Professor Jay - Wapi nimekosea (Official Audio) Sms 8671204 to 15577 Vodacom Tz

  Рет қаралды 41,841

ProfessorJay

ProfessorJay

Күн бұрын

#wapinimekosea

Пікірлер: 62
@ndahanisimon6817
@ndahanisimon6817 Ай бұрын
my favourite song. RIP Mandojo😢😢
@chedichedi2992
@chedichedi2992 6 жыл бұрын
Dah eti leo naisikiliza tena ndani ya gari yangu nikiwa New York wakati album yake inatoka miaka hiyo radio cassette yake niliinunua kwa mshahala wa kuchunga mbuzi Kabuku Tanga... miss home long time.
@mkijomutv9633
@mkijomutv9633 6 жыл бұрын
CHEDI CHEDI hahahaaa, maisha bhana kizunguzungu wala co kihindihindi.
@mkuurditv4227
@mkuurditv4227 5 жыл бұрын
Big up sana Broo ,kwangu ni Dream ambayo sijui kama itatimia
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 Жыл бұрын
Anginyue mgosi
@timomgimba1988
@timomgimba1988 5 жыл бұрын
Daaa ngoma hizi nakumbuka nikienda shule na kiledio kwenye mfuko wa lambo professor...enzi hizo betli za bell au national....zkiisha nachemsha na chumvi...mungu mkubwa azidi kutulinda.....
@hamadikingamba4702
@hamadikingamba4702 Жыл бұрын
Hizi sasa ndo zilikua nyimbo uchoki kuziskirza Dah! aisee noma sana
@tudijama8427
@tudijama8427 7 ай бұрын
Atari noma daaaa mbari sana
@petermwenda5179
@petermwenda5179 5 жыл бұрын
ww ndio wetu wa ukwel umebakia wwewe tu hiphop top jemedari congregation
@chassmamwenga2034
@chassmamwenga2034 6 жыл бұрын
prof umekunywa maji ya mziki haushuki hauchuji yani kiracku ww unazidi kua mpya sauti yako tokazani hadi leo duuuh wee noma vijana chaliiiiyyy
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Ebwana kweli kaka uko sahihi kaka wanaosali wanajiona wako sahihi wanajiona hawakosei
@shenikasimu6380
@shenikasimu6380 Ай бұрын
Dah dojo
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Ebwana ngoma Kali nikweli josefu
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Daaaa ngoma hii nilikuwa nauza chipsi leo hiii fundi mungu mkubwa jamani daaa
@allybwango784
@allybwango784 6 жыл бұрын
Sarut mzee baba kwa kuturudisha nyuma tulipo tka
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Brother noma wewe mkali umetisha kaka
@rasmatthew6995
@rasmatthew6995 5 жыл бұрын
Mmh za kitambo kweli ni za ukweli, yaani mi mpaka machozi yananilenga lenga Big up mzee wa mitulinga
@savimbialex8452
@savimbialex8452 5 жыл бұрын
Daaa prof j ...you real remind me about my life back ...long time....nice music never dies ....nakuheshimu sana mubunge wa watu na wanyama...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@iddymeraiddymera6006
@iddymeraiddymera6006 5 жыл бұрын
Thanks brother kwa kuturetea mziki mzuri
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 5 жыл бұрын
Thanx profesa J nakuelewaa Sana kaka mkubwa
@nicholausmakundi2663
@nicholausmakundi2663 6 жыл бұрын
Niambie nilipokoseaa aa..."hataki kuambiwa"
@clintonluyangi9419
@clintonluyangi9419 6 жыл бұрын
My best of the all time
@eliakamwela5449
@eliakamwela5449 4 жыл бұрын
Hadi Leo naisikiliza hii nyimbo prof j jumbe zuri
@emmanuelndoro7628
@emmanuelndoro7628 3 жыл бұрын
Nyimbo zako zanipa mafunzo na hazi zeeki kamwe salute my music professor J.
@johnchita2375
@johnchita2375 5 жыл бұрын
Dah JOSEPH ni album ya mwanzo na ya mwisho kununua. Na hata ilishapotelea wapi sijui. Big up broh.
