Singeli kama haikupigwa na Mesen Selekta siwezi kuiskiliza 🤝🤝
@user-od3fv4zb8uАй бұрын
Inawezekana kutoka homeless to millionaire
@user-be8do1zz5o5 ай бұрын
2024 mesen anapig bit aise so poa
@lilianpeter3950 Жыл бұрын
Mungu akuponye urudi tena kazini bro 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@e-tvnews9231 Жыл бұрын
Pona kamanda Wangu pona haraka baba
@haroonmarco490 Жыл бұрын
Niwe mkweli tuuu, huyu sholo ni noma sana kwenye huu mziki, hii ngoma ni ngom pendwa kwangu miaka oote, huu ndio mziki sasa wa tz
@hassanimapanga70244 жыл бұрын
2020 tujuane apa hili goma lilikua noma sana
@kweziibrahim33748 жыл бұрын
duuuuuh prf j we nomaa bhanaaa ndo kazi yakooo iyooooo
@Tyger23ihhv Жыл бұрын
Music 🔥 from soomalia 🇸🇴 2023
@idrisaathumani48913 жыл бұрын
Hili singeli la karne qmamake ✌🎶
@KissaDonald-lo9co Жыл бұрын
Ngoma kali
@ibrahimshembilu86588 жыл бұрын
J and sholo ni noma
@kiddyadams8 жыл бұрын
Wamitulinga toka geto hadi mjengoniii, ahahah singeli next level..Big brother kama kawa mh. Wazungu wanaicheza huku..chini kwa chini...very true lets live our dreams inawezekana.
@ajbakari7622 жыл бұрын
Salute kwako zee la mitulinga, ujumbe umefika
@SweetAniimal8 жыл бұрын
baada ya miezi mitatu, utakua haukamatiki huu wimbo🔥🔥🔥
@prolynenancie8 жыл бұрын
Kazi ni kazi brother...Kiswahili tu kiko sawa..
@jonaskilomba40943 жыл бұрын
Namkubali Jay mpaka kesho
@gaspakauki17188 жыл бұрын
Kazi kazi Big up prof j.
@mwanakendra3 жыл бұрын
Kazi safi 🔥🔥
@muniracheusi9955 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi uinukiwe
@innocentandrew73178 жыл бұрын
🔥🔥🔥hatareeee hatareeee kisingeli ndo mziki we2!!kazi kazi kazi
@sandboyke7 жыл бұрын
wamitulingaa,,,moto tayari ushaa uasha,,,zidi zaidi kuupepetea,uko juu bwana,from kenyan boy,sand boy.
@kaloymlambi80388 жыл бұрын
Kazi Kazi,maisha kama kioo ukisema haufeli,,,haufeli kweli
@mwinyimvuanzukwi19217 жыл бұрын
Kweli kazi kazi. Big up mheshimiwa kwa kuendelea kuihubiria jamii zaidi ya watu wa mikumi. Ngoma ipo poa sana.
@chiefndatu18952 жыл бұрын
Kile kidem cheny njano hatar san kweny chamgando🙄😍😍
@sirgomahojoa9698 жыл бұрын
weraaaaaaaaaa kazi kazi mzazi kama unagetho mwanangu onesha funguo
@sospeterchambo6996 Жыл бұрын
Wangap tumekuja kuichek hii ngoma baad ya kusikia plofes jey anaumwa san
@johmassawe21545 жыл бұрын
Nakubal sholo
@yusufjuma2648 жыл бұрын
nice song Professor Jay wametulinga
@AliHassan-ht7ug8 жыл бұрын
I salute you from +254 wataelewa tu. Prof Jizze, ujumbe umepokelewa huo.
@mugishamutalemwa91918 жыл бұрын
Jasili hakosi asili mkuu... Kitaa mpaka mjengoni na bado upo kitaa na masela.... Big up bro
@runsheegmediaa59903 жыл бұрын
Greeting from 🇸🇴 somalia 🇸🇴
@richardmbwilo383 жыл бұрын
Upo vizuri sana kiongozi
@emmanuel17794 Жыл бұрын
Yapita
@tompatel8498 жыл бұрын
hii ngoma ni noma sana. naikubali mno na always prof Jay a.k.a the Great Sage, huwa hakosei na habahatishi hata kidogo. saafi sanaaa Honourable prof Jay(Mp).
