Kinywa cha mzee kinanuka ila maneno yake yanaponya Kama umeipenda hii panch line Gonga like twende sawa All the way from mombasa kenya Pro jay welcome back!!?
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
Ipo gud kwel
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@Omwakabin_Okoti3 жыл бұрын
Wengine wamekuja Nairobi juzi .... Mtatuambia nini sisi wenye tumezaliwa hapa. Wapi likes za wakenya... Unawatch ukisoma comments. This dude still the real OG.
@kimbojunior17613 жыл бұрын
Tuko mbogi 😂👊👊
@erastusbaraka49403 жыл бұрын
Okoti....watawambia nn
@mstahikiafrikamedia3 жыл бұрын
Utaniambia nini..uliza mamako😜
@dinasusan56393 жыл бұрын
😂😂😂
@sandboyke3 жыл бұрын
Kama unamkubali professor Jay Kama rapper ambaye soko linamkubali mda wote akiachia mzigo,tujuaneni hapa team jay na likes,mikumi stand up!
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@sebastiaoromao68803 жыл бұрын
Harmonize a mevimba kama amelicha amila
@jeremyke47263 жыл бұрын
Umejificha sana,twangoja vitu mingi kutoka kwako.
@chanukastudios3 жыл бұрын
Kama unakumbuka zali la mentali,GOnga like.Love from Kenya!!!!
@antonywilgis15533 жыл бұрын
Kwa ngoma kali hii naombeni like 100 tuuu
@macmax77673 жыл бұрын
Unaomba LIKES za nini sasa wewe ni producer wa hii ngoma, director, ama msanii ??
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@mdl64633 жыл бұрын
Daaah nyimbo Kali Nyimbo nimeisikiliza mara nyingi Daaaah hii nyimbo imenikumbusha mbali sana Weka like hata 50 tu zinatosha 💪
@izoneoliver70563 жыл бұрын
Support yako mkali subscribe to nakuomba
@izoneoliver70563 жыл бұрын
kzbin.info/door/_4UvLN6fwIKghb6COnaXyQ
@macmax77673 жыл бұрын
Mzee unaomba support kwenye kazi za watu??
@yeboclassic90583 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bpPWkGyMfLuSZs0
@mdl64633 жыл бұрын
No ongeza juhudi na maarifa
@MAKC_2543 жыл бұрын
🇰🇪It's a Big tune........Kichwa Cha Kuku hakibebi daima mzigoo......nipe likes za Jay
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@mpinno21803 жыл бұрын
Prof ni prof tu kama pro muhongo yupo 100%
@chausikuelius12963 жыл бұрын
Mijengon nilikua na baba zako wengine Mama zako utaniambiaaaa nnnnnnnnnnnn
@princejere31563 жыл бұрын
Kenyan love,hizo mistari hatari sana Mr Mentor,mnipe likes nihisi vyema huku 254
@Cyluskenya3 жыл бұрын
Jay in his position again.wapi likes zake kutoka Kenya...
@geoffreyjuma61763 жыл бұрын
Jay in his position again wapi like zake a woteeee boom!!!!! Kutoka kenya.......
@amanisalim79393 жыл бұрын
Alie ikubal hii ngoma kama mm naomba like yake hawa ndowasanii wanao takiwa
@afrahnawas43843 жыл бұрын
Utaniambia nini 😜
@joharikashindye86553 жыл бұрын
Wimbo nimeuelewa sana
@zuberjuma25413 жыл бұрын
Oliver bilinass nakuball
@faridakhalifa36363 жыл бұрын
Iko pow san
@gabrielmrema33783 жыл бұрын
@@faridakhalifa3636 iko fine sana
@n.o.m43853 жыл бұрын
"wengi mnanyea mkono, siukati nauosha mkikua mtajifunza" "kinywa cha mzee kinanuka ila maneno yake yanafunza" hii nd real hip punch lines za kufa mtu
@geraldexperius93453 жыл бұрын
Nikwambie Nini Sasa...Utanambia Nini.....Safi Sana
@chrissjoel77523 жыл бұрын
*Wanaume pisi Kali mashauzi kama jamila* 🤒🤒🤒😂😂😂😂😂😂😂 Prof jizeeeeeeeeeeeeeeeee is back nione like zake APA
@samwelwilfred99063 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@zittotheniceone27693 жыл бұрын
There is no other artists in this dude's category. True legend.
