Nakapenda sana haka kabinti jamani kalinifanya nilipende jina Precious Mungu ni mwema kanipa mtoto wa kike nimempa hili jina naomba Mungu amkuze vyema
@fatumaNalyona4 ай бұрын
kweli kabisa 🎉❤
@RachelOtieno-l8q3 ай бұрын
Kapo vizur nam alinifanya nimpe mwanangu jina hili mana pindi nasoma hapo nilikua secondary nae alikua primary uyo mtoto nilimpenda bure alichangamsha sana shule yetu hiyo
@Eva-f4n2 ай бұрын
Amin sana
@alfredkimea327Ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@CesiliaRyimoАй бұрын
Ndio amemaliza st Ann's mwaka huu na anmerud pale pale kusoma secondary Yuko vizuri
@davidviz_world4 ай бұрын
God fearing,,,beautiful and persistent in all round 🎉🎉 what a girl❤
@MelaniaTluway2 ай бұрын
Love her
@mariamtoi58054 ай бұрын
Wow ! Precious wewe ni mwenye kipaji sija wahi ona in my life❤❤🎉🎉😊 what a great girl
@MwamviterMichael13 күн бұрын
Nawakubali sana dad mie na shemlake mmeupga mwing❤️❤️❤️❤️ni mwendo wa komeshaaaah❤️
@WitnessMfoy-o5q4 ай бұрын
❤❤❤❤nakupenda sana P hongereni kwa kuitimu👏❤
@CarenJavengwa4 ай бұрын
Woow...I really love you ❤ girl you are so active...May the Lord continue blessing you
@vernonmccormack36015 күн бұрын
Go deh, Go deh, Precious. 💃🏾🌹💝 watching F---- Jamaica 🇯🇲🎺📢🪘🎤....🌹beautiful audience 🌹🙏🏾
@brownjulius8514Ай бұрын
Ubarikiwe na mungu akupe maisha marefu, nimebarikiwa na nyimbo hiz Zina ujumbe mzuri ❤❤ 🎉🎉❤❤