"POLICE MNABEBA LAANA TU" GETRUDA LENGESELA MWENYEKITI CHADEMA JIMBO LA MBEYA VIJIJI AFUNGUKA MAZITO

  Рет қаралды 30,375

IPINDA ONLINE TV

IPINDA ONLINE TV

Күн бұрын

"KWAKWELI KAMA WANAWAKE TUMEDHALILISHA SANA"

Пікірлер: 271
@kianda973
@kianda973 26 күн бұрын
Poleni sana mama zetu, Mungu awafute machozi. Amina
@ibrahimtesha2733
@ibrahimtesha2733 27 күн бұрын
Watabakwa wajukuu zao hao polisi njaa! Tunawalaani hata sisi wana CCM
@knight6757
@knight6757 27 күн бұрын
🐸🙆‍♂️
@maryhando227
@maryhando227 27 күн бұрын
Mimi Nashauri mgekuwa mnatafsiri kwa kingereza ili dunia iwasikie.
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 27 күн бұрын
Kweli
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 26 күн бұрын
Mhhh hapo mtihani kwa Kingereza. Kelele zote wanafahamu wenyewe tuu...
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 26 күн бұрын
Kabisa
@musaguga
@musaguga 26 күн бұрын
Watatumia subtitle
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 26 күн бұрын
@@maryhando227 Siyo hayo tuu wqtayajuwa mengi…
@RoseKipimo
@RoseKipimo 27 күн бұрын
Sio Mama ni mwanamke Rais Mama anajua uchungu uyu anayeruhusu kulawiti,kuuwa shem on you Samia
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 27 күн бұрын
ILIVYO BAHATI MBAYA SANA RAIS ALISHAAMUA KUWA KAMA CHURA KIZIWI!!! HATARI SANA!!!
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 21 күн бұрын
@@FrankMwakatundu-cu6bd Weee ila Rais Samia 😂😂😂😂😂 chura No
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 27 күн бұрын
Poleni Sana dada ,hawa tutawashugrikia kisheria,
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 27 күн бұрын
Poleni Sana. Lkn wamewapa ujasili mara mbili na hayo mafuta ya kuwasafilishia. Watu walikotoka ufujaji wa pesa. Watalaaniwa Hao.
@CharlesMulaki-j8h
@CharlesMulaki-j8h 27 күн бұрын
Haa Mungu wangu ni fedhea
@DanielKonesanteti
@DanielKonesanteti 27 күн бұрын
@@CharlesMulaki-j8h kweli ni unyama Mh Getruda.
@VictorNgosi
@VictorNgosi 26 күн бұрын
Poleni sana mungu atusaidie chama hiki ccm kitoke madalaka
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k 22 күн бұрын
Pole Mama.Nimegundua kwa hiki kilichoonekana Mbeya Nchi aipo salama,Taifa tumuombe Mungu Ili alijalie Taifa letu kuwa salama.
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 27 күн бұрын
Hapo samia na tulia ackson wanahusika kwa asilimia mia moja
@OS-pf6op
@OS-pf6op 26 күн бұрын
"Tha"
@coolsinare8824
@coolsinare8824 26 күн бұрын
Kama Raisi hajibu ni vizuri sana kwa sababu MUNGU atajibu kwa kishindo..Amina
@OS-pf6op
@OS-pf6op 26 күн бұрын
Mungu patiliza waovu wote katika nchi hii..🙏🏾
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 26 күн бұрын
Jamani poleni sana wamama mnaongea kwa uchungu saana yaani. Mungu awaponye mioyo yenu na walio mahospital Yesu akawatetee wapone haraka ni maombi yetu na Mungu akayapokee❤
@abnermailos8043
@abnermailos8043 27 күн бұрын
Mama polesana Mimi naamuru laana iwe juu yao
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 27 күн бұрын
@@abnermailos8043 amina
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 26 күн бұрын
Unajuwa maana ya kulaani mwisho inakurejeya mwenyewe. Usichezee laana wewe una family. Wengi wamepita......
