Uyo Mrembo Anaeleweka sana, Ni bonge la Mrembo Msomi. Anamatamshi mazuri ya kuvutia, katika lugha Zote mbili! Kwa Kiswahili na kingereza, Sauti yako ni tamu kwenye mtandao wa Tigo, Huwa natamani nipigage simu mda wote niskilizage Sauti yako nzuri. ok Mungu Akuinue zaidi ya hapo.
@davidoscooper2373 ай бұрын
Njoo mtaan kwetu umuonekabisa ikiwezekan upge nae story Hana majigamboo
@AnnaMoshi-wm4kg3 ай бұрын
Nimekupenda bure wewe dada you are so talented acha upewe maua yako🎉🎉🎉
@TausiHasheem3 ай бұрын
❤ God first....Dada anamtanguliza Mungu Sana ndio maana anakutangulia❤❤
@msigwa13 ай бұрын
Dada Yuko smart , confidence %100 well explanation, anaadabu zote anaonekana mcha Mungu....🔥🔥❤️👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@denisyohana81043 ай бұрын
afu ni mrembo
@AzizNgitu-wk3ey3 ай бұрын
Weee
@ronaldchambasi74933 ай бұрын
Hakika ..umeona kama mimi 💪🏾
@msigwa13 ай бұрын
@@denisyohana8104 😀😀🤣🤣 kabisaaaa jicho lako linaona vizuriiii
@msigwa13 ай бұрын
@@ronaldchambasi7493 kabisaa
@jovinmutakumwa96113 ай бұрын
Haya maojiano angeyafanya kama kikeke hivi au Millard mwenyewe ingekuwa poa sana. Sema mpaka hapo kajitaidi sana big respect ✊
@angellomarcel56773 ай бұрын
Unafaa kuwa Mtangazaji huko Mbele..nimependa una Hofu ya Mungu na Mungu akubariki sana..Mdogo wangu...Nadhani Tigo wanapaswa kukulipa zaidi
@mmassfashiondodomatz3 ай бұрын
Umejuwaje kati ya ww na yeye nani mkubwa
@JumaMigezo3 ай бұрын
Kwaiy na wew ukimpigia mtu sim akiwa hapatikan unajisikia sauti yako 😂😂
@theresiamanyanda11253 ай бұрын
Interview irudiwe i know the sister mrembo usiye ringa your very talented naona kuna kitu kikubwa waweza kufanya...hata kurudi kwenye Ndege huko...!Be blessed more🎉🎉🎉❤
@kajimadaud71633 ай бұрын
Communication Skills to the highest level. Hongera Dada
Hapa ndo ulimwengu tujue kuwa Mungu umpa atakaye na uamua Kwa nyakati zake mtu awe
@MagrethMallya-we8ui3 ай бұрын
Mimi namshukuru Mungu kwa ajili yako, huna majivuno, kiswahili kimenyooka, hongera.
@jadetoto3 ай бұрын
Acha hizo kwani mtu mtu akiongea kingereza ndo dharau bwana kama hujui kingee nyamaza
@marychizi33533 ай бұрын
Ahsante saana ❤
@gaagwasaugustino25843 ай бұрын
Hongera Sana Mary,kazi nzuri Sana Mungu azidi kukubariki kwa kipaji chako na vingine.
@marychizi33533 ай бұрын
Ahsante saana
@MlangomaAdo3 ай бұрын
@@marychizi3353hongera sana
@kamugishaevodius89433 ай бұрын
Hongera sana dada Mwenyezi Mungu, amekukilimia hicho kipawa. Mungu akupiganie
@SalimKiembaemba3 ай бұрын
Waliojaribu kupiga tena namba za tigo ambazo hazipatikani ili kuskia tena hii sauti like humu.
@calistanyimbo52253 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mrp_manguluwe3 ай бұрын
😂😂😂😂
@marikwilliam98863 ай бұрын
Very sensive ❤to here to listen i like in totally 🎉🎉keep it up
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you 😊
@mapendoglory163 ай бұрын
Yes!!!! We need people like you, who think globally but act locally. You have not allowed modernity to model with you.❤❤❤❤
@marychizi33533 ай бұрын
Amen ahsante saana 🙏🙏
@FaustiniKalyembe3 ай бұрын
@@marychizi3353umeolewa???
