Ccm mm inanipa raha sana yaani mtu anaongea unamwelewa hana papara hana panic anaongea with a lot of confidence hii ndio maana ya kua kiongozi sio hawa wengine makelele tuu Na kashfa
@justice6074 жыл бұрын
Niko ujerumani, uku wanamkubali sana rais aliyeko madarakani nchini Tanzania.
@gracemima52344 жыл бұрын
Hawa watu wanaishi kwa uwongo. Kila kitu wanachosema ni cha uwongo. Uwongo unawapa fedha kutoka kwa wafadhiri. Wametoka bungeni wakidai kuna korona? Mala wakajitokeza bila hata ya kuvaa balakowa. Wanalewa na kuanguka wanasema wamepigwa. Hawa watu wanaishi kwa uwongo. Kila kitu wanachosema ni cha uwongo. Uwongo unawapa fedha kutoka kwa wafadhiri. Wamejaribu kutukana, kufanya fujo na kutukana mapolisi Serikali inawaangalia tu. Ngoja pigo watalipata tarehe 28/10. Tundu Lissu either atakimbia kama Membe arudi kwao Ubeligiji ama arudi kijijini kwao na uwongo wake
@Mo_Classic_Brand4 жыл бұрын
Tumeshamtambua wananchi kwamba tundu la choo NI mchochezi. Asituumize vichwa kura hatumpi. Watanzania NI watu wapole na wasiopenda visasi kura hatumpi huyo mshemzi tundu la choo. Kwanza Hana hoja anatoa kashfa tu. SINGIDA anaiabisha kwa kuropoka ropoka
@hddhhddhdhhd74664 жыл бұрын
asante Dubaï tunakupa ccm iko juuu
@elishamwenga14744 жыл бұрын
Hawana cha kufanya lisu akalime alizet
@thecounter11224 жыл бұрын
Polepole nikuambie tu ww tuachie huyu mwenye sera za risasi na vitisho haelezi nn atafanya we tuachie tu mtafune kisawasawa
@gallousgosbert49934 жыл бұрын
Mhe polepole wala usijali hawa wapinzani tushawajuwa ajenda zao za siri, HATUDANGANYIKI N'GO.
@thabitalwiy14 жыл бұрын
Kweli watanzania wameamua kunadilika ile mipango ya kudanganywa na Siasa uchwara ili watu waingie bara barani wakavunjwe miguu wamestukia. Chameda kila wakija na mbinu za kudanga umma ili watu wawe na jazba watu wamedindisha wanawasikiliza kisha wanawapuuza🤣🤣🤣. Na naipongeza Serikali kwa Ujumla na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuweka utulivu wa nchi yetu na kuifanya amani itawale.
@japhetdaud37814 жыл бұрын
Hao wapinzani ni wahuni
@kambamazig020244 жыл бұрын
Leo hii dunia nzima wanashangaa jinsi China katika miaka 15 iliyopita wameweza kufika walipofika, na hii ni kwa sababu walijikita kwenye miundo mbinu na viwanda, wakati wamarekani wakiwacheka na kusema hao hawawezi kuwafikia. Leo hii wanalalamikia hao hao waliokuwa wanawabeza, mara wametuibia technolojia mara hakuna haki za binadamu. Je Marekani kweli kuna haki za binadamu? Angali walivyouwa watoto na akina mama kule uarabuni na leo hapa Marekani weusi wnegi wanauawa na hao wapinzani ambao wanawahusudia Wamarekani hawajasema lolote. Ili Tanzania iendelee itahitaji si kujikwamua tu kiuchumi bali kifikra, kuhakikisha kuwa hakuna wtu wenye fikra za ki-Lissu Lisu hivi za kuwakumbatia wakoloni mambo leo. Ndio, China walianza vizuri lakini nao wameamua kufanya yale yale wakoloni waliyafanya ndiyo maana nao sasa hivi wanalaumiwa. Ukweli ni kwamba huwezi kujikomboa bila ya kuwa na miundo mbinu, afya bora (mahoispitali), barabara nzuri, reli, ndege, meli, umeme na maji. Hakuna nchi inaweza kuendelea bila ya kuwa na hii miundo mbinu, hivyo tusijidanganye kabisa huyu bwana anaposema miundo mbinu haitampigia kura. Yeye mwenyewe anapopanda hiyo ndege hapandii mbugani anapandia kwenye uwanja wa ndege ambao unaajiri watu wa kumsaidia kurusha hiyo ndege na kuhakikisha usalama wake akiwa angani. Kweli waswahili hawakukosea kusema waliposema kuwa usitukane wakunga wanati uzazi bado upo.
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Mtu mmoja alifariki hafla, malaika (Tundu lissu) wakamchukua mpaka mbinguni kufika wakamwambia dhambi zako na Sawabu zako ziko sawa sasa una uwamuzi kwenda peponi au kwenda motoni na tumeruhusiwa tukuonyeshe pande zote mbili. Akapelekwa peponi kwanza, kufika kuzuri kila kitu kipo raha tupu lakini hamna pombe na nguruwe ,kinya na kuko doro sana. Akasema twende motoni sasa duuh!! Akenda motoni siku aloenda raha ulev, malaya wengi, mashoga , pombe diamond ali kiba na waimbaji wote ndani, wanawake usiseme na aliwaona jamaa zake wengi ndani. Jamaa akawekwa katikati akaulizwa uwamuzi wako wapi utaenda, Jamaa akasema Motoni ( ccm) akingizwa motoni duuh, alipo Ingia kulibadilika kabisa moto Mkali njaa maradhi, chakula kibovu , mateso, mengi sana , ndipo akumuliza Iblisi (Magu) Siku nilio kuja hapa kulikua na raha nyingi mbona sasa mateso tu na tabu Ibilisi (Magu) akajibu kua ile siku uliokuja tulikua katika kampeni , Sub hana llah, 😅🤣🤣😇👹👹👺👍
@rehemasalimini54664 жыл бұрын
Matangazo upande wa pili ya nini hayana faida kwa wenye akili hizo kashfa zao hatutaki kusikiliza sisi
@anithangao65644 жыл бұрын
Pole pole tunaomba utusaidiye cc wajane tunanyanyaswa sana na tunateswa sana na tra watendaji Mwenyekiti na makatibu khs kufunguwa bar au grocary saa kumi na kufunga saaa tano sasa hv hari cyo nzuri sana anakuja mtendaji akikukuta unamteja hata mmoja na umemfungiya ndani wanakukamata na wananyang'anya leseni wanadai tuwape kuanziya 300000 tunaanza kuwabembeleza hadi 50000 ndo anarudisha leseni bila listi tunateseka sana na vilevile unakuta sehemu zingine wanafunguwa asbh na hawakamatwi tunaomba hili mliangaliye upya mmewapa watu dilindani ya miaka mitano bila nyie kujuwa
@hamisikibula96944 жыл бұрын
Alafu global tv acheni Ubaguzi wa kizamani tumeni matangazo na upande W pili Daily tkiingia Ni ccm tu Badilikeni World is change Haturudi nyuma wekeni usaww wote niwa 🇹🇿
@justiceshelukindo4 жыл бұрын
TV zetu zina ubaguzi mno
@winfridahcreitus7054 жыл бұрын
Hata mngetukanavipi ninyi watoa comment, Kuna mamlaka zinapashwa kuwajibika kwahili, Wala poleple Hana mamlaka ya kuisemea mamlaka, maswala yakitechnical ya fright schedule SI yakusemewa na polepole, na polepole watanzania tunakujua vizuri, hauaminiki Tena kwetu sisi watz, toka tume ya warioba, ulipoisaliti kwasababu yakiugali hicho ulichopewa, hukumbuki ulichokua unakihubiri na warioba, leo hii hata tukikuuliza juu ya katiba uliyozunguka nchi nzima, utaleta brabra, huaminiki bado unaleta brabra tu. Kwanini tunashindwa kufanya siasa zakistaarabu mpaka mtafute visababu vyakuharibu mchakato? Tumeona clip I au guka mtu was tume NI kada, hatujakusikia ukio gelea Hilo. Ili uheshimike ndani ya nchi usiwe biased, kemea uovu unaouona mbele yako.
@kambamazig020244 жыл бұрын
Hivi, mbona waingereza na wamarekani wana katiba kandamizi na leo hii huwasikii wakipiga makelele ya kubadili katiba zao na hao ndio unaowaangalia kama mfano wa demokrasia. Funguka macho ndugu yangu, katiba inaweza kuboreshwa na katiba mpya si majibu ya matatizo kwenye jamii.
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Polepole wewe ni mjinga huwezi kujilinganisha na Lissu wala usifikiri watz wanakusikiliza hii ujinga wako
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Usituseme sio watanzania woote jisemee mwenyewe
@kambamazig020244 жыл бұрын
Sasa wewe umejuaje anachokisema kama ulikuwa humsikilizi? Ama wewe si mtanzania? Na kama ni hivyo kuwa wewe si mtanzania yamekukeraje tena haya? Basi ina maana kuwa kuna watanzania wanamsikiliza. Tafakari kabla ya kusema.
@lucymollel65094 жыл бұрын
Chadema hata iweje inakubalika
@rassimbaengswahili61914 жыл бұрын
Haikubaliki
@askkongl68214 жыл бұрын
Aaachechee
@danielelwin17784 жыл бұрын
Inakubalika na wahuni tu
@menikojohn27824 жыл бұрын
Kwako
@rukkysayid66134 жыл бұрын
Inakubalika kwako peke yako usojitambua sijuwi aje nani akutoe taka za maskio ndiyo ufaham MHESHIMIWA anavyosema