Safi sana sheikh kishk inabidi dada yetu apate kuhudhuria darsa za kina mama ALLAH akulipe InshaAllah
@SakinaSakinat-qd9rs2 ай бұрын
Maa shaa Allah tabaraka Allah masheikh zetu Allah awahifadhi na awape umri thaweel weny barka
@robbywilson2242 ай бұрын
Ni kweli huyu dada anatakiwa kuwekwa karibu na mashekh...hii nzuri sana mungu amtie nguvu snura inshaAllah 🙏
@abdallahmkodoАй бұрын
Mashaallah
@faizanassor63362 ай бұрын
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH ALLAH awa weke mashekhe wetu awape afya njema THUMMA AMIN 🤲🏼
@aminamohammed53732 ай бұрын
Mashaallah allaha akupe afya umri kilapenye uzito allaha akufanyie wepes inshaallah
@aminamohammed53732 ай бұрын
Kishik mazinge allaha atawalipa inshaallah duniani na akhera inshallah
@sheikhanasser47142 ай бұрын
@@aminamohammed5373Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲 Andika "Allah" kwa herufi kubwa Shukran
@HarithIdrissa2 ай бұрын
Aaamiin
@SaeedaBahrainАй бұрын
Mashaallh
@SophiJeilani2 ай бұрын
Shehe naomba umpewaiza nafsi yake izidi kukosheka inshaallah tunakupenda kwa ajili ya allah
@abduliashiru93942 ай бұрын
Mashaallah hata mimi nampenda Dada angu katika imani kwajili ya ALLAH.
@MwajumaOmary-l1eАй бұрын
Inshaalaah
@YusufIngosiАй бұрын
Mashaallah ❤️ ❤️ ❤️ allahu akbar
@MohamedMeja2 ай бұрын
Masha allah kishk mungu akuwekea kwa kazi unaoifanyaa
@tahiyamushi81532 ай бұрын
Aamiin Yaa Rabb
@firdaus74282 ай бұрын
آمين يا رب
@SophiaTsopa2 ай бұрын
Mashallah shekh
@hamisijumafadhili1916Ай бұрын
Mashallah Kaz nzuri
@SuleimanKhdija2 ай бұрын
Subhanallah Allah atustiri ya Allah
@batashqiraa99362 ай бұрын
Ewe ALLAH waongoze dada zetu waache mabaya wanayoyafanya waache kutembea nusu uchi waache biashara za kujiuza miili yao, waache kuimba amina yaa rabb
@sheikhanasser47142 ай бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
@رقيهالخصيبي2 ай бұрын
Allahuma Amin 🤲🤲🤲
@محاسبفرعدارالسلامتنزانيا2 ай бұрын
Aaamin Aaamin Aaamin
@SaidMgeni2 ай бұрын
Aamin
@SaeedaBahrainАй бұрын
Mashaallh 3:44
@Minjum-j5m2 ай бұрын
Waalaikum mslm warahamatullah wabarakatuh
@Sophia-zc7cp2 ай бұрын
MashaAllah tabarakallah tunampenda kwa ajili ya Allah da snura Allah azidi kukuongoza na sote pia
@Mwanashabani-rk4qq2 ай бұрын
Amiin inshaAllah
@azizasenga-xu2ww2 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@zainabusadi64692 ай бұрын
Maashallah
@alhabsi6430Ай бұрын
Pongezi kwako snura habibty❤
@meowzna2 ай бұрын
Jazakallahu Kheir🙏🤲
@FarouqMasha2 ай бұрын
MashaAllaah NAMI muniunge kwenye umoja huu by samira
@ZAITUNIHUSSEIN-i8t2 ай бұрын
Mashallah Allah Amuongoze yy na vizazi vyetu
@JumaBinAbdallah2 ай бұрын
Sheikh ana fanya kazi nzuri
@mwinyimvuamawaiza26122 ай бұрын
Vizur Sana ndugu zangu tu nawapenda wote kwaajili ya Allah
@SaidHamba2 ай бұрын
Mashalhk
@ShaSha-mf2wf2 ай бұрын
Mashaalah allah awahifadhi nyote
@abubakarmpole40002 ай бұрын
Masha Allah
@SaeedaBahrainАй бұрын
Mashaallh 3:00
@faridaally-jp1gx2 ай бұрын
Ma shaa Allaah ❤
@Suhaiba-c9g2 ай бұрын
Mashaallah mashkh wetu kwa kazi nzur mnayofanya 🎉, ❤❤❤
@BentiM-q2cАй бұрын
Ameen yarabbi mung atupe mwisho mwema
@HarithIdrissa2 ай бұрын
Alla awape umri mrefu, wazidi kutuunganisha waislamu