@MarynessRugaimukamu-u7sАй бұрын
Hongera wajina huyo dada anajianini kwa anachkifanya anatufundisha tujiamini kwa vipaji vyetu❤🎉
@jaytv50793 ай бұрын
Her English slang is fantastic.. it sound like AI 😊
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you very much
@MarynessRugaimukamu-u7sАй бұрын
Asante sana unampenda Mungu ndo maana unapata ushindi victory
@darajalakidatukilomgi23623 ай бұрын
Hizi ndio interview za kuangalia na kujifunza sio kutiletea mahojiano ya nani bwana yake nani, Watanzania tubadilike tutumie mitandao kwa kujifunza mambo mazuri Kama haya kutoka kwa Watanzania wenzetu
@jacksonjack30763 ай бұрын
Hakika pia imenifunza kitu hii interview
@dihm9073 ай бұрын
Ubinfsi huo. Kila mtu ana interests zake. Acha kila mmoja apewe nini anapenda as long as sio lazima.
@BenedictaMagantg3 ай бұрын
Ha ha ha ha. Umenichekesha ila umesema ukweli.
@lucybatista26313 ай бұрын
Dada hongera sana...mimi naomba kazi ya matangazo. Niliwahi kufanya kazi integrated ilikuwaga pale Morocco. Nilikuwa customer care pia seller's and marketing
@ShedrackDamiani3 ай бұрын
🎉🎉mauwa yako
@sophiamsangi97633 ай бұрын
Hongera sana kwa kipaji chako endelea kubarikiwa na kuinuliwa katika mafanikio makubwa unayofanya mungu ni mwema
@farmerissa3 ай бұрын
Mimi mkenya, na huyu mdada anaweza. ❤
@marychizi33533 ай бұрын
😊😊😊😊 i appreciate that thank you 😊
@ImaniBalankwaya3 ай бұрын
❤dah jamni kwanza huna mashauzi huna makucha ya kishetani wanaoweka machangudoa unajiheshim unanidham yakazi so cacophonic joy mungu akujalie nawish nkusilimishe
@joppagraphix28683 ай бұрын
Wakati huo huo unatumia masimu ya kisherani hujaliii😂😂😂
@WallaceWaweru-ob7jz3 ай бұрын
Uliona shetani kucha zake au 😅nauku ulisimuliwa ili uogope Ku focus ukawa maskini mwenye nyege wivu 😅😅😅
Wahooo nimekupenda ila mtangazaji simuelewi na maswali yake dada yupo vizuri
@MaryNdondole3 ай бұрын
Mmi mwwnyewe huyu hara simuelewagi
@MaryNdondole3 ай бұрын
Mtangazaji anapandia panda maneno
@DenisDastan-y7e3 ай бұрын
Uyu angeojiwa na millard mwenyewe ingetisha 😮😮 nawakilisha tu🎉
@shabaninjaidi14903 ай бұрын
SURE JAMAA KAMA HAKUJIPANGA VILE
@MageleCharles3 ай бұрын
Umenena jamaa kapoa saaana
@janemsamati67003 ай бұрын
Nilikuwa nawaza kama wewe
@Mrp_manguluwe3 ай бұрын
😂😂😂
@gladnessshola27183 ай бұрын
Mtangazaji hatulii yani posture yake haiko pow, nimempenda huyo dada
@simbahussein44163 ай бұрын
MY SISTER YOUR SOUND IT'S BEAUTIFUL AM FROM AUSTRALIA ❤❤
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you 😊
@rosemilingi7860Ай бұрын
Hongera sana kipenzi ipo vzr mno
@deusgervas46763 ай бұрын
Inatoshaaa kusemaaa Marry umeni push kwa mazungumzooo hayaa MUNGU Akubarikii sanaaa
@marychizi33533 ай бұрын
Amina
@milimathias3 ай бұрын
Appreciation to you Mary , you are the woman with a lot of confidence.
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you very much 🙏
@KhalidiMsuya-h6o3 ай бұрын
Angekua kasoma chuo udom ungesikia akisema mimi cjui kiswahili vizuri
@roudhamahmoud7633 ай бұрын
Dada umefanikiwa kwa sababu umemuweka mungu mbele nimekuchunguza dada kila ukiongeya unamtaja mungu sana hiyo ndo siri ya mafanikio magu rip alimtaja mungu kila mda
@princehancesam98923 ай бұрын
Uko sahihi nimependa comment yko
@theresiarutagwaba3 ай бұрын
Yes
@aliciagenius77792 ай бұрын
Siyo mungu kipenzi ni MUNGU.... Tena ni MUNGU wa miungu
@EvaFuraha3 ай бұрын
Be blessed.
