Dizasta Ni GOAT Kama Upo Hapa 2024 Ww Ni Mbuzi Pia
@mwakiboy9689 ай бұрын
2024 April
@anuaryfernandez72309 ай бұрын
@@mwakiboy968Mbuzi 💪🏿
@WealthWise8g8 ай бұрын
😂😂💪💪
@KCc-zt3oj2 ай бұрын
Dizasta ni Dizasta sio GoT
@anuaryfernandez72302 ай бұрын
@@KCc-zt3oj GOT Ndio Nn We Matako
@bennyframa4505 Жыл бұрын
Na hii ndio siku dunia ilipomtambua dizasta vina..historia ilandikwa hapa. Nakumbuka nilikuwa udsm kipindi hiko mwaka wa 3. Mixer na zile skendo za gwajima kuvuja video zake za uchi basi dizasta na hii session yake ika trend sanA. Na leo ni 2023 nimerudi hapa tena kusikiliza. Wote wanosikiliza hii session kwa mwaka huu 2023 acha like hapa tujuane.
@abelbehumble255 Жыл бұрын
Unyama
@Asiejulikanatz Жыл бұрын
Oooi oooi oooi
@kissimbasaid4779 Жыл бұрын
Uhakika
@benjangonelo4424 Жыл бұрын
Kbs
@officialmanji4438 Жыл бұрын
Uhakika
@MosesMpesa6 ай бұрын
Huyu mwamba nilimtambua kitambo nimerudi tena leo 2024 gonga like kwa wote 2024.🎉
@barakaisaya60592 жыл бұрын
4 yrs now, who came for this legend? Twende pamoja, he deserve the respects.🙌🙌. Man you are the Legend.
@nwntz6 жыл бұрын
watangazaji wote wanafki ndio maana hata hip hop a bongo haifiki mbali kwa sababu nyimbo kamka hiz "kanisa" hawazijui ila huku kitaa ndio misosi yetu..respect
@sharpaliofficial74556 жыл бұрын
Nwn Kiranja Mkuu kweli kabisa
@pascalmasumbuko37876 жыл бұрын
kweli kabisa
@skm11435 жыл бұрын
Nwn Kiranja Mkuu we eat it and we swallow hard
@chrissmotela91073 жыл бұрын
sanaa broo watangazajii wengii n wakudaa tu
@geoffreycharles152 жыл бұрын
Sasa watangazaji wanaingiajeee apooo Mkulaaa??
@justinvalyanje392211 ай бұрын
2024 tuanze kuzidish love kwa @dizastavina
@kijikangaresort1776 жыл бұрын
Hii ni bleed huwezi ficha kwa kufuri... we jamaaa next level.. gonga like kumtia moyo huyu Common wa Bongo 😎
@rubberbandman12135 жыл бұрын
Daaah jamaa kweli common wa bongo
@gratiouskimberly29495 жыл бұрын
Breed
@gratiouskimberly29495 жыл бұрын
Sio bleed
@ibrahimdeus18705 жыл бұрын
kijikanga resort Hakika dizasta Vina unaweza
@frankunatishakonde73745 жыл бұрын
Huyu mc anatisha habahatixh
@asjoh53906 жыл бұрын
Jamaa unaflow nzuri sana ya kumfanya mtu asiboeke kukusikiliza, flow yenye matamshi yanayosikika vizuri.....Dizastavina unafaa kuwa mainstream by now”!!!
@daudikiboko692 жыл бұрын
true aisee.leo ndio naona hii video imenistua sana
@geffects1141 Жыл бұрын
Attention every body, Am here to declare that Dizasta is the real meaning of Vina . Thank you.❤
@dannyeliya90104 жыл бұрын
huyu jamaa fundi asee kama una mkubali huyu jamaaa gonga like hapa👇👇
@stevedaniel7826Ай бұрын
Kasha leta matatizo huyo bwana 2024 ni untouchable
@mastaplan6 ай бұрын
2024 @Dizastavina hii ndio dakika 10 Za maangamizi Bora Za muda wote.
