I really love this my prezo, kwani with all these wisdom prezo. I will Miss you a lot when you retire.
@massawejacob2 жыл бұрын
Mh Rais Uhuru ...umeleta UHURU Kenya ! Kenya Huru Kwa UHURU....ulipokubali hukum ya David maraga ! Big up sanaa
@massawejacob2 жыл бұрын
You have been the Greatest Tinga Tinga ! Of our Time
@leonardmeshack26613 жыл бұрын
This will remain one of the best speeches by President Uhuru Mwigai Kenyatta
@benardmotari58803 жыл бұрын
President Kenyatta,May God bless you for your openness and truthful. Thank you My President all the time. Only Idiots will think of opposite electing Useless ethnic profiler's of other people.
@fredrickwere93653 жыл бұрын
A united Kenya is what will bring development to its people. We thank God for such an initiative.
@earlybird._2 жыл бұрын
Thank you my president coz you haven't gone back you still holding on to what you said one united Kenya that involves each and everyone.
@marylynwairimu81313 жыл бұрын
Such a wonderful president..I wish we can just give another chance to lead Mr President
@BrianIsaacbrayodigga4 жыл бұрын
So much wisdom
@MrRage30004 жыл бұрын
9 trillion debt with no clue on how to pay is not wisdom
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Kuangalia vile taifa letu lilikuwa limegawanyika na sasa tuone namna gani tuwe pamoja. Nikaona nitafute ndugu yangu Raila Odinga tuone namna gani tukae pamoja. Hongera sana Mh Uhuru. Mimi sina chuki na mtu yetu.
@labanlokoro21124 жыл бұрын
When I see this I'm about to shade tears Kenya akuna mtu anafikiria vijana wa Kenya walisoma adi sasa hakuna kazi.. Kenyan youth wake up
@johnkyalo18673 жыл бұрын
Hi cuz nimekuweka kwa
@FMercuryEA4 жыл бұрын
H. E. President Kenyatta is a wise leader. He is Wisdom packed. He doesn't take street level incitement like many would. He relies on scientific choices to determine his cause of action. The president's advice doesn't come from bars and social gatherings but from a system gathered, formulated and employed to do so.
@amosopile23723 жыл бұрын
Nice words Mr president,,, I love u
@norahkemunto26293 жыл бұрын
God bless Kenya may those words come a live,mungu kamuweka tena huyohuyo mungu kasema God bless Uhuru ameni
@eliasdilandasafisananapend94272 жыл бұрын
Safi sana maneno yako nimekupenda sana kuwajali wananchi wako
@ignatiuszippyatuma45524 жыл бұрын
I support handshake!!
@phannyshiggs54724 жыл бұрын
Me too
@jojiras54054 жыл бұрын
i feel sad for my beloved country kenya. Politically i dont think we stand anywhere in the map.
@judyncororo61403 жыл бұрын
Hi Mr president uhuru our father God is with all of Kenyan please God come with your holy spirit God bless all over of the world Amen
@evelynomwenga8234 жыл бұрын
Speak louder Mr. President
@danielk29064 жыл бұрын
If Kenyatta family and moist families have been in power.. It was them as families not community.. They are not the community ....
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
He was responding to those tht were saying in msambweni tht thy are fed up wth some families.
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
Frm Germany 👍🏼👍🏼👍🏼 tht takataka brigade wamekuzoea Sana. Wanakutukana msambweni the Rogue Ruto anacheka Ka Fala akipiga Hi 5. then ukijibu wanasema ni ukabila. Infact the presidency inafaa ku rotate hata wengine pia waonje kiti ya urais.
@badenbensoni75164 жыл бұрын
Good speech
@Helen-yj1sn4 жыл бұрын
Hapo Hapo. Mr president. You have talked. Other tribes should be given a chance.