@stephennyagonde6373 ай бұрын
Hongera sana Mary, nilipata kumfahamu marehemu mzee wako Eng. Paul Chizi alinisaidia sana kuingia kwenye biashara ya consultancies. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Sikuwahi kujua kama aliye tangaza tangazo hilo.
@daudimaniseli7593 ай бұрын
Mwanadamu Bora niyule anae lipa shukrani,,Kwa Dua au Kwa fedha itafute familiar yake...
@damianmodestomuguta50863 ай бұрын
@@daudimaniseli759ahhahahaah. Usikute yeye ndio hana hela alafu unataka akafanye nn au unataka akajidhalilishe
@abeljames80813 ай бұрын
Hongera sana,.@@damianmodestomuguta5086
@festokemibala58323 ай бұрын
Chizi au Chiziii?
@jastinkimambo28123 ай бұрын
Hii ni faida ya kusomesha watoto. Hongera kwa boss Chizi RIP
@allymwashambwa59203 ай бұрын
Huyu dada Yuko vizuri sana
@MerinaMihayo3 ай бұрын
Hongera ❤❤dada
@baghabaghaingwengwe17502 ай бұрын
Ni hakika sauti yake ni nzuri mno unavumia kuickia inavyo tiririka sikioni, Hongera yake sana
@MussaAthumani-hk5qm3 ай бұрын
I wish you good work congratulations
@ChainesBoufee3 ай бұрын
Nmekupenda mama huna pozi kabisa mung akubarik sana.
@issakisalu92373 ай бұрын
Angehojiwa na Mirad ingekuwa bonge la show this man is very serious na huwa kama hajali sana
@roberttagaya90983 ай бұрын
Kweli kabisa. Huyu jamaa hawezi kabisa kuhoji. Kwanza hata ukaaji wake sio mzuri. Ana hoji kama ana dharau vile.
@matildalossenmsokwa40373 ай бұрын
@@roberttagaya9098anaonekana mvivu mvivu anaboa
@angellomarcel56773 ай бұрын
Mtangazaji naye yuko Vizuri ana Sauti nzuri
@tztanzania22623 ай бұрын
Bakar chijumba yupo poa tu pia
@amirisaid63413 ай бұрын
Hana time 😅
@SaadaNdaroАй бұрын
Uko vizuri mery
@GoodluckGodfreyNgomuo2 ай бұрын
🌹🍁☘️🥦🥦🥀🌻🌼💐🌺kumbe wewe ndoo ulinifanya nipende tigo be bless my sister
@marychizi33532 ай бұрын
Ndio mimi
@ewaldkiria40313 ай бұрын
Anaehoji hayupo focused, Anahangaika alafu hasikilizi kwa kumaanisha, Ila Dada Upo vizuri
@overplantv213 ай бұрын
huyo kesharidhika na Hela za Mirad Ayo au basi atakuwa anawinda ukuu WA wilaya Huyo...😅😂😂😂so Kwa suti hizo
@jackytuyi88993 ай бұрын
True
@saulamachumi83203 ай бұрын
Hata mimi nimeona hilo anaboa. Yaani unamhoji mtu kwanini akili yako isitulie ukamsikiliza vzr. Halafu kuna muda anashika simu kabisa dada anaona wazi jamaa hamzingatii😏😏😏
@cath._rynee85843 ай бұрын
Yaaaniiiii
@JohaDomi-bg5yh3 ай бұрын
Maskini kaonesha sana ushiriano mchangamfu ila mtangazaji sio kabisa
@rosegodlove19563 ай бұрын
Ni mrembo na yuko simple sana no makeup wala nn ❤❤❤
@HappyJohn-h8q3 ай бұрын
Kabisa urembo bila make up safiiii sanaaaaa
@jasonchanzi10233 ай бұрын
Sanaaa
@BrightKikungwe3 ай бұрын
ila uache kutuambia tuongeze salio kama hatuna ujiongeze😂😂😂😂😂
@isaacjosephjoseph27333 ай бұрын
Daah wewe dada wewe sikumoja uliniudhi mimi nilizania nachitiwa kumbe cm iko hewani 😂😂😂nilichangamka moyoni kumbe ilikuwa mtandao tu.🤝❤️💯
@HamisMghuna-fj3vz3 ай бұрын
Mashaaalah,namba isopatikana,mdada,
@ThomasAlute3 ай бұрын
Mtoto wa kishua lakini Hana mambo ya kishetani hajaweka makucha bandia,kope na vitu vingine ni malezi Bora sana
@MariaDamson-u8r3 ай бұрын
Una wazimu ww kwahy malezi bora ni hayoo😅😅😅 au una makasiriko yakoo hata hilo wigi kwa wengn n ushetan hapo vipi km huna hela ya kumtunza mtu tulia ushetan wa nyokwee
@nassoromfumya73193 ай бұрын
😂@@MariaDamson-u8r
@elishajilungu10553 ай бұрын
Umepiga kwenye utosi watu
@ThomasAlute3 ай бұрын
@@elishajilungu1055 Asante sana
@Theironrod93733 ай бұрын
Naona kuna mtu umemkuna hapa!!