@omarmwabege2 ай бұрын
Shukran Sheikh kishki
@KifutubrandfilmАй бұрын
🙏🙏🙏
@nadianyamuraka2 ай бұрын
Nawa penda sana ma sheikh zetu...Allah awape umri mrefu na afya njema
@MwanaMussa-r6g2 ай бұрын
Allah amjaalie kher nying snura na ss pia
@sheikhismaelramadhankenya89282 ай бұрын
Walimu wangu wote wawili. Debate ni mazinge na khutba pamoja na quran ni sheikh nurdin kishki. Mwenyezi mungu awape umri mrefu na mwisho mwema
@HarithIdrissa2 ай бұрын
AllaahummaAaamiin
@DjumaAshaАй бұрын
Allahumma Aaaamin Aaaamin Aaaamina Ya Rabbal 'Alamina
@virginiambali13742 ай бұрын
❤❤❤shukran 🙏🙏🙏
@Salsabiil122 ай бұрын
Maashaallaah
@SHAIBALI-z5b2 ай бұрын
Napenda sana sheikh mazinge Allah akuoe umri mrefu uzd kuwasilimisha watu
@mwajumaabdallah10872 ай бұрын
Maashaa Allah jmn namm naombeni niwe katika huo umoja anayejua aniunge jmn
@HijaSalimuАй бұрын
Karibu Kilimanjaro
@omanmct1352 ай бұрын
Mashallllllah❤
@Zulkamhaji2 ай бұрын
Allah sw akubarikin mashekh wetu❤
@KibibySaide2 ай бұрын
Masha Allah mungu akuzidishie heri
@jimjam-xg7rv2 ай бұрын
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@mohammededy70862 ай бұрын
ALLAHAKBAR
@saumjuma3940Ай бұрын
Allah naomba unipe mwisho mwema
@DjumaAshaАй бұрын
Kabsaaa Allah akulipeni kheri nyoote Kwa juhudi zenu na da snura Allah azidishie hidaya
@ABDULHAMIIDMUSSA-pt3isАй бұрын
Allah amuhifadhi snura ampe thibaat na amsamehe kwa Yale aliyo yafanya na sote pia atujaalie mwisho mwema.
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Maashaallqh
@meowzna2 ай бұрын
Ameen🙏
@firdaus74282 ай бұрын
Ni kweli kabisa wadada wengi tumepinda katika dini ,tunamuomba Allah atuongoze
@KhadijaSalum-nf5mf2 ай бұрын
Ameen yaarab
@anifahussein76822 ай бұрын
Asalam alaykum,nami natamani kujiunga nahuo umoja tupeni muongozo Allah atawajazia kheri
@zackariyayussufnooryussufn41802 ай бұрын
ALLAHUMA AMIIN YAAA RABIL_ALAMEEN
@SophiaAthumani-ri4luАй бұрын
Mashaallah tunakuomba sheikh uje na Mkoa wa Arusha japo nasi tupate kunufaika.
@tahiyamushi81532 ай бұрын
Aamiin Yaa Rabb
@faridahalwaily852 ай бұрын
Zidii kuombeeeeyaaaneni mwenyezimngu Awahidisheee na kwa jamiiiiaaaan.. ni furahaaa kwa Mtoto wetu na wenginewooo kuombaa maghfiraaah bado wapooo haiii…duniaaani. Alhamdulillaah…
@Ibrahimtraore-fe5jl2 ай бұрын
Masha Allah nazi nzuri
@KhalfanSaid-v1h2 ай бұрын
Maashallah...vipi ndugu yetu snura hakuchora tatuu....tumuombee ya Allah amsameh Madhambi yke.... kwani amekiri MAKOSA yke, Diamond na Harmonize tatuu ,herini ,cheni .... Innalillah wainnailaih rajiun
@zahraalbaloochi2841Ай бұрын
Tuwaombee wao na wote Allah atawaongoza awape Imani
@omarmwabege2 ай бұрын
Hiki ndicho tulitamani kusikia Kwa ndugu yetu Sheikh kishki, Allah amuhifadhi
@tahiyamushi81532 ай бұрын
Aamiin Yaa Rabb
@sheikhanasser47142 ай бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
@walidmgonja36442 ай бұрын
Sheikh Kishk ni Kiongozi na mlezi wa jamii,amebeba jukumu kubwa kulingania,kuelimisha na hata kusaidia wenye matatizo na kuwaleta waislam pamoja. Huyu ni miongoni mwa masheikh wachache wanaojitoa kwa ajili ya Allah kwa Mali zake kwa ajili ya Allah.Wengine waige mfano huu mwema.
