Prof. Kabudi: Ripoti ya Human Rights Watch imetiwa chumvi

  Рет қаралды 1,177

DW Kiswahili

DW Kiswahili

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 10 сағат бұрын
Huyu kabudi ndio liye'kuwa waziri wa sheria enzi za Magu hadi magu kafa na damu za watu, mpuuzi sana
@VeryMnyakiwele-j1p
@VeryMnyakiwele-j1p 11 сағат бұрын
Hao human rights watch ndiyo waliruhusu barakoa zenye vimelea vya covd 19 Leo watatuambia Nini tuwaelewe etiii
@SaneMwezi
@SaneMwezi 11 сағат бұрын
Human rights watch wanajifanya wanjua wakiwa TANZANIA sio gaza au Lebanon wanakufa njaa ujinga tupuu
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 9 сағат бұрын
Yani hawa marekani ni wachochez sana ila mwisho wao na vyombo vyao kama dw bbc watapigwa na urusi na haki itatawala dunian
@festokemibala5832
@festokemibala5832 12 сағат бұрын
Kwani ukweli au chumvi ya wastani au stahiki ni ipi? Kabudi tufahamishe hapa hiyo chumvi ulinganifu wake
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 10 сағат бұрын
Hawa wajerumani ndiyo wafadhili wa cdm tunawajua mbona Israeli inaua watu bila hatia Dw hamlisemi hivi vyombo vya habari vya magharibu vinatumika kuiharibu africa ili tuuwane sisi kwa sisi
@BernardMutaremwa
@BernardMutaremwa 11 сағат бұрын
hawa wakina kabudi matumbo yao tu wanachumia kwani waliyoyaona HRW mbona yalikuwa yanatokea mchana kweupe? waache tu Mungu atawahukumu kwani hata wakiongoza kiubabe mwisho si hukumu halali ya Mungu.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 11 сағат бұрын
NYIE HUMA LIGHT SIJUI RITE SIJUI LITE, UKO PARESTINA, LEBANON, SYRIA, HAMUONI NYIE MNAONA MNA HAKI ZA KUUWA WATU ? , KWANZA HUU MCHEZO MNAUFANYA WENYEWE NA HAO VIBARAKA WENU ILI MVURUGE NCHI YETU, MTASHINDWA hii ni TANZANIA siyo GEN_Z.., AIBU YENU !!!
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 14 сағат бұрын
Israel anahaki ya kuua na kuzuia misaada ya madawa vyakula mbona human rights hamuoni?
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 14 сағат бұрын
Mnete uliza Israel Kwa nini wazuia misaada Kwa wahanga huko Gaza
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 19 сағат бұрын
Hapa naona ku a umuhimu mkubwa wa kuchunguza vizuri.Sheria,mila na desturi kusije kuwa na kichaka cha watu kujificha katika Sheria mila na a desturi. Pia prof anasema kama hujaridhika unaweza kwenda Mahakamani sasa je mtanzania wa kawaida akionewa, je ataweza kwenda mahakamani kutafuta haki yake mbele ya jamuhuri pesa hzi za kusimamisha kesi angali kula yeke ni shida atawezaje.
@SaneMwezi
@SaneMwezi 11 сағат бұрын
Hauna miguu nenda mahakamani ukafungue kesi wakuonee ndo uludie kuandika huo upuuzi
@danielmakubowatz
@danielmakubowatz 13 сағат бұрын
MNETE UNAPOTEZA MUDA KUMUOJI HUYO MTU TANZANIA NI BANANA REPUBLIC HAKUNA DEMOKRASIA NI UJANJA UJANJA TU.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 12 сағат бұрын
😂😂
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 27 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,9 МЛН
ZANZIBAR FORODHANI, AFRICAN CUISINE RESTAURANT LUKMAAN
7:57
Jehufamily
Рет қаралды 15 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Why the U.S. Military Is Reviving Abandoned WWII-Era Airfields | WSJ
6:55
The Wall Street Journal
Рет қаралды 874 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН