" Professor Jay present Kibabe official music video shot in Tanzania n directed by Hanscana audio produced by Mr T Touch
Пікірлер: 557
@faridmobji7 жыл бұрын
ooooooyeaaaaa!!!! bongela shiti hapohapo we ndo Mc was kweli siku hizi hata mapaka wanarap
@ummyomary63508 ай бұрын
Mwanalizombe
@chazzy10657 жыл бұрын
all da best from France I don't understand the language but professor Jay ni mkaleee hachuji
@hannahiya41977 жыл бұрын
Mimi nikasema watanzania wachoyo siwaoni kwetu Kenya comments au like beef sina nimependa j😎😎😎
@chuchubena70227 жыл бұрын
Nimeshawasamehe wasaniii wezangu waliokuja jimbo kwangu kupinga ubunge wangu mabasi kwa mabasi....hii line hatari sana legend of ol time
@blakteaful7 жыл бұрын
Wakenya Diaspora wenye wanafeel this 💯 mko?? "one man army" 👊
@juliusmkwiji2837 жыл бұрын
safi sana profijizo...
@abubakarmohammed59947 жыл бұрын
Huyu jamaa mkali achaneni nane hakuna cha Diamond wala Ali kiba wala nani ktk gemu ya Bongo fleva nyimbo zake zote hua analenga issue muhimu hazungumzii mapenzi kama wasanii wasasa wao kila nyimbo nakupenda tu na Ilove uuu nyingi sikilizeni mistari yake ndo mistari yake ndo mtajua Who rilly artis in the Game ya bongo?
@mussakarim48665 жыл бұрын
Amin kwamba
@rashidsoudkhalfan49407 жыл бұрын
Flo za kibabe indeed!!.......Mwambieni mfalme wenu seat yangu aifute vumbi!!....Word!! hii punch line i seh imenimaliza!!
@geniewriter2147 жыл бұрын
am Nigerian I don't understand kiswahili lakini prof hajawahi niangusha huyu mwanasiasa ana maadili kimziki , naipenda kazii hii mzazi was mziki, miaka ishirini Na Tisa Na bado namsikiza
@bataboydjj78437 жыл бұрын
yuko pouwa xna
@kevinmatheka47837 жыл бұрын
You don't understand Kiswahili???? Really?? haha
@salimmohamed6946 жыл бұрын
Kevin Matheka hahaha hajui kiswahili na anaandika kiswahili..kuma ww humu waume usidhani tutababaika na iyo Nigeria
@bonnietebonneye97207 жыл бұрын
i dont understand swahili but the king is back, proff jay kisha maliza mchezo,
@gabrielmusumbi2737 жыл бұрын
nakuchapa kiuchumi..nakuchapa kwa ngumi...nakuchapa kwa heshima...nakuchapa kihuni...nakuchapa kwa fan base...nakuchapa kwa michano hata urap kwa kirumi..hahahahaa hii hapa ni fayaaaaaaaaa
@ChettaFlyee7 жыл бұрын
Kipaji hakiwez potea hatakama unamajukumu mengi big up profjizzo
@abbassyhussein6437 жыл бұрын
siku zote prof jay namwamini kati kazi ya muziki napenda kazi zake.....but hatuwez kuwa pamoja kwa kila jambo mimi ni ccm daima ila inapokuja sanaa l salute you
wawawa..hapa ngori....piga ua yani....wanikumbusha highskul aisee tukiskiza h.b.c...sahio radio haishiki waves vizuri.... tumeenda nayo mlimani juu waves hazishiki bongo flavour...
