Kama Bado unaangalia hii ngoma in 2024 big up sana 🎉😢🎉
@MariyimJumanin16 күн бұрын
❤❤❤
@AlinanusweKasyele6 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo tunazotaka kuzisikia, nyimbo zinazoakisi maisha halisi ya mapambano katika usakaji wa riziki! well done Professor Jay... Hii ndio ngoma bora kwa mwaka 2018. Kama unakubaliana na mimi gonga like twende pamoja
@longinemuhumba38046 жыл бұрын
Don't think the dream will pass away without despair and lead God before your life, Nice song big up professor ft harmonize gonga like za kutosha tuwatakie afya njema.
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Nice song
@afelius89382 жыл бұрын
Kweli
@bobramaphyno29872 жыл бұрын
💥
@felixniyonzima70212 жыл бұрын
🤟mwanaume htenks
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
Za nn
@kiswaswajensen88936 жыл бұрын
Professor Jay amenileta hapa kwenye ngoma hii... Wacheni uchoyo wa likes. Naomba likes kama 50 hivi ila ukipenda kuzidishi usiogope #+254
@danielkibe97424 жыл бұрын
Mi ni sharama kutoka Kenya ruiru hawawezani na nyinyi wako down pia
@alittlemoretime3 жыл бұрын
Sawa bwana
@SingleMkinga4 ай бұрын
Nippool
@jacquemubembe21336 жыл бұрын
Ngoma kama hii utaisikiliza ukiwa na wanao,siyo tu mapenzi au matusi. Hongera P Jay 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jcarlmaish90106 жыл бұрын
Kenya + 254 Tumeikubali.... Kama Umekubali imeipa Jamii Morale Kutia Watu Nguvu... Gonga Like... Harmonize ft Proffesor Jay.🔥🔥🔥🔥🔥
@pazzygunner90996 жыл бұрын
Nakubali
@sebastianroswe16496 жыл бұрын
Proffessor jay... U inspired me since early 2000 nikiwa kinda sana na bado nipo naku support.. mungu akulinde na uzidi kuwa inspiration kwa jamii... ONELOVE MY NINJA
@daudimnazibakari18206 жыл бұрын
Sebastian Roswe huyu jamaa hajawi kosea
@innocentinnocentmpole32766 жыл бұрын
Good song ujumbe mzuri xaana tusekate tamaa yatapita
@erickosega10514 жыл бұрын
True Legend
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Very nice song
@hassanluqman78236 жыл бұрын
Sina mengi ya ku comment ila vitendo vyake vyatosha kumkubali kama pia wewe wamkubali kweli kweli harmonize kijana mdogo lakini ana mambo mazito kabisa #Yatapita🔥💪👏
@aljimmykabumbabinazam99043 жыл бұрын
Kweli iyo jeshiiii halali tule kwa jasho... Acheni tu kupe like zetu jamani...
@JamesKasambala-v5cАй бұрын
Watafutaji wenzangu wa siku zote tujuane hapa 2024
@asyaathman24186 жыл бұрын
Walai # YATAPITA " oyoooo kama umerudia zaidi ya mara moja plz nipe lyk tujuwane.....
@zuhurankungu74906 жыл бұрын
Ukisikia hii nyimbo na umekata tamaa lzma unyanyuke na kuyaanza maisha kwa kutafta kwa bidii sana inakupa hope na ni mfano halisi wa maisha yetu waafrica tunakoanzia. Hii nizaidi ya zote duniani.
@babuukabudah78005 жыл бұрын
Zuhura Nkungu
@victoriasusanthomas26635 жыл бұрын
Kwel
@officialbrazzah2546 жыл бұрын
Am in love wid the song indeed Tanzanians mnaweza Mimi mkenya nimewakubali kama wewe mtanzania gonga like apa mingi..mnaweza
@abdigodana55342 жыл бұрын
Harmonize one of the most hardworking artists in TZ 🇹🇿 🇹🇿 The real definition of from rags to riches...... Big up👊👊
@sahiltvontheline55606 жыл бұрын
Dah!!! hamornizeee kuimba mapenz anapotea njia ila akiimba nyimboo za maisha ndo anatokelezea ata ile atarudiii nyimbo qaliii sanaaaa!! yaaan Uyu jamaaa
@rodwisekibona38396 жыл бұрын
Hili goma balaaa...... Naombe like ata mbili jmn, msininyime #yatapita tuuu 😥
@youngstonetz82906 жыл бұрын
Sawa
@michealjohn80646 жыл бұрын
Nimekubali bro kz yk ni mzuli
@mutudewalker72476 жыл бұрын
ngoma iko juu
@waugokolladh35626 жыл бұрын
Makini sana
@ramadio9686 жыл бұрын
da
@kakaisaack40146 жыл бұрын
Showing love from kenya,, Yatakwisha, aisee nipeni likes +254 professor jay amepiga kuua
@ashileymother20416 жыл бұрын
Nice
@Yegon2546 жыл бұрын
Wakenya ambao ni mashabiki wa professor Jay since akiwa hardblasters Crew hadi wa leo like here
@vicktormsangawale45246 жыл бұрын
Hatali sana jama namo
@ferouzmawese19936 жыл бұрын
Jamani harmonizer kauwa samahanni japo like mbili tu
@AllanTsingwa3 ай бұрын
2024 still here.This song digs down my soul.Sitting on top of the world.