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lmАй бұрын
Hatutamani kukisikia kwa Kishk peke yake tunataman waislam wote waseme jambo kuhusu Snura
@omarmwabegeАй бұрын
@@walidmgonja3644 swadaqta
@ArabOman-x7hАй бұрын
Asalam alykumu shehee nami natamani sana jee kama na itaji uwo umoja nita pata vip
@ZuhuraMadimbwalaАй бұрын
Shekheee ipo vizuriii mashalah nisaidiee namba zako Kwa ajilii ya aakah
@SaidHamis-yz1vt2 ай бұрын
SHEKHE A.W.W NAOMBA NAMBA ZAKO SHEKHE KISHK PLZ.
@swafiirbulbul8192 ай бұрын
Nasaha Nzuri sana.. Maashaa Allah.. Allah awahifadhi Masheikh zetu na Juhudi zenu. ❤ Aamyn
@SakinaSakinat-qd9rs2 ай бұрын
Amiin
@ZulehaAyubu2 ай бұрын
Inshallah mashehe wetu endeleeni kutupa elim yaahera wale tusiojimua nawale tunojua Allah awape afyanjema pia awjaalie pepo ya fidausi
@seiphyahya53532 ай бұрын
Wanadarsa wawe wanakuja na daftari na kalamu kwenye darsa ili wawe wanaandika wanayofundishwa na Sheikh Kishki na wenzake.
@ZakiaJuma-h3y2 ай бұрын
Tunakupenda saaaaaaaaaaaaaana Shekhar letu
@mustafapandu51892 ай бұрын
Inanivutia sana kuona wanawake wamestirika kivazi Chao wako vizuri
@MassoudAbdalla-v9g2 ай бұрын
Emungu tujalie nasie Tuwe katika njia ya waja wema dunian na kesho akhera
@hamidatwahaАй бұрын
Asalam Aleukum,waislam wenzangu. Mm nauliza darasa liko maeneo gani? Mm niko Ilala .
@mbwanarajab72382 ай бұрын
Ukweli wa mwenyezimungu , naomba Mungu anijaalie nimtumikie na nife nikiwa muislamu Kweli ukiristo umeiharibu dunia kwani ndio dini inayoharibu dunia na uchafu wooote uliopo kwenye dunia umeletwa na ukiristo kuanzia mavazi, umalaya, pombe , nguruwe nk
@AsuraHamisi2 ай бұрын
Najiungaje na umoja huo nimeupenda sana
@jumahenriquesgeraldo98372 ай бұрын
Uyo Snura apewe msaada maana wanaadamu bado watajaribu kunchokosa
@RamooAli-hr3nv2 ай бұрын
Vry true
@BakariBakari-qg1ue2 ай бұрын
Asalaam alaykum tafadhar jamn mwenye namba ya shk kishk naomba anipe au anaeweza kuniunganisha nae please nisaidien kwa hili
@halimaramadhan6920Ай бұрын
Assalamualaikum shekh kishki na Mimi nataka kujiunga Apo jee utaratibu upoje
@AsuraHamisi2 ай бұрын
Asalam alaikum nami naomba
@SalamaAlly-g1f2 ай бұрын
Shekh wetu KISHK tunakupenda na tunakukubali lkn sijui wapi mnakutana nami nataka kujiunga na huo umoja
@SamiaMbada2 ай бұрын
Asalam aleykum NAMI nahitaji kujiunga ktk umoja huo nipate elim ya din
@mohammedmussa73782 ай бұрын
Jamani hiidini sio ya kupingezana ni ya kufanya mema na kuomba allah akudumishe katika kheri na mwisho mwema na sio kupongezana
@sultanmikoiАй бұрын
Anayefanya mema apongezwe na atiwe nguvu ili aendelee kufanya mema na achukie maovu aliyokuwa akifanya kabla...
