PIGO KWA MASJID HUDAA SPAKI SHEIKH ABUU HAMZA AKIWAAGA WAUMINI.

  Рет қаралды 25,997

Al Haajar TV Kenya

Al Haajar TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@LemmyKarisa
@LemmyKarisa 2 ай бұрын
Assalamu alliko waramdulallah Taal wabarakat 😄😄😄 Allahuma bariki 💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🤲🌹♥️🌲 Jazak Allah .
@fatmahsaid1529
@fatmahsaid1529 2 ай бұрын
Sheikh Abu Hamza, usiache kuendeleza daa'wa nakusaidia wasokuwa uwezo. Huo msikiti ulikuwa na kheri nyingi, ulibadilisha mwenendo wa vijana wengi. Ulitupa fikra nzuri kuwa kila familia kuwe na daktari, Mwalimu, Mhandisi, mhudumu wa afya na Wakili. Alhamdulillah tumewapata wengi. Allah Akuhifadhi Sheikh Abu hamza
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 ай бұрын
MASHA ALLAH KAi ameifanya ALLAH AMJAZE KHEIR
@FMurad333
@FMurad333 2 ай бұрын
Kwaanziaa Sai, kuna watu Wataanzaa Kwenda Kuswalii Hapo spakii, Watu Walikuwa wakikimbia sababu ya Kuchangia, Nendaa salamaa Shk abu hamzaa, Tuta Kumiss sanaa, natamani Ningekwepo nikaskiaa khutba yako ya mwisho, Allah akuhifadhii, Ume saidiaa Wengi na mimi binafsii nilikuwa nikifurahia Uwepo Wako na Mchango Wakoo 🙌
@jumakumala1337
@jumakumala1337 2 ай бұрын
Maa asha ALLAH , MUNGU akujalie mwisho mwema japo waumini wataumia kwa kukukosa ktk suhulu za Da'awah na mawaidha yako mbali mbali , hila apangalo MUNGU mja hawezi kulipangu
@jumakumala1337
@jumakumala1337 2 ай бұрын
Tunakuombe sn tena sn kwa MUNGU kwa kazi ulioifanya kubwa ya Da'awah iwe sbb yake kuipata jannatul fridausi amiin
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 ай бұрын
Sheikh Abu hamza May Allaah preserve you ,may Allaah grant you janna Kesho Akhira Aameen
@mohamedhadad6008
@mohamedhadad6008 2 ай бұрын
Alhamdulillah alaa kuli Haal. Nikiwa Tz naona taarifa kama hii imenisikitisha sana na imenihizunisha sana. Sheikh Abu Hmza ni Moja katika Mashekhe wenye Msimamo na Msaada mkubwa katika jamii. Huyu hawezi pata Shida kabisa wanavyuoni ni watu Wa Mungu na warithi wa Mitume. Allah Mustaan
@aktharkhan3052
@aktharkhan3052 2 ай бұрын
Ma sha Allah sheikh kwa juhudi zako Allah akuhífadhi
@ismailsomobwana6161
@ismailsomobwana6161 2 ай бұрын
Allah atamjaalia apate palipo na kheri zaidi
@chabunu3367
@chabunu3367 2 ай бұрын
Alhamdulilah sheikh kuwa watu wanakukumbuka kwa wema na Allah amjaaliye pia baada ya kifo chako uzidi kukumbukwa kwa wema
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 ай бұрын
AMEEN
@tariksalim2659
@tariksalim2659 2 ай бұрын
barakaAllahu fiik Al fadhilatul sheikh abu hamza
@Ali.salimu
@Ali.salimu 2 ай бұрын
Tunakupenda. Shekh. Wetu. Mungu. Akuongoze. Uendako
@ayaleyusuf295
@ayaleyusuf295 2 ай бұрын
I used to like your recitations,sometimes I just recorded,it touched,will meet in jannah inshaalh
@khalidjuma4443
@khalidjuma4443 2 ай бұрын