@jeffhard5773
@jeffhard5773 21 күн бұрын
​@@awatifalghanim1106Kama hauna hoja kaa kimyaa mbavu zambwa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 21 күн бұрын
@@jeffhard5773We umezoweya matusi kutukana watu ni kitu cha kawaida kwako watu Kama nyiye sisi tunawaambia Asante.
@danielkanso
@danielkanso 26 күн бұрын
Furaha ya tulia ni Sugu kufa lakini huzuni yake sugu akiwa uwanjani tulia anahisi kutapika kila wakati lakini iko hivi Duniani tunaishi kwa neema za Mungu tunaishi ndani ya muda ambao Mungu amempa mtu vinginevyo utabeba na mikosi pressure
@IsakaMatali
@IsakaMatali 25 күн бұрын
Mama samia toka mbere ya uma ukemee sula ilo apendezi kabisa mungu akubali
@janemwaipopo
@janemwaipopo 22 күн бұрын
😭😭😭😭😭 Aisee Nimelia kwa sauti dah Moyo Umeniuma sana Lkn Mungu Hajanyamaza Lazima Alifanyie kazi hili jambo
@SamweliMtaresi
@SamweliMtaresi 26 күн бұрын
😭😭😭😭😭 Inauma sana, laana kabisaaa
@emanweljohn1240
@emanweljohn1240 26 күн бұрын
Ccm nahama haiwezekani kweli huu niuzalilishaji hii nchi niyawoote sio ccm pekeake
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 27 күн бұрын
poleni sana sana sana wapendwa wetu
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 26 күн бұрын
Poleni sana
@user-lx2lo2lp8m
@user-lx2lo2lp8m 27 күн бұрын
Yani polisi Tanzania wamegeuka wezi,vibaka,IGP jiuzulu polisi tz ni mashetani kabisa Mungu awape laana!.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 27 күн бұрын
Naunga mkono kwenye kujiuzuru.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 25 күн бұрын
Mpigwe tu! Keeenge ninyi
@lupakisyomwaisunga9027
@lupakisyomwaisunga9027 27 күн бұрын
Asante mama angu
@neemanziku5403
@neemanziku5403 23 күн бұрын
Tanzania aman hamna ipo cku Mungu atashusha moto kwa walio husika
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 27 күн бұрын
Mama Tangu Samia alishasema tu ni chura kkiziwi nani direta huyu. Nalaana hii Mzungu akutimizie juu yao na kizazi Chao.
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le 25 күн бұрын
Police hiyo imekaaje...! Mmmmh...siyo Mimi sikilizeni hapo!
@sisterlbloodofjesus4084
@sisterlbloodofjesus4084 26 күн бұрын
Pole sana dada Mungu awatie nguvu msikate tamaa unganisheni wenye mapenzi mema tuingie kwenye maombi ya mfungo wa siku saba tumlilie Mungu juu ya taifa letu na hakika Mungu atajibu
@marwawaitara8690
@marwawaitara8690 26 күн бұрын
Pole sana
@Piussimon-n4z
@Piussimon-n4z 27 күн бұрын
Pole Sana kwa mateso mliopitia,ujumbe umefika
@issaisack1865
@issaisack1865 24 күн бұрын
Mhhhh inaumiza moyo! Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 26 күн бұрын
Kama msemayo nikweli ,mungu amlaani huyo awadhi na hao askari laanaiwejuuyao ,mungu afupishe maishayao ,
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 27 күн бұрын
Ati anaamini yeye hatakuja kufanyiwa hayo. Lakini gadafi nae aliamini hivyo hivyo. Lakini siku asiyokua anaijua. Akadhalilishwa chini ya makalavati na kisha akapelekwa huko alipo.
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 18 күн бұрын
Poleni sana makamanda tuko pamoja
@ChristerKoku
@ChristerKoku 23 күн бұрын
Poleni,mungu amesikia machungu haya.
