Huu wimbo sio uandishi wa kawaida aisee, Roho wa Mungu alihusika hapo, i wish uendelee na hii aina ya muziki, ni moja ya nyimbo nayoipa respect no.1, ,...hii nyimbo haina tofaut na ya Roma Mkombozi, i wish mngekaa hapo mumtumikie Mungu kwa kuimba, may God bless ya
@mariamwakasitu9370 Жыл бұрын
Well said
@davidmchopa10668 ай бұрын
Niko hapa 2024 na bado vivid.
@jongosalehe10366 ай бұрын
Congratulations 👏👏👏👏👏
@felixmumia39262 жыл бұрын
Jifunze Ona Sema Elimika Pitia Hamasika Hii Ina manisha Joseph
@bashirsalim67873 жыл бұрын
Last time in 2006, now 2021, J a true proff. 👍🏿👍🏿
@edwardpeter85692 жыл бұрын
Hatimaye nimeipata hii track muda Sana naisaka, hapa jay huu ndio wimbo wangu bora maishani mwangu ktk bongo Land. Kuna nguvu ya MUNGU kwenye hizi tungo
@dicksonkazungu1960 Жыл бұрын
Muziki bila chawa ngoma Iko sawa kabisa
@daudaloyce18914 жыл бұрын
Eyooh jifunze kuwa maisha ni vita dunia imekwisha, kila kiumbe anataka kupita, najiuluza ni siku za mwisho zenye miujiza, au ni maandiko ya vitabu tunayatimiza,,, ingawa ni nyimbo za kidunia zina mafunzo ya kiroho ndani, be blessed my brother
@Pigangomaiddi5 жыл бұрын
My best song ever
@musaamuj5 жыл бұрын
nime jifunza, nika ona mwendo wako, nika ona ulio ya sema, nika elimika nayo, tukapitia vitabu vya dini tuka hamasika
@mathewjames708811 ай бұрын
Uandishi na mashairi haya umetiza unabii 2023
@loserianmollel5400 Жыл бұрын
Professor I respect you in 2022... may God give you strength and healing in order us to get good song writing
@JohnnyLuambo3 жыл бұрын
JOSEPH!
@raynellyaugustino32375 жыл бұрын
Huu ndio Mziki sasa, Sio Mataka taka tunayoimbiwa na Wasanii wa Sasaa
@emmanuelfrank69065 жыл бұрын
Raynelly Augustino umeona eeh!!
@winstonrwegalulila46834 жыл бұрын
Fact
@michaellimu23324 жыл бұрын
Kabisa.
@michaellimu23325 жыл бұрын
Jembeeeeee.👊
@faundimustapha7489 Жыл бұрын
MA hommie unajua Sana akuna mfano
@innocentngowi96533 жыл бұрын
Hii ni ngoma yangu ya muda wote
@maezadam54925 жыл бұрын
Hii mistarii 🙌🙌 sio poaa 2019
@aggreyayoub11543 жыл бұрын
Best song ever...
@SamsonMakunja-eo4xf11 ай бұрын
Rrspect
@King_Of_Everything8 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@samsonkibona53545 жыл бұрын
Nilikua nautafuta sana huu wimbo
@innocentngowi96535 жыл бұрын
Samson Kibona hata mimi aisee
@issaadam8675 жыл бұрын
Ata Allah aliumba dunia kwa lake neno
@aminasamaki53555 жыл бұрын
hii ngoma natani ipromotiwe upya yaani siichoki
@magambosalum21074 жыл бұрын
Hiyo albam ntaipataje kwa mfumo wa frash
@winstonrwegalulila46834 жыл бұрын
Wanalea mimba ili wazae majungu😆 Profujize Salute bro
@josephmussamolel73433 жыл бұрын
Eeeeeeeeee
@johnmbilinyi13812 жыл бұрын
Salute kaka.joseph iko poa sana ni kichekesho kuona unambipu mungu🤣🤣🤣🤣
@josephmlelwa31753 жыл бұрын
Kina Joseph wote tulike hapa
@prensessdmmakua90353 жыл бұрын
Umetisha kaka
@sahirstimajr43943 жыл бұрын
Ngoma hii bado nasoma
@derickmbughuni90955 жыл бұрын
Aisee !
@ngaborwizihirwa12823 жыл бұрын
Good song
@Barrydauda8 ай бұрын
2:58
@tannylunya10692 жыл бұрын
✌️🐐
@juniorlyatuu7105 жыл бұрын
My name
@monicageorge21813 жыл бұрын
Kuna watu wamedislike dah...
@Joramkatana5 жыл бұрын
J.O.S.E.P.H........
@eliahsolomon4075 жыл бұрын
Umetisha sana
@peterkharim99165 жыл бұрын
Hizi ndiyo nyimbo sio nyimbo za siku hizi taka taka