PR.PAULO SEMBA. TABU YA YAKOBO, UCHAWI WA YAKOBO, UJANJA UJANJA NA MUNGU ALIVYOSHUGHULIKA NAE.

  Рет қаралды 10,355

Petro Tumaini TV

Petro Tumaini TV

Күн бұрын

Kati ya vitu ambavyo hukujua ni kwamba Yakobo alikuwa anafanya uchawi katika biashara zake, na cha aajbu alidhani ni uchawi unamfanikisha kumbe ni Mungu ndiye aliyekuwa akimfanikisha si uchawi na ujanja wake. Somo hili litakudhihirishia namna ambavyo Mungu Anawabariki watu huku wakidhani ni waganga, wachawi na vitu vya watu wanaojiita manabii kuwa ndiyo vinavyowafanikisha.....

Пікірлер: 13
@NaomiStephano-sq7lu
@NaomiStephano-sq7lu Жыл бұрын
Mungu akubariki aendelee kukuimalisha nguvu za kiroho na mwili
@BahatiKazibake
@BahatiKazibake 7 ай бұрын
More blessings from heaven upon you
@francismwaipopo
@francismwaipopo 9 ай бұрын
Good message
@eunicebukokhe8983
@eunicebukokhe8983 2 жыл бұрын
Ndugu Yesu akulinde na akuhifadhi pamoja na jamii yako yote Amina
@shukuruosward7640
@shukuruosward7640 Жыл бұрын
kaz mtu mungu anaiona
@veronicamokiwa3455
@veronicamokiwa3455 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa SoMo zuri
@evieasher.4295
@evieasher.4295 2 жыл бұрын
Amina utunzwe na BWANA🙏
@BasiongeDanielamisibinEmmanuel
@BasiongeDanielamisibinEmmanuel 11 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana Na somo
@MaombiJofre
@MaombiJofre 11 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 2 жыл бұрын
Nimesikiliza kutoka Mwendakulima Kahama nimebarikiwa sana
@benardmaina7267
@benardmaina7267 4 жыл бұрын
Amina
@NaomiStephano-sq7lu
@NaomiStephano-sq7lu Жыл бұрын
Mungu akubariki aendelee kukuimalisha nguvu za kiroho na mwili
MAZITO ALIYO YANEMA MCHUNGAJI PAUL SEMBA(siku ya 21)TAZAMA
59:16
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
SOMO: TABU ZA  YAKOBO
2:42:54
Mzee wa upako
Рет қаралды 3,4 М.
WATU KUINGIA KANISANI UCHI..DAH!! NI MAAJABU.///@mch. Moses Magembe
7:33
🔴#LIVE: TAR 28/12/2021 - PAMBANO LA MWISHO:  PR. PAUL SEMBA
2:07:10
MCHUNGAJI AAMUA KUSEMA YOTE (MCH,PAUL SEMBA) siku ya  18
48:43
TUSIIKOSE SAFINA - MCHUNGAJI PAUL SEMBA
1:17:18
ORIONe TV
Рет қаралды 4 М.
TUKIO LA KUTISHA LINAKUJA-UMEJIANDAA?-PR. MMBAGA
59:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 144 М.
🔴UMOJA KATIKA UTUME  :SEHEMU YA 2 || PR PAUL SEMBA
33:03
Tossy TV Network
Рет қаралды 1,9 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН