Pongezi Rais Samia (Official Video) - Shinyanga Teacher's Choir

  Рет қаралды 3,649

Shinyanga Teachers Choir

Shinyanga Teachers Choir

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@bonniemosha2707
@bonniemosha2707 9 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri walimu wetu, hopefully Mh.Rais amesikia kwa uzuri.👏
@rosemabana4747
@rosemabana4747 9 ай бұрын
Hongereni sana kwaya ya walimu. Pokeeni maua yenu❤🎉🎉
@LeahNcheyeki
@LeahNcheyeki 9 ай бұрын
Mungu wetu azidi kuwatumia kuwa wawakilishi qa kundi kubwa.Hongera nyingi kwa mwl mwenye maono.
@neemamafie2072
@neemamafie2072 9 ай бұрын
Hongereni Sana walimu shinyanga kwa kutuwakilisha, hakika mama yetu amepokea maombi yetu
@MarthaMao-cx3qo
@MarthaMao-cx3qo 9 ай бұрын
Hongereni sana walimu wenzangu kwa ujumbe mzuri,seriksli yetu ni sikivu tunaimani itayafanyia kazi yote mliyoyaomba🙏
@MatambiJoseph
@MatambiJoseph 9 ай бұрын
Naungana nanyi kumuomba mama atusikilize, Asanteni sana kwa uwakiliahi
@joycemaruwa9439
@joycemaruwa9439 9 ай бұрын
Safiiiiiii.❤
@rizikiedward7468
@rizikiedward7468 9 ай бұрын
Safi saaana❤❤❤❤
@consolatagunda5276
@consolatagunda5276 9 ай бұрын
Hongereni sana wenzetu wa Shinyanga kutuwakilisha vema.
@EzraMgaya
@EzraMgaya 9 ай бұрын
Album hii ilindwee kabisaaa
@YasinMwaimu
@YasinMwaimu 9 ай бұрын
Tunashukuru sana kwa ujumbe mzuri, mama nimsikivu sana amepokea pia michango mbalimbali kutoka kwa wabunge wetu. Nimatumaini yetu kikokotoo kipya kitaondolewa kitarudishwa cha zamani. Au walioajiriwa baada ya sheria mpya ya kikokotoo kupitishwa wao ndio wahusike nacho. Wale walioajiriwa kabla ya kikokotoo kipya walipwe mafao yao kwa kikokotoo cha zamani.
@lumpogige
@lumpogige 2 ай бұрын
uko vizuri
@peteremanuel7223
@peteremanuel7223 9 ай бұрын
Noma sana
@joycemaruwa9439
@joycemaruwa9439 9 ай бұрын
Safiiiiii
@rosemaryedward7655
@rosemaryedward7655 9 ай бұрын
Ahsante sana
@JethaDololo
@JethaDololo 9 ай бұрын
Hakuna Haja ya risala mei mosi. Asanten kuwasilisha kilio Cha walimu, naunga mkono hoja
@BeatusCharles-h2z
@BeatusCharles-h2z 7 ай бұрын
Nawaona mateacher wa Shy mnakamua
@sabinaBatholomeo-th5wt
@sabinaBatholomeo-th5wt 8 ай бұрын
Asanteni sana kwa kuupokea vizuri ujumbe wetu.
@gracemrefu2833
@gracemrefu2833 9 ай бұрын
Hongereni sana sana kwa kazi nzuri, muonekano mzuri mmependeza, mko very smart hadi raha.
@AnnaNdagiwe
@AnnaNdagiwe 9 ай бұрын
Hongereni sana Kwa wimbo nzuri serikali YETU ni sikivu Hakika tunaiamini kuna Jambo litafanyika ❤❤❤❤❤❤
@MELKIZEDECKMSUYA
@MELKIZEDECKMSUYA 9 ай бұрын