@martharobert448 жыл бұрын
profesor juuuuuuuuu yan ili gomaa ni xhgdaaa kaz kaz kaz
@sashalamar82158 жыл бұрын
nice one mheshimiwa nakuamini tangu
@omarbongo39758 жыл бұрын
Ukubwa kweli dawa.salute wa mitulinga🙌
@RoseMary-hp5bz8 жыл бұрын
aaanhaa wanachezje sengelii
@georgeosodo6168 жыл бұрын
Bonge la ngoma,safi sana mheshimiwa,safi sana sholo mwamba.
@gmsuya2448 жыл бұрын
Daaahhhhhh!!!!!!! aiseee hy video sasa @Msafiri unajua mpk unakera sasa big up sana bonge la ngoma
@clementjackson608 жыл бұрын
my African ppls
@briantusu.89388 жыл бұрын
professor kazini.....haya basi, wamwagie sumu.
@elishasanga26048 жыл бұрын
hongera sana professor j kuwaamasisha vijana kupitia nyimbo wanazo zpenda
@vianeyminja94308 жыл бұрын
mensen selekta we ni shida hapa mjini... du!!! heshima yako jombaaaaa......
@zkiduku40684 жыл бұрын
kama unamkubali mbunge paka sasa 2020 gonga like twende sawa
@aminambarka90204 жыл бұрын
Tuwekeee dude la uchaguzi boss
@mamawanyumba1038 жыл бұрын
weee!!!!.....:'(hip hop ya kisingeli👌👌👌👌profjize umenishinda baba lol!... nimeipenda
@antidiusrwehumbiza39608 жыл бұрын
kweli we prof...... idea mupya na ujumbe nimepata hakuna vya bure , ndoto zinafuatwa hazijileti eti wow!!!!!
@godfreychristopher47338 жыл бұрын
Singeli ndo habari ya mjini
@mikemnyamwezi78565 жыл бұрын
Hoi babaaaa..!
@mauabahari8 жыл бұрын
Hapa muheshimiwa ume malizaaa, ujumbe burudani yaani ni full package 👊👊
@carterkb178 жыл бұрын
Tiiishaaa sanaa
@yusufjuma2648 жыл бұрын
yani i really enjoy this song unapata ijumbe kabisa nyimbo inakufurahisha big up Muheshimiwa
@tanchmogha26638 жыл бұрын
daaah bro ivi niwewe daaah umeshusha siv kwa % kubwa
@carterkb178 жыл бұрын
#Mwendo wa singeli
@adbdulkadir.aden.56043 жыл бұрын
254 namkubali process jy
@richardmaxmilian75748 жыл бұрын
daaah bonge la ngoma mpk choz linanitoka jinc nyimbo ilivyonikolea pig up jay
@kaimbamustafa8 жыл бұрын
Hakuna kibaya hapo mi binfsi nimeupenda kunzia audio hadi video. Kuwa Kiongozi haimaanishi kusahau fani yko
@Xtrememusicincorperation8 жыл бұрын
nakucheck Mr mp, love from Uganda
@mariamunishi41233 жыл бұрын
Tujuane tuliorudi apa July 2021
@jildow45338 жыл бұрын
Hii ngoma nimehikubali sanaa na kuwatakiya mazuri Professor Jay ft Shiolo M..
@mudaafricadance25818 жыл бұрын
Duh! upewe u proffessor officially!
@clementgeorge54867 жыл бұрын
duh aisee pamoja sana sholo mwamba akiw na mwanaume wa mjengoni
@stanslauskayombo18018 жыл бұрын
Vitu vizuri sio mpaka sauzi kumbe, Bonge ya Video
@p.b.mghettoking25978 жыл бұрын
lol!! watanzania bwana lol!! nyinyi ni noma mnakata mauno mpakaa.....mwaletea watu...!!!
