SATIVA KUWASHTAKI IGP NA MWANASEHERIA MKUU| ADAI FIDIA YA BILIONI 5, NDANI YA SIKU 90

  Рет қаралды 12,535

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 2 ай бұрын
Wengine wakishaga tekwa hata kusimlia wanaogopa
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz Ай бұрын
Mungu akitaka kukuondoa hpa Ulimwengunii Dunia mzima waunganee ili usiondokee Utaondoka ,,, lkn **** akitaka Usiondokee Duniamzima waungane kukuondoa awatowezaa kukuondoa ,,, Akuna atakae Paa Bwana Yesu Mungu atamludisha ilii aje kufa nayeye,,
@mtakamatv
@mtakamatv 2 ай бұрын
Sasa wanaposema wao sio watekaji,na mama anawatetea anasema ni drama
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 ай бұрын
Mimi kwa mawazo yangu huxo IGP wataitoa hiyo pesa watamkteka tena japo siombei atekwe maana kapitianwakat mgumu sana katekwa bila hatia yaani naamanisha hivi yule mkaka aliyechana picha ya samia pesa zimechangwa na wananchi kisha wakamteka mpk sasa kimya
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 2 ай бұрын
Roma aliwahi kusema vipi ripoti ya upelelezi akiiteka mtekaji ndomaana hajataka kesi iwe kubwa ye kaamua tu kudai fidia
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 2 ай бұрын
Atawashtaki wapi hapa Tanzania au wapi kama ni hapa asahau kabisa hakuna haki kwasababu hadi mahakama zote ccm na majaji ni wao
@rogersiddy
@rogersiddy 2 ай бұрын
Umeongea point sana hapa wauwaji wanalindwa sana sababu wanajua kinachoendelea ndo ujinga wa taifa letu linaloongozwa wababe
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 ай бұрын
Samia must goo
@MathaMsumi-l1b
@MathaMsumi-l1b Ай бұрын
Umbwa hao hawana hela hao 😂😂😂 yakulipa
@Iddi-xw7vw
@Iddi-xw7vw 2 ай бұрын
Maulidi wew unashabikia kutwekwa
@onemicmedia5153
@onemicmedia5153 2 ай бұрын
Mungu anawaona sana na hapa Duniani tunapita tuu..! Na nyie watangazaji sijawai wa amini hata siku Moja...!
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 2 ай бұрын
Wakubaliane na haliii tu make sativa keshasema kila kitu
@ZuzuTheGreat-e8d
@ZuzuTheGreat-e8d 2 ай бұрын
Wasafi watanzania tunaishi kama wana wa izraeri walivo pata shida misri ira MUNGU kasema atamuinua mtumishi wake kutoka ndani ya familia kutupereka nchi ya ahadi
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 2 ай бұрын
Mmmh wayamuua sasa😢😢😢
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 ай бұрын
Kushitaki wap hapa hapa au wap
@Adeen.1
@Adeen.1 2 ай бұрын
Sativa kaamua kuchana mkeka...set kichaa😅😅😅....kweli ukitoa mwaarabu kujitoa muhanga anafatia MKAMALIA.
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 ай бұрын
Mh!
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
😂😂yaan mimi Kitenge tu basi ananiacha hoi sana amekaa kinafiki mnoo na miwani yake ile alivyoivaa sasa😂😂 ila ananogesha kipindi adi raha😂😂🙌
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 2 ай бұрын
wamlipe tu ata M900
@ramsohk
@ramsohk 2 ай бұрын
😢😢
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n 2 ай бұрын
Anachokitafuta atakipata hakuna jeshi litakaro kubali kulipa kitu kama icho
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 ай бұрын
Muombee amepitia wakati mgumu sana
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 2 ай бұрын
Mbona unamtisha? Kwani mahakama imeshatoa uamuzi? Kwani IGP ndiyo jeshi la polisi? Acha mahakama alikoenda iamue.
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 2 ай бұрын
Vijana kama nyie mna mchango Mdogo sana kwenye hii Nchi alisikika kiongoz mkubwa akiwaambia vijana wa aina yako Poor mindset
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 ай бұрын
Uoga wako ndio umasikini wako
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 ай бұрын
ILA SATIVA AMEMWAGA SANA UGALI NA IKITOKEA CHOCHOTE CHA KUMDHURU TUTAJUA WAHUSIKA NI NANI?
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 2 ай бұрын
wameshamtia ulemavu kijana wa watu afu mafwele anadunda wanakamata chadema kwa kuandamana kudai haki za watanzania wanaotekwa...📌📌📌
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 ай бұрын
Watakua walimvutisha bangi huyo sativa 😂😂😂 hayupo timamu
@Ezim2445
@Ezim2445 2 ай бұрын
Kuna mijitu inatia kinyaa
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 2 ай бұрын
Upumbavu utaisha ( Kesi anayo 100% na atapata hata3b ( Vingine mkikamatwa lazima mjijuwe na kumbukumbu mzijuwe)
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 2 ай бұрын
Du! Huyumwamba kaamuakwel kama bokohalam kajitoa muhangaa
@stevenmatheo7134
@stevenmatheo7134 2 ай бұрын
Hakuna marefu yasiyo na ncha , siku za mwisho Kila kitu kitakuwa wazi.
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Wasafi Media
Рет қаралды 20 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
JE, MAUAJI HAYA NI UHALIFU AU KISASI?
6:02
Wasafi Media
Рет қаралды 4,5 М.
MAPYA YAIBUKA SHAMBULIO LA RISASI 38| TUNDU LISSU KUSHTAKI KAMPUNI
7:12