHABANILAITI-cw6rt Жыл бұрын
Rest in peace My lovely president #JPM hakika Tanzania tutakukumbuka daima 😭🙏🇹🇿✍️
@emmanuelmwakasenga18722 жыл бұрын
My favorite song about my country and my President Magufuli
@OS-pf6op Жыл бұрын
🇹🇿👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@mtegoboymrrpg92444 жыл бұрын
Wimbo unakufany uwe mzalend ghafla
@HiroshiMasebo6 жыл бұрын
Hatari
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Magabilo nikweli mzee yupo tanga anateseka tu mtuunzi wa huu wimbo tangu miaka 50 ilio pita nayupo nashangaa hawamwaliki kwenye mambo ya uzinduz ya mirad yeye ndo mwenye maono yote hayo
@alexmashimba47493 жыл бұрын
Wimbo mzuri,unanikumbusha mzee wetu magufuli jaman 😭😭😭where are you our beloved president,ooohhiii,R.I.P
@ernesterkissa71002 жыл бұрын
100 ya JK Mungu endelea kumpa pumziko la milele
@sanyamwita18534 жыл бұрын
Brother toa video yake
@mariamfritsi49433 жыл бұрын
Wimbo huu unanikumbusha marehemu mpendwa wetu magufuli. Rest in peace baba utakumbukwa daima. 01.08.21.
@fraviansweetberty88192 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@alexhamaro Жыл бұрын
Kweli Tanzania tumepoteza kiongozi imara
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
@@alexhamaro ni ukweli usiopingika.
@emmanuelnyamhanga60413 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mrbwire14 жыл бұрын
Proudly Tanzanian
@jumajoseph6232 жыл бұрын
Wimbo upon vizuri sana
@odenaryanyiiuka9023 жыл бұрын
Pole kwa kufiwa raisi John pombe magufuli
@maureenomato Жыл бұрын
Sana baba wataifa naapongezwe salute keake❤❤
@Douglas-Moola3 жыл бұрын
Magufuli brought me here
@ephatcharles90843 жыл бұрын
Nakutakia uzalendo mwema sana
@kpatrick84684 жыл бұрын
Safi sana wimbo ni mzuri
@barakajoseph3847 Жыл бұрын
Tanzania yetu
@furahamwaseba7910 Жыл бұрын
Hiv ndo basi tena hatuta mwona jaman magufur rud uone usarti wa mwenzako siamin
@selinamashoko24903 жыл бұрын
Huu wimbo ni wa Kizalendo sana....unapelekea kuipenda Nchi yetu Tanzania kwa Uzalendo wa hali ya Juu sana 🙏🏻🙏🏻
@yessengoho69355 жыл бұрын
Be blessed msechu
@maimunakarata74815 жыл бұрын
Uko poa ndio uhalisia na ukweli
@mwalukungatv90234 жыл бұрын
peter msechu kaka nakukubari sana na nakubari sana kazi zako yaani mungu akulinde kaka
@OS-pf6op Жыл бұрын
The Best two Presidents ever🇹🇿💪🏾
@sadockkabuko87354 жыл бұрын
Tanzania my country
@rosetreffert67274 жыл бұрын
Safi sana ❤️🙏
@susananyasani65262 жыл бұрын
Eine Erinnerung Lied von Tanzania über die Vergangenheit als Tanzania selbständig wurde im Jahre 1961
@godfreymchele19102 жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaa, sipati picha nilichelewa vipi kupata kuusikiliza. Mungu akujalie Peter..