@jacksonwagalah4 ай бұрын
tunaorudia mwez wa 9 2024..gonga like hapaa
@tumainzacharia9176 жыл бұрын
Hii imeingia kwenye one among the biggest dakika 10 za maangamizi kutoka kwa Profesa tungo mwenyewe Dizasta vina akiwakilisha PANORAMA genge la wajenzi wa flows aka PanoRhymes ni nomaaaaaahh!! oiiiiiiiiiiiiiiiii
@farijidee23866 жыл бұрын
Tumain Zacharia nakubal
@kingrozay16776 жыл бұрын
HIPHOP is school of thought and dizasta just proved that
@davidkojo95254 жыл бұрын
Listening to this for like the 8th time. Can't get enough. This talent.
@mtasma19946 жыл бұрын
Daaaah kumbe Tanzania kuna wachanaji conscious wa Kenya mmeona....like for this
@SammyMabawasi3 ай бұрын
Mm mkenya ila namkubali sana vina,nko na album yake ya jesusta na verteller...mwamba anatisha sana
@NobetZakaria5 ай бұрын
Na hii ni habari kwa taifa zima mabibi na mabwana, anaitwa vina🤲✌️
@lezamnukwa56526 жыл бұрын
kwenye mistari ya jamaa unakuta kuna physics geography n.k hii style anafanya dizasta na one incredible tu. nice rap mzazi
@nassoromaduhira84806 жыл бұрын
Noma
@Joekwid9606 жыл бұрын
Umeona Mwana Huyu jamaa Kama One Kafanya Vyema
@jafetlaizer91915 жыл бұрын
hawa ndo wakali wao
@rubberbandman12135 жыл бұрын
Kwa mtoni kuna jamaa anaitwa papoose
@chrissjoel77524 жыл бұрын
Na Nacha pia
@arthurmndolwa14442 жыл бұрын
Vina dizasta ni noma sana... bigup brother... nimekumanya sanaaaaaaa.... ukweli mtupu na hakuna wakupinga... mpangilio madhubuti kabisa wa mashairi... unaacha tunatafakari ujumbe kabambe... Mungu akutangulie brother... fungua macho ya watanzania kwa kupitia kipaji chako. Umenifurahisha sana. Now this is very rare. This is talent... Big up!!!
@alexmadafali48726 жыл бұрын
Since day one hujawahi niangusha nakufahamu kwenye mic huwa hunaga Utani aiseee Mbeya boy Dizasta vina moja kati ya Rapper ambao wanaweza kukaa kwenye beat yeyote,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,PanoRhymes forever
@media-rs6lo6 жыл бұрын
Kumbe dizasta anatokea MBEYA nilikua sijui
@alexmadafali48726 жыл бұрын
Yeap
@yonamkisi96836 жыл бұрын
niaje madafar ulikua hujui kama dizasta ni mtu wa mbeya
@droneafrica6 жыл бұрын
Baada ya one the Incredible leo nmempata Genius wa pili tz
@jayfarsaga49357 ай бұрын
Nakubali sana
@REVOLUTIONARYLYRICS6 ай бұрын
"Kitacho nionyesha bingu ni bidii ya kutenda mema, so sitaki kujua dini ipi ni sahihi.."💯🔥
@saidhassan5704 жыл бұрын
11 September 2020. Still listening to the best hip hop technician. This ain't man its Allien trust me. Live long Dizasta
@abbas.salim.abbasbarbz-54474 жыл бұрын
Dizasta vina is awesomely and tremendously doing data orientation full of awesome and positive information Creativity is intelligence and his role in this society is filled with inspirational Innovation Thumbs up This is real Hiphop What a Wrap !!!
@SPM_Mukong6 жыл бұрын
now this is the man i was praying you call in. He is a MONSTER!