@HassanMohamed-vs4re3 ай бұрын
EBANA FURSA IPO SGR WAPELEKEE VOICE YAKO KIDOGO TUTABURUDIKA
@marychizi33533 ай бұрын
Nitawacheck aaaise kweli itapendeza 😊
@gudimbwana80883 ай бұрын
AYO TV tafuta mike ya kuchomeka kwa nguo hiyo ya kuhamihamisha inasumbua muongeaji
@husseinabdallah47662 ай бұрын
She is very pretty 😍 anamacho mazuri chukua maua yako🎉🎉❤
@GoodluckGodfreyNgomuo2 ай бұрын
Mungu humbariki mtu kipaji mungu akubariki sanaaaaaa🙏
@Meil_772 ай бұрын
Nimempendaaaa bureee i watch this video almost ninavoingia utube 🥰
@FatumaKawawa-e6p3 ай бұрын
Hongera sana Mary.
@boazmasonga77723 ай бұрын
Hongera sana Dada, sura yako inazungumza vingi, Itoshe kusema Mungu akuweke muda mrefu na ufanikishe malengo yako 26:30
@savemeallah51803 ай бұрын
Naipenda sautiyako nitamusana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@scopy04283 ай бұрын
Familia ya kisomi madam anaongea kisomi sana hana mashauz wala mapozi ya ajabu ajabu
@JohaDomi-bg5yh3 ай бұрын
Mchangamfu ila anayemuhoji anaboa
@jacksonbiswalo83603 ай бұрын
Dada mrembo sana hf hata haringi ❤❤❤
@MsafirGervas3 ай бұрын
Dada mzuri sana
@JordanBegumisa3 ай бұрын
Serikali imchukue impeleke air 🇹🇿 Tanzania anafaaa sana kama hostes
@bdkexecutive3 ай бұрын
😂 did you mean serikali imchukue au yeye aichukue serikali? Nadhani yuko beyond being kwenye hiyo position.
@lucasmangora233 ай бұрын
Si amesema amefanya mpaka British Airways
@kwayayamtakatifuscholastic91323 ай бұрын
The best voice over artist ❤
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you
@stivertz70143 ай бұрын
Dah sema mtangazaji anashika shika sana simu 😂
@MKOLOSAIZENGO-o7f3 ай бұрын
Mbona wewe unae mhoji hauko happy ndugu uwe unakuwa happy kwenye mahojiano ndugu nawakilisha shinyanga kwa washamba huku😂
@saidilindukwa3 ай бұрын
Job well done ma sister,Niko Jozi umetuheshimisha huku wazulu wanakufatilia,keep going,may Allah bless,guide n protect u,in shaa Allah
@marychizi33533 ай бұрын
Hahahaha yeah God is good all the time 😊
@omarylukindo53063 ай бұрын
Mbona huyo jamaa anayehoji km anamuogopa huyo dada,maana hatulii kwenye kitu huku anatazamia kwa kuibia km anaona aibu😂
@samuellubunga3 ай бұрын
Umemakinika sana Upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@ZENZEMALA3 ай бұрын
Waooh ❤❤
@InnaSenseiSwahiliLessonsАй бұрын
Vizur sana dada
@ChristopherKayombo-o5m3 ай бұрын
Yaani merry chizii ila akili timamu😂😂
@greenwellnsyukwe47293 ай бұрын
Mm nilifikii ni Computer Kwa kweli, Duuuuuue hongera.
@marychizi33533 ай бұрын
Ni Mimi sio computer
@marychizi33533 ай бұрын
Ni Mimi sio computer
@GoodluckGodfreyNgomuo2 ай бұрын
My sister your so good be bless🙏 @@marychizi3353
@dicksonkilupa22583 ай бұрын
Dada sauti yako ni nzuri na unaeleweka vizuri. Jina lako hiyo chizi ndo umenitisha. Ila sauti hiyo ni ya kumtia kichaa mtu. SAUTI YA PEKEE.
@sizorstartv61683 ай бұрын
Aliyehoji sauti si ya amzing ..ilitakiwa ahojiwe na ayoo
@IbrahMoyo3 ай бұрын
Brilliant sister I love you..........
@wambukashungu47893 ай бұрын
Anaju kingerza bt anaongea kiswahil fasaha❤❤❤❤
@marychizi33533 ай бұрын
Thanks guys❤
@EliaPundugu3 ай бұрын
Uko vizur sister angu mungu akubariki
@NassoroSipemba3 ай бұрын
Yote haya mzr yaliyo fanywa na kampuni ya tigo,halafu ana tokea jamaa mmoja anajiita tundu lisu anataka kuichafua kwa muda mfupi huyu mtu hafai ktk maendeleo kwa taifa letu.
@daudihankungwe58023 ай бұрын
Hongera sanA kaz nzuri
@othumanomari15893 ай бұрын
Congratulations 👏🌹 uc tupange tena tuki call tumpate muhusika🤣🤣
@AidaKajala3 ай бұрын
Kasomea Kwa madiba kakulia Kwa madiba bado anaongea Kiswahili ila ngekua ma Dada wa bongo njooni mjifunze kitu
@kodackdeblack79823 ай бұрын
Wamesoma feza tu apo wanajikutk km wako Harvard 😂😂😂😂
@lucasmlowezi92143 ай бұрын
Dah uko sahihi
@rashidisaidi85353 ай бұрын
Upo sahihi
@damariszuckschwert94893 ай бұрын
Malizia bongo movie😅😅
@annakbunga83773 ай бұрын
@@kodackdeblack7982 huyu ni mtoto wa mzee chizi baba yake alikuwa anafanya kazi serekalini wa kishuwa amesoma kweli south kweli
@thomasluhumbika99863 ай бұрын
Very smart woman katika angle zote. Big up
@marychizi33533 ай бұрын
😊😊thank you very much 🙏
@davidoscooper2373 ай бұрын
Shem kama shem congratulations
@ShaabanRamadhanShaaban3 ай бұрын
Dada upo vizur big up sana👍
@nyanginyamhoza11063 ай бұрын
Mary your so cute and good in voice congrats dear na wala huringi ❤
@marychizi33533 ай бұрын
😊😊😊
@nyembobea72853 ай бұрын
Nakupenda sana umetisha sana ubarikiwe
@marychizi33533 ай бұрын
Thank you for the love. 😊
@robertnyakunga19503 ай бұрын
dada yupo smart sana
@abelyabuu72233 ай бұрын
Dada yupo vizuri 11:36 sana kwenye kuongea na kuhojiwa kwa ujumra... Ila mtangazaji ndio kazingua... Mbwembwe nyingi za mapozi kibaooo kama kazi kalazimishwa ifanya aisee
@Faya8843 ай бұрын
Goood mydear mrembo👏👏🙏
@NeemaGumbo-k5n3 ай бұрын
Diva namalingo yake hafikii hata robo kwauyu dada yeye anajibana mpaka mav ili aongee vizur 😂😂😂😂😂
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
Akili nyingi sana uyo dada 🎉tatizo ameolewa ningejaribu kumwambia isia zangu juu ya sauti yake ❤
@miaduana3 ай бұрын
😂😂😂
@AlexJohn-pt5sp3 ай бұрын
Dah u nataka kumuoa
@Boniphaceshayo53 ай бұрын
@@AlexJohn-pt5sp yes kwani dhambi
@gracebwambale50323 ай бұрын
Apana si dambi@@Boniphaceshayo5
@marychizi33533 ай бұрын
😊😊😊😊
@evansherman93433 ай бұрын
Mtangazaji hajui jinsi ya kuuliza maswali. Ila dada yupo vizuri