@Twahamwela-ch5lz2 ай бұрын
Jaman huyo snura mpeki vitu vya muhim vtakavyomsaidia ktk maisha yke sio tena nae baadae mambo yanakuwa hewe hewe anakuwa km mzee yusuph
@Muba5812 ай бұрын
Ndugu yangu punguza jazba katika kuwasilisha jambo . Pia nikuombe tafuta muda wakusoma kiaundani nakuacha kumeza itikadi pasina kuelewa Kirahis kbs Mtume ( s.w.s) aliishi na watu kwa ukaribu ilikusudi kuwavutia katika kuwalingania waione kheri ya uislam Sasa ndug yangu ww kwann unataka nakuonesha kuhamasisha katika kuwatenga watu . 1: Kama nisahihi itikad hiyo, nivip hao unaowaona wamekosea watajumuika nanyi pasina kuwalingania . 2: endapo unawatenga huoni kama nikosa kuwaacha watu kuteketea ktk uovu. TUSOME KUELEWA WAISLAM SI KUKARIRI
@walidmgonja36442 ай бұрын
Sheikh Kishk Allah akuhifadhi na azidi kukuongoza kwani kazi unayoifanya sio ya kawaida,wengine hawawezi japo wanatamani
@saidamohamed10792 ай бұрын
Hizo nafas tupe nasisi sheikh za umra
@maymgaya41922 ай бұрын
Asalam Alaykoum Warahmatullah Wabarakatuh, nahitaji huu umoja….. Tunajiunga vipi?
Asalam alaykum shekh naomba km atakubali na atakubali mpeni nafasi akasome dini ili aje awe msaada kwa jamii yetu ya kislamu hususani kwa dada zetu kwanza hizo nafasi zahija apewe km zawadi mana ndio hitajio lake kubwa kwa sasa
@mustafamanjavila66892 ай бұрын
Unaweza ukakuta mazinge ni bora kuliko hata wewe unaemuona ni mtu wa bidaa... Wewe na usunna wako umewaingiza wangapi kwenye uislam hali.. Off course unaweza kuta uzito wa mema yake na bidaa zake.. mema yaeza kuwa mengi kuliko mabaya yanayotokana na bidaa zake..wallah aghalam... Tutambue jitahada za watu..hakuna mkamilifu kwenye maisha.. Tunasihiane huku tukivumiliana
@ZakiaJuma-h3y2 ай бұрын
Jamani nami nitajiungaje tunakupenda sana Wana waalkhibrat Islamic school siku tukikutana nawe kwa furaha tulio nayo sijui tutakua na Hali gani
@TatuMkeso2 ай бұрын
Uje na songea kishk tunakupenda
@SHAIBALI-z5b2 ай бұрын
Snura nimke wamtu muite mume wake kwanza uzungumze nae ndo atowe ruhsa kwa mkewake kuja kwako au aongozane nae kuja ofisini kwako
@boyresboyrey18972 ай бұрын
Atutaki bwanake ni snura tu na awezi Toka bila ithini ya bwanake, atamueleza kwanza
@SHAIBALI-z5b2 ай бұрын
Sheikh snura nimke wamtu muombe mume wake kwanza plizi
@MansourKabuhayaАй бұрын
Wakati anafanya uhuni wake alikuwa anaombwa ruhusa ye ye au? Kweny Mambo ya maana mnaleta upuuzi
@fatmamsiliwa84852 ай бұрын
Hata mm nafurahi natokwa na machozi
@AllySalum-ce3ix2 ай бұрын
Asalaam aleyhkum Ukhty
@rashidiiddi24332 ай бұрын
Nikweli je mashekh huyu dada kunampango Gani wakumsaidia ili asije akaludi kwenye maovu Mimi naomba viongozi mkae huko mje nampango wakumsaidia
@naimasbuguza23952 ай бұрын
Snura awezeshweeee, Masheikh wanawapa platform wasanii wenye tabia chafu kwenye Quran, wakamuacha snura
@AshaNyamhala2 ай бұрын
Shekhe namhomba Allah akuifadhi na kila mabalaa nakupenda sana kwaajili ya allah
@AshaNyamhala2 ай бұрын
Shekhe Mimi Niko chanika ntawapataje hao akina mama nijiunge nao
@AishaIddy-bt3rl2 ай бұрын
Ndugu Yatu Kutoka Chanika Karibu Ktk Umoja Huu
@hadijaismail36192 ай бұрын
Asalaam alykum naomba utaratibu jinsi ya kujiunga
@AishaIddy-bt3rl2 ай бұрын
@@hadijaismail3619 Namba Zako Zinahitajika Ili Uungwe Kwenye Umojahuu
@ShafiiMrisho-q3n2 ай бұрын
.
@rashidiiddi24332 ай бұрын
Nikweli snura waislam tumpekani ya kutosha napia mola wetumlezi amlehemu