@amrimwingwa9943 жыл бұрын
Definitely
@kidawahelson53543 жыл бұрын
Don't tell me this guy is Tanzanian 🤔🤔🤔🤔 kzbin.info/www/bejne/oKKThYZ3bK6Vac0
@zittotheniceone27693 жыл бұрын
@@amrimwingwa994 Shukrani kwa kulijua hilo.
@yeboclassic90583 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bpPWkGyMfLuSZs0
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@mwesigacredius98523 жыл бұрын
Kunguru hanenepi kwa jalala moja!!! Kula TANO za nguvu mzee wa zali la mentali
@johnbwire75703 жыл бұрын
Proff J - nilikuwa na baba zako....Jameni wapi likes za mkenya
@jennifermwongeli57593 жыл бұрын
Tanzania wako na wasanii wakali....wasaniii mpaka wengine waheshimiwa ...Alaaah kaliii...+254 guy
@nyirigirajbosco32503 жыл бұрын
Professor Jay first rapper in Tzd. Jamani kutoka zamani niriskiriza nyimbo zake . Mzee ni mzee kabisa ni muenyewe kipaji.🎤🎤hapa Rwanda.🇷🇼🇷🇼 Tunamupenda sanaaaaa.
@ibrahimmwachofi36013 жыл бұрын
Kenya🇰🇪🇰🇪 representing Mtaniambia nini
@kenethfred53663 жыл бұрын
Nina Siri nyingi nyeti Kama taulo la guest...😂 😂 Kama umeckia huu mstari ngonga like...rep +254
@felixlukongo96343 жыл бұрын
Na ngoma ya watoto haikeshi🤣🤣
@hadijalukas59593 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁mie tayari
@AishaAisha-eb9hh3 жыл бұрын
Walahi wewe ni mdaku🤣🤣🤣 hii kiswahili yote umeshika???? I love my country Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kenethfred53663 жыл бұрын
@@AishaAisha-eb9hh hahaha udaku haitaki uzembe tunaipakua jinsi ilivyo
@dokasalim9433 жыл бұрын
Utajiwa guest maana apo ndo unachezea watoto wa watu kaka 😂😂😂😂😂😂😂✔️
@yakutitv7273 жыл бұрын
Huyu mwambaaa anajua kinyama mpka kero
@mwambaadventures9383 жыл бұрын
Trend ina maana gani Kama mnapoteza dira ,,mziki kwetu ni ajira ,udwanzi unanipa hasira,,,, Asante professor, kwa kuwaona wapumbavu badala ya kuandika mashairi wako bize kwenye mitandao kugombania watoto wadogo
@itsafrikanah7693 жыл бұрын
Mzee habahatishi siku zote🔥🔥🔥🔥hii nzito, wapi likes za Prof J
@jamalahmed33963 жыл бұрын
Mashairi professor anayo, wimbo mmoja una mistari ya kutunga nyimbo kama tatu kwa pamoja ,aiseh salute kwake kama unakubali
@davidrobert2493 жыл бұрын
Noma kichwa cha 🐔 hakibebi mzigo nikwer
@celinelihaka23623 жыл бұрын
Wenye bongofleva yao wamerudi chaaa!!! I love this.
@bobdealan64973 жыл бұрын
El maestro, umesema kweli, sisi mashabiki zako toka CONGO DRC tunasema RESPECT Muacheni LIKES ZANGU hapo
@titongatia31003 жыл бұрын
Hii imeweza utaniambia nini
@daimakiganjani3 жыл бұрын
Mimi nimechelewa KUTAZAMA mashairi ya Professor Ila nataka like nitosheke tu na comment JINSI gani unavyomkubari mbunge wetu wa Mikum🙏🏾
@braitonymahelele80813 жыл бұрын
Kaka umefikilia vizuri. Ujumbe nahisi umewafikia
@kingabazu70073 жыл бұрын
@@braitonymahelele8081 Ikosawa sana.
@kingjrlinus29063 жыл бұрын
Nice hit
@paulpeter31913 жыл бұрын
I like this
@omoitwilliam5893 жыл бұрын
Standard. Ratili iko level ya juu.
@msemakweli3713 жыл бұрын
Achia Ngoma MKUSHI PROF, JAY. We waiting for bro, unajua unachofanya LEGENDARY MBUNGE NJE YA BUNGE.
@tispospoti43853 жыл бұрын
Kama bata nimekula zaidi yako utaniambia nini nipe likes za proffessa j he is back we will enjoy the music the music is lit
@SibomanaEzechiel-gj9vv11 ай бұрын
Kunakijama eti kaacha kuumba nakubajij bro
@paulshava53633 жыл бұрын
Outta +254 kibich number 8, I salute you Jay, Hapo vipi wakenya ngonga nipe like.