@eyangannatong85193 жыл бұрын
Facts remains facts my able President
@ceciliaogola55974 жыл бұрын
U have spoken
@rosekavindu30224 жыл бұрын
Kama sio ruto singekujakuha unajua unatoka setaes unaenda nyumbani kwaheri baba
@hochiminh98844 жыл бұрын
I support this Mr president. Hatutaki kudanganywa kipumbavu ya hustler. Kenya is a tribal country na lazima kabila zingine ziongoze
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
👍🏼👍🏼
@philipgatu44084 жыл бұрын
Bwana president... nyumba AKO imekushida n nn unasema SASA nkt!
@peterkihara9407 ай бұрын
Mjinga wewe
@meshacklenaisimoi9314 жыл бұрын
You are true Mr President 💯, let's test leadership from other tribes too.
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
👍🏼👍🏼
@nancykinuthia25084 жыл бұрын
Mr president u are in good terms with ur brother Raila.Just tell him to accept defeat after election thats all si lazima referedum
@schofieldodhiambo79574 жыл бұрын
Raila hajawahikushindwa uchaguzi hata Moja. Anaibiwa in every election circle. How can someone accept defeat wakati hajawahishindwa??? Let the playground be levelised and referee be well structured ili mtu akishindwa iwe rahisi kwake kukubali Matokeo. We don't need unverifiable elections halafu mnataka mtu akubali Matokeo kirahisirahisi hivo. Even if it were you, I'm sure usingekubali. There's nothing wrong with Baba. Baba anataka haki.
@alfanm.82214 жыл бұрын
@@schofieldodhiambo7957 point
@mwas42994 жыл бұрын
@@schofieldodhiambo7957 Sasa unataka tufanye nini mm Raila awezi kua president wangu beta niende Tanzania
@samuelmumbi27782 жыл бұрын
@@mwas4299 anzaa safari ama uelekee sugoi Baba is the 5th
@eliudlumwaji78974 жыл бұрын
My deepest sympathies to the Mudavadi family,Mama Hannah was an icon,a great loss to the avakivembe,the larger maragoli family and the country. RIP Mama Hannah.
@hammybtv4 жыл бұрын
Simbaa simbaa simbaa you are in charge and I support you Mr president
@mzeeloshilumollel71204 жыл бұрын
Mi Mtz lakini kwa kile Uhuru kamalizia I like it anajua alikotoka na anajua aendako Kongole Uhuru
@juliuamaritim52453 жыл бұрын
Good speech my president
@husseinshahibu35744 жыл бұрын
safi baba umeongea ukweli kabisaaaa
@badimbwambo63113 жыл бұрын
Katika East Africa Uhuru Kenyata ni Kiongozi Shupavu sana ktk suala la Demokrasia Atakumbukwa kwa Uvumilivu wa Kisiasa
@iddbaya42253 жыл бұрын
Bt ametusitesha vya kutisha hata akaamua kutuletea magonjwa.
@gracecharles75113 жыл бұрын
Vizuri sana baba haki kwawote
@mpendaamani13324 жыл бұрын
The lion has spoken
@mpendaamani13324 жыл бұрын
You right Mr .president for the last 60yrs we have been led by only 2 communities,We have 43 tribes.kenya sio ya wakikuyi and kalenjins .tumekataa
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
,👍🏼👍🏼
@abdikhadirharet98724 жыл бұрын
my president
@rechealmugure91984 жыл бұрын
Daktari wagoma wagojwa wanalia hamtapata amani na hii siasa ya uongozi tu
Who started dividing Kenyan, tell the truth and be ready to go home, usitubebe utoto, God is our father who will walk with us but not you mr president.
@marynjenga56534 жыл бұрын
Am sad about my country.
@Smartmoney2542 жыл бұрын
@ 4:43 Uhuru gives a clue about the 2022 president listen carefully and also mentions mudavadi and muda adi is in the government as of now
@alwattanchinga4 жыл бұрын
Hahahah tumeelewana mr president, thank you
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Umoja wetu sisi kama Wakenya.
@benardnyanoti26543 жыл бұрын
Ukweli kabisa Rais
@directorgeneral95034 жыл бұрын
So powerful speech from the president, this is the way to go we have been lead by two tribes for a long time. There's a serious need for a change to other tribes.