@loyalcitizenofzamunda78945 жыл бұрын
I'm sayin' TZ, y'all are representing East Afrika hard man. Got the most substantive, dopest bars on the continent. And that Swahili, metaphors and word play is on another level KABISAA! One love from the diaspora from this brother from the 256! EA stand up!
@hemedihamisi71706 жыл бұрын
hongera man,, unaandika Sana kwa anaye elewa real hip hop atakuwa amenielewa,,,,we ni tofauti Sana na mistari mipasho ya kina boshoo
@mahrizainobaranchas75896 жыл бұрын
Afu mwamba yuko serious kinyama,. Umetisha sana mwana ukome as Swahili wanaitaga
@mokiwa-v4g5 ай бұрын
One of the best rapper sichoki kumsikiliza ukizukunzia hip hop bila kumtaja dizasta basi hujasikiliza vizuli mziki wa hip hop!!!
@tumainibihemo77556 жыл бұрын
Mkali sana!! Mistari mitam kama vile nakitupa cha kwanza, Hawa ndo mfano wa Ma Mc wa Bongo ambao wanaweza fanya nisahau Kuwaskiliza watu kama Kina Common, Krs 1, Nasco Damas au The the roots, Big up Mi shabikiako tayari, Hata kama Kopi ya Album yako utauza raki 1 nitanunua.
5 years down and guess what! Dizasta is a man of this game🙌
@alimkumba94592 жыл бұрын
miaka 1000 hakuna atakae vunja hii people talent ya hali ya juu respect planet bongo jamaa afanye nyingine please we miss dizastar vina
@nickherman46 жыл бұрын
Dizasta Professor tungo Ametisha Mie nikimpendekeza mtu jua hiyo mtu ni noma kinoma Mlete stereo au Dubo Jesus
@charliedickson10894 жыл бұрын
Ww ni mkagulu
@ujenzitanzania12744 жыл бұрын
Dubo hawezi tembea km hv
@wazi771910 ай бұрын
Oyaa wakuu nimerudi tena kula madini ya Bro Dizasta vina... Hiki kichwa ni wakina baba levo mia😂 Respect Bro
@peterngassalah64546 жыл бұрын
Ebwanaee nifanye mpango hii niiplay kanisan maana nimaubili tosha nikitoa kudadeki mazee dzastar on🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ndituzyamwashitete80876 жыл бұрын
professor tungo,, kubali sana bro,,ncku niliyo kuwa naisubir kwa ham sana.
@abuumanyati41856 жыл бұрын
Very conscious,huyu jamaa kwa uandishi wake na iyo flow, akizidisha hapo ataleta matatizo makubwa nchini bora abaki hapohapo!
@paulebby15525 жыл бұрын
Kabisa
@fanleck29225 жыл бұрын
Ahahahahah...dah
@rockyvlogs22144 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣
@jozefuedmund21264 жыл бұрын
Very true unaona nachokiona pitia nyimbo zake nimeweka comments
@ayoubluizpizzaro87356 ай бұрын
😂😂🙌😢
@ziggibro6 жыл бұрын
Kama unakubali haijawahi kutokea!! Gusa Like
@audaxminde53143 жыл бұрын
Link
@audaxminde53143 жыл бұрын
Oslo I'll
@davidkojo95254 жыл бұрын
Man, TZ is full of talent. Dizasta you good man. So much respect. Enyewe wewe ni tofali la kuchomwa
@charlestsumamwambui2838 Жыл бұрын
Dizasta me namfananisha na wakadimali huku Kenya, media hazichezi ngoma zao lakini bado mashabiki wanawakubali
@jobkwadinasi4933 жыл бұрын
This guy raps in very nice , inspiration and unique style
@abdillahimahamed18146 жыл бұрын
Maaan...nimekutambua leo...na nimekuheshimu. ..kutoka marekani ujue kuanzia leo...am a fan...you killing it...bro....keep up..hip hop for real..I'll start looking and following you bruh....MZUKA..ndio huu man.