Chozi lilinitoka pale mwl alipoanguka chini kuashiria vifo vya wastaafu wanaokufa kwa presure baada ya kuona mafao wasiyoyatarajia, falsafa kali sana.
@cosmasjames-zg2jo
@cosmasjames-zg2jo 9 ай бұрын
Asante Sana walimu.
@AnithaMashulano-p5s
@AnithaMashulano-p5s 9 ай бұрын
Asanteni sanaaaaaaaa kutuwakilisha kupitia wimbo mzuri sanaaaaa. Mama tunaomba upokee ombi letu na shukrani.
@estheryohana3633
@estheryohana3633 9 ай бұрын
Kwa kweli hongera sana mtu apewe chake miaka 60 kitumika si mchezo cz unapunjwa, mama sikia tunakuomba ondoa kikokotoo
@judithjulius2313
@judithjulius2313 9 ай бұрын
Hongereni sana,tuna Imani na mama ataendelea kusikiliza maombi mliyoomba
@happyagwati1526
@happyagwati1526 9 ай бұрын
Hongereni wimbo mzuri sana
@subirakuhenga4069
@subirakuhenga4069 9 ай бұрын
Sana walimu wa shy,mmewakilisha watumishi wote nchini
@subirakuhenga4069
@subirakuhenga4069 9 ай бұрын
Very nice teachers
@subirakuhenga4069
@subirakuhenga4069 9 ай бұрын
Wimbo uwekwe pale japanese ,jambo tv❤
@EstherMagoma
@EstherMagoma 9 ай бұрын
Kut umetisha,huo muanguko ni balaa,lazima mama asikie, hongereni sana walimu,mko vizuri
@octavianmacha7739
@octavianmacha7739 9 ай бұрын
Safi sana
@judithkagembe3803
@judithkagembe3803 9 ай бұрын
Waooo hongereni sana
@witnesskihaga2241
@witnesskihaga2241 9 ай бұрын
WIMBO UWEKEWE LAMINATION
Wimbo wa historia ya mkoa wa Shinyanga(Official 4k video) - Shinyanga Teachers Choir
8:02
Kizazi Cha Haki (Official Video) - SHINYANGA TEACHERS CHOIR
8:46
Shinyanga Teachers Choir
Рет қаралды 2,5 М.
Who is that baby | CHANG DORY | ometv
00:24
Chang Dory
Рет қаралды 35 МЛН
ماذا لو كانت الفواكه حية 🥥🍸😜 #قابل_للتعلق
00:42
Chill TheSoul Out Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
Thank you 😅
00:15
Nadir Show
Рет қаралды 46 МЛН
Мем про дорожку
00:38
Max Maximov
Рет қаралды 4,4 МЛН
Je, unajua nini kilisababisha hadi sikukuu ya Mei Mosi ikaanzishwa? Angalia hii
8:17
Stewart Mwakasege   Jikubali Official Music Video
7:23
Stewart Mwakasege
Рет қаралды 5 М.
NANI KAMA MWALIMU? (Official Video)
5:40
Shinyanga Teachers Choir
Рет қаралды 786
ANASTACIA NYIMBO TAMU LAUNCH ADVERT
4:44
Anastacia Muema Updates
Рет қаралды 26 М.
Chama cha Walimu (Official Video) - SHINYANGA TEACHERS CHOIR
7:00
Shinyanga Teachers Choir
Рет қаралды 798
Bernard Mukasa - Niseme Nini (Official Video)
6:54
Bernard Mukasa
Рет қаралды 1,5 МЛН
Bluffhill SDA Church || The Foster Triplets || Worship on Wednesday
28:19
BLUFFHILL SDA CHURCH
Рет қаралды 513 М.
Mazingira (Official Video) - SHINYANGA TEACHERS CHOIR
5:44
Shinyanga Teachers Choir
Рет қаралды 177
Who is that baby | CHANG DORY | ometv
00:24
Chang Dory
Рет қаралды 35 МЛН