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
👍🏼👍🏼👍🏼
@violetatieno5773 жыл бұрын
Ukweli jamii ni mob 👊👊👊👊👊
@jacksonkariuki99654 жыл бұрын
You are chosen by God my friend
@gefreymtalo56132 жыл бұрын
NOMBER 1 AMANI NOMBER 2 AMANI NOMBER 3 AMANI KWANZA
@lawrencenjagi68684 жыл бұрын
Was that fact (only two tribes have held the presidency) unknown to him when he was running in 2002,2013 and twice in 2017🙃.
@vincentnyawa3 жыл бұрын
Jamii za Kenya ni nyingi, labda huu ni wakati wa jamii nyingine iongoze. Jee, nyinyi wakenya mmesikia hayo ama ni mm ndo nimeelewa peke yangu? Swali tuu.
@gideonkariuki84994 жыл бұрын
Kudos Mr President.
@kennethkimani24114 жыл бұрын
Sawa kabila ingine iongoze,nimeitikia
@nonniedejosef80834 жыл бұрын
Kupedana sio baya but izo slogan ZINA VITUKO SANA...... Mulisema wawili mkAdhani tumejua ss tulisikia hndshak, handshake ni Tax ya wakenya.
@williamita58084 жыл бұрын
There is no single individual who is bigger than another neither is there any single individual bigger than all of us. We are equal to one another. So mr. President wacha kiburi at you are in control, no body can lecture you. Let remind you of proverbs 22:15 the living Bible version. A fool person thinks he needs no advice but a wise man listen to others.
@susankiragu-klotz48924 жыл бұрын
The lion has spoken.Any questions?
@mwas42994 жыл бұрын
Atumtambui
@nelsonmoreka69294 жыл бұрын
Very lazy talk,how do you unite united people, coming together is not a problem ,the problem is lack of practical solutions to corruption and unemployment.
@directorgeneral95034 жыл бұрын
What do you mean about employment? Tafuta kazi ukitafuta itapatikana Waja hasira. The president is right there's serious need for rotation for presidency we have been ruled for two tribes for too long!
@nelsonmoreka69294 жыл бұрын
By unemployment I mean neglecting industrialization and wasting alot of money to bring hungry people together. By the way I have a good job and a business too,but it's not good to see our young people graduating and becoming hopeless.
@mwas42994 жыл бұрын
Atuwezi heshimiana n'a mulikula pesa za Corona
@simonkariuki82173 жыл бұрын
We kwenda choo pubafff
@commentsthatwillannoyyou98734 жыл бұрын
Hii ni mazishi au campaign?
@edwinokello46904 жыл бұрын
President Uhuru stands for inclusivity,co- existence, zero corruption and equity. That's the big problem he is with others.
@davidkitoch61303 жыл бұрын
Baada ya kumaliza tamu Yako!
@felixlagat71854 жыл бұрын
Ni ukweli president,,,lakini uliiba pesa ya corona
@mwas42994 жыл бұрын
Point
@bramweljuma3963 жыл бұрын
Uhuru mwachie ruto bana
@suleimanjannabo3134 жыл бұрын
Thanks and be blessed. Just waiting 2022. Joho is the next president
@johnkihwaga53764 жыл бұрын
My friend history repeated by itself na mtoto wa nyoka ni nyoka so wakenya wako na history ya Kenya mostly wakikuyu wanajua kwa undani sana
@ms.binabibie64734 жыл бұрын
So jamii inatawala ni mtu anatawala, mawazo potovu. Hivi Sasa ni wewe unatawala, si wakikuyu
@kensuccii3 жыл бұрын
Hio microphone inakuanga na shida gani
@robertkirui8581 Жыл бұрын
kweli matatu ya Ruto
@kibetmiteiezekiel9163 жыл бұрын
You were telling Ruto.
@khadijamohanani64764 жыл бұрын
Dah Leo muheshimiwa umenifurahisha. Usione simba amenyeshewa na mvua ukadhani ni paka. Hahaha ujumbe umewafikia hongera
@eevansnnyongesa33433 жыл бұрын
Mm najua hauamini kaa umemaliza term yako inauma bt itabidi uzoee
@lilianchristensen51984 жыл бұрын
U.D.A. WELL COME TO KENYA 2021 POWER TO HUSLET NATION MAY GOD BLESS U.A.D.