@khalfanrashid41807 жыл бұрын
am all the way London, China, Malaysia, India, Dubai, Tanzania but am proud to be Tanzania until now n sisem kama sijui kiswahili.. Pro upo juu wambieni mfalme wenu Sitii zenu wasafishe mavumbi.. haha show Za kibabe gambei ,Pro Satu 1 Tanzania
@khalfanrashid41807 жыл бұрын
a. k. a k pac
@khalfanrashid41807 жыл бұрын
hahah mwambieni mfalme wenu sitii yangu aipanguse mavumbi style Za kibabe wana bip wanakimbia hahha
@shanelykiula91682 жыл бұрын
Leo nimefatilia ngoma zote za niga j hakuna hata moja aliyo halibu kiukweli mwanalizombe anaweza
@raphaelikimolo27367 жыл бұрын
me nawaza billion we unauwaza buku......tisha sana mbunge wa watu na wanyama
@abihudij.abihudi86097 жыл бұрын
nakukubali waongoza wanadamn wanyama kweliii
@muddyyt93062 ай бұрын
Ninafurahia na kukubali unachofanya ukiwa bado mzima, {bado Hujafa} Bila WEWE kuwepo Muziki wa Tanzania Ungekuwa Tofauti na Leo Tunavyouona. Joseph Haule Ni Masia Wa Bongo Flavor
@ibrahimcharo99267 жыл бұрын
Wanabeep wanakimbia...sio lazima mnipende,KUDOZ Mhesh JOSEPH HAULE
@rmw11093 жыл бұрын
Huju jamaa ni muongozo freshi wa progress, maendeleo. After ubunge akarudi muziki... karibu Jay
Hakuna Msanii kama Prof Jay TZ mzima. Hawa wengine wote ni vifaranga vya computa
@grantonjnrmaghanga58214 жыл бұрын
Sometimes chips kuku , sometimes chukuchuku .....huwezi fika Mia kama hujaamza moja ...#Profeso j ...The MP ...
@isaackmasonda79777 жыл бұрын
Prof mzee hujawahi niangusha since 1990's todate , that's what we call UBABEEEEEEEE
@tumainicharles86567 жыл бұрын
Ndio maana huwa nasema huyu jamaa ni Number one Hip hop Tanzania
@innocentiweni20447 жыл бұрын
Mbunge anaeongoza binadamu na wanyama, shikamoo profesor babaa!!
@allyhimbu20007 жыл бұрын
acha wa bp kazikazi pa1 sana mbunge wetu wa watu na wanyama kibabeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
@zadockmbeya48087 жыл бұрын
Nakuchapa kiuchumi nakuchapa kwa ngumi nakuchapa kwa heshima nakuchapa kihuni .......nakubali
@jacklinebby76117 жыл бұрын
Nomareee another legend of all time..... what about afanye collabo na jua cali itakua saf sana ....
@goz-bbubex44487 жыл бұрын
Wabongo wanafiki sana eti hawajui kiswazi daah! Tuache unafiki!
@abubakarmohammed59947 жыл бұрын
Profesor J ukoo juu mtu wangu...Nakuchapa kwa uchumi nakuchapa kwa ngumi watakuweza wapi mkali bro (Salute kamanda ).
@moseszuma30467 жыл бұрын
Mh.Joseph Haule..so iconic in the industry..briiiiii🔥🔥🔥
@musisahumbimusisa10567 жыл бұрын
I'm German, but to be honest mzee baba we noma michano hiyo kama mbele ...... wasiseme haujawaambia Next time wa protect their Mp
@ramambongo40697 жыл бұрын
sasa ww unafananisha waimbaji wa kenya na tzania professor jay ni noma wakenya hamjui kuimba kabisa
@mathayokaaya58037 жыл бұрын
na huu ndio ubabe tunaoutaka prof j we mkali aisee kwenye we ni heavy wait mc...unaongoza binadamu na wanyama...nimeipenda hii
@mauriceogola92437 жыл бұрын
I am from from United Kingdom i dont understand swahili but prof j hii ngoma yako ni kali sana. Naikubali hadi naumwa. i am your number one fan.
@mr.business40787 жыл бұрын
Hahaaaa!,salute kwko MP we Mari aseeh!,Nakuchapa kwa ngumi nakuchama kiuchumi
@chegepathosarrive19467 жыл бұрын
Alie chokoza basi hapo atage mbavu zake zipasuliwe , huyu mzee nomaaa saaaaana
@mariammursal29057 жыл бұрын
Mh.profesa j haule kweliii hii ni shoo za kibabe🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kymchrismartinky36137 жыл бұрын
I'm believe that akuna m2 anaye juu siku yake ya bahati kama si mwenyezi mungu tu
@abdulnasira915ali37 жыл бұрын
one man army.....show za kibabe flows za kibabe styles za kibabe kazi nzuli mp jay
@abdallalosikee2027 жыл бұрын
Bongo flava legend, Kenya tunakukubali mheshimiwa
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
heheheh imepenya hiyo kabali anayo mwambieni mfalme wenu siti yangu aifute vumbi hahah nimekusoma #Legendary
@chijatugala48257 жыл бұрын
Hassanova junior Atakua anamaanisha king Kiba
@soka15687 жыл бұрын
huyu ndo profesa jay mwenyewe... safi sana kaka. sasa usirudie tena kule kwa singeli uliniudh hapa nimekuelewa..
