ALI KAMWE AMLIPA AHMED ALLY, TAZAMA VICHEKO BAADA YA KUMCHANA HADHARANI/ AHIMIZA MASHABIKI KUUNGANA

  Рет қаралды 4,378

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII
👉 pmbet.co.tz/en...
USISAHAU KU-SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU.
INSTAGRAM @pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv
TOVUTI: www.pmtv.co.tz

Пікірлер: 9
@seifntandala9137
@seifntandala9137 Сағат бұрын
Ali kamwe wewe ni msemaji sio mbahatishaji hongera sana dogo
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 сағат бұрын
Wahache hizo kauli mapema tena mapema mimi ni mshabiki wa yanga lakini ikifika wakati wamechi Nina isapoti stars pamoja drc uyanga na simba tuweke mbali tukifika eneo hilo asante
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 2 сағат бұрын
Amhed Ally hufai kuwa mzungumzaji wa Timu kubwa kama Simba unaanza kupyaya...yanga anaukubwa gani kuliko Simba unashindwa kumjibu kwa hoja..yakwamba Ukubwa na ubora timu CAF wameonyesha kwenye rank...Ahmed Ally..hufai..Hajui Simba ndio timu ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966...ukubwa wa timu sio muda wa kuanzaisha kwasababu hata pamba na coastal union zilianzishwa kabka ya mamelody SUNDOWN,Azam Belazdad n.k ila ni timy ndogo ndogo sana
@mariahshechambo4034
@mariahshechambo4034 2 сағат бұрын
Senge hili
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 2 сағат бұрын
Simba na Yanga nani amechukua ubingwa zaidi ya mwenzake? Timu gani ilianzishwa mapema zaidi ya nyingine? Yanga na Simba nani kamfunga zaidi mwenzake? Nani amemfunga mwenzake magoli mengi zaidi ya mwingine?
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 сағат бұрын
Nikweli ally unalolisema kbs mimi nimkongomany nipo hapa ujerumany nakufuata vzuri sana
@ndahanisimon6817
@ndahanisimon6817 Сағат бұрын
😂😂😂
@PhilipoDanielLaiza
@PhilipoDanielLaiza 2 сағат бұрын
lakini wambie wachesaji wapambane saidi kuliko uwoga na puresha
@RamadhaniOmary-s7n
@RamadhaniOmary-s7n 2 сағат бұрын
Sawa
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 55 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
KUMEKUCHA TAZAMA  KIKAO CHA YANGA KUIFUNGA SIMBA TAREHE 19 HAWATOKI
8:42
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 55 МЛН