JAZAKALLAHU KHEIR Sheikh
@meefahbravo8363
@meefahbravo8363 2 ай бұрын
Pigo kubwa sanaa kwa mtaaa Sheikh amesaidia jamii ya spakii sanaaa
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 2 ай бұрын
Adui ya mwislamu ni mwislamu mwenzake yauzunisha sana ila YARABI atujaaliye tupendane na atuepushe na chuki baina zetu amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 ай бұрын
ALLAH akupe subra sheikh
@Mimein-vn7or
@Mimein-vn7or 2 ай бұрын
Abu hamza tutakumis sana,Allah akujalie kheiri zaid,sharif kutoka marsabit
@AbdulhalimMohamed-o8x
@AbdulhalimMohamed-o8x 2 ай бұрын
Tutakumiss Al ahk sheikh Abu hamza 😢😢
@suleimansoud2783
@suleimansoud2783 2 ай бұрын
MaaShaaAllah Allah amlipe
@AbdallahAbdallah24-iz2tu
@AbdallahAbdallah24-iz2tu Ай бұрын
ABDALLA ABUBAKAR ABDI 🇰🇪 Kenya
@MahmoudMohamed-yc6fr
@MahmoudMohamed-yc6fr 2 ай бұрын
Shekhe Mungu akuhifadhi ume saidiya pakubwa sana
@osmansaid6886
@osmansaid6886 2 ай бұрын
Mashallah msikiti wangu
@mssellemamin5360
@mssellemamin5360 2 ай бұрын
JAMBO LA KUSIKITISHA SANA KWA SHK. ABU HAMZA KUONDOKA KATIKA MSIKITI AMBAO ALIO HUDUMIYA KWA MDA MREFU NA KWA BIDII NA UPENDO WA HALI YA JUU SANA. SHK. JAZA YAKO IKO KWA ALLAH NDIYE AKUJUAYE WEWE ZAIDI KULIKO SISI. NATAKA KUSEMA HIVYI KATIKA MASHEIKHE WETU TULIONAO HAPA KENYA SHK. ABU HAMZA NI MWENYE IKHLAS YA HALI YA JUU SANA NA SI MTU AMBAYE ANGALIYA MASLAHI YAKE KAMA HAO WENGINE TUWAJUWAO. SHK. WEWE UMEFANYA YA KUFANYA YA KHEIRI MENGI NA TUMEYASHUHUDIYA. ALLAH AKUBARIKI NA AKUPE MEMA HAPA DUNIANI NA KESHO AIKHERA.
@omararale7962
@omararale7962 2 ай бұрын
Sheikh Abuu hamza amefanya bidii sana. Allah Atamlipa hapo duniani na Akhera Amin. Walio changia kuondoka sheikh Abuu Hamza Allah awaongoze kwa njia ilio nyooka Amin.
@swifationlinetv
@swifationlinetv 2 ай бұрын
Mbali na madaktari wa kiislamu ukweli somo la IRE lilikuwa limeanza kufunzwa na wasokuwa waislamu na kwengine watoto wakilazimika kufanya CRE sheikh AbuHamza kupitia masjid Hudaa ndiye aloanzisha harakati za kupeleka watoto kusomea uwalimu Mikindani na kwengineko leo alhamdulillah walimu tele wa kiislamu wa IRE na Arabic. Allah ampe kila la kheri sheikh AbuHamza
@MalasenMusa-xk4zd
@MalasenMusa-xk4zd 2 ай бұрын
Allah akuzidishie umri mrefu insha'Allah Kwa yote
@hassanaboud8442
@hassanaboud8442 2 ай бұрын
Good luck Abu Hamza
@mwanamgenimwamzandi1941
@mwanamgenimwamzandi1941 2 ай бұрын
Nimeishi spark from 2017 to 2020 na nimemjua Abu hamza kama mtu mmkja wamaana sana
@MahmoudMohamed-yc6fr
@MahmoudMohamed-yc6fr 2 ай бұрын
Subhana llah
@ibnuyussuf
@ibnuyussuf 2 ай бұрын
Pole kuwa sheikh Abu Hamza tuta Ku miss si mzuri wezee Ku kata watu Ku saidia miskitini
@khalidbinsunkar5409
@khalidbinsunkar5409 2 ай бұрын
Mwezi wa mawlid Mwezi wa mazazi ya MTUMI MUHAMMAD SAW أيها المشتاقون إلى رؤية جماله صلوا عليه وسلموا تسليما كثيرا طيبا.
