AY Feat LADY JAY DEE- Machoni Kama Watu

  Рет қаралды 123,461

AY Masta

AY Masta

Күн бұрын

Produced By P Funk & Bizman
BONGO RECORDS 2002
DAR ES SALAAM
TANZANIA

Пікірлер: 110
@fabycreation1962
@fabycreation1962 4 ай бұрын
Nani amekuja hapa baada ya INTERVIEW YA AY 2024... LIKE TUJUANE
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 4 ай бұрын
Nan kaja baada ya BONGO FLAVOR HONOR'S 2024 gonga like
@kuvetamzazi8689
@kuvetamzazi8689 Жыл бұрын
Kwa sasa ni vigumu kumpata rapa mwenye style nzuri na ya kuvutia kama hii.
@modrickaziz1989
@modrickaziz1989 5 жыл бұрын
Sijawai kuuchoka huu wimbo dah
@irenekui2457
@irenekui2457 4 жыл бұрын
Who else is here in 2020. From Kenya. AY & Jay D are two talented artists.
@senimashauri6696
@senimashauri6696 4 жыл бұрын
Offcourse I apreciate, this song always rocking me much
@meshachkigumbi5676
@meshachkigumbi5676 2 жыл бұрын
Wap mango garden wap kaumba park wap moro hotel bwalo la mwema jamuhuri stadium. Lakini sasa nimeokoka nampenda Yesu.
@seifmziray2551
@seifmziray2551 8 ай бұрын
Nipoooo
@SeeBayo
@SeeBayo 26 күн бұрын
Hizi jam zinanikumbusha mbali kinoma 🔥🔥🎶🎶
@elimuhuru2658
@elimuhuru2658 5 жыл бұрын
One of My All Time Best Songs.... Nikitaja Nyimbo 10 Ambazo Nazipenda Katika Maisha Yangu Huu Upo..
@senimashauri6696
@senimashauri6696 4 жыл бұрын
Natamani sana AY aifanyie remix ya video ngoma hii maana ina mahadhi ya level zingine kabisa
@innocentjulius9233
@innocentjulius9233 5 жыл бұрын
hataree sana kitambo kile cdhani kama kuna korabo nyingine kati yenu itakuja tena kama hii wacha ibaki story
@mathewsephraim7425
@mathewsephraim7425 3 жыл бұрын
Miyongoni mwa nyimbo zilifanya nipende hip hop ay ulinishawishi na sinto isaliti HIP hop nakupenda HIP hop
@duniayakijani7868
@duniayakijani7868 5 жыл бұрын
Siku nyingi sana,.... Kipindi hicho no Facebook, no Twitter, no instragram... Life was good
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 6 ай бұрын
best of bongo flavour song of all times
@fadhilibakari3273
@fadhilibakari3273 4 жыл бұрын
MASTA tutolee chupa ya hii TRUCK aisee tugonge like kama zoote hivi. All Time song 🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥
@josephjoni1612
@josephjoni1612 3 жыл бұрын
Good blath
@shedrackmarundo1135
@shedrackmarundo1135 Жыл бұрын
Kilichoimbwa humu ndani kipo mpaka mwisho was dunia
@shabannassoro6764
@shabannassoro6764 Ай бұрын
Ambwene Yessaya,,🎤
@bakarininga519
@bakarininga519 5 жыл бұрын
Nlikuwa darasa LA kwnza daaah ila naukumbuka sana
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Mwaka gani duhh sisi tuliozaliwa 2000
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 5 жыл бұрын
This is AY’s style we are going to miss
@nomamatata754
@nomamatata754 3 жыл бұрын
For sure
@nomamatata754
@nomamatata754 3 жыл бұрын
Hili goma halichuji,halipotei, halipitwi. Daaaahh!!! good old days
@fadhilfadhili221
@fadhilfadhili221 8 ай бұрын
Hii ndiostailiyake niliokuwa naipenda sana
@monicageorge2181
@monicageorge2181 3 жыл бұрын
Best Song Ever....BIG UP AY.
@alexandernyimbi8186
@alexandernyimbi8186 3 жыл бұрын
Enzi hizo When Hip Hop was Real and Artists were the realest one
@emmanuelmollel7977
@emmanuelmollel7977 5 жыл бұрын
when music was music..
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 жыл бұрын
Old is gold..... We don't hear shit like this no more...... A forever hit.
@sammykaviha8871
@sammykaviha8871 Жыл бұрын
mf was lyrical genius,gangasta flow,hardcore style....am suree cant do such a hit song though am his number 1 fun forever ay
@senimashauri6696
@senimashauri6696 4 жыл бұрын
Hapa ndipo nilipo wakubali watu hawa wakiwa kwenye Mikrophone hawana mchezo, du enzi hizo waliwakilisha vizuri EA muzic