@EliudMahali-v9d
@EliudMahali-v9d 27 күн бұрын
Du!! Inauma sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 23 күн бұрын
Dunia nzima ijue kuwa Tanzania ni chafu
@WilliamPaulo-s1o
@WilliamPaulo-s1o 24 күн бұрын
Acheni kuita Mama yule nimnyama lakini ipo xiku mungu atajibu ni mzanzibari
@AgnessKabamanywa-sd2dw
@AgnessKabamanywa-sd2dw 26 күн бұрын
Mimi hapa mwanangu akiwa polisi namshushia laana na hatapona lazima afe
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 25 күн бұрын
Mmejidhalilisha wenyewe tokeni hapa! Bora mlipigwa wala msimwingize rais wetu! Kama hamna adabu mpigwe tu. Nchi yetu itafika mbali tu kwenda zenu huko. Huko chambowe mnajifanya mnajifanya wote ni vidume pambaneni basi hakuna kilio cha taifa zima bhana jisemee mwenyewe bhana. Keeeenge tu huyu
@JohnShigela-j3s
@JohnShigela-j3s 21 күн бұрын
Dah! Kwa kweli maisha ni mlima Penye Nia Pana njia
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le 25 күн бұрын
Sijui UWT...WANASEMAJE KTK HILI..
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 26 күн бұрын
Asante jembe, mashaaalah,
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l 27 күн бұрын
Mamashukulu mungu hujabakwa nahao wabakaji
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 27 күн бұрын
Ndio maana Polisi wengi wakistaafu wanapata shida kuishi mtaani.
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 27 күн бұрын
You are 100% right!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 25 күн бұрын
Mbona ww cyo polisi na huna maisha mazuri? Ndyo kushindwa huko
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 27 күн бұрын
Daah! Poleni mungu amepokea... Tanzania tumefikia hapa?
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 27 күн бұрын
Duuuuuu
@Olestarlucaskyando
@Olestarlucaskyando Күн бұрын
Nimeumia sana mama angu
@philipongenzatv
@philipongenzatv 27 күн бұрын
Kumbuka Afande Kuna kesho hautokuwa vyeo hvyo
@robertoino4301
@robertoino4301 27 күн бұрын
Pole mama wetu
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 21 күн бұрын
Kuna shida nyingi watu wameomba mbaka wamebakia kumuachia mungu lakini wao wanazitumia vibaya hakika allah anaona
@mariamsanga8151
@mariamsanga8151 26 күн бұрын
Jaman polen sana ,kwel hapo haki haijatendeka
@ChristerKoku
@ChristerKoku 23 күн бұрын
Mungu anasikia atauona ukweli na atajibu.
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 27 күн бұрын
Mungu ni mwema atawalipa, ipo cku utafurahi mama
@gangan4618
@gangan4618 27 күн бұрын
Police wa samia ni WEZI.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 27 күн бұрын
Na wauaji na wabakaji. Ni wao wamesema na kukiti wazi wazi.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 26 күн бұрын
Rais Samia kawakuta hao Police miaka yote ndio mtindo wao hao siyo kitu kigeni kwa Tanzania 🇹🇿 nzima.
@JafeDaudi
@JafeDaudi 27 күн бұрын
Hiyo laana wataibeba watu wa ccm wote
@kianda973
@kianda973 26 күн бұрын
Hapana sio wote
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 25 күн бұрын
Pumbavu huna lolote mpigwe tu! Mnajifanya mnajua sana kenge ninyi
@HamzaHeri
@HamzaHeri 24 күн бұрын
WEWE DADA MBONA USO WAKO UMEFANANA MUUZA GONGO
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 27 күн бұрын
Tena wote wanaume na wanawake wamedhalilishwa. Rais wa nchi! Lsbda kama ni Rais wa ccm tu.😢😢😢😢😢😢😢😢😢 machozi hayapotei bure.