@abdalla9677 жыл бұрын
Mfalme wa Tanzania na bongo flavor ni👑👑👑👑 KING KIBA👑👑👑👑 tu wengine wote walobakia ni ma bodyguard na wacheza shoo tu labda nay wa mitego kidogo kwenye hip hop kwa Sasa 😁😁😁haya anzeni kuteremsha povu kama la buku hivi.
@isaali96307 жыл бұрын
Ndiyo mzee imekuwa kweli.baba wa bongo fleva miaaaaaaaaaaa
@rashidijulius65117 жыл бұрын
huyo ndo Masanii wa kwanza Africa kujua kuiba. shoo za kibabe floo za kibabee.
@timotheomassawe11027 жыл бұрын
ni ubabe mwanzo mwishoooooooo
@saginikeith59427 жыл бұрын
Sielewi maudhui ya mziki huu lakini nampenda Prof Jay tangu kale na amebaki vile akiwa na bidii bila kiburi.
@dizzopepejr2547 жыл бұрын
All the way from Spain i dont understand swahili but Professor Jay umeibaka hii nyimbo 😀😀😀😀
@salimatuyahhaya57727 жыл бұрын
Weweeeeeeeeeee kakaaa hiyo mistar daaah 👍💯😍😍😍
@shinexpappyto80357 жыл бұрын
daaaah huyo ndo father wa hip hop comercial ur the king pro jeezee
@mwanabinmariam84755 жыл бұрын
Daaaaah nimelud kama mala mia iv kuuckiliza kiukwli ujawai niangusha
@jameschanja83047 жыл бұрын
naongoza binadamu na wanyama # mikumi # hatari sana mziki kipaji wajama cyo kiki hivyo prof umeonesha kuwa you are a music and music is you. salute mzeeeee
@josephjosephat78267 жыл бұрын
mbunge pekee anayeongoza binadam na wanyama !!!!
@flavianmbalinga16217 жыл бұрын
iyo show kubwa zaidi ya kibabe. hata wabip wanajua mziki wake. shikamoo MP
@alorig75127 жыл бұрын
mzito prof Jay nakuskiza night shift ,repeat mode
@sebamusira58427 жыл бұрын
The legendary....mtu mwenye bongo fleva yake.... ur always on point...... hujaanza leo kutoa ngoma Kali umeanza kitambo since niko standard 3 mpaka leo versity bado uko 🔥 fireeeeeeeee
@musanjama22117 жыл бұрын
Nimeipenda hii ngoma tunaongoza wanyama na binadam pia nimeongeza mabest noma sana brother Jizooooo
@eliaskalume44453 жыл бұрын
Always prof jay.Your music shakes the audience. Big up bro
@mburukairu22917 жыл бұрын
Nomareeeee.... Am from Indonesia... Lakini hii One man army nimetiii.. flow za Kibabe
@dominickadogo117 жыл бұрын
UBABE UBABEEEEEE SAFI SANA MP
@stellasangawe9447 жыл бұрын
The icon forever, eti hata warap kirumi 😃😃😃😃
@Xtianmwema7 жыл бұрын
One man Army...tumekubali...weh! mheshimiwa unayo
@nemnem74316 жыл бұрын
It's not like I understand Swahili ila huyu kaka kaliamsha dude... Big up Professor Jay...😍😍😍
@soipei33597 жыл бұрын
mzee wa mituringa back on the game, safi professor jay
@hassansimbano98697 жыл бұрын
nimemuona fanani hapo nyuma...RESPECT FANANI
@babliimwanja98797 жыл бұрын
professor Jay .hapa umetisha kinoma nimeipenda xana
@samwelmbeye33907 жыл бұрын
mwenyew nyumba karudi,wale mafaki king,nawaona mnavotapatapa
@alfredkilonzo23937 жыл бұрын
nyimbo tamu.....ujumbe unaeleweka
@onesmonamfua15177 жыл бұрын