@charlesngatia65214 жыл бұрын
Na ndiposa twasema enda nyumbani rais .
@wondererinfinity10594 жыл бұрын
Division at the deepest level in darkness.
@tumboboigrandmotherssacco28093 жыл бұрын
Work hard to contribute towards uniting Kenyans to get the best leader who can deliver best on all kenyans
@kibetmiteiezekiel9163 жыл бұрын
Kusema sema chenye hujui....
@milkahmakuru24604 жыл бұрын
Si tuuze kenya nipewe zangu ata niwe lost son rather than kujikaza na hizi shida
@petergachie66614 жыл бұрын
Sasa huyu naye nani alimuloga
@emmanuelk.30674 жыл бұрын
the most cluess sob
@tinamueni56014 жыл бұрын
Is that the president we have? Kenya kuna shida kweli.
@margaretmwadime60494 жыл бұрын
Mr. President u have failed us Kenyans
@alitiller46464 жыл бұрын
Lakini hizo vitisho ni baridi sana😂😂
@MJ-wi2bf2 жыл бұрын
And now🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@stephenkamau45353 жыл бұрын
Time hii tupatie wajaka uongozi bwana
@nalasnal35814 жыл бұрын
Wacha hasira, uliambiwa kwa grou mambo ni tofauti and you assumed by listening to your greedy advisors. I regret having given you my vote
@onyangoboncu54012 жыл бұрын
We're busy thinking on how to stabilize Kenyan economy and you're busy regretting your 5yrs ago vote, it's absolutely very clear you're out of your mind
@kibetmiteiezekiel9163 жыл бұрын
Kulecture mimi
@stevewambua97294 жыл бұрын
Siasa utaki kwasababu unaenda nyumbani
@abdiabdi79152 жыл бұрын
Raila na rutu na uhuru kenya tta atakuwa rais wakenya
@belongdgdyg56373 жыл бұрын
Serikali hii yako Ni ya njaa Na bado ni njaa 2
@lukekibaliofficial84443 жыл бұрын
Hatespeech Mr president...... Sisi tuko kimoja sijui unaongelea umoja wa nani na nani.......wewe ndio haina umoja na watu wenye wanakuzunguka ....mbona msisalimiane na ndugu yako ruto.....ongoza kwa vitendo na uache chocha....wewe ni kiongozi bana
@evansnyandika49602 жыл бұрын
sm
@charleskipyator92094 жыл бұрын
Sasa umeaunganisa ama umeatenganisa
@schofieldodhiambo79574 жыл бұрын
Kuunganisha haimanishi kwamba wooote Kenya watakubali kuunganika. There must be defiants if the president can succeed in rallying many many KENYANS behind him than those against him he shall have United kenyans. Kwa sababu Sauti ya wengi itakuwa ya wakenya wanaongea lugha Moja. That is the meaning ya kuunganisha wakenya. Sasa kila mtu wanapewa nafasi ya kuchagua upande wake. For DIFIANTS or FOR PEACE AND UNITY.
@alfanm.82214 жыл бұрын
@@schofieldodhiambo7957 point
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
@@schofieldodhiambo7957 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@hassanmohammed89842 жыл бұрын
UNITED MR. PRESIDENT MEANS SUPPORTING BOTH RUTO AND RAILA
@hassannasir45612 жыл бұрын
Rais kenyata🤲
@vicandew80144 жыл бұрын
'kimundu kimuguruki',mapepo,shenzi nyinyi and other memorable quotes.nayeye akiandikiwa barua ana waka moto.
@Shixc-s3x4 жыл бұрын
Wasn't he abused in msambweni in front of DP yet tht criminal was laughing? I dnt live there bt I was watching online. Those takataka brigade started it saying thy are tired of some families leading tht country. U expected him to keep quiet. He responded to them.