😅😅😅yaan nchi ipo kimyaaaaa kila mtu anaendelea na kazi zake
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
ASANTENI JESHI LA POLISI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rev.thobias2756Ай бұрын
TANZANIA TUSIPO KUWA MAKINI BENDERA YETU TUTAONGEZA RANGI NYEKUNDU NITOE ANGALIZO KILA MTANZANIA AANZE KUMWABUDU MUNGU KWA KUTENDA HAKI KUWA MWAMINIFU KUWA NA UPENDO SISI NI FAMILIA TUACHE UROHO NA TAMAA ZA MADARAKA LA MUHIMU WOTE WANAO WAZA TANZANIA IWE NA DINI MOJA NA KUWAONA WENGINE NI MAKAFIRI NI KUPOTEZA AMANI PIA TANZANIA KUWA NA VYAMA VINGI INASAIDIA KUKOSOANA NA KUHIMIZA MAENDELEO SIASA NI KAMA LIGI ZA MPIRA UKIWA PEKE YAKO MASHABIKI WANINI? UPINZANI USIWE UGOMVI HATA KUDHAMILIA KUMWAGA DAMU HIYO SIO SAWA UJE UCHAGUZI HOJA ZILETWE ATAKAE SHINDA APEWE NCHI TULUDI KWENYE KAZI ZETU MUNGU TUSAIDIE WATANZANIA