@Niru_b_tz3 жыл бұрын
Shikamoo baba,,kweli hili ni ngoma ya Wale wanaovimba vichwa ,wajue baba yupo gonga Like 10000
@bodyaman3 жыл бұрын
Kutoka Mtwara nawapa hai na nakukubali saana gwiji la mziki TANZANIA PROF.J
@grammosuspect-rainbowambas58743 жыл бұрын
"Mziki nilianza kitambo,shahidi mama yako!!!" Waambie na si tafathali. KING OF HIP HOP
@izoneoliver70563 жыл бұрын
kzbin.info/door/_4UvLN6fwIKghb6COnaXyQ
@redtrueeyes26833 жыл бұрын
Umenifanya niskize nyimbo nikiwa na pasi nguo ya mwarabu nikiwa nadundika tuuu team warabuni ama kiufupi team shagala tujuwane 💯👏👏💐
@emmanuelkomba1043 жыл бұрын
Mbunge ajaye kwa mara ya pili, kutelezeshwa sio kudondoshwa. Piga kazi mwamba na wafundishe watoto wadogo muziki.
@dullyninja47053 жыл бұрын
Kwa walotizama wimbo huu mara mbili gonga like hapa ✌️
@raphaelthomas25313 жыл бұрын
Nakukubali kaka mku
@engaboy...3773 жыл бұрын
Duh!!!!!! 🔥
@husseina.hassan86563 жыл бұрын
Mara zaidi ya mbili tunapiga wapi like?😅😅❤❤
@renathaaudax43073 жыл бұрын
Yahaaan kila saa nataman kuuangalia
@haroubabuu11443 жыл бұрын
kweny simu nikonayo na hapa pia naicheki tena
@anthonymashaka80753 жыл бұрын
Ukiongelea nyota kwetu sigara kali 🎵🎶🔥🔥
@justine42223 жыл бұрын
+254 KENYA....wapi likes za Mheshimiwa Professor Jay
@mufasastrato35063 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@edwinotieno94703 жыл бұрын
Tangu 1998
@humbleslym35953 жыл бұрын
Mngori👊🏾
@suleimansuleimanjuma93893 жыл бұрын
Hakuna wa kukataa kwamba jamaa hajui mh miwa noma sana balaa zito Xo tumpe heshima yake tu
@QualifyRefinedQualityАй бұрын
Amka East Africa kumekucha 🎉 kabla hujanisema toa jichoni mwako toa kibanzi ....
@dennismariwa99053 жыл бұрын
Mnakuja mnapotea Kama upepo hiki ni kipaji hazina ya kesho #kama unamkubal king of hip hop profesa j like zakeeee
@frankabdon76113 жыл бұрын
Nasiri nyingi Kama taulo la guest... Like nyingi kwenye mstari huo
@MileleFm3 жыл бұрын
#NgomaKali 'Nipe heshima yako, ama nichukue....' 'Kichwa cha kuku daima haibebi mzigo' 🔥🔥🔥 #Utaniambianini #MileleFm
@hassanihanzel3 жыл бұрын
💯💯💯
@georgekeuya30583 жыл бұрын
A whole radio station imekubali....utaniambia nini?
@agnesruto31893 жыл бұрын
@@georgekeuya3058 pp
@jeffersontutor67883 жыл бұрын
Utaniambia nini ??
@geraldpallangyo77263 жыл бұрын
Najitoa kafara ...da! Nakukubali toka kitambo sana tupatie ngoma tucheze sisi mashabiki wako
@evansqwixzer71983 жыл бұрын
Nipe heshima yangu au nichukue kwa nguvu.........Kichwa cha kuku hakibebi mzingo....wazi professor Jay hii ngoma fire mistari imesimama vilivyo
@collo.africa3 жыл бұрын
VOLUME IKO TU SAWA but Inaeza ongezwa...♥️ from 🇰🇪
@murulimuhande3 жыл бұрын
Best rapper in Tanzania. Love from Kenya 🇰🇪. Fanya collabo na Feruz!