@abdullahamadmwinyi82336 жыл бұрын
Big up vina umetetendea haki 10 zko ukiongeza bidii utafika mbali sana sana
@alkaullahmediaTz2 жыл бұрын
planet bongo, frida aman alkuwa analeta vibe sana. anaskiliza kwa makin
@chrisostomehaule21526 жыл бұрын
``na hii ni breed mwana hawezifichwa na kufuli`` Tisha sana brother
@kingrasdee4455 жыл бұрын
Aisee jamaa anaweza san huy mbon , hakka n mistari yenye mantic sio kelele, big up 2u Dzasta boy U'a talented 4sure.
@alexmwakasape34522 жыл бұрын
Yan nmeona nirudie kusklza iz dk 12 za Disaster af na zle za Rapcha...adi nashangaa yule dg kajiamin nn kubattle against Disaster🤣🤣...mbna ni watu wawil weny ubongo tofaut sana...yule dg anaimba mipasho sana aisee hamn hip hop kichwani🙌
@alkaullahmediaTz2 жыл бұрын
leo January 2023, nimetazama tena. dizasta vina
@jibrilsheikh99492 жыл бұрын
This guy is dope... Jamaa yuwatema 🔥🔥🔥🔥. One love from Kenya +2547
@baloziubalozini50746 жыл бұрын
"Single sentence ninaye analyse full CHAPTER"!!.,Kibaha mile moja me ni 8 miles EMINEM". Midondoko on point,you are the Lyricist lyrics mzee Baba,mpk fifi anang'ata vidole that means #UMEMCHUKUA mbali sana kifikra 7:57-8:30's..
@victorcampbell26596 жыл бұрын
first time to see 10 min. to be 10 sec. yuko sawa fid akawa sajna
@michaeluisso62872 жыл бұрын
Nakukubalii brother skupingi hata kidogo
@maxwellwige10716 жыл бұрын
Tukiwaka tunaweza kumgeuza fid kuwa sagna......🔥🔥🔥🔥🔥
@timothmwakakusyu45636 жыл бұрын
Maxwell Wige hapo hatari sana jamaa anajua balaa
@maxwellwige10716 жыл бұрын
Nomaaa....🔥🔥🔥🔥
@balikiabdala823 Жыл бұрын
Oya jama anajua sana
@emmanuelzao5 жыл бұрын
The girl in a background makes some cool vibes
@Itsdodwell3 жыл бұрын
Huyu jamaaa ni moto nasemaa firee💯💯huyu infaa wafanye kolabo yaani hit moja safy wakiwa na James moto💯✔️✌️
@nsajigwamwakolo60076 жыл бұрын
Prof #Tungo acha awafundishe... 👏💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
@nonstopafrica6 жыл бұрын
Ata ukitaga yai uwez ryms juu ya hapa dizasta vina ni incredible group usimuweke na watoto wasio jua anachoma zaid ya jua
@daniikirunda40106 жыл бұрын
Hatarii sana profesa tungo....nakuelewa kitambo toka STAKI GAME
@davidqauki50884 жыл бұрын
Kak mzaz daaa!!! Unajua aisee, nyie ndomarapa hawa wengine niu2mbo2 one love brother";
@herbethlukogela7657 Жыл бұрын
Nobody can rap above this
@wachugypsumtz20615 жыл бұрын
Verry Conscious aisee..Thats Hip hop...Unajua bro muda utaongea
@mapheneino6 жыл бұрын
Kuanzia leo ww ni DIZASTA KIMA.. Yaan Nyani mzeeeeee
@AluwatanKingjaja2 ай бұрын
Naisikiliza tena hii October 2024, haichoshi hii... dizasta ni wamoto kushinda hata jua au moto wenyewe
@johnsonmarick454 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana kwa makanisa na waumini, #Dizasta vina mc mahiri.