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Naomba mungu anijalie maisha mema nione miradi yote ya mfalume maana cyo rais marais wamepita wengi huyu hapend bata bata nihapa tz saf sana
@dorisimwenda62792 жыл бұрын
Magufuli baba, kanyaga twende.. RIP our beloved President John Pombe Joseph Magufuli
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Kipind cha nyuma jenereta ili kuwa ndo umeme nikama hamna viongoz yan mamantilie na bodaboda machinga ndo waendeshe nnchi kweli kwanza amecheleweshwa kupewa nnchi lakin nimipango ya mungu amjalie
@patrickjoel13064 жыл бұрын
Be blessed Mr. P. Msechu
@gladyssyombua35904 жыл бұрын
had to search this song after hearing it on TBC
@godfreydaniel95684 жыл бұрын
The same brought me here
@christopherarushamargwe3353 жыл бұрын
Nimependa huu wimbo
@frenkipitaxokori96733 жыл бұрын
Ongela wimbo nimzuli
@luganomwambulukutu53115 жыл бұрын
The best musicians
@alassanekondo31785 жыл бұрын
Lugano mwambulukutu I SWEAR MY GOD Thank you my brother 😭🤝🤝🤝🤝🤝😭😭😭😭
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Kwanza swala la korona angekuwa rais wa uraya angepewa tunzo za kutosha kwa sababu ni mwafrika wanaona wivu yuko vzr
@ojwinyogerrilakwallakado7833 жыл бұрын
Poleni waTanzania na waAfrika!!!
@furahafedrick85013 жыл бұрын
Mradi mkubwa tz wa umeme ni kidatu unazarisha megawat 204 ni mala kumi ya ule wa nyelele bwawa kubwa nikama ndoto kweli tumuombee
@suremwasanguti85063 жыл бұрын
Kyala Gwangu gwangu maka
@bintshariffmuhammad6203 жыл бұрын
Poleni sana Tanzania Mngu awape subira na imn
@yusuphmalongo7063 жыл бұрын
Tanzania yetu hadi raha wimbo mzuri kweri
@josephmichael6057 Жыл бұрын
👑👑😭😭😭😭
@erastorichard96333 жыл бұрын
Rest In Peace Magufuli😭😭😭
@chobastian-chobo57595 жыл бұрын
Sio nyimbo yake Jamani kufanya remix ya nyimbo ya zamani sana hii
@careemutunajuailayupovzr92274 жыл бұрын
Tunajua hilo ila kaimba vizuri saaana
@richardyonah86113 жыл бұрын
Wimbo bora Sana zaidi ya Sana bigpu mtunzi
@georgebongi48443 жыл бұрын
@@richardyonah8611 ni wimbo wa Steven Hiza sijui kama aliyeurudia wimbo huu amelipia mrahaba kwa mzee Ssteven Hiza. Na tuanzie hapo.
@georgebongi48443 жыл бұрын
@@careemutunajuailayupovzr9227 muimbaji wa awali ameimba vizuri zaidi na tena amejaliwa sauti na lafidhi nzuri ya kiswahili Hongera mtunzi na mwimbaji Steven Hizza
@georgebongi48442 жыл бұрын
Wimbo umeimbwa vizuri na mtunzi mwenyewe wa wimbo huu bw. Steven Hizi aliyeuiga na kuupiga upya ameupiga vibaya na hata maudhui ya wimbo kayabadilisha kwa kiasi kikubwa kama alikuwa na alioutaka angetunga wimbo wake kuliko kuharibu kazi ya mtu.
@patrickrumanyika43013 жыл бұрын
I truly love this song! Wow good job guys. Lots of love from KIGALI RWANDA
@alinanusweedward37615 жыл бұрын
Powerful leaders needed to laid African countries
@alassanekondo31785 жыл бұрын
alinanuswe Edward Please could you translate what he said I this beautiful song for me please 🙏🙏🙏 ??
@christophermkwesso41345 жыл бұрын
God bless tz
@kambiibrahim4155 жыл бұрын
@@alassanekondo3178 In this song Peter Msechu he is talking about how the President of Tanzania JPM do well his work for his people and we see what he's doing and he talked about Tanzania that's beautiful country, a happyfull, full of joy and prosperity. But he sing about Nyerere father of the Nation that he is the freedom founder and we will always remember him. I think you got the idea my dear friend welcome to Tanzania.
@susananyasani65263 жыл бұрын
Nashukuru kwa Musik Tansania yetu ni Nchi ya Furaha
@alassanekondo31785 жыл бұрын
I wish I could understand what he’s saying. Who can explain what he’s saying in this beautiful song please 🙏 ???