@FinesiaKwimba
@FinesiaKwimba 26 күн бұрын
Mimi nimeogopa baba yangu askari kuanzia leo sitapokea kitu crocheted kutoka kwake maana ni vyaupolaji na nivya laana.
@jubilatembise8431
@jubilatembise8431 26 күн бұрын
Halafu wananyutrolize kwa kumchangia Lisu eti, so sad kwa kweli !!
@charlesmahuna
@charlesmahuna 26 күн бұрын
Wamewaonea bila kosa hata kidogo, poleni saana wahanga Ila Sugu itakuwa ameumizwa zaidi, pole kwake
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k 22 күн бұрын
Pia ushauri Wangu kwa Serikali ,Polisi waliohusika na uhalifu huu wahukumiwe kunyongwa paka kufa hawasitaili kuishi.
@AmiriSalum-d5c
@AmiriSalum-d5c 17 күн бұрын
Du wanataka kuwabaka polici du nchi imeisha POLISI anataka kubaka hatari
@willymgaya7618
@willymgaya7618 27 күн бұрын
MH . KABUDI , 10:40 UNAYASIKIA HAYO.
@charlzmboya
@charlzmboya 26 күн бұрын
Police acheni wizi na uonevu tendeni haki tanzania
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj 27 күн бұрын
CCM haiwezi kufika mbali Ni muda mfupi nchi hii itakombolewa
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 25 күн бұрын
Inasikitisha Sana
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 27 күн бұрын
NDO MJUE HURUMA YA MWANAMKE IKO WAPI??
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 26 күн бұрын
Hiyo biashara ya Tulia na msigwa
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 21 күн бұрын
Ndio tabia yao ccm najeshi lake la kiccm atakwenye kampeni zao wanqlaliana natabia zao mbaya ziraaniwe na Allah
@neemanziku5403
@neemanziku5403 23 күн бұрын
Yan nchi imesha kuwa haina adabu
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 26 күн бұрын
Duh jamaniii inasikitisha sana hao sio police kabisa 😭😭😭
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj 27 күн бұрын
Bahati mbaya CCM NI MASHETANI
@gangan4618
@gangan4618 27 күн бұрын
Acha kumwomba huyo, acha Mungu Mkuu aingie kazini... HAYA MASHETANI MA-CCM MWISHO WAO UMEFIKA.
@user-hf4ol9hn9y
@user-hf4ol9hn9y 18 күн бұрын
Hapo ni laana kwel
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 26 күн бұрын
Hao police watusaidie kukamata wanaobaka watoto waache hiyo laana ya kuwapiga wanawake wasio na hatia
@Malata_francis
@Malata_francis 27 күн бұрын
Ooooh 😮, Kumbe.....!
@AthumaniMikindo
@AthumaniMikindo 26 күн бұрын
Wanawakhe Ampendani muachieni mungu ATAWAOSHA SIKU ZIJAZO 😭😭😂😂 MACHOZI YENU HAYAENDI BU 👏👏NCHI NIYETU SOTE NASISI OWE NI WATOTO WA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 TANZANIA
@claudiamndele
@claudiamndele 26 күн бұрын
Kweli kabisa
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 26 күн бұрын
Walaaniwe mara ngapi laana ipo juu yao ccm muda wao unakaribia
@user-jo9gp5tb9w
@user-jo9gp5tb9w 27 күн бұрын
Hao maaskari maisha yao yashida sana wanatengenezewa wenyewe
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 26 күн бұрын
Samiah, utatiwa moyo na machawa wako juu ya hili. Fikiria wewe kama nafsi binafsi
@HassanVorogwe
@HassanVorogwe 27 күн бұрын
Mama wafundishe tu japo ni Bure, Hao hawana hofu ya mungu, sitaki mwanangu awe Polisi.
