PLANETBONGO-DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA WAKAZI

  Рет қаралды 19,886

WAZO TV

WAZO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@musicandfootballfans3368
@musicandfootballfans3368 7 жыл бұрын
real mc anatambaaa kwa kila beat @wakazi kaua from cuba likes kibao
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 7 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiiiiii LALA MCHANA KESHA UCK, umetisha knoma noma
@dogohassan3604
@dogohassan3604 5 жыл бұрын
Umenena.
@mussajoseph3672
@mussajoseph3672 7 жыл бұрын
tishaaaa mzee kiukwel nime enjoy japo siyo sana kam nilivyo enjoy kwa scoda
@nassoromaduhira8480
@nassoromaduhira8480 7 жыл бұрын
wa 3 kucoment big up broo wakaz swaga bovu
@charlesnghwaya1619
@charlesnghwaya1619 7 жыл бұрын
Kunajamaa anaitwa Nchama the best. jaribuni muone then stamina..... wakazi mhuu!!!!!!!!!
@charlesnghwaya1619
@charlesnghwaya1619 7 жыл бұрын
Kunajamaa anaitwa Nchama the best. jaribuni muone then stamina..... wakazi mhuu!!!!!!!!!
@nassoromaduhira8480
@nassoromaduhira8480 7 жыл бұрын
Uyo mchama m namfatilia Mbona lakin atabak kuwa underground tu
@nickminja704
@nickminja704 7 жыл бұрын
noma sana wakaz aminia
@jamalemayao5061
@jamalemayao5061 7 жыл бұрын
freestyle wa kuzifreestyle nyimbo zake ....ameboa
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 7 жыл бұрын
big up Wakazi
@jacksonjoseph7031
@jacksonjoseph7031 7 жыл бұрын
wakazi kafanya poa..anajua kuflow na atoki kwenye beat..sema freestyle bado ajazpatia style nzuri znaonekana local,,all in all hidary scoda bado anashka moja kwangu
@makolepromotiontalentsagen6367
@makolepromotiontalentsagen6367 7 жыл бұрын
ajui kabisa kabisa
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 жыл бұрын
Wa kwanza kukomenti hapa....Planet Bongo mmetisha
@geophreyjoseph8737
@geophreyjoseph8737 7 жыл бұрын
umetisha wakaz swagga bovu
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 7 жыл бұрын
dah wakazi fire
@josephsamwel9698
@josephsamwel9698 7 жыл бұрын
AISEEEE NILIJIUA TU MTOTO WA MARA WAHAWEZI NIANGUSHA @WAKAZISWAGABOVU UMEKILLLLLLLLLLLL
@sebashl8386
@sebashl8386 7 жыл бұрын
Noma sana wakazi flow zako safi Sana zimetulia Sanaaaah big up!!!!
@saidriphat3491
@saidriphat3491 7 жыл бұрын
Bado Sementally hajapata mwenzie,
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 жыл бұрын
Said Riphat hidary scoda ndio namba moja ndugu.. mentaly anafuata
@richardduwe
@richardduwe 7 жыл бұрын
wakazi is a goat .. monster he deserve to be crown kinging ....zilla ajipange term hii jamaa anajua japo unyamwz mwng sana
@kaJEMBEvip
@kaJEMBEvip 7 жыл бұрын
beat zenyewe izoo
@felixkilave9171
@felixkilave9171 7 жыл бұрын
kiukweli wakazi umedhihirisha ukweli wako kua Uko vzr Aseh wajipange wale wenye umarekani mwingi
@omarywanjara8591
@omarywanjara8591 7 жыл бұрын
yuko vizuli wakazi mdondoshe nyandu tozy na stereo
@martinegeofrey3666
@martinegeofrey3666 7 жыл бұрын
Stamina bring in our stamina
@justinekasigu5979
@justinekasigu5979 7 жыл бұрын
niceeee
@jaystar1004
@jaystar1004 7 жыл бұрын
JR badilisha t_shirt😂😂😂😂
@vincentmasalu8922
@vincentmasalu8922 7 жыл бұрын
bilingual beast..
@victormoses7717
@victormoses7717 7 жыл бұрын
wakaziiii swaggaaa bovuuuuu.........
@dankirunda5695
@dankirunda5695 7 жыл бұрын
Oyooooo wakazi Swagga bovu umeumiza sana
@jameschanja8304
@jameschanja8304 7 жыл бұрын
nzuri umefanya sema watu wanalazimisha freestyle hiyo kitu niyawatu wachache kama idaly scoder
@mvungigaming
@mvungigaming 7 жыл бұрын
Upon sahii 100%%%
@frankdegang8245
@frankdegang8245 7 жыл бұрын
Arthur Oyaro kweli kabsa
@harunahussein6717
@harunahussein6717 7 жыл бұрын
Hiyo kitu mwachie mbishi pekee we badoooooo mzee baba
@kennedyjames9786
@kennedyjames9786 7 жыл бұрын
haruna sulley Nikki mbishi alishakuja mbona na akavurunda tu..