@amandusmark3060
@amandusmark3060 5 жыл бұрын
Great Memories,. Thanks Kiongozi.
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Wao wakosefu
@mkijomutv9633
@mkijomutv9633 6 жыл бұрын
jay professor dah big up bro.
@chanexthelucky
@chanexthelucky 5 жыл бұрын
Dah Love the album"JOSEPH"
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Wanaosali wanajiona wako sahihi
@chaleboymusician528
@chaleboymusician528 Ай бұрын
R.I.P mandojo
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Daaaa kweli kaka
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 2 жыл бұрын
Ferooz those days 🔥
@frankmgallah3502
@frankmgallah3502 Жыл бұрын
mandojo na domo kaya hao sio ferooz
@Geofrey-we1tv
@Geofrey-we1tv 3 ай бұрын
Domo na Dojo hao ni mafundi sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@joelinko6632
@joelinko6632 3 жыл бұрын
Dah mziki mmoja mzuri sana
@mnamamnama2732
@mnamamnama2732 Ай бұрын
R.i.p dojo
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
The pop hardcore
@salahjm2910
@salahjm2910 6 жыл бұрын
Full respect prof
@lugishoboy6280
@lugishoboy6280 6 жыл бұрын
Nilikuwa mdogo xana axee
@jamesikabelege3196
@jamesikabelege3196 5 жыл бұрын
Respect Jay
@JahSon-z5m
@JahSon-z5m Ай бұрын
Rest in peace mandojo
@ericngwebesa6734
@ericngwebesa6734 4 жыл бұрын
Madini mtoto wa mjini, the heavyweight MC
@frankmgallah3502
@frankmgallah3502 Жыл бұрын
Classics hadi leo
@IAMPHILIPPOL.
@IAMPHILIPPOL. 5 жыл бұрын
Kali
@ilumbukibi4169
@ilumbukibi4169 5 жыл бұрын
Asante Professor!
@Misedua
@Misedua 5 жыл бұрын
👏👏👏
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Ngoma Kali sana
@rebecakaaya8016
@rebecakaaya8016 3 жыл бұрын
Makini sana
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 3 жыл бұрын
what a masterpiece
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 5 жыл бұрын
Ila Nakuomba umuinuee na Juma Nature pls
@kambiguy8317
@kambiguy8317 3 жыл бұрын
2021 legend
@moudykindole3725
@moudykindole3725 3 жыл бұрын
Mandojo fellow
@albywamandalinho
@albywamandalinho 4 жыл бұрын
Classic
@rahimrajabu5142
@rahimrajabu5142 5 жыл бұрын
Salutii profesa
@ayubuemmanuel2590
@ayubuemmanuel2590 3 жыл бұрын
Kwel dunia shujaa
@meremetasanga1992
@meremetasanga1992 6 жыл бұрын
Asante sana!
@iddymeraiddymera6006
@iddymeraiddymera6006 5 жыл бұрын
Thanks brother Kwa kuturudishia mziki mzuri
@geradnandy7001
@geradnandy7001 5 жыл бұрын
Powa Sana
@salummakulula7727
@salummakulula7727 5 жыл бұрын
Huu ndo mzilki tuliokuwa tunautaka kaka afadhali kutukata kiu yetu ya mziki muda mrefu
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 16 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 56 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 37 МЛН
SIMULIZI KUHUSU  MAISHA YA GEORGE  LUCHIRI WAJACKOYAH
14:08
Wapashe Digital
Рет қаралды 24 М.
JCB Watengwa ft Jay Moe, Fid Q & Chid Benz - Ukisikia Paa remix
4:21
BBK TRENDS MEDIA
Рет қаралды 113 М.
Godzilla You & I(Official Audio) Feat. Marco Chali
4:03
TATUCHAFU MUSIC GROUP
Рет қаралды 1,8 М.
Big Fizzo - Leave me Alone (OFFICIAL VIDEO)
5:43
Big Fizzo Official
Рет қаралды 767 М.
Professor Jay feat Ngwair - Una (Official Audio)
4:16
ProfessorJay
Рет қаралды 103 М.
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 16 МЛН