@andrewmaganga5766 жыл бұрын
Wewe harmonize sio MTU mzuri, wajipange sana kwa style hii wewe ndio shina
@Tino_Official_tz6 жыл бұрын
Hivi ni mimi tuu narudia hivi hii video au tupo wengi!!!😉😉 kila mstari ni somo. #Yatapita
@lidialichad27196 жыл бұрын
ata nami nipeni like ata moja jamani
@Tino_Official_tz6 жыл бұрын
@@lidialichad2719 😂😅😂 usijisikie mpweke nimekupa hako ka1. Ningekuwa na uwezo ingekupa hata vi3 🔥💥🔥
@frankonlygod87116 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmhhhhh me hii mara ya tano 😭😭
@Tino_Official_tz6 жыл бұрын
@@frankonlygod8711 safi sana🤗 ila naamini utaendelea tuu kuitazama
@moodydully65576 жыл бұрын
Ngoma kali sana Jay unazidi kuudhihirishia uma kuwa wewe ni mkongwe ktk mziki wetu
@JoaAndreaАй бұрын
Profu jize ..huyu mwamba ni professor wahii kitu .
@geomangi61233 ай бұрын
Kama umerudi hapa baada yakuona mwijaku na kassypool wa kenya plz gonga like wakiwa ndani ya crowm fm
@Mfalme5icetea6 жыл бұрын
Harmonize ni mnoma tena sana but prof Jay ndio amenileta hapa. Nani mwingine..
@mohasuley4576 жыл бұрын
Same here 👊
@4bbless5166 жыл бұрын
Mr blue noma pamoja na Fid q
@truthbythruthsimba60746 жыл бұрын
Professor jay is a legend.
@fara14246 жыл бұрын
Mm
@samiuabubakary54345 жыл бұрын
Nooomasana
@habbievara99346 жыл бұрын
Nani ankubaliana namm kuwa hiii ngoma no ngoma bora ya mwaka huuu bilia ubishi na pai harmonize kafanya kaz kubwa ktk hii ngoma na pia kwa mwaka huu zaid ya msaanii yeyotegonga like tujuane
@johnmussa56326 жыл бұрын
Habil Saidi h
@salehesalehe27546 жыл бұрын
Sana.mtuwangu
@Chakula_cha_ubongo6 жыл бұрын
True
@mropeamadeus54456 жыл бұрын
kama umeangalia zaidi ya mara moja kama Mimi conga like twende sawa tumpe sapot wa Kunyumba uko juu kama Mwezi
@IdrissaMugishaАй бұрын
harmo harmo peace kali mwanangu vese yako kwa kweli nzuri bomba mwanangu i'm from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@simulizitanzania2571 Жыл бұрын
Siku moja profesa ungeambiwa kuwa sauti yako isingekuwa na Mamlaka kama mwanzo,huwenda ungebisha kwa kuwa hukuona sababu. Lakini Sasa nadhani umeshuhudia uumbaji wa Mungu ukiendelea kwako,mambo makubwa ya wokovu yaliyo fanyika kwako ni alama ya upendo wa Mungu kwa wanadamu. Ubarikiwe,tunakupenda sana.