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 5 жыл бұрын
funga moyo usiwaamini,smtms akufaaye kwa dhiki ndo msaliti
@deogratiuswakwesa5894
@deogratiuswakwesa5894 4 жыл бұрын
Ukisikiliza kwa makini, kuna mismatch kati ya beat na chorus ya Jide. ila hio yote haimati kwa namna beat ilkua kali na flow za ay huku. one of the best songs of all time kwa bongo fleva
@edwinepaissi
@edwinepaissi 2 жыл бұрын
Ndio nimegundua Toka 2002 naskiliza
@emmanuelmsumali9237
@emmanuelmsumali9237 2 ай бұрын
which mismatch unaongelea.....so far naona iko safi tu
@evancenchimbinapokea8839
@evancenchimbinapokea8839 8 ай бұрын
Hii Ngoma inakumbusha nipo bunge primary school aisee mwamba anamjua sana uyu,nyimbo za zamani Kali bhn
@thomaskeya4092
@thomaskeya4092 5 жыл бұрын
Nakumbuka sana ngoma hii nilikua na maisha ya tabu sana
@maka_veli89
@maka_veli89 5 ай бұрын
Ila si umeshatoboa saivi?
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 жыл бұрын
This AY’s style will forever live.
@darweshk7342
@darweshk7342 5 жыл бұрын
old SCHOOL will not be compared with these days uwezi fananisha kabisa na za Ss hv
@fredricklucian7155
@fredricklucian7155 4 жыл бұрын
Hip hop salute
@galeisaac3472
@galeisaac3472 3 жыл бұрын
East Africa Radio 📻, Channel 5 📺 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@benedictdingobenedictdingo4037
@benedictdingobenedictdingo4037 4 жыл бұрын
Moja kati ya nyimbo bora kabisa kuwahi kuimbwa na AY
@omaryabdul02
@omaryabdul02 Ай бұрын
Hii inanikumbusha enzi ya 90's mwishoni
@mubarakamtambo6783
@mubarakamtambo6783 5 жыл бұрын
I miss those days dah!
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 4 жыл бұрын
Pinfanki majani ilikua juu sana katika maproduza
@ericknkonya5682
@ericknkonya5682 2 жыл бұрын
AY alikua ana flow jaman dah
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 3 жыл бұрын
Nyimbo bora ya muda wote
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 5 ай бұрын
Ay the master all way ❤ regend for life
@barackdavid9055
@barackdavid9055 5 жыл бұрын
The flows UNDISPUTED RAPPER
@MusaShabani-pf6ev
@MusaShabani-pf6ev 7 ай бұрын
Kipindi hicho tulimkaribisha zero brean nikiwa mdogo kuliko wote kabla sijapata wokovu
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Wangapi tumefika hku baada ya mwijaku kupata dhamana na kutoka nipe 👍
@ahimidiwembise8515
@ahimidiwembise8515 4 жыл бұрын
6/12/2019 saa kumi na dk 27 ntaiangalia tena siku nikijaaliwa
@erickodhiambo6994
@erickodhiambo6994 4 ай бұрын
Legend
@jumamrisho4830
@jumamrisho4830 3 жыл бұрын
From USA, big up sana mwamba A, Y bado nakupata mpaka now2021
@benedictngingo7412
@benedictngingo7412 Жыл бұрын
Bonge moja la ngoma!!
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 жыл бұрын
Jamaa alichokiimba ndivyo tunavoishi hadi Sasa sijui tumeligwa na nani ?
@georgesalia2786
@georgesalia2786 3 жыл бұрын
Good old days.....
@jumamrisho4830
@jumamrisho4830 3 жыл бұрын
Nakupata kwenye headphone 🎧 natoka zangu nevada nahingia zangu Chicago Illinois USA👏👏 2021
@AYMasta
@AYMasta 3 жыл бұрын
Enjoy the vibes na safari njema
@milemo604
@milemo604 4 жыл бұрын
Ngoma zazamani hazi choshi.
@peterjames929
@peterjames929 4 жыл бұрын
Big time bongo mziki kaka wise jamii inapata elimu ya
@idrissakefea8624
@idrissakefea8624 5 жыл бұрын
No one like u bro in rapping style broo
@fredricklucian7155
@fredricklucian7155 4 жыл бұрын
HIP HOP SALUTE AY
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 5 жыл бұрын
wagum kuelewa wepes wa kusahau..
@fatmakhamis6492
@fatmakhamis6492 2 жыл бұрын
Nilikua form 5 wacha tu. Haya yalikua madini
@kareemkiwamba139
@kareemkiwamba139 3 ай бұрын