@musajumba5593 жыл бұрын
Hakuna mwingine east be and center
@korshenomar73763 жыл бұрын
Waifanyie tu remix
@muhigi13723 жыл бұрын
Fid q
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@davao00173 жыл бұрын
Long time Sana professor jay wapi wale ma legendary,,,mimina likes apo kama unamkubali🔥🔥🔥🔥
@Ernestpastory3 жыл бұрын
Kama umeangalia zaidi ya Mara mbili hii ngoma tujuane kwa ku like 👍
@sekioni13303 жыл бұрын
Niambie prfjeezy akuna anaekwambiakitu bado sana akuna walevo yako wana lukaluka2 awana chakusema wala kuimba wauza suratuuuu pasua mzee akuna wakuziba pengo lako wachape kweli kweli wataelewa2 broooo
@ireneimbuhira77592 ай бұрын
J when comes to Rap you are the king 🤴 ❤
@micheltito16463 жыл бұрын
Watoto kaheni nyuma, acheni sisi wakubwa tutembee vifuwa mbele👊🏽👊🏽 mumechezea hip hop!!! Acheni wenye hip hop zao wa take over
@jacksonmakala3 жыл бұрын
Siri nyingi nyeti kama taulo la guest... 🔥🔥🔥 watoto wanavimba kama... 🙌🏼
@wyclifekalama43973 жыл бұрын
CHEZEA MSHAHARA DOGO USICHEZE KAZI 🇹🇿🇰🇪🇺🇬⛽🔥🔥 UTANIAMBIA NINI
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@alikutenga33033 жыл бұрын
Namjuwa baba ulomkusudia kumrushia Hilo jiwe ni legendary mwenzako cz anakuonea wivu kwa mafanikio uloyapata half yy kazi kukufuru tuu..Nahs cjakosea hapo.
@infinitemixentertainment533 жыл бұрын
Hawaezi kuambia kitu mtu prof wewe tu nakuambua hata huku Kenya long time
@eugenesamuel9893 жыл бұрын
Jamani wadau wapi likes za Professor Jay..🤗.... Amesema "kinywa cha mzee kinanuka Ila maneno yake yanaponya.."... Representing Kenya🇰🇪...#legend
@lusajojaguar76093 жыл бұрын
Kamwe kunguru hanenepi kwa jarara moja., 👏👏👏👏👊👊👊🙌🙌🙌
@kingmossaic2543 жыл бұрын
Am here representing all Kenyans .... Ukipita na hapa niachie like.....
@JomoKilaweАй бұрын
Big Dady Unyama Mungu Akujalie Ukae Sawa Kiafya..Tuko Pamoja.2025.
@truezjr.34103 жыл бұрын
Kwa Kweli KUNGURU MWENYE NJAA HANENEPI KWENYE JALALA MOJA. @professor j
@siamejerry92393 жыл бұрын
the king of rap is back ....we call him professor of music jay
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@pakeyzaa3 жыл бұрын
Wapi lik za the legendary.... ✌️✌️Tumekumissssss Bana sichokiiii kuitizamaaaaa
@macynzilani11423 жыл бұрын
We've missed you so much who else has missed professor jay
@nicholassieksa75193 жыл бұрын
Super legend
@lusekeloautospare47133 жыл бұрын
Lusekelo mwapyate
@gabythomson95813 жыл бұрын
Am here end of oct
@lightemmanuel46683 жыл бұрын
Who hasn't missed the legend
@fridahpamba25023 жыл бұрын
Me men
@christopheamos71503 жыл бұрын
Bwana Jay nakukubali kinoma laiti enzi zile wewe na ferooz zingerudi natumaini Hip hop ingependwa zaidi na zaidi wakati huu
@kingbin71143 жыл бұрын
the king wendo baba wa ma rappers africa
@JujanaMusic Жыл бұрын
It pains me to learn that that vocal power is no more 😢.. dedicate this day to you Legend Jay
@MKobe_2543 жыл бұрын
Chezea mshahara.. chunga kazi!! Punchline.. wakenya wa diaspora gongs like tukiendanga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@macmax77673 жыл бұрын
Video kali sana mwanangu Deo Abel, Proff hujawahi kosea legend na hii ndio faida moja wapo ya wewe kukosa Ubunge. Tumerejeshewa Heavyweight Emcee wetu. Kazi Kazi
@richinda47993 жыл бұрын
Yehhhh upo sawa kaka our King is Back.
@josenawade2 жыл бұрын
Professor mwenyewe, mkali wa makamuzi, mistari hatari...salute mkurungenzi....
Simba, harmonize,rayvvan,mmekuja juzi ... Namanisha legend ametoa hii song juu yenu ,😂😂🔥
@emanuelirichadi20553 жыл бұрын
Professor jay ni 🔥🔥🔥🔥🔥 Wapi like from 254
@fredkibas47663 жыл бұрын
Ukiongelea nyota ss kwetu n sigara kali🇹🇿🇹🇿
@hamzaochieng23123 жыл бұрын
Huyu ndo professor....nakutambua toka enzi zile.....hawakuambii kitu
@godblessmichael81733 жыл бұрын
professorJay Hawakuwezi napata elimu bila kuingia darasan kupitia mziki wako!