@farajingwale3276 жыл бұрын
Mbunge +Mwana Music Professor Jay ,,,,M/mungu akikupa kakupa2 Hata cc 2we WANGA kiasi gani 2taishia majungu2 sasa Huyo Harmonize alivyojua kua anaimba na mbunge si Kwa MKORASI huo👂🎧.....#NyimboKONK💪sana
@andyfowler34626 жыл бұрын
Gonga like kama umeikubali hii ngoma profesa legend na konde boy🔥🔥🔥🔥
@mrenobishoo11186 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@salimmohamed6946 жыл бұрын
Nimelike kwa sabu yako @aish@
@stevanostevano61216 жыл бұрын
Nc
@leonardusmpanju39536 жыл бұрын
Aishamstin Bae vp mumy
@naomynathanael54456 жыл бұрын
unajua sana prof j 😁😁😁😁
@arakazajucy40434 ай бұрын
Rwanda Burundi Somalia Ethiopian Soudan Ouganda if you understand this song please gang hapa 2024/8/08 apa Niko Bangladesh kazi ngumu sana Ila bado tunapambana❤
@FloridahAkeyo3 ай бұрын
Wangapi tupo hapa baada ya professor jay kupata nafuu😢.yatapita
@zachayomzury9 ай бұрын
Kama una mkubali jay gonga like hap wew❤❤
@b12chomolla626 жыл бұрын
Kila mtu anataka comment yake tui like manina zenu nyinyi ndio mnatupa kazi tunaosoma comment zenye ujumbe acheni useng......ngoma kali bro since way back nakukubali kaka.
Professor Jay is an inspirational artist. I have been listening to his music since enzi za zali la mentali- he delivers his lyrics in the most poetic way. You are such a blessing and an inspiration to the community.
@erickosega10514 жыл бұрын
Duh ur right bro.. true Hip Hop ni Medicine
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Yap
@MNIGAMAYUYA5 ай бұрын
Hii nyimbo ilikua ina ni motivate miaka 5 iliyopita kila nikifeli interview nilikua naplay huu wimbo ila sasa hivi imebaki history
@Dieu-bonBahatiАй бұрын
Naangalia kwasasa 2024
@AllanTsingwa3 ай бұрын
Professor Jay ft harmonize this song was specifically designed for the conditions am currently in.
@salehekapama98426 жыл бұрын
Kazi iimesimama kazi kubwa hongereni sana hsa mdogo wangu Harmonize hujawah kosea pambana kijana
@kassammwalo56636 жыл бұрын
Oyooooooo yatapita wale wa prof jay like zenu zote hapa kama una changamoto na una amini yatapita nipe likes husipo like we mchawi
@brucerutayisire94113 жыл бұрын
Jay anaweza🙏
@kassammwalo56633 жыл бұрын
@@brucerutayisire9411 daaa ebanaeee
@enginierthalion-kid49986 жыл бұрын
Ooh! Santa sana Commander Pro. Jay kwa michano mikali ya kutia nguvu. Ww n kioo kizuri sana katka jamii. Mungu akuzidishie kipajicho.
@ray45king84 Жыл бұрын
Longevity ya Prof J na consistence ya quality over quantity inamuweka Prof J as the GOAT.Long Live Legend
@bosconyabenda7988 Жыл бұрын
Kma ulisha kutana na Mambo mengi Lakini kwa Jina La Mungu 🙏 Yalisha pita gonga Like apa
@EdyTulatuma11 ай бұрын
Ameni
@BucumiLeonard3 ай бұрын
Amen🙏
@1.__laurent6 жыл бұрын
Professor Jay's music has been so consistent in the industry for long🎶🎶🐐🐐 Long Live Prof, Jay💯
@ludovickroman37676 жыл бұрын
Tumemiss hz nyimbo sana...maana kila sku n mapenz tu........thank yu mzeeee kwa kulikumbuka hl
@LadifaNushka3 ай бұрын
Kama wherever nilianza kabla yako utaniambia nini respect legend
@abdijabarshimoyali7409 Жыл бұрын
From Somalia proff is the greatest in Tanzania apana tambua Diamond na sisemi kwa chuki
@mugishacyizaeric6285 жыл бұрын
Kigali-Rwanda we are enjoy your beautiful melodie, we love u
@haragakizajeanpaul14354 жыл бұрын
Nawe uba wayumvishe
@erickosega10514 жыл бұрын
Aparty of beautiful melody this msg is🙏
@AngelBrain2713 жыл бұрын
Yes
@mosesodhiambo56003 жыл бұрын
@@haragakizajeanpaul1435 @Haragakiza
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Yap nice melody
@OliviaAwino Жыл бұрын
This song is keeping me going every day whenever I feel like giving up it gives me courage and I know I will achieve my goals much love from kenya ❤️❤️🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Sending love from Rwanda 🇷🇼, wallah we will always miss this people.