@mathiasjackson70 Жыл бұрын
Big up Dizasta! The Lady at the back seems to understand and enjoy the Vinas more that all of us. 🤣
@AdamSadick-ik5jg5 ай бұрын
Tunaoicheki mwezi wa saba nane tujuane 2024👍👍
@jamalibakari36838 ай бұрын
Tulio rudia 2024 like hapa
@denisyohana27388 ай бұрын
🔥
@giftmagesa5153 ай бұрын
Best wangu wa muda wote dizasta vinna ✅
@philipo79296 жыл бұрын
Mamae🙌🙌🙌🙌 we ni moto wa kuotea mbali
@elishaworkout6116 Жыл бұрын
Keshooo 2024 na bado niko na ww dizasta vina, this is real dope master much respect brother❤❤❤
@movahussein15326 жыл бұрын
Gonga like nyingi km unamkubali dizastA
@eckiller6 жыл бұрын
#DIZASTAVINA We ndo king of dakika 10 za maangamizi Wengne watasubil. Respect bro #KINISA
@gideonaire_ke6 жыл бұрын
Kazi nzuri Dizasta. Big up 🇰🇪
@Peterwiz_254 Жыл бұрын
Dizasta vina, Bosongo Artist approved this 👌 5 yrs down the line bado tunaisikiza
@lamarabdurahman27676 жыл бұрын
Washkaji kama hawa ndo wananifanya niamin Mziki wa hip hop Unaweza kuishi hadi wajukuu wakaukuta_ Acha kina madee waendelee na Mziki wao
@ibrahimkanuto35146 жыл бұрын
kendrick Lamar jembe hili
@godfreybenedicto35775 жыл бұрын
"Hizi dk kumi za Maangamizi za huyu Ndgu yangu ##usipozielewa kuna matatzo kwenye Ubongo wako (Brain Yako). Jah Thanks kwa kuzaliwa Tanzania 🌍🇹🇿🇹🇿. "
@josephgermanus99942 жыл бұрын
Myfavorite rapper of all time...
@husseinidd57516 жыл бұрын
Mistari CONCIOUS ...Salute Kwako
@timothmwakakusyu45636 жыл бұрын
Distaz umetisha sana kikubwa tu Mungu akubariki falsafa zako no zaid ya mchungaji you are real n best MC
@kalungokhalfan916 жыл бұрын
Always Tamaduni music is a real Hip Hop Respect Dizasta 👊
@ARUSHA_NAILS5 жыл бұрын
*30/4/2019 bado .namsikiliza **#dizastavina** nani mwingine.?*
@emmanuelchipindi54504 жыл бұрын
Kanisa
@ellymtima36734 жыл бұрын
me evryday
@hansmtalikwa97456 жыл бұрын
Kwa mwaka 2018 huyu ndo kaangamiza vyema dakika kumi za maangamizi n nooooooooma sana # dizasta
@denisevarest86753 жыл бұрын
Jamaaa katawala simu yangu kwanyimbo zamaana big up snaaa.... chuganian mojaaaa
@last.marley7 ай бұрын
kama uko apa 2024 gonga like apa
@alikassanga21186 жыл бұрын
duuu kwa kweli nilikuwa sikujui ila nimesikia kipande kidogo cha ngoma yako kakipost one incredible kwa insta kikanishawishi nisiisikie hio ngoma ikaja hii dakika kumi ya maangangamizi ukanishawishi niwe shabiki yako duuu we mshikaji una mistari mikali sana yani ur real hip hop nakupa salute
@jacksonwagalah8 ай бұрын
wa 2024 tujuanee jaman Gonga likee hapoo
@lukesindiya21645 жыл бұрын
dizasta ni zaidi ya star salute kwako mwamba
@michaelhenry52592 ай бұрын
mtakaoiona hii video 2050 mlike hii comment, me nimeangalia 2024
@jafectlaizer37206 жыл бұрын
ujamaa nomaa bosho jipange tena mahana uyu jamaa nikweree daah
@omaryahmed71006 жыл бұрын
Daahh huo mdundo wa pili cjui n wa ngoma gan aceee......