@isupport20252 жыл бұрын
this is the tanzanian khaligraph jones
@ToxicAfricanKing3 жыл бұрын
"Nina siri nyingi nyeti kama taulo la gesti." Prof. Legend J.
@barakakaingu86353 жыл бұрын
Professor j walah ahh
@marliusmajani18103 жыл бұрын
When i met him 2002 when he came to perform in Geita with Bwana Misosi i told him him he is the hip hop of all time
@tontonwakabila28363 жыл бұрын
Proffessor Jay ni king kabisa big un nakubali kabisa.kama Bata nimekula zaidi yako kabisa...
@stephenomondi82623 жыл бұрын
Kina diamond..harmonize na alikiba wakae chini waskize mistari kutoka Kwa legend mwenyewe
@tobitobina46553 жыл бұрын
Legendary Tangu enzi za zali za mentali Mad love from Kenya....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@debrawilliam75343 жыл бұрын
Aiseee tumpe heshima yake 🙌🏾 anastahili katoa mziki mbali sana na Bado ana tengeneza historia na bado anakubalika ❤️
@Bongo1Media3 жыл бұрын
Ngoma Kali sana Legend karudi nangoma zake kaliii 🔥🔥🔥
@RamazaniMulongeca3 жыл бұрын
Still can’t get enough, Ngoma ya watoto ahikeshi, hata watoe tunarudia hapa tena...
@bushambalenorbert80853 жыл бұрын
Yaani professor Jay hajashuka. Naona ni yule yule kama jana. Mfundi kwa mashairi.
@ewardnestory2583 жыл бұрын
Ngoma kali, Sana na kingine nilichopenda ni kwamba umeweka ngoma mda ule ule uliousema, hapo nimeelewa uko vizuri na matumiz ya muda. Baba nakupenda Sana toka nimeanza kukujua hujawahi niangusha na sijwahi jutia, nina ngoma zako nyingi Sana kwenye cm yangu na naenjoy xn.
@nainaiblack67363 жыл бұрын
Heshima yako upewe baba
@shooemanuel68093 жыл бұрын
Jei yupo vizuri sana
@shooemanuel68093 жыл бұрын
Pambana Kaka jei watu na fani zao
@corndogonastick372 жыл бұрын
Greetings Professor! I'm a 7th Grade Science teacher in Massachusetts (USA). Last year while teaching 100% remotely due to coronavirus. I started giving my students a tour of modern African music, one country each day. I play the music in the background for the first few minutes while they do an opening task to get them ready for the lesson. I've continued this year now that we are back in class. This song is my choice from Tanzania. After each song I have the students give a thumb vote and this got many thumbs up. They loved the rhythm and your rapping style. Thanks for making it!
@mwaitajuma41402 жыл бұрын
Vp I. U.........? M.. . ....
@bonfacemiringu13362 жыл бұрын
saw you on the matata channel ie kenya music page, ou have a keen ear for good music esp considering the language angle👍
@corndogonastick372 жыл бұрын
@@bonfacemiringu1336 - Thank you, my friend!
@heraldloshi18642 жыл бұрын
Thanks for acknowledging his talent.
@richmontana12963 жыл бұрын
Utaniambia nini..! Ili nisi comment Kuwa ngoma Ni Kali All in all Huna Kazi Mbovu 💪😍🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@debaronmalumba42033 жыл бұрын
Ujumbe umefika, my classmate, lutengano sec school, ukikuwa unaona na umetoka mbali kelele za mziki bwenini big up mbunge wa miten 10
@SuleimanSalum-kk7xx5 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 stand up for professa Jay 🎉🎉 legendary 🙌 👏 👌 💪 🔥 🙏 🙌
@oratuspilato58893 жыл бұрын
Ukindelete wenzio wananirequest kama umeskia uo mstar gonga like twende sawa
@Clarenceozoku3 жыл бұрын
Tufundishe legend 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 big man live forever
@nurukagina3343 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4SbanV-eNtjf5o,
@benjaminlonyaman12333 жыл бұрын
East African finest 👌 am soo privileged to have been born in this era of professor J.
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
Happy birthday professor j 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@SuperBluefield2 жыл бұрын
Mheshimiwa Jay tunakusikiliza hapa Nairobi. MTanzania namba moja. Endelea ku paa kaka.