@amoremimik52706 жыл бұрын
Great song with a strong message. We all can live upto our dreams if only we believe in better days. Harmonize and Prof.J you have done justice to this song. Thank you for inspiring and reminding us that things do come and go.........
@hassanbinda22432 жыл бұрын
Vvvv v v v v vv v v vvvvv vvvvvvvvvv was the only way for A long era starter for San 6Jose county wà
@nomadlife_ink5 жыл бұрын
Professor Jay jana, leo na kesho.. Sensational artist ever grazed TZ music industry. Much respect. Harmonize kama vile wembe .. #goodmusic #globalvibes
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Much respect to gud music
@afandegari48376 жыл бұрын
im from south sudan i love proffesor jay since i was 6years upto now........show some love to him
@luhyajeurilj8282Ай бұрын
Much love ❤️ from Kenya 🇰🇪
@kauagaar50423 жыл бұрын
We're so proud of y'all Push the Africa ahead of the world East African musicians are doing great work #the message from south Sudanese boy 🇯🇴
@stevenpeter22606 жыл бұрын
Thanks professor Jay.... You know what people need and at what time.... The real mc.
@anithamsoke23295 жыл бұрын
Hupata nguvu ya kusimama tena kila nisikizapo huu wimbo. Big up sana kwa ujumbe mzuri
@michealbrowntv80956 жыл бұрын
All the way from New Years city I can’t believe legend can still be the best let’s have some like Tanzania 🇹🇿 this is dope
@majagabrowntz91526 жыл бұрын
Micheal Brown TV hh
@michealbrowntz35236 жыл бұрын
Micheal Brown TV ka
@jumahamadsuleiman17626 жыл бұрын
Aho
@jumahamadsuleiman17626 жыл бұрын
Kasidakiswahili
@JumaStanslaus-z3x24 күн бұрын
Wangapi mwezi wa 12 2024 mpo na ngoma hii
@tonymahanga Жыл бұрын
Kama bado unaangalia hiingoma mbaka leo 2023 kama mm dondosha like apo👍👍
@moreenbless-vr7oy3 ай бұрын
Wangapi mmeludi baada ya kuiyona iyo video ya professor jay akiwa ospitalini 😢
@dennowderullow11183 жыл бұрын
Professor Jay is my true legend in swahili rapper👏👌💪watching from Africa in Kenya🇰🇪 at Kilifi county
@sugashTv6 жыл бұрын
thanks for bringing back legendary.... tell him not to retire. we still need him socially, politically and musically
@freddymuhemed51802 жыл бұрын
Asante sana kwa kutupa moyo #Professorjaynaharmonize kwa uyu ngoma naupenda sana. November 2022 from 🇨🇩 i watch it again.
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Hii Ngoma iko na mafunzo mengi ya dunia....big up Harmonize na Jay
@Tino_Official_tz6 жыл бұрын
Nimeisikiliza hii ngoma sio ma chini ya mara 3 na hii video hata sijui ni mara ya ngapi sasa narudia ingawa ina lisaa limoja tuu. Bonge moja la ngoma 🙏🙏🙏
@dovicochristopher53886 жыл бұрын
Kila sku Dovico nachekwa sipati likes jamani nimewakosea nn ndgu zangu plz
@siomile6 жыл бұрын
Dovico Christopher hahaa, wewe mkali
@deomadili68376 жыл бұрын
Wanaume wazma mnalilia likes, huo ni umamaaa
@jumanneabdallah13326 жыл бұрын
Nakubali sana very nice song
@malikzafarani1723 жыл бұрын
2021 mpo mnao sikiliza hii ngoma kama mm tujuane 🇶🇦🥂
@ismailmsabah87325 ай бұрын
Chibuuuuuuuuu hii sasa ndo bongoflava to the world watoto zako saiv watuliza mishono mana si level ya kawaida umeishemisha tanzania...hata wapopo saivi vichwa vinauma kwa ili dude dahhhh BIG UP SIMBA LA SIMBA
@ChaniceNdikuriyo3 ай бұрын
❤mon inspiration d vie elle f parti dans cet chanson 🎉😢😂😂😂usije hisi umerogwa 😢yatapita......
@kadabra-one10076 жыл бұрын
Hii ni nyingine tena HARMONIZE TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Prof. JAY
@omardiyo20156 жыл бұрын
More fire harmonize
@africanmonitortanzania27056 жыл бұрын
kadabra one motto njoko sana anajua sana
@daudishokko48406 жыл бұрын
Nimempenda
@matatamasudi95766 жыл бұрын
Yatapita
@mukhusiniselemani92406 жыл бұрын
kadabra one
@masoudabubakar2498 Жыл бұрын
Who is still listening to these legendary song in 2023?