@kilagane1838 жыл бұрын
saf sana ngoma kali, umekuja tofaut kabsa saf sana
@TheKEprince8 жыл бұрын
KE ,TZ kazi kazi... hii imetisha. this how u fuse hip hop with East African culture. kazi safi
@emanuelvintan93958 жыл бұрын
mesen heshima yakooooooooo, kwa ubunifu wakoo, singeli ndan ya internationally
@haddysophiasson75308 жыл бұрын
hiphop singeli hiyo dah noma sana le professor
@miltonemusumbah25448 жыл бұрын
Huyu si yule prof tunajua. Vua suti, rudi pigs hip hop ya ukweli
@jimmyjames15448 жыл бұрын
swada kitaaa
@adbdulkadir.aden.56043 жыл бұрын
Namkubali mbunge wa mikumi mkoa wa moro
@mamawanyumba1038 жыл бұрын
watu wa singeli sauti za fanana... nlifikiria manfongo
@saulmwakyusa10018 жыл бұрын
hata mm nilijua man fongo
@lmentertainment51868 жыл бұрын
Mzee unapotea sasa,,,mi shabiki wako sana ndo mana nasema kweli,,, labda baadae itakaa vzr maskioni na machoni mwangu ila kwasasa duu
@jmvuna27925 ай бұрын
Mwamba jitahidi kutotumia hadhara ya watoto, unaa kizazi
@MtafutajiOnline8 жыл бұрын
najua umeangalia wapi vijana wapo wengi kwasasa big up ila vp unabaki huko huko au
@tumpiliksye8 жыл бұрын
Tanzania harisi top to bottom.. Hongera sana MP
@moseszuma30467 жыл бұрын
aisee wanawake wembamba no nyaya,hizo ndo nakulagaaaa
@bahathmsola27908 жыл бұрын
prof yuko vizuri sana toka enzi hizo namkubali sana
@victormhaiki76338 жыл бұрын
Ipo poa sna nyimbo km ikawa hv singeri itafika mbali big up prof j mzee wa mitulinga
@rashidijongo9728 жыл бұрын
hatari sana brother.... salute professor Jay nimeelewa sana hii ngoma Kweli kazi kazi
@twahamtumbi65278 жыл бұрын
safi sana sholo na jay
@yusufjuma2647 жыл бұрын
2017 and forever still hits Kazi kazi Hapa kazi tuu
@chachajames35147 жыл бұрын
Professor jay shujaa anapiga kazi... kweli juhudi kafanya ndoto ziwe!!
@nuumaniiddy68888 жыл бұрын
kweliiii....kazi kazi kaziiiziiiu
@neemapeter60097 жыл бұрын
Tupeni cha ukucha maisha magum piga kazi singeli naipenda sana hii
@stanleymwaikambo14608 жыл бұрын
Bonge moja moja la joint, vide imetulia kinoma poa! Its all about Hip Hop! Creativeness is the sea
@nambizzy16058 жыл бұрын
Kichupa chamaaaanaaaaa kiwapajoto watoto wadogo
@rajabumwanaupanga44308 жыл бұрын
Mzee wa mituringa profesa umetisha...
@adamjairos68158 жыл бұрын
hapa kweli kazi
@yackobosasati43057 жыл бұрын
sana prof j ngoma nimeilewa sema nini usiichie hapo kuusapoti music wa singeli niite GM sasati
@zendalski756 жыл бұрын
Kind regards from Macedonia!
@jamessospeter60108 жыл бұрын
big up bro umegusa eneo muhimu kabisaaaa
@madaiincubationcenter49478 жыл бұрын
Hii ni singeli ya kwanza mimi kuipenda sikuwwahi kupenda singeli ila hii imekua na ladha na ujumbe mzuri na imeshawishi vijana kuepukana na uhuni na kushawishi wafanye kazi, kila laheri mfike mbali kama Pr. J wa Mitulinga
@dkim71907 жыл бұрын
naikubali kweli hii ngoma!!!! KazI....kazi kazi kazi!
@frankmanga37218 жыл бұрын
kweli kaza kazi
@jacoblukwembe80918 жыл бұрын
Kazi kazi tu
@MrJimzpita8 жыл бұрын
kama kawa mzee wa mitulinga! Hujawahi kutuangusha mheshimiwa Jizze. kazi safi. Tunakupata Dubai!!