@WilliamPaulo-s1o
@WilliamPaulo-s1o 24 күн бұрын
ongeni kwa kingeresa dunia ijuwe ni mnyama wa Tanzania
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l 27 күн бұрын
Kabakwa mdada wawatu hakunachochote kimefanyika
@estachengula3902
@estachengula3902 26 күн бұрын
Polisi walaaniwe sanaa kuwavua nguo kuona walikotokea kwa wazazi waoo hawa polisi ni waharifu sana na mmesha laaniwa kuanzia sasa amina
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 25 күн бұрын
Aowametumwa kuleta vulugu nchini akuna askali WA ainaio
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 26 күн бұрын
POLENI SANA SANA KWA YOTE! MUNGU AWAFUTE MACHOZI YENU. MUNGU YUKO PAMOJA NA WANAOONEWA NA WENYE HUZUNI. MUNGU MWAMUZI WA HAKI AMESIKIA KILIO CHENU. BASI DADA MWENYEKITI WA KANDA UMESIKIKA VEMA.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 26 күн бұрын
Et anajiita mama wa demokrasia ana kooa ili awadhalilishe wa awake Hilohakimuunu hata kidigo
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 26 күн бұрын
Whatever you do is a seed ypu've planted,you'll reap likewise.
@claudiamndele
@claudiamndele 26 күн бұрын
Jamani hii nini. Nchiiiii
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 27 күн бұрын
Kweli kabisa polisi mwanaume si vizuri kuwavua nguo
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 26 күн бұрын
Kuna siku polisi mtakuja kuyalipa machozi ya watanzania
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 26 күн бұрын
Mamaangu sema ukweli usiingize siasa kunamtu kabakwa kweli?
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 26 күн бұрын
Askari mnaishi mitaani tumieni
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 26 күн бұрын
Hii ya kiuno,tumbo kuvuliwa, Allah atusaidie
@saidimtame2320
@saidimtame2320 27 күн бұрын
Mnazingua sana
@user-oc3jf3ts5i
@user-oc3jf3ts5i 27 күн бұрын
Mapolisi ni aibu kuiba mkufu na simu! njaaa mbaya sana!!🙈🙈
@leokamil6284
@leokamil6284 27 күн бұрын
Naomba ucheki umu youtube Arusha Polisi walienda kwenye tukio kukawa na bint kashangaa jirani na walipokuwa alipigwa kofi bila sababu na kunyanganywa simu na Polisi. Wakati gari lao linaondoka alimngangania Polisi cha kudhihirisha ni wezi hao alishaficha sjui alimpa mwenzie.
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 26 күн бұрын
@@leokamil6284😅😅😅😅kweli niliona alikamatana na askari kwenye gari mpk akapewa cm angechelewa ingekuwa imeisha hiyo
@leokamil6284
@leokamil6284 26 күн бұрын
@@user-qh2bx5em6j Asante sana kama uliona hao jamaa wezi sana. Nashangaa ati hao ndio wanakamata wezi .Ndio maana kwenye interview ya Sativa kasema njia nzima walikua wanavuta bangi sasa hao ni majangili au walinda amani za Raia
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 25 күн бұрын
​@@leokamil6284😂😂😂😂😂😂😂😂
@knight6757
@knight6757 27 күн бұрын
Poleni sana😢
@user-rp1xx3vo4r
@user-rp1xx3vo4r 27 күн бұрын
Na kama Hawa watu wata onewa huruma sana basi wata ifikisha ichi hii pabaya sanaaaa
@user-py3mc9xl8z
@user-py3mc9xl8z 25 күн бұрын
Polisi wamegeika kuwa majambazi badala ya kulinda watnzania wote wanawalinda wkolonni wa nchi hii yaani watumwa walioandaliwa kuwatawala wenzao wakoloni weusi
@user-wf2yg7sl4v
@user-wf2yg7sl4v 27 күн бұрын
Awa askal mbwa
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 37 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 34 МЛН
MACHIFU  MBEYA WAWAONYA WAKAZI WA ITUHA
14:10
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 92 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 37 МЛН