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Haya ni Vita yapasa kuyapigana....silali bado .....na YATAPITA
@StephenNjenga-li5wq5 ай бұрын
Kila siku na mudae silali bado kama ipo kuna siku itakujae ya halali nile kwa jasho ninani yupo 2024 june tarehe 30 tuseme yatapita
@abdullmsonjo77642 жыл бұрын
yaap nakumbuka hii song ikitokea skua na job bt hii ngoma ilinipa nguvu .....bt ni God amenibless yamepita yamepita .......lov from kenya ...
@Tino_Official_tz6 жыл бұрын
Jambo kubwa kuliko lote hawajasahau waliyapitia na kutukumbusha na sis wengine. Big respect to them 🙏🙏🙏. Ila Professor usingekaza humu mdogo wako huyu angekuacha 😂😁 kweli ukubwa dawa.. Thanks for Good Music 💥🔥💥🔥
@neemamakala13456 жыл бұрын
namuon uchebe
@florykahasha92686 жыл бұрын
Yatapita ☹️☹️one day tuta fika insha allah ✊🏼
@Marzzzzzz202 жыл бұрын
Get well sooner Prof! Praying for your quick recovery!
@saidissm2933 жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo mazuri ya maisha,VIKWAZO NI LAZIMA KATIKA MAISHA LAKINI USIRUDI NYUMA
@francolazaro86466 жыл бұрын
Like nne tu na mm nionkane jamani... Prof J 🤘🏿🤘🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@citizensofheavenchannel28116 жыл бұрын
Fransis Paris hizo
@michaelndutudeleli95646 жыл бұрын
UKopoa sanaaa blaushabk tm
@samsan95tvlaizer596 жыл бұрын
Fransis Paris sasa mbona zimefikia 100na zaidi Mara zinafika mia2 unafurahi unakufa
@pascalmburambura10246 жыл бұрын
Ngoma Kali Sana salute mzee baba mh... Kiongozi wa binadam na wanyama mikumi....
@mudrikkhamis56506 жыл бұрын
Km umemuona. Valencia. Wa. Man united kwny boda boda. Gonga like.
@MUJATAKER Жыл бұрын
Kama bado unaskiza hi nyimbo ndani ya 2023 gonga like
@Newto_keАй бұрын
Ipo siku na muda ee ,,,,eeish goosebumps ❤
@saddedinix2 жыл бұрын
Kama unarudia hii nyinbo kila Mangumu baada mamiaka ww ni hustler na utafika unapotaka maisha 💪🏾 💯
@omarmbarak226 жыл бұрын
I can't explain how happy iam seeing Professor back to game and his voice.....Salute Mheshimiwa
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Salute
@saidchaka88016 жыл бұрын
Nimepitia kilicho imbwa nawe kama unaptia au umepitia kilicho imbwa gonga like hapa
@iddyngaa59286 жыл бұрын
Me ndo napitia
@jessemussecacinda64886 жыл бұрын
Many thanks professor jay for your back to the game. Congrats for this nice song e and this good perfomance with Mr. Harmonize. With best from Maputo
@ruthajovith16376 жыл бұрын
Off course mahangaiko yote yatapita, kudhalaulika kutapita kumegewa demu wangu pia kutapita, muhimu tukaze na tukianguka tuinuke tuanze tena. ........Mr MP PROF JAY.
@papuloeinstein22206 жыл бұрын
Good to have you back @Professor.Jay ... Watapendaaaa !!! ... Dunga like kama umekubali💪👏👍
@dandaud53125 жыл бұрын
Professor J, the legend of Hip hop in our country we believe on him
@KirangaHouston6 жыл бұрын
Jay ..hua na kukubali phylosoph yako na uandishi wako.... ,,kiki houston...BURUNDI
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Creativity...💯 Sound flow.💯 Content......💯 Lines flow...💯 I luv this song..... very nice
@winniesadah98215 жыл бұрын
23rd instead of listening Christmas song nko apa😣😣🤔🤔Feeling Empty true Yatapita thanks for the inspiring song.Who is with me?
@ndatabayerinnocent8619 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda, upone I'm always praying for you. Wish you quick recovery
@RonackAluvala3 ай бұрын
Kama unawatch Sai weka like tukienda l hope yatapita