@harunahussein6717
@harunahussein6717 7 жыл бұрын
Kennedy James Hahaha Dr unju yule unstoppable freestyle hakuvurunda sema hukumuelewa
@harunahussein6717
@harunahussein6717 7 жыл бұрын
Dickens Mo-pain haitotokea nipate nafasi..
@mbishitrump5621
@mbishitrump5621 7 жыл бұрын
Noma sana mzee baba... WAKAZI unajua naona ulivompoteza bwana GODZILLA
@mwikaabas2763
@mwikaabas2763 7 жыл бұрын
Big up Wakazi safi sana
@bakarizema7910
@bakarizema7910 7 жыл бұрын
Wakazi is the Billingual Master
@kibwamoko2207
@kibwamoko2207 7 жыл бұрын
haikuwa mbaya sana,,,,,, Namfahamu wakazi katikta best emcee na sio kufreestyle
@promramson80
@promramson80 7 жыл бұрын
tamaduni aliyeniangusha ni songa tu
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 жыл бұрын
hyo ishu ya freestyle mwachieni scoda
@sheilayusuph2165
@sheilayusuph2165 7 жыл бұрын
hamna kitu
@patricktravis6575
@patricktravis6575 7 жыл бұрын
kazinguaa hata kwenye top 10 ximuekii
@rashidngombe629
@rashidngombe629 7 жыл бұрын
waletwee OMG..
@pharergyramson5918
@pharergyramson5918 7 жыл бұрын
Wakazi kwenye freestyle kazingua bora alivyorap kawaida...!!!
@joohcloudy738
@joohcloudy738 7 жыл бұрын
uhitaji kuwepo kwenye jiwe la wiki #clouds habari yenu
@bakarizema7910
@bakarizema7910 7 жыл бұрын
Billingual beast
@shabanijoseph682
@shabanijoseph682 7 жыл бұрын
tuleteeeni staminaaaa pleeeaaassss
@alwatanafrikan5910
@alwatanafrikan5910 7 жыл бұрын
Sema stopa the rhymecca ntakuona mjanja!!!
@stevenkaria6
@stevenkaria6 7 жыл бұрын
idary scoda, selementary bado wanaongoza hawajapata wakuwashinda
@alwatanafrikan5910
@alwatanafrikan5910 7 жыл бұрын
Hujui unamuweka wapi CLIMAX BIBO kama hao unawaona bora
@chiddymozart7383
@chiddymozart7383 7 жыл бұрын
mshkaji bif ndio anajua lakini freestyle hana kitu..
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 7 жыл бұрын
CHIDDY MOZART hahahaha yeah ni kweli bifu analojua hile mbaya hila kurap aah anatumia kuvu ile mbaya
@naikenivoxmboya8970
@naikenivoxmboya8970 7 жыл бұрын
big up wakaz......umeumizaaa
@willeymakwea5509
@willeymakwea5509 7 жыл бұрын
Heshima Wakazi kaz nzr walevi wa Hip Hop tupo tilalila
@richardbarnaba3976
@richardbarnaba3976 7 жыл бұрын
😁😁😁😁Chuma Iko thanks DULLAH
@mahamedriffa1062
@mahamedriffa1062 7 жыл бұрын
mjukuu niukweli KABISA haiku Kosea kumdondosha wakazi... amezi tendea haki dakika 13. big up WAKAZI SWAG BOVU.... mdondosheni ZAIID KIMBAU mbau.... AU pthe mc
@charlesnghwaya1619
@charlesnghwaya1619 7 жыл бұрын
kunajamaaa anaitwa Nchama the best jarbuni Muone Ndula Fanya hi
@jacobmpipi8956
@jacobmpipi8956 4 жыл бұрын
Arudi tena WAKAZI 💥kwenye Maangamizi.
@tmarleypaul9052
@tmarleypaul9052 6 жыл бұрын
good try keep it up
@frankdegang8245
@frankdegang8245 7 жыл бұрын
kufreestyle huwez.. waachie wachache ka zillah...scoda anakufunika tena mbaliii ..