nyimbo bora ya muda wote
@OscarMakoye
@OscarMakoye 4 ай бұрын
Masta hii kitu ingetoka leo sijui ingekuwaje izimue na video
@farajimtima9331
@farajimtima9331 3 жыл бұрын
Itakua ndoto binadam kutenda mema kabisaa
@antonysarota3588
@antonysarota3588 4 жыл бұрын
💯pure flavour!
@raphtz5694
@raphtz5694 3 жыл бұрын
Mkwaju....this is the song of the years
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
huyu ndo At bhana
@TheLugiko
@TheLugiko 4 жыл бұрын
Hii ngoma iko deep sana
@denismwangalaba3802
@denismwangalaba3802 4 жыл бұрын
2020 best song
@msonjoabdy6643
@msonjoabdy6643 4 жыл бұрын
2020 🔥
@saidkhamis4662
@saidkhamis4662 3 жыл бұрын
Haya mashairi ndio yanakumbusha mbali
@tatuswaib6909
@tatuswaib6909 4 жыл бұрын
Miaka Mia 500 hii nyimbo ukiisikiliza unaweza ukasema imetoka Jana...
@chriskoech4993
@chriskoech4993 Жыл бұрын
Wanadamu ni watu wa ajabu
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 3 жыл бұрын
this song is very strong i can't feeling tired to listen this song nakumbuka mbali sana
@AYMasta
@AYMasta 3 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿
@nicholausbernard7400
@nicholausbernard7400 2 жыл бұрын
EVERLAST
@fredricjames774
@fredricjames774 3 жыл бұрын
Ay anajuaa ase
@amonkafuva5590
@amonkafuva5590 3 жыл бұрын
Ay nouma big up saaana
@fredricjames774
@fredricjames774 3 жыл бұрын
Ungekuwa wapi angekutupa mama ako enzi hizo
@antonysarota3588
@antonysarota3588 3 жыл бұрын
January 2021 anyone listernig?
@amosjulius7935
@amosjulius7935 6 ай бұрын
Yap!!🎉🎉🔥 🔥 🔥 OG#
@maka_veli89
@maka_veli89 5 ай бұрын
Time flies
@benedictdingobenedictdingo4037
@benedictdingobenedictdingo4037 3 жыл бұрын
Nyimbo zitakazo dumu mnoo
@samuelmacha28
@samuelmacha28 5 жыл бұрын
Kitambo sana ase. Duh
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 5 ай бұрын
Good music
@herimchunga9939
@herimchunga9939 Жыл бұрын
Fact😢😢😢😢😢😢😢
@kareemsheby4473
@kareemsheby4473 Жыл бұрын
2023 old is Gold 🪙
@PyramidSupply-mx1oe
@PyramidSupply-mx1oe 7 ай бұрын
Ishi daima
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Жыл бұрын
Good💃💃
@luciussanga2493
@luciussanga2493 5 жыл бұрын
back in days
@idrissakefea8624
@idrissakefea8624 5 жыл бұрын
Mzee wa commercial
@idrissakefea8624
@idrissakefea8624 5 жыл бұрын
P called me commercial
@eliasmbise2354
@eliasmbise2354 4 жыл бұрын
Nakukubali sana mjomba
@benjaminsteven7560
@benjaminsteven7560 3 жыл бұрын
2021 ON MY PHONE
@mohammedally5442
@mohammedally5442 4 жыл бұрын
Ni xooooooooooo
@Igohe7
@Igohe7 5 жыл бұрын
#tbt
@saulgedion7270
@saulgedion7270 5 жыл бұрын
auwiiiiii
@msonjoabdy6643
@msonjoabdy6643 5 жыл бұрын
28/06/2019 🔥🔥🔥
@mkondeabdulla67
@mkondeabdulla67 4 жыл бұрын
5/9/2020
@PatsonIkula
@PatsonIkula 4 жыл бұрын
Kanileta @alikiba
@idrissakefea8624
@idrissakefea8624 5 жыл бұрын
Lmfaooooooooo
@khamisabdalla2633
@khamisabdalla2633 3 жыл бұрын
..........
@phucinh163
@phucinh163 2 жыл бұрын
CovidImages need to be invested more than half19
@msonjoabdy6643
@msonjoabdy6643 5 жыл бұрын
2019 🔥🔥🔥
@arafatmanga
@arafatmanga Жыл бұрын
legend
Professor Jay - Bongo Dar es Salaam
5:37
ProfessorJay
Рет қаралды 130 М.
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 357 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Hii Leo (feat. MwanaFA, AY Masta)
5:04
Release - Topic
Рет қаралды 41 М.
AY Masta - Yule (Throwback)
3:19
AY Masta
Рет қаралды 31 М.
Elimu dunia (feat. Daz nundaz)
5:06
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 44 М.
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
MWANA FA FT LADY JAYDEE ALIKUFA KWA NGOMA
8:51
COCO MEDIA
Рет қаралды 217 М.
Rama Dee  kuwa na subira Official Music Video
4:10
𝐑𝐀𝐌𝐀 𝐃𝐄𝐄
Рет қаралды 179 М.