@ibrahimrajabu8722
@ibrahimrajabu8722 2 ай бұрын
😢😢
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy 2 ай бұрын
Sheikh Bachu yuko wap?
@swalehmohammed8842
@swalehmohammed8842 2 ай бұрын
Kwani maimamu wana retire?
@MahfudhMohamed-rc3ux
@MahfudhMohamed-rc3ux 2 ай бұрын
Sheikh abuu hamza hatosumbuka kwa yote aliyo fanyia watu nimenhi
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 2 ай бұрын
Huu ni mtihani mkubwa
@salafi.
@salafi. 2 ай бұрын
Huo mskiti wapewe masalafi sasa muone namna utakavo amirika kwa ilimu ya manufaa.Hapo awali ulikuwa matangazo tu
@Footy001
@Footy001 2 ай бұрын
Ajabu masalafi wenyewe waitisha mchango wa mskiti wao wa majengo 😅
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 2 ай бұрын
Unavioja shekhe wewe nenda salaama
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Anawaaga anaenda wapi?
@muayidh5789
@muayidh5789 2 ай бұрын
anawacha kazi ya uimamu hpo msikitini
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@muayidh5789 Ok
@FakiSuleiman-hj1zv
@FakiSuleiman-hj1zv 2 ай бұрын
Sasaiyo tuambiwe atuaga
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Huyu ndiye mwanafunzi miongoni mwa wanafunzi wa sheikh Albaan rahimahullah?
@nurenmohamed9022
@nurenmohamed9022 2 ай бұрын
Labda adui wake
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@nurenmohamed9022 Adui wake vipi akhy?
@aburashidomar6015
@aburashidomar6015 2 ай бұрын
Ni mwanafunzi wa sheikh ibn uthaymeen rahimahullah
@abuuawadhassalafy1594
@abuuawadhassalafy1594 2 ай бұрын
Duuuuh anavowapiga vita hao masheikh Leo wankuja walimu wake duuuu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@abuuawadhassalafy1594 Kwani huyu ni sheikh wa Kisufi?
@MahfudhMohamed-rc3ux
@MahfudhMohamed-rc3ux 2 ай бұрын
Sheikh abu hamza alikuwa hachagui wakati wakumsaidia mtu kwakuangalia akida wa kabila lake twamwambia kuvundika kwamwiko sio mwisho wa upishi,
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
nenda salama,masalafi hawakuwa na vikapu misikitini huo ni uhizbi!! kama ni kusaidia hilo jaizi ila kuomba omba kwa nguvu misikitini!!
@mohamedhadad6008
@mohamedhadad6008 2 ай бұрын
Salafi pia wanapewa Misaada. Kuna jambo umelisimamisha peke yako katika kuinusuru Dini? Ndio maana tunakuwa na shaka na nyie mmetumwa.
@Footy001
@Footy001 2 ай бұрын
Masalafi wenyewe mumeweka paybill ya mchango na account mujenge mskiti hapo majengo. Kama si hasad ni nini hizi?
@hashimmabruk8953
@hashimmabruk8953 2 ай бұрын
Miskiti mingi ni private. Nivile tuu ni vile maimamu hawasemi
IJUE DINI YAKO || JE TWAFAA KUOWA WAKRISTO? || SHEIKH ALI BAHERO
1:01:45
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 116
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
UISLAM SI UGAIDI || Sheikh Salim Barahiyan
22:05
Sadick TV
Рет қаралды 463
KAULI YA MWISHO KABLA MAUTI YA SHEIKH NYUNDO
4:07
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 200 М.
Sheikh KISHKI - {2/2} - MAJINI NIVIUMBE AINAGANI ?
20:32
shining noor
Рет қаралды 135 М.