@mosesabwao2673
@mosesabwao2673 7 жыл бұрын
is this guy from 254? swagger english
@harunahussein6717
@harunahussein6717 7 жыл бұрын
Ushatafuta kukuza jina umeweza kidogo..... Lakini freestyle yako bana dah nyepeeeeeeeeeeesi mwanangu..... Zillah next week adhihirishe ubora wake
@engmusarmweta5913
@engmusarmweta5913 7 жыл бұрын
wakazi swaga bovu umeua
@cosimasidonasiane309
@cosimasidonasiane309 7 жыл бұрын
Wakaz nakubali
@goodlucklyatonga2175
@goodlucklyatonga2175 7 жыл бұрын
wakaz unatisha ila mtuletee mtaram #stamina minamkubal
@makolepromotiontalentsagen6367
@makolepromotiontalentsagen6367 7 жыл бұрын
acha uhashimu Dogo na umangwea unacho floor akieleweki kabisa
@jacobmpipi8956
@jacobmpipi8956 4 жыл бұрын
💥🔥🔥🔥
@isaiahdavid4597
@isaiahdavid4597 Жыл бұрын
Bongo hiphop
@duplexgraphics265
@duplexgraphics265 7 жыл бұрын
hahahahaha nomA sana HIP HOP juu
@danielwerema23
@danielwerema23 7 жыл бұрын
zilinass lala utilize stress huyu ndo swaga bovu
@jamalowino710
@jamalowino710 7 жыл бұрын
Like i said earlier when Wakazi went to Times Fm with Zilla head to head...Wakazi did Works(Kazi) on Zilla's Ass!!! All the way from The 254 second largest city Mombasa showing love to REAL MC's (Drug Free) lyrical Bruce Lee...Maaaaaadddd!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@yonasumbi7567
@yonasumbi7567 7 жыл бұрын
Wakazi namuelewa sana he is real mc
@jacksonmpuya9470
@jacksonmpuya9470 6 жыл бұрын
jackson mpuya
@jamalemayao5061
@jamalemayao5061 7 жыл бұрын
hakuna kitu
@20lutebeatz
@20lutebeatz 7 жыл бұрын
wakaz freestyle ni zawad ambayo wamepewa wachache kama king zilla yan ukifreestyle radha inapotea kabisa
@frankdegang8245
@frankdegang8245 7 жыл бұрын
LUTE BEATZ umeonaaaa eeeh.. gud
@MalagilaHydon
@MalagilaHydon 7 жыл бұрын
ni kweli ila jamaa anajua kuandika kuliko kufreestyle hata zilla siku hizi yuko kawaida so nawaona hawana tofauti kihivyo bro maana as far as i know freestyle ni practice nyingi uweze kuwa na benki ya maneno mengi kichwani labda kwa freestyle uniambie jamaa Hidary, Nikki Mbishi, selementally kwa hawa ambao wamewahi kuja kwenye dakika 10 za maangamizi ila freestyle ya ZIlla ni kawaida sana bob!!
@nickminja704
@nickminja704 7 жыл бұрын
aseee
@ommysaid4933
@ommysaid4933 7 жыл бұрын
msifananishe zilla na uyo mzungu mweusi..hata nchi jirani kenya ajulikani.
@mailerajabu8744
@mailerajabu8744 7 жыл бұрын
fala tu wewe wakazi""eti unadis jiwe la wiki (xxl)...skiliz a nkupange""adi utoboe ni kule mzee...waulize wenzako""..
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 7 жыл бұрын
duh mshkj ana majasho hile mbamba mi ata si mwelewi anacho kichana
@festontandu1747
@festontandu1747 7 жыл бұрын
James chanja umeongea ukweli
@clevarshubackmashinga2252
@clevarshubackmashinga2252 7 жыл бұрын
next time tuleteen darassa
@doctor_fazi
@doctor_fazi 7 жыл бұрын
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI WAKAZI KATISHA SANA MKUMBUKE NI DAKIKA 13 HIZO HAYA MLETENI STEREO SINGA SINGA
@zabronmpuugi5310
@zabronmpuugi5310 7 жыл бұрын
mapepe hujakomaa ukituliza utaperfom vzr
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 7 жыл бұрын
official zabronTz hahahaha mapepe cy
@nickminja704
@nickminja704 7 жыл бұрын
mleten joomakn
@doctor_fazi
@doctor_fazi 7 жыл бұрын
joh alishafanyaga mbona ilikua kawaida
@jumaenglish8693
@jumaenglish8693 7 жыл бұрын
Elifazi mtwale joh ajafanya mzee fatilia vizuri.. toka mwanzo
@alwatanafrikan5910
@alwatanafrikan5910 7 жыл бұрын
Yaan nyie hamjui chochote mara selementary, hidary nk, wakati kuna kichwa kama CLIMAX BIBO kilitisha mpaka hakuna anayemfkia kwa kila kitu kwa hao wasanii wenu!!
@andrewmanimo1566
@andrewmanimo1566 7 жыл бұрын
nothing wakazi. freestlylt selementary, kingzilla, scoda Just wait bro stamina
@khalifamkali4286
@khalifamkali4286 7 жыл бұрын
KUMBE NINI SASA... WAKAZI NI KAZI
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 765 М.
Dakika 10 za Maangamizi   Toxic
10:58
Toxic
Рет қаралды 32 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Inside the V3 Nazi Super Gun
19:52
Blue Paw Print
Рет қаралды 2,3 МЛН
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 10 МЛН
KINASA WAZI NA MASKANI 10 MBEYA
30:00
Kitaa Na Sanaa
Рет қаралды 3,2 М.
TUTIKUHAKWO MACURU RINGI !!! | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
37:55
"UDA IS  DEAD 2027 UTAANGUKA!" MT Kenya leaders send bad news to Ruto!🔥
11:46
Machiavelli's Dark but HONEST Advice to GOOD People: The Art of POWER
14:57
SUPAHOTFIRE VS WIZ KHALIFA
14:11
THECAREEROFSUPAHOTFIRE
Рет қаралды 3,4 МЛН
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI : BOSHOO
12:13
EastAfricaRadio
Рет қаралды 515 М.