Duuuuh kipaji hakifi mzee
@johnsonjoseph5097 жыл бұрын
Mwambie Mfalme wenu siti yangu aifute vumbi 👏👏👏👏👏
@chiddymozart73837 жыл бұрын
niliangalia Jana na Leo nimerudi tena kwa kweli prof Jay ni kisiki🙌
kitunze,kikupe faida hakijawai mfilisi mtu uwa kinamuinua kwa sifa mbaya au nzuri ,kuwa na marafiki wanafki,wenyechuki,waongo,mashabiki wa uongo na kweli na si kingine
@user-jv8kn5yc4f10 ай бұрын
Hii ngoma ilionewa sana. Naikubali Kali sana💪💥
@philipomemba29477 жыл бұрын
namuona "the real MC "yuleeee, ninaemjua na si yule wa hip-hop singeli "aliniboa!!!!! "
@nyamotasammy48077 жыл бұрын
namkubali jay ngoma kali .....nko ndani ndaaaaaani ndaaaaaani kutoka nyamira
@ladislausdidas64887 жыл бұрын
professor nlikuelewa tangu nikiwa chalii Mdogo mpaka sasa hv bado nakuelewa Mr.. we n mkali wao kwa hizo rhythm
@mikekahisha81647 жыл бұрын
I am from Andromeda galaxy I know nothin abt any language frm solar system or milky way galaxy ila prof jay hajawah kunichosha kumckiliza. iko vizur show hii ya kibabe
@elizabethsindai62317 жыл бұрын
Ngoma ya kibabe.. Nakukubali Prof J.. big u..
@alfredkipkoech67597 жыл бұрын
Who is here before one million views 😍 😍 ✋ ✋ ✋ hands up ✋ ✋ ✋ #propessa J
@chescomatunda7 жыл бұрын
a true legendary bonge la song mzee wa matunda naikubali sana hii
@christopherkomba93557 жыл бұрын
Hashima yako MP #TheICON
@davidkokomushagalusa65663 жыл бұрын
You’re not only a legend you’re more than that 👌🏾 we’re lucky to have you ✊🏾
@RamazaniMulongeca7 жыл бұрын
hahaha... Duh this man is the really #Icon indeed. Safi sana #P_Jay tumeipenda, kama kawaida yako...
@thomasshaila59906 жыл бұрын
We' cheza huyu ni mnyama mbaya ktk hiphoptz kaaa mbali naye.
@gudilaherman10736 жыл бұрын
maraaa paaap nimekusomaa prof jay ..umeuwa
@innocentsalim65597 жыл бұрын
Namkubali sana jay de proffesor big up
@georgewallace98466 жыл бұрын
'Nakuchapa kwa ngumi, nakuchapa kwa uchmi' ha ha hii lazima niambie jirani yangu leo
@mtumishi254isa7 жыл бұрын
naomba tafsiri ya kimaasai, aiseee j, we ni prof wa mziki
@officialfadhili75607 жыл бұрын
Noma sana br saluti kwa kutoa vitu vinzuri
@awadhtevez29187 жыл бұрын
u cant talk nonsense about this man is undefeated undisputed and this song is dope good job Mr. Mp the Mvp
@husseinally70527 жыл бұрын
hukoseagi muheshimiwa mbunge,big up sana tena sana.
@hassanbilali50267 жыл бұрын
Thank prod jay the way u promote our tourists the way wana Mikumi become the icon of nation for uer promotion guud my Mikumi prezdaah one love in one way to success nice song I like it
@kibokongurai50907 жыл бұрын
aroo inye mkuryaaaa natakomenya amang"ana gano akwemba ira muraaa nzomu
@chuchkagile7967 жыл бұрын
Uponickia Leo ujue kesho nalud Mwambien mfalme